Kufanya usafi jikoni na kupanga vitu!
Вставка
- Опубліковано 11 вер 2024
- Karibuni tena wapenzi kwenye video nyingine na mimi.😀
Kwenye hii video nafanya usafi kidogo wa jikoni na kupanga vitu.
Kama umeipenda hii video usisahau kuniambia hapo chini kwenye comments😘
Instagram: bariki.k
Email address for sponsorship or business only: bariki.karoli@gmail.com
Vlog iliyipita unaweza kuiangalia pia👇🏽👇🏽👇🏽
• Vlog: face mask, ngozi...
Asanteni sana kwa kila mtu ambaye anaendelea kuangalia video zangu na ku subscribe.💕💕😘
Kwa sasa kila wiki tutakuwa na video mpya👍🏽
Tuko pamoja Bariki....nakukubali sanaaa💪💪
That’s amazing Hakuna video hata moja yakwako bariki ambayo inanipitaga bila kuiangalia napenda saana video zako zote video Nzuri za kuongea ukweli kweli Nakupenda Sana tena saana video zako zote niko USA 😊😊😊😊🥰🥰🥰🥰naitaji siku moja tuonane face to face 😊😊kweli ninaweza kufurahi saana 🤗🤗🤗 halafu ufanye video tukiwa pamoja ao vlog tukiwa pamoja ohh I wish kweli 😊😊🤗🤗🤗🤗
Safi sn tumekukumbuka
Jamani dear asante sana na mimi natamani hivyo 😘
Apo kwenye maakuli pamejaa hatari😀😂😂maakuliiiiii
Yaani na mimi nasafisha chumba changu huku naangalia hii video 😂
Asante barike kweli nimejifuza mangi kupitia kwako asante
Wife material barikii😘😘😘
Nilikumiss mumy Asante kwa video
Hata mimi dear 😘
@@barikikaroli6088 Asante dear
Jamn nmeioenda hyo ya kuwekea vitu umeninulia wap
Mashallah hongera sn my dear
Asante dear 💕
Woo nimependa friji
Asante
Wow
Unakula nn sikuizi 😅😅
Chakula
Najifunza mengi kwako
Asante dear
Wow
😘
Aksante sana kwa maelekezo mazuri