100% mimi kama mtanzania, watanzania wenzangu ni majinga kabisa hayajui kama kenya wako mbele sana kukinganisha na tanzania, swala hili sinla njaa ni logic ya wakenya kujua uhuni wa serikali yao, kuweka kodi za kishenzi, sasa mitanzania wenzangu ni majinga kujua hilo
Kutoka Tanzania tupo pamoja nanyi ndugu zetu wa kenya. Ifike mahali viongozi wa Afrika wajue kuwa sisi kama raia tunapaswa kusikilizwa pia Kwamana wapo madarakani Kwa kulitumikia taifa Kwa usawa.
Pamoja sana,lazima waafrica tuamke ju maraisi wengi wanabudu wazungu,kama huyu Zakayo aliamdikiwa hiyo bill na IMF na World bank tumekataa,juzi akasign ushoga uruhusiwe saa hii anataka kutumaliza kiuchumi#No To FINANCE BILL.
@@jaysmart3277nimegundua kit pia hap maan ukipandish kodi n huku umesign ushog inamaanish wat watajiingz kweny ushog ili wapate hela n kukosa maarifa kwa kwel bil kujua n kizaz chake kipo hatarin so sad kwa kwel
Mwenyezi Mungu awe nanyi ndugu zetu wakenya. Ruto nipumbavu tena mujinga sana aliamuwa kuitenga nchi ya Congo 🇨🇩 ndani ya umoja wa East Africa kwa kukubali kujiunga na wauaji kama Kagame,Museveni na wazungu kwakuangamiza Wakongo. Nchi ya Congo inao uwezo wa kuisadiya East Africa yote na nja ikaisha pamoja na umasikini ila kwa sababu ya akili mbovu waliamuwa kuipoteza ujinga mutupu kabisa.
hawa wakenya mie nawakubaligi toka enzi..Hata huyu Rais wao penda mimi sana yeye..Ruto jmni Mungu akushike utoe maamuzi kutoka Kwake Mungu wetu vile inatakiwa
😂😂 Kati ya watu hawajielewi ni Kenya,, Kenya wala shida sio Serikali yao,, bali Kenya ni Wavivu sana,, nina experience nao,, wanajifanya kila mtu ni matawi, wanapenda kuishi kifahari zaidi
@@ameirzapy1318you are very illiterate and stupid, wakenya wamesoma na wanajua haki zao sio nyinyi kila siku kulamba viongozi matako mkiumizwa...wakenya ni wavivu kivipi,wamewapiga kielimu,kiuchumi,miundomsingi na kila kitu,how dare you insult kenyans
@@ameirzapy1318 unaongea kujifurahisha, hakuna mkenya mvivu acha chuki na kutokubali ili ujitambue, watanzania ni uchawa tu na mapovu kwenye mitandao, mtu akiwa na uwezo na umetafuta jasho lake muache awe matawi ya juu
Every country iko na njaa ila tu sisi hatupendi ujinga sasa it's our right ✅️ kama mkenya kupigania haki zetu. Kwa sasa hana tunyanya .kutuletea mambo za America hapa hatuezi kubali upuzi .halipita mme kwa mme .mke kwamke waohana tuka kimya around hii hatatutambua even Bible haikubali hii mambo.and tz respect hapo kwa ebu urekebishe kama uelewi twa handamani kwa sabu ngani bora tu ukimye
Nawaunga mkono wakenya. Kwanza hawana uoga big up kanifurahisha sana kuchukua koti la spika na ngao yake na kuchoma jengo la bunge. Wabunge walitimua km ngiri
the main reasons here this Gen Z Generation is the group of boys and girls who Ruto promise them Laptops and football field, now its 12 years bado hajafanya now anakeep promise and not doing anything, promise without fulfiling Ruto must goooooooooo sugoi with his people in power and those who vote yes
Haya ya Kenya ni fundisho kwa Tanzania CCM lazima ilione hili. Mimi ni Mwanachama wa CCM, kubweteka kwa wachache Katika mifumo ya utawala inalipeleka taifa letu kwenye ukingo mbaya
Sio kenya wananjaa ya chakula, bali wanajielewa na wanaona haki yao iko wapi. Kama njaa hata Tanzania wengi wananjaa, ila upstairs hakuna kitu. Wakidanganywa na t-shirt moja ya CCM wakati wa kampeni meno nje, tumbo hakuna kitu, miaka 5 na t-shirt ya kijani, maji, masoko, bidhaa juu wamefunga midomo. Kenya oyeee!!
