Asante sana mm nimeungua nikiwa mdogo na mjukuu wangu nae karithi jina langu na yy kaungua ,miaka28 niliuza nyumba maisha yalikuwa magumu sana,upo sahihi
Asee hii nikweli kabisa Tena kama mmi Toka nimezaliwa Hadi napendwa kinoma na Kila mtu ,nacheka na Kila mtu,, upande wa upambanaji ndo kabisa nabahati sana asee kaka,,God bless you
Hapa unaniongelea mimi kila kitu 😂😂😂 mungu anifanyie wepesi, nguvu za kiume sina , Kazi nilifutwa, pesa ikaisha, ,maisha yamekuwa makumu sana. Nipo 33 saizi. Mungu anifanyie wepesi inshallah 🙏🏾🙏🏾
Mimi Saidi hali yangu ngumu sana broo nina miaka 31 ndoa yangu inaugomvi na nina maradhi ya UTI WA MGONGO, Mwili mzima unaniuma sana yamenipata kazini mwaka wa pili sasa kazi siwezi kufanya kwasababu ya maradhi na pale kazini hawakunijali hadi leo hii sina kazi na hali yangu ngumu sana na familia inanitazama shilingi mia 100 sina mfukoni. Kwakweli nina hali ngumu sana
Ni kweli kabisa, Mimi nilivyofikisha umri wa miaka 33 ndoa yangu ilivunjika na nikapata kesi mahakamani nikashitakiwa makosa 32 mambo yalikuwa magumu sana, nilikata tamaa, nilipofikisha miaka 36 kesi ilifutwa mahakamani na kuanzia hapo mambo yangu yamekaa vizuri Hadi Leo hii, Kila unachosema ni kweli kaka. Naomba Namba Yako kaka
Jamani nimeamini man kinachoongelea apo kimenigusa na mniombey dua wenzangu mana yot yanaongelea kam yananieelemea mana Migu tumbo misukosuko maendeleo yakiuchumi inanitesa nateswa nakichwa kwakweli nateseka san😢😢😢😢
Ubarikiwe mkuu unachoongea ni kweli maana matatizo yote ayo nimeyapitia toka utotoni na apa mambo yangu yanaenda saaaf lkn ndoto za kuanguka kimaisha huwa haziishii kabisa sasa sijui nifanyaje. Au ndo hatima yangu hakuna namna aiii
Humitisha sana kaka nilipata misuko suko mingi sana nilipofikisha miaka 28 mke mjamzito mimi nipo lumande yote uliyoyasema ndio mimi uyo ujakosea ata kidogo 👍
Kk huwa spnd kuamini vitu vya aina hii lkn Leo Ni km unasoma taarifa yangu toka nikiwa mdgo,,,, kk ulichoongea leo ni asilimia 97 maisha yangu....Hongera,,,
Mie ni V na ninampenda Stephen. Yote uyasemayo anayo. Ila kimaelezo ya nyota siendani nae. Nampenda na yeye ananipenda ila Kuna mambo mengi tuko tofauti.
Duuh hicho kipindi cha miaka 29 mpk 33 nimekoma acha kabsa,kazi cna mwaka,mke kalala mbele na all mazaga magonjwa nikaugua nikiwa ugenn mpk nikabak mwili km mtoto
Yaan brz hujakosea nilipofikisha miaka 31 hadi sasa nina 34 uchumi wangu uliyumba mke alinikimbia na kila ninachokifanya hakiendi kabisa na niliumwa nikiwa na miaka 32 hadi 33 nikawa sijitambui kabsa nusu nifariki ikabaki kumuachia Mungu hata mifugo yangu iliisha na pesa zilipotea bila kujua imeenda wap hadi sasa namuomba Mungu aniweke njiani na mimi ni mtu mpambanaji sana yaan sitak kushindwa
Ubarikiwe xan mungu aendelee kuku2mia ku2fikishia ujumbe wenye herufi s 2zidi kufuka na kujitambua ili 2weze kuvuka hayo magumu
Ndivyo nilivyo kweli!!!❤
asante sana ndugu kwa ku2fikishia ujumbe huu
Asante sana mm nimeungua nikiwa mdogo na mjukuu wangu nae karithi jina langu na yy kaungua ,miaka28 niliuza nyumba maisha yalikuwa magumu sana,upo sahihi
Unayoyasema.ni.kweli.sana.kwa.upande.wangu
MashaAllah elimu kubwa ya kuzingatia .
