Swali haliko sawa . Kukaa mbele kivipi , wakati anaendesha nani ? Ikiwa ninadrive mimi , basi mke wangu anatakiwa kukaa mbele . Ikiwa ninadereva katubeba , basi mm nitakaa nyuma na mke wangu. Swala la heshima kwenye hiyo pia linausika lkn inategemea na uwamuzi .
Hili swali huwa halina jibu sahihi,mwanaume hatakiwi kuingilia bali kuacha wao wenyewe watajipanga bila kuleta big deal out of it. ila mimi ningeacha wote wakae nyuma wawe passenger princesses 👸 ♥ Lakini point kubwa kama mzazi wako na mke wako wanagombania kukaa mbele bado hujafanikiwa kimaisha,safari bado ndefu sana na utafika umechoka sana..sababu it means hao watu wa msingi wana utambuzi mdogo sana.
Nachoweza kusema ni kwamba mama na mke kila mtu atambue mipaka yake, kwa lugha rahisi ni kuwa mama mwenye hekima anafaham mipaka yake, akiwa kwa mume wake ni haki yake kukaa mbele ila akiwa kwa mtoto wake wa kiume ni muhimu akakaa nyuma kuheshimu ndoa ya kijana wake, hii mada jibu lake inategemea mnahoji katika grounds zipi
Jamani freda yupo sawa mke wangu ana nafasi ya mbele kwa kila jambo. Kwenye gari lazima mke wangu atakaa mbele tu na awe mama baba babu au bibi watakaa nyuma
Nafikiri pia kina mama mkwe tunapaswa kujua nafasi zetu tu.kama mama mkwe ukiwa kwako unakaa mbele kwenye siti ya mume wako basi ukienda kwa watoto unapaswa umuache mwano na mke wake wakae kwenye siti za mbele.hata waki kwambia ukae mbele unapaswa ukatae ukae nyuma coz haibadilishi chochote😂
Kama mume anaendesha gari for privacy and respect mke atakaa mbele Kama baba na mama wapo na mtoto wao ndo anaendesha basi baba na mtoto anayeendesha watakaa mbele na mke na mama watakaa nyumba. Huo ndo utaratibu mzuri and the vice versa
@@mossyfimbo3577mama ana mme wake anbaye ni baba ,wapiwa kwenye gari Yao wao atakaa mbele na mmewe ,ukishaoa nafasi ya 1 ni mke wako coz ndiye anayeendesha maisha yako Kwa wakati huo na sio mama
Kimsingi sio Mama Wala sio Make wote hawapaswi kukaa mbele,Hawa ni watu muhimu wanapaswa kukaa kwenye Seats za nyuma ili wawe Comfortably and Safe.Watu wengi hamuelewi hili.
Kihalali kabisa siti ya mbele ni ya mke ,mtu ukishaoa kila kitu ni wewe na mkeo kwanza ndio maana hata iweje kuna vitu mama hawezi kukufanyia zaidi ya mke wako huo ndio ukweli na utabaki hivyo ,ulimwacha huyo mama yako ukaambatana na mkeo huyi ndio kipaumbele chako no 1 ,sisemi mama hana nafasi ,mama naye anayo yake tena kubwa ila watu hawajui kutofautisha
Naunga mkono point za Millard ni za kiheshima za kiafrika na Kitanzania kwa ujumla. Nadhani Frida anachukulia simple things lakini siyo heshima na adabu za Kitanzania
Nampenda sana mama yangu nampenda mno,hata wife anajua hilo lakin kwenye hili kit cha mbele atakaa mke wangu,maana kwenye ndoa mnakuwa mwili mmoja na mama anabaki kuwa mzaz wa nyie wote anabaki kuwa kiongozi.
jaman jman mwanaume au mwanamke anapooa TU yule aliyemuona ananafasi kubwa ndo maana hata Vitabu vinasema utamuacha baba na mama yako utaambatana na MKE au mume wako wazazi ulishakaa nao sana tu ukioa kipaumbele ni mke wengine baadae sio adabu Wala nidhamu ila ndo Iko ivo
Tunatakiwa tufuate kanuni ya Ashrafi Hakimi. Mke mwenye busara atampa mama mkwe respect inayostahiki. Lakini wadada wa kisasa ambao wao wanajifanya kuishi katika ulimwengu wa tarakimu hawawezi.
Kiuhalisia wote mko tofauti kabisa. Kama dreva ni mm itabidi mama na mke wangu wakae siti za nyuma wote. Kama ni baba na ninaeendesha ni mm mke wangu atakaa nyuma baba atakaa mbele. Na kama mke wangu ndo dreva mm na mzazi wangu tutakaa nyuma wote. Hata kwa wakwe ni hivo hivo.