Raisi Ruto yupo makini sana kutowapeleka watu wake ktk shimo dhidi ya ibilisi ,lakin wananchi hawajui kinachosababish hayo yote..ila ntakuja kujuta siku Ruto atakapoondok ,Hii agenda ya kidunia dhidi ya Mungu wa Mbinguni ndio shida..ila Mungu awape jicho la rohoni ..na watumishi wa Mungu muombe kwa bidii kumshinda shetani...hat misaad isipokuj uvumilien tu lakin msikubaliane n Ibilisi
Mkono wa ruto huko hapo Dani kwa hizi shida zinakumba kenya za uchumi.hivi sasa. Yeye na uhuru walikopa pesa hatujui zilienda wapi wala zilifanya nini . Zikapotelea kwa benki zao. Tunakngea mkopo wa 2billion dollars amboa hukufika kenya. Weee ruto fisadi lazima jela na arudishe pesa zetu na uhuru
Mko sawa lakini mbona yakwenu hamuongei mkokimia kama hamna kinachoendelea,mgomo wa wafanyabiashara hawasikilizwi kero zao Kariakoo maduka yamefungwa na mikoa mingine pia wafanyabiashara wamefunga maduka yao wapazie sauti
The first speaker is saying non sense,,,, there is a difference between finance bill and hunger,,,,, acha kuropokwa mzee,,,, but the second one is very very well informed,,,,,
Tunataka audit ya deni ya nchi tujue pesa ilikopwa ya nini na hawa viongozi. Hiyo tu. Kisha Ruto must go mwizi.Ati wakope pesa za nchi alafu wafiche na tusione kile hiyo mikopo ilifanya. Haitowezekana. Siko za ufisadi na wizi kenya kwa pesa ya uma ini.kwisha.
At sisi wakenya ni wananchi wenye njaa??? Wewe rekebisha io statement, sisi hatupendi viongozi wafanye mambo yao na huku sisi ndio tumewatuma huko watuwakilishe
Ishu sio njaa Oscar ishu jamaa hawajakubari kuishi ndani ya sera za unyonyaji they know their right. Amin sisi tunaimua zaid yao lakin hatuna ile patriotism tunabaki kunong'ona tu
Kwa taarifa yako Wakenya hatuna njaa nikusoma tumesoma sana na hatuna kwa kupeleka madegree zetu ju government imebana jobs ndio tunataka better leadership
Sio watu kama hawa and amani wanakuwa wameshiba niwajinga nchi zenye watu wanaojitambua wenye elimu wanaandamana fasta shida watanzania mwenge umetufanya tuwe hivi na pia ushabiki wa yanga na simba ndio kabisaaa umetufanya tuwe mandondicha zaidi utakuta kutwa nzima watu wanabishana mpira wa yanga na simba wakati maisha ni magumu
Kusoma nini sasa au kusoma sasa kila wakati maandamano na kuiba vitu vya watu sasa kama kusoma ndio vurugu sasa mmesoma halafu mnapitisha vitu vya ovyo kusoma halafu muwe na busara yani hekima kusoma Bila hekima ni bure
Hapa kwetu wanadhani upepo huu watauepa kwa vitisho vya "..unahubiri shari.." badala ya kurekebisha pale penye mkoroganyo! Tunisia na Misri pia Kenya ni fundisho. Uchawa bungeni na sera za ndiyooo, mwisho unachungulia
Wakenya wamesoma wanajua Sheria hakuna kubebwa ujinga
CORRECTION HATUNA NJAA, WE KNOW OUR RIGHTS #KENYA
Yeah, a poor country like Tanzania shouldn't talk of our Hunger,,if it was US or UK it's understandable.
@@princejames0218 ni kweli baba..tumekuskia..tunawapenda sana Kenya..mkae mkilijua hilo
Repeat that again . Hatuna njaa
100% mimi kama mtanzania, watanzania wenzangu ni majinga kabisa hayajui kama kenya wako mbele sana kukinganisha na tanzania, swala hili sinla njaa ni logic ya wakenya kujua uhuni wa serikali yao, kuweka kodi za kishenzi, sasa mitanzania wenzangu ni majinga kujua hilo
Nipee number ya simu nikutumie elfu moja ujenge ukuta wa matope.