Hongera ❤❤❤❤
Nakubali unayo yasema nikijiangaliya akuna utofauti ata1 nikweli kabisa s Allah atuongoze atuweye mbele
Mungu alibariki herufi s na g
Shukran kwa kuelezea ili jombo zuri sana
Asee hii nikweli kabisa Tena kama mmi Toka nimezaliwa Hadi napendwa kinoma na Kila mtu ,nacheka na Kila mtu,, upande wa upambanaji ndo kabisa nabahati sana asee kaka,,God bless you
Hapa unaniongelea mimi kila kitu 😂😂😂 mungu anifanyie wepesi, nguvu za kiume sina , Kazi nilifutwa, pesa ikaisha, ,maisha yamekuwa makumu sana. Nipo 33 saizi. Mungu anifanyie wepesi inshallah 🙏🏾🙏🏾
We mwenzangu broo
Kazi nimefukuzwa 😂😂😂
Mimi Saidi hali yangu ngumu sana broo nina miaka 31 ndoa yangu inaugomvi na nina maradhi ya UTI WA MGONGO, Mwili mzima unaniuma sana yamenipata kazini mwaka wa pili sasa kazi siwezi kufanya kwasababu ya maradhi na pale kazini hawakunijali hadi leo hii sina kazi na hali yangu ngumu sana na familia inanitazama shilingi mia 100 sina mfukoni. Kwakweli nina hali ngumu sana
Walai sina usemi all is tru Mungu anilinde nivuke hili daraja
😂😂😂😂😂😂tusikate tamaa
Ukweli nakubaliana nawewe ndugu
Me sina swali bro barikiwe sana
Wewe sio msoma nyota ila wewe umeletwa na Mungu kuja kutufungua akili 🎉🎉🎉🎉🎉 Mungu akulinde
Kwel mdogo wangu stivu anapendwa sana tangu yupo mdogo watu walikuwa wanapenda kumbeba kuna mdogo wa rafiki yangu alikuwa anapenda kuja kumbeba stivin
Hongera sana kijana, habari zako nikweli kabisa katika sisi tulio na herufi S. Hayo yote usemayo yameni tokea mimi
Ni kweli kabisa, Mimi nilivyofikisha umri wa miaka 33 ndoa yangu ilivunjika na nikapata kesi mahakamani nikashitakiwa makosa 32 mambo yalikuwa magumu sana, nilikata tamaa, nilipofikisha miaka 36 kesi ilifutwa mahakamani na kuanzia hapo mambo yangu yamekaa vizuri Hadi Leo hii, Kila unachosema ni kweli kaka. Naomba Namba Yako kaka
Nikutakie pole na uliyo yapitia mungu akulinde Zaid na sis 2lioko nyuma m2ombee sana
Mimi pia ndoa ilivunjika nikiwa Na miaka 25 nikajaribu ingine ikavunjika nikiwa Na 30, ikafika 32 nikaenda jela,,Ni ukweli kabisa
Mimi ni s na bibi ni s pia jee nimefaulu hapa
Ndoa zimevunjika mbili jee hapa kwa s nitafaulu
allah akujaaliye ndugu yangu jazak ghaira
Majina ya s wanasemaga anamvuto sana kinyota kimali pia kimapenzi
Dah nmelia sana asee mbn ndo maisha yangu hayo
Am Salmin kweli umetisha napendwa sana na wat napenda kujua vitu vngi nmefany biashar za wat zmeend vzr😊
Asante San kaka nikwl kbx
Uko sawa kweli unajua
Umesema sana vizuri ni mambo yenye yapo ni mimi pongezi asante
Very very true
Mim kila seem nikienda kufanya kazi nakubalika Sana kw wenyeji nilio wakuta
Mbona nkama maisha yangu nayaona mpaka najawa na hofu sana kwenda kuivuka hii miaka iriyobaki
Ukweli kabisa. Hujakosea hata kidogo hata nikiangalia kwangu.Said
Jamani nimeamini man kinachoongelea apo kimenigusa na mniombey dua wenzangu mana yot yanaongelea kam yananieelemea mana Migu tumbo misukosuko maendeleo yakiuchumi inanitesa nateswa nakichwa kwakweli nateseka san😢😢😢😢
Mule Mule master 🙌
Nikweli changamoto hizo nakumbananazo sana na bado napambana nazo sana mungu akulinde hicho ulicho jaliwa kutufunulia elufi S
Ubarikiwe mkuu unachoongea ni kweli maana matatizo yote ayo nimeyapitia toka utotoni na apa mambo yangu yanaenda saaaf lkn ndoto za kuanguka kimaisha huwa haziishii kabisa sasa sijui nifanyaje. Au ndo hatima yangu hakuna namna aiii
Mengi uliyosema hapa ni kweli kabisa kwenye maisha yangu.
