Diet ya mayai ( egg 🥚 diet) kupunguza uzito kwa haraka // Bariki Karoli

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Kwenye hii video nimejaribu diet ya mayai kwa siku 7
    Na nimeipenda ni rahisi kuifatilia.
    Ni nzuri kwasababu unashiba mayai yana protein.
    Video iliyopita 👇🏽👇🏽
    • Weekly vlog| chapati z...
    Diet ya supu ya kabichi 👇🏽👇🏽
    • Punguza KG 5 ndani ya ...
    🌸instagram: bariki.k
    #eggdiet
    #kupunguzauzito
    #bariki
    #karoli

КОМЕНТАРІ • 50

  • @LifestylewithLyne
    @LifestylewithLyne 2 роки тому +1

    Nashukuru mungu amenipa mwili mwembamba maana kula mayai na apple na green tea tu uwiiiii nisingewezana..... Ila nakupongeza sana Bariki mwili wako sio rahisi kupungua ila hukati tamaa bado unakula healthy na kujaribu kufanya diet apa na pale.. Hongera sanaa

    • @barikikaroli6088
      @barikikaroli6088  2 роки тому

      Yaani wewe huo mwili nautaka 😀 asante 💕

    • @neemamandari4991
      @neemamandari4991 2 роки тому

      Wew lyne unamwili mzurii kwel aisee unakula lakn ataa mwenyew unatamba tuu nautaman kwel aisee nakutaman😉

  • @teddyinbloom
    @teddyinbloom Рік тому

    We dada nimekupenda bure❤️😅

  • @rentadelilah
    @rentadelilah 2 роки тому +2

    Nimekumiss jamani rudi UA-cam 🥺

  • @lizzykiyogoma4912
    @lizzykiyogoma4912 2 роки тому

    Tim tok unatumia jina gan dada nataka nikifollow nakupendaga sana

  • @mj_awesomegaming
    @mj_awesomegaming 2 роки тому

    Asante sana nimeipenda video

  • @tabithasalimu3617
    @tabithasalimu3617 Рік тому +1

    Wacha jalibu leo

  • @costamaiko7423
    @costamaiko7423 2 роки тому

    Nitajalibu na mie kufanya hiyo diet ila siku nikija huko tufanye video ya pamoja jamanii best 🙏🏽

  • @asiaamohd4077
    @asiaamohd4077 2 роки тому

    Bariki unapendeza ukipungua jitahidi mpzi

  • @alicebrayan8863
    @alicebrayan8863 Рік тому +1

    Nzur sana nilitoa kilo 7 kwa sku 10

  • @ALIALI-pe8iv
    @ALIALI-pe8iv Рік тому

    Dada km auna gren tea je inakuaje jamani nimekosa green tea mimi ila vifaa vingine nimepata

  • @radiaarady3307
    @radiaarady3307 2 роки тому +1

    Asante my dear

  • @Swahiliseriesanimation
    @Swahiliseriesanimation 2 роки тому +2

    ebu jaribu pia mapapai+na parachichi kila siku

  • @neemamandari4991
    @neemamandari4991 2 роки тому +1

    Nshawai fny ilnsaidia kwel.

    • @rahmaseph8697
      @rahmaseph8697 2 роки тому

      Dada neema kwer ulipuguwa mi adi kuzaa naangaika mpenz

  • @zulekhamwansa750
    @zulekhamwansa750 Рік тому

    Mamiy mim nina kilo 64 lakini ninatumbo na manyamauzembe

  • @revinaabela4281
    @revinaabela4281 2 роки тому

    Safi

  • @rachelmwasomola1065
    @rachelmwasomola1065 2 роки тому +1

    Uyu ni mimi kabisa tena nikifanya na mazoezi ndo nastuck yaani kupungua kazi ila sipungui na nikicheat kidogo tuu nanepepe balaa

  • @rahmatshedafa8246
    @rahmatshedafa8246 2 роки тому

    Du barki umekua kibonge

  • @neemamandari4991
    @neemamandari4991 2 роки тому +1

    But nw nmenenepa san inabd nfanye tna ihi ahsaante kwa video muzuuri

  • @simplyzacky
    @simplyzacky 2 роки тому +1

    Na mimi naanza aiseee huu mwaka lazima tukonde

  • @stellasimon8306
    @stellasimon8306 2 роки тому

    Hongera sana aisee👍

  • @maryjacob4148
    @maryjacob4148 2 роки тому

    ❤❤

  • @aminakamariza4180
    @aminakamariza4180 2 роки тому

    Tack så mycket

  • @ukhtyhalima569
    @ukhtyhalima569 2 роки тому +1

    Lazima upete appol na mbadala wa appol

  • @akimanacadeau3407
    @akimanacadeau3407 2 роки тому

    Je vipi kuhusu mazoezi unafanya ao ni diet tuu

    • @barikikaroli6088
      @barikikaroli6088  2 роки тому

      Nilikuwa sifanyi mazoezi makali
      Ila natembea hata kazini natembea sana
      Hii diet ukifanya usifanye mazoezi makali tembea kama dakika 20-30 kwa siku kama unataka

  • @rentadelilah
    @rentadelilah 2 роки тому

    Nilivyokimbia

  • @ashanaftali893
    @ashanaftali893 2 роки тому

    Mh yani apa ukijampa🤣🤣🤣

    • @barikikaroli6088
      @barikikaroli6088  2 роки тому

      😂😂😂 ndo ubane ukiwa na watu au usiende kwa watu😂😂

  • @maryjacob4148
    @maryjacob4148 2 роки тому

    Huwek sukar mmy

    • @barikikaroli6088
      @barikikaroli6088  2 роки тому +1

      Hapana hauweki sukari wala asali

    • @maryjacob4148
      @maryjacob4148 2 роки тому +1

      @@barikikaroli6088 nitajarbu nitaleta feedback jmn kupungua kilo2 kw cku7 sio mchezo nimevutiwa

    • @barikikaroli6088
      @barikikaroli6088  2 роки тому

      Jaribu hata kwa siku tano alafu ukimaliza unaendelea ku balance vyakula😘

  • @stellasimon8306
    @stellasimon8306 2 роки тому

    Stackars mayai 🤣

  • @asiaamohd4077
    @asiaamohd4077 2 роки тому

    Namm kuanzia Leo nafanya dayat