Next tunaenda mpaka Ikulu,, wananchi sisi dio kusema 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ikulu itafika but next ni police station juu ya wale walio shikwa na Kisha about waliouliwa
Wakenya nawasifu Sana,lazima Rais ajue kwamba anatawala watu na siyo Ng"ombe,Pelekeni Moto!
Kutoka Tanzania tupo pamoja nanyi ndugu zetu wa kenya. Ifike mahali viongozi wa Afrika wajue kuwa sisi kama raia tunapaswa kusikilizwa pia Kwamana wapo madarakani Kwa kulitumikia taifa Kwa usawa.
Kwa hiro kenye mpo vzul Tz hta kilo yaunga iwe alf10 bado tunalilia chumban ukifosi unatekwa nanjaa yako kama Roma 😂😂
Jidanganye kwenda ikulu usipoitwa MHAINI kwanza utafia hapo hapo!
Nawapongeza sana Majirani zetu Kenya
❤❤❤❤❤pia ss tunawapenda sasa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Pamoja sana,lazima waafrica tuamke ju maraisi wengi wanabudu wazungu,kama huyu Zakayo aliamdikiwa hiyo bill na IMF na World bank tumekataa,juzi akasign ushoga uruhusiwe saa hii anataka kutumaliza kiuchumi#No To FINANCE BILL.
@@jaysmart3277nimegundua kit pia hap maan ukipandish kodi n huku umesign ushog inamaanish wat watajiingz kweny ushog ili wapate hela n kukosa maarifa kwa kwel bil kujua n kizaz chake kipo hatarin so sad kwa kwel
Kenya my country ❤
Kwa hili Kenya nimewakubali sana
Kenya hatuna njaa😂😂,,we are just rejecting the finance bill
Hawapigani tumbo wacha upuzi wamesoma
This people don't have any idea of what they're saying Kenyans we know how right
Tukona njaa wewe pekee ndio umeshiba, I reject this statement
Ndio wao hawana njaaa kama.vile tunafikilia ila wanaijua haki yao na wanamaamuzi tofauti sana na afrika mashariki .
Hatuta simama maovu yakitendeka
I love my country kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Utasikia sana watanzania wanasema kwamba wakenya sii waoga, sii kama sio waoga ika wameenda shule na wanajielewa na wanajua haki zao
Nikweli ndugu tz ujinga ndiyo unatusumbua
Kwel kabisa
*LOCVE MY COUNTRY KENYA* 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Huku Kenya tumemesoma na tunajua haki zetu.Tumekataa unyanyapaa unaotakona na ubinafsi wa wanadiasa wapumbavu. 🇰🇪🇰🇪
Naipenda kenya na watu wake
NDO SISI SASA #KENGELE
Akili ya watanzania iko chini sana nawarumia sana jamani atuna shinda ya chukula kenya tunajiweza sana ki maisha
The revolution is here
Mwenyezi Mungu awe nanyi ndugu zetu wakenya. Ruto nipumbavu tena mujinga sana aliamuwa kuitenga nchi ya Congo 🇨🇩 ndani ya umoja wa East Africa kwa kukubali kujiunga na wauaji kama Kagame,Museveni na wazungu kwakuangamiza Wakongo. Nchi ya Congo inao uwezo wa kuisadiya East Africa yote na nja ikaisha pamoja na umasikini ila kwa sababu ya akili mbovu waliamuwa kuipoteza ujinga mutupu kabisa.
Kenya hatuna njaa we are just saying no to punitive taxation
Huyu jamaa pembeni ya oscar ameongea point sana huwez sema njaa sio kweli
Fellow Kenyans gonga like! Hatutasimama maovu yakitawala🇰🇪
Tumevurugwa mtuache tu ivi mkituombea Mungu...haki isimame
hawa wakenya mie nawakubaligi toka enzi..Hata huyu Rais wao penda mimi sana yeye..Ruto jmni Mungu akushike utoe maamuzi kutoka Kwake Mungu wetu vile inatakiwa
I M.F inaleta shida sana , watalamu wetu wafikilie sana .