Dah kweli aisee nilifukuzwa kazi na nikashindwa ata kulipa kodi
Humitisha sana kaka nilipata misuko suko mingi sana nilipofikisha miaka 28 mke mjamzito mimi nipo lumande yote uliyoyasema ndio mimi uyo ujakosea ata kidogo 👍
😂😂
Ni kweli kabisa docta,mwanangu ndivyo alivyo nimempa jina la s,hua ananifundisha hadi jinsi ya kupanga chumba hapo anamiaka 5
Shukran🙏🏻🙏🏻🙏🏻🌍
aisee kweli kabisa wanangu wakiume wote s,wanapendwa sana na wanawake stivin,samwel,saimon,ila huyuvstivu ana maadui sana
Umesahau shedrack
mungu amlinde na shari amin
Duh ni kweli kabisa kiongoz kama ni utafit huu wa eruf S umepatia ha umri miaka 33 baba,baba narudia baba..ila ubarikiwe
Asante mkuu
Mm ni shafii mke wangu ni shamimu tunaendana. Lkn Nina rafik ana anza na f Kuna shida hapo iwafungue na wangne
Mimi pia shafii na mke wangu shamira
Kk huwa spnd kuamini vitu vya aina hii lkn Leo Ni km unasoma taarifa yangu toka nikiwa mdgo,,,, kk ulichoongea leo ni asilimia 97 maisha yangu....Hongera,,,
Asante
🎉🎉🎉🎉Mimi aitwa sijaa nime pita yate unayo ongea ila nimesha vuka namiaka 41))kweli ndiyo naanza kuyaona mafanikio nifanyeje ili nikae vizuri
Ulicho kisema kaka kipo sahii mimi mwenyewe Nina jina abalone Lina herufi navingi ulivyo hongea kwenye 10 nikama umeningusa 8 ivi , nigepata namba nikufate inbox
10:09 *ukiwa na Yesu kristo kamwe hakuna jambo lolote litakalo kufika Amini mimi na kwambia Mungu kila kitu amen*
Hayo mabo ya nyota na herufi yapo na wanayatumia sana haohao waliotuletea hizi dini. Wewe nani ubishe? We kaa hivyohivyo na yesu wako.
@@SalamaHusein-b3walafu huyo Yesu mwenyewe yalimfika ya kumfika!
Mungu asaidie akubariki
Amin
Ndio mdogo wangu ni mtu wa watu anapenda sana watu na alikuwa na akili alikuwa anafanya vizur sana kwenye hesabu
It's true Sheikh
Mie ni V na ninampenda Stephen. Yote uyasemayo anayo. Ila kimaelezo ya nyota siendani nae. Nampenda na yeye ananipenda ila Kuna mambo mengi tuko tofauti.
asante sana mkuu
Kwa kweli ubarikiwe sana bro. Unayosema yoooote nikweli tupu. Mimi nilipofikisha 33 tu nilifukuzwa kazi na kushtakiwa mahakamani.