Hakika watu Hawana.chakula
Dhiki kubwa nawamejimbkishia mali wanchi wakiendelea kuteseka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂wewe hatuna njaa
Nchi zetu ni za kitajiri sema viongozi wetu ndo mabinafisi hayataki wananchi wao wapate maisha bora
Kwel kabisaa inch za Africa ni tajir sanaa sema viongoz wetu ni mafisadi ndo wanaoziharibu wakishirukiana na wazungu
Tz tunahofu ya Mungu, watu wakulilia Pembeni😂😂
Wakenya wanaakili sana wanajielewa sana
😂😂 Kati ya watu hawajielewi ni Kenya,, Kenya wala shida sio Serikali yao,, bali Kenya ni Wavivu sana,, nina experience nao,, wanajifanya kila mtu ni matawi, wanapenda kuishi kifahari zaidi
@@ameirzapy1318We fala sana huijui kenya wewe
@@ameirzapy1318you are very illiterate and stupid, wakenya wamesoma na wanajua haki zao sio nyinyi kila siku kulamba viongozi matako mkiumizwa...wakenya ni wavivu kivipi,wamewapiga kielimu,kiuchumi,miundomsingi na kila kitu,how dare you insult kenyans
Kwani wewe hauna akili
@@ameirzapy1318 unaongea kujifurahisha, hakuna mkenya mvivu acha chuki na kutokubali ili ujitambue, watanzania ni uchawa tu na mapovu kwenye mitandao, mtu akiwa na uwezo na umetafuta jasho lake muache awe matawi ya juu
Every country iko na njaa ila tu sisi hatupendi ujinga sasa it's our right ✅️ kama mkenya kupigania haki zetu. Kwa sasa hana tunyanya .kutuletea mambo za America hapa hatuezi kubali upuzi .halipita mme kwa mme .mke kwamke waohana tuka kimya around hii hatatutambua even Bible haikubali hii mambo.and tz respect hapo kwa ebu urekebishe kama uelewi twa handamani kwa sabu ngani bora tu ukimye
Wamefikia point of not return.... Na pia hawa watu wana uelewa mkubwa sana..... Wanajua wanachihutaji
Wakenya wanajielewa sana nawapenda bure
But we know our rights
Enough is Enough
Shida sio njaa ,shida ni uongozi mbaya ,,tunajua haki yetu na katiba tumeisoma tunaijua
Nawaunga mkono wakenya. Kwanza hawana uoga big up kanifurahisha sana kuchukua koti la spika na ngao yake na kuchoma jengo la bunge. Wabunge walitimua km ngiri
Kenya hatuna njaa acha upuziii😅😅tunajua haki zetu.we are the government sio kama nyinyi kumsifu samia.sisi tunaangalia makubwa kufanyika kenya
sisi ndio boss wa wabunge kahivyo lasima wafanye tunavyo taka sisi wananchi 🇰🇪 Gen z power 💪
the main reasons here this Gen Z Generation is the group of boys and girls who Ruto promise them Laptops and football field, now its 12 years bado hajafanya now anakeep promise and not doing anything, promise without fulfiling Ruto must goooooooooo sugoi with his people in power and those who vote yes
WATZ WANAFIKIRIA KULA TU!!!
mungu ibariki tanzania😢😢😢
The sovereign power belong to the people and leaders must be accountable
Sio njaa hebu badili kauli kenya wanajitambua sio tz cc uchawa na ujinga
Kenyans mumeelimika safi sa🙏🙏🙏
Wewe SI eti njaa ,ni kipigania rights zetu weweata wenye wanapesa wanaandamana ,,,,hatukaliwi Kenya...we have democracy
Nani alikuambia tuko na njaa??? Wakenya hatubebwi ufala
# kenya mafee Joann kenya's Maibwah ruto, ruto baraaaa surahaaaa suraaaaah yala 😂
We Know our RIGHTS..its not about NJAA
Kenya hatuna njaa , tumesoma tuko na vyeti viko juu Sana tatizo NI ufisadi, katiba inatupa huwezo WA kuitii.
Wacheni kukataa vipengele sio wananchi wenye njaa kaka ni haki zetu tunatetea Ikifika ni umoja sisi huwa tuko vile tunajitokeza
REJECT FINANCE BILL 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪💪💪💪
Wakenya wana akili sana nawapenda sio SS tz tukitiswa tunajinyea
Hapa kenya kwa sasa watu wengi sana wamesoma, especially hii generation ya sasa, ila hawana kazi. Hivyo wanaelewa sana mambo yanayoendelea.
Most kenyans are educated. Education in kenya is a right not a privilege
Haya ya Kenya ni fundisho kwa Tanzania CCM lazima ilione hili. Mimi ni Mwanachama wa CCM, kubweteka kwa wachache Katika mifumo ya utawala inalipeleka taifa letu kwenye ukingo mbaya
Hatuna njaa
Mko vizuri Jana na Leo #Famefate
Kenya wanajielewa sanaa
Sio kenya wananjaa ya chakula, bali wanajielewa na wanaona haki yao iko wapi. Kama njaa hata Tanzania wengi wananjaa, ila upstairs hakuna kitu. Wakidanganywa na t-shirt moja ya CCM wakati wa kampeni meno nje, tumbo hakuna kitu, miaka 5 na t-shirt ya kijani, maji, masoko, bidhaa juu wamefunga midomo. Kenya oyeee!!
Hakuna njaa.
Kenya hatuna njaa..you can't compare tz na Kenya...apo wasafi kuna mtagazaji anaeza ogea sentezi ya kigereza kweli
tangu nimfaham hyu osca leo ndo ameongea point
Tuna kula lakini pia tunataka tujiendeleze kwa mambo mengi na huyu anaturegesha nyuma.We Kenyans are beyond basics
Raisi Ruto yupo makini sana kutowapeleka watu wake ktk shimo dhidi ya ibilisi ,lakin wananchi hawajui kinachosababish hayo yote..ila ntakuja kujuta siku Ruto atakapoondok ,Hii agenda ya kidunia dhidi ya Mungu wa Mbinguni ndio shida..ila Mungu awape jicho la rohoni ..na watumishi wa Mungu muombe kwa bidii kumshinda shetani...hat misaad isipokuj uvumilien tu lakin msikubaliane n Ibilisi
Ju umetaja MWENYEZI MUNGU acha nisiongee sana
Mkono wa ruto huko hapo Dani kwa hizi shida zinakumba kenya za uchumi.hivi sasa. Yeye na uhuru walikopa pesa hatujui zilienda wapi wala zilifanya nini . Zikapotelea kwa benki zao. Tunakngea mkopo wa 2billion dollars amboa hukufika kenya. Weee ruto fisadi lazima jela na arudishe pesa zetu na uhuru
Kwa hiyo mnatuambia nni wa Tz
Hatuna njaa Acha ufalla, tunaelewa tunacho taka 😊reject finance bill
Sema2 munabahati ruto hajawahi kuua angelikua mwanajeshi adi sasa tungejua tunaongea mengine mafara nyie munafaa kuuawa
They don't have freedom of speech thats why they think we have hunger 😂😂😂😂 REJECT The Bill 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪💪💪💪 Ruto Must Go
@@IsmailiAyubu Fala ni mamako washamba nyinyi munanyanyaswa lkn bado munasifia raisi
Kenyans we're very strong we don't fear like you Tanzania shangazi amewakalia Sana 😂😂 gen Z have open our eyes 👀 Kabisa
Absolutely,I salute Kenyans!
Tanzania sisi hatuna Njaa... Tunataka #RutomustGo
Mko sawa lakini mbona yakwenu hamuongei mkokimia kama hamna kinachoendelea,mgomo wa wafanyabiashara hawasikilizwi kero zao Kariakoo maduka yamefungwa na mikoa mingine pia wafanyabiashara wamefunga maduka yao wapazie sauti
Asanteni Tanzania
Hatuna njaa uelewe hilo,,twaifahamu katiba
Wewe hatuna njaa tujua haki zetu
Nyie wenyewe wasafi ni kusifiasifia tu serikali ata wanapo pitisha miswada kandamizi
Brother hawana njaa hao,wanajitambua. nchi yako wapo wenye njaa wengi tu.oscar anakosea,hawa tunasema wana self esteem.
The first speaker is saying non sense,,,, there is a difference between finance bill and hunger,,,,, acha kuropokwa mzee,,,, but the second one is very very well informed,,,,,
Tunataka audit ya deni ya nchi tujue pesa ilikopwa ya nini na hawa viongozi. Hiyo tu. Kisha Ruto must go mwizi.Ati wakope pesa za nchi alafu wafiche na tusione kile hiyo mikopo ilifanya. Haitowezekana. Siko za ufisadi na wizi kenya kwa pesa ya uma ini.kwisha.