Ahsante sana kaka, ila Mimi ni z na mchumba angu ni s itakuaje
Hamfai kuoana
km mpenz wangu anaefi s namm naerufi z je nikibadilisha jina itafaa kuoana
Nikweli maana mkenilie mpata ana herufi z maisha yangu hayaendi sasa kanikimbia nimegundua vingi sana heshima yako mkuu
Perfect 👍
Stivin ni mtu wa watu na mdogo wa rafiki yangu alikuwa anapendaga kuja kumbeba.halafu anapenda kufanya kazi na biashara anatajaga anapenda
Mwenyez mungu atuvushe sarama wenye majina yetu
Aaa Alla atubaliki woote wenyemajina yanayoanzia naelufi s
Asante kaka umenigusa
Kweli Mimi np hivyo wewe kweli mtalam Sana 🙏
Weny elufi s tujuane kwa like
Haki broo kweli kabisa mungu akulinde
Thanks
Duuh hicho kipindi cha miaka 29 mpk 33 nimekoma acha kabsa,kazi cna mwaka,mke kalala mbele na all mazaga magonjwa nikaugua nikiwa ugenn mpk nikabak mwili km mtoto
Yaani mimi saiz nmepoteza Kila kitu na nipo katika miaka hii ya 30 Hadi 33 😢😢😢 Mungu anifanyie wepesi inshallah
🤣🤣🤣
Mimi Steven,kwenye hasira za haraka umetisha sana na kwenye mafanikio kwenye umri mdogo ni kweli kabisa
Asante Sana broh
Kunaukweli frani juu ya hayo japo Allah ndomjuzi wa yote.
Ndio mdogo wangu mpole na mtulivu
Sema umenitisha kweli,
Sana!!!
Shafii jaman anapenda watu na wanamkubal sana paka mabosi wanamkabizi kazi
Yan ni mm shafii yote nimepitia
Waooooh Baèe wangu mwenyewe yupo hvoò
Mtabili huko vizuri
Yeah bro uko vizur
Yaan brz hujakosea nilipofikisha miaka 31 hadi sasa nina 34 uchumi wangu uliyumba mke alinikimbia na kila ninachokifanya hakiendi kabisa na niliumwa nikiwa na miaka 32 hadi 33 nikawa sijitambui kabsa nusu nifariki ikabaki kumuachia Mungu hata mifugo yangu iliisha na pesa zilipotea bila kujua imeenda wap hadi sasa namuomba Mungu aniweke njiani na mimi ni mtu mpambanaji sana yaan sitak kushindwa
kweli kabisa yani umenigusa😮😮😮😮😮
Uko sawa sana
Wee jamaa unajua siwezi elezea sana ila asilimia 80 % ni ukweli tupu
Nikweli mm shuleee nilikuwa sisom kipind ch darasa la kwanz hadi kufikia la 3 hapo ndipo nikaanz kusoma ila allah awalinde na wengine
Dah kaka ally we ni noma
Kilusungu upo vizuri unaeleweka
Ni exactly true
Respect makini sana
Mwalimu Allykk niko na swali ,mtu wa S, anafaa afungue biashara siku gani, tarehe gani , na mishumaa colour gani, rangi, ubani. Asante
Siku ya bahati ni ijumaa rangi ni kijani na pink
Nikweli kaka yangu anaitwa shaban pia kwenye masom yak alhamdulillah anatok wakwanza kwenye
Umetishasana mkuudu
Anacho kisema nikweli kabisa nduguyangu mungu akubaliki kabisa.mimi nina umri 27.na hayo hayo mambo nimeyapitiya kabisa na ninayakshi kiukweli
Ni kweli kabisa daktari
Saluti kwako mzee. Nina miaka 50 sasa. Kila hatua nipo. Hio 33 ndio sitaki hata kukumbuka. Saluti.
Ni kweli bro mm nilipo fikisha hiyo miaka 35 vioparesheni kwangu vikawa vingi nusura ya kutoa uhai
Upo sahii sana
Nikweli nimekumbana navikwazo vingi nikiwa na umri wa miaka 30 Hadi 34 kwasas Hali imebadilika
Je stivu doctor
S
Yani ni kweli kabisa kaka Ally...ni Mimi kabisa 🙏😭
Sawa kabisa kaka ni ukweli kabisa
Nakubali Yani ww ni mkweli hongera kwa utafiti
My name is Nancy Fumbo from Malawi i want to ask meaning of the name Nancy
Swaleh mwanangu,hizo ajali amepata,akiwa mdogo wacha tu,anabidii sana,na anaupendo sana,pia hasira na nguvu za aja ajabu
boss yaaan upo sahihi sana
Kweli kk