Hatutaki kuongezewa ushuru Oscar lkn si njaa hapa kwenye maandamano kuna watu wameshiba tu sana mbona .Kuna mpk wenye pesa zao kwenye haya Maandamano.
At sisi wakenya ni wananchi wenye njaa??? Wewe rekebisha io statement, sisi hatupendi viongozi wafanye mambo yao na huku sisi ndio tumewatuma huko watuwakilishe
Yes the first one is just talking nonsense but huyu WA pili ako sawa
Kenya hatuogopi sisi
Sio njaa ni haki tunajua na uhuru tunao.
Waongeaji hawa nao hawajitambui vilevile km Ruto,viongozi wengi wa Afrika ni vibaraka na sio kwa maslahi kwa wananchi wao
kenya tofauti na sisi sukali elfu 5000 tunapiga makofi kenya wanajitambua wako sawa cc mabogazo tz wote
Ishu sio njaa Oscar ishu jamaa hawajakubari kuishi ndani ya sera za unyonyaji they know their right. Amin sisi tunaimua zaid yao lakin hatuna ile patriotism tunabaki kunong'ona tu
Nimependa comment yako
Situation of vajah Shibu bhav
Na Sisi Kuna siku tutaenda DODOMA Kwa miguu watu mjengon jiandaeni wakina mwingilu Na faini zenu kandamizi Za ml15😅😅😅
Kwa taarifa yako Wakenya hatuna njaa nikusoma tumesoma sana na hatuna kwa kupeleka madegree zetu ju government imebana jobs ndio tunataka better leadership
Mwananchi mwenye njaa ndo nani sasa ?? 🤨
Sio njaa ni kwamba wamejisahau tunawakumbusha sisi ndio MABOSSI WAO.
#STAYWOKE
sasa stay woke inatokea wapi
@@darelet with time utakuja kujua pahali inatokea
@@johnkabucho6850 Unataka kuleta hizo wazimu za majuu? Hiyo sahau
@@darelet Sawa mkuu
Sio watu kama hawa and amani wanakuwa wameshiba niwajinga nchi zenye watu wanaojitambua wenye elimu wanaandamana fasta shida watanzania mwenge umetufanya tuwe hivi na pia ushabiki wa yanga na simba ndio kabisaaa umetufanya tuwe mandondicha zaidi utakuta kutwa nzima watu wanabishana mpira wa yanga na simba wakati maisha ni magumu
Wa kenya wamesoma na wanatumiya elimu zao vizur wewe ndo mwenye njaaa
Cheki huyu fala anadhani tuko njaa..these people
Watangazaji Kumbe muda mwingine muda kuwa na akiri timamu 😅
Ishu sio njaa tu wala kujua haki bali na polisi wao wanajielewa. Polisi wa nchi jirani wao wanakufyatua kweli tena live kwa risasi😅
Kusoma nini sasa au kusoma sasa kila wakati maandamano na kuiba vitu vya watu sasa kama kusoma ndio vurugu sasa mmesoma halafu mnapitisha vitu vya ovyo kusoma halafu muwe na busara yani hekima kusoma Bila hekima ni bure
Hapa kwetu wanadhani upepo huu watauepa kwa vitisho vya "..unahubiri shari.." badala ya kurekebisha pale penye mkoroganyo! Tunisia na Misri pia Kenya ni fundisho.
Uchawa bungeni na sera za ndiyooo, mwisho unachungulia
Sisi watanzania mpaka kwenye vocha mb zote nihatari ilahatuna lakusema cz tulisha logwa
Magufuli alikuwa jiniazi sana maana aliwalinda sana watu wa chini lakini sasa mhuuu
Hatutapangwa na zakayo
We Acha ukuma hamna cha njaa nikujua haki zao kuma wwe😮
Huyo mjinga,eti njaa.Kenyans hawakubali kugandamizwa.
Mwenye njaa nani ? Hatuna njaa
Correction amuna jaa Kenya but tunataka haki yetu kenya
Inchi zetu sio maskini ira tuna viongozi vibaraka wauzaa inchi omba omba
#rejectfinancebill