UKWELI NIKIWA NAENDESHA MAMA MKWE ATAKAA NYUMA SABABU SITI YA NYUMA INA HESHIMA YAKE VILE VILEE NIKIKAA SITI YA MBELE NA MKE WANGU HATA KUONGEA ITAKUWA RAHISI
Mama angu ni muhimu kuliko mke wangu .. Alaf kukaa mbele kama mama ataingia wa kwanz atakaa yeye au kama ni mke ni sawa au mm nikae nyuma mama na mke wangu kama mmoja anajua kuendesha ataendesh
Labda mama awe mgonjwa ndio atakaa mbele tofauti na hilo atakaa nyuma. Chamsingi tufike salama. Gari ni 1 hakuna kugombania siti nikiwa naendesha nahitaji kitu mke wangu ananipa kwa urahisi karanga,korosho
Mimi niliwahi kupewa lifti na kaka yangu mmoja iv si tumbo moja ila kimtaa tunafamiana akanikuta akanipa lift me nikafumgua mlango nikaa nyuma we akanifokea akasema unakaje nyuma we niboss wangu we nitajiri nakuendesha ebu njo ukae mbele
Mr and Mrs wakiwa garini na mama mkwe amekuja basi mrs na mama mkwe watakaa nyuma ikiwa wanaelewana vzr na qakaendelea na story za kifamily vzr huku mr anaendesha vzr tu hiyo ni hekima na heshima pia
Swali haliko sawa . Kukaa mbele kivipi , wakati anaendesha nani ?
Ikiwa ninadrive mimi , basi mke wangu anatakiwa kukaa mbele . Ikiwa ninadereva katubeba , basi mm nitakaa nyuma na mke wangu. Swala la heshima kwenye hiyo pia linausika lkn inategemea na uwamuzi .
Very good answer
Safiiii hii ndio comment nilokua natafuta.
Waooooo
Mnampa kichwa Bure kwakua swali liko wazi Katia mama na mke yani hapo kumbuka hapo hakuna dereva
Watu wa 3 mama, mke na mume dereva from where brow?
Hili swali huwa halina jibu sahihi,mwanaume hatakiwi kuingilia bali kuacha wao wenyewe watajipanga bila kuleta big deal out of it.
ila mimi ningeacha wote wakae nyuma wawe passenger princesses 👸 ♥
Lakini point kubwa kama mzazi wako na mke wako wanagombania kukaa mbele bado hujafanikiwa kimaisha,safari bado ndefu sana na utafika umechoka sana..sababu it means hao watu wa msingi wana utambuzi mdogo sana.
Mama mbele
Milard uko sahihi kabisa,hiyo ni heshima kubwa kwa mtu mwenye umri mkubwa
Nachoweza kusema ni kwamba mama na mke kila mtu atambue mipaka yake, kwa lugha rahisi ni kuwa mama mwenye hekima anafaham mipaka yake, akiwa kwa mume wake ni haki yake kukaa mbele ila akiwa kwa mtoto wake wa kiume ni muhimu akakaa nyuma kuheshimu ndoa ya kijana wake, hii mada jibu lake inategemea mnahoji katika grounds zipi
napenda sana hii timu tatu Millard, Vido na Frida 💯💯💯
Napenda sana siti ya nyuma....nakuwa more comfortable sijui kwann
😂😂😂
Kaa popote ishu ni safari ifike msitengeneze utofauti hapo
Jamani freda yupo sawa mke wangu ana nafasi ya mbele kwa kila jambo.
Kwenye gari lazima mke wangu atakaa mbele tu na awe mama baba babu au bibi watakaa nyuma
au siyo..yana muda basi
Nafikiri pia kina mama mkwe tunapaswa kujua nafasi zetu tu.kama mama mkwe ukiwa kwako unakaa mbele kwenye siti ya mume wako basi ukienda kwa watoto unapaswa umuache mwano na mke wake wakae kwenye siti za mbele.hata waki kwambia ukae mbele unapaswa ukatae ukae nyuma coz haibadilishi chochote😂
Safiiiiiii🎉
Millard ayo uko sawa kabisa hongera kwa walezi❤
Millard uko sahihi ❤
Hivi siti ya mbele ina Nini .
Mi nikae hata kwenye buti haina shida ila jua usiku pia uende ukaekwe mbele hukohuko😂😂😂
Nawe utabarikiwa siku mmoja uitwe mkwe si maneno mema
Millard hiyo haiko sawa coz mama kashakaa sana mbele kwenye gari ya mume wake
Kama mume anaendesha gari for privacy and respect mke atakaa mbele
Kama baba na mama wapo na mtoto wao ndo anaendesha basi baba na mtoto anayeendesha watakaa mbele na mke na mama watakaa nyumba. Huo ndo utaratibu mzuri and the vice versa
Milad uko sahihi kabisa.na hivyo ndo ilivyo haswaaa
Hiyo ya sahani kila mtu na yako ni mambo ta 1980s asilete huo mfano leo 😅
Na yule mzazi anayebadilisha chanell nyumbani kwangu wakati mimi nafatilia series je😃
Zima TV mjadala uishe haraka 😅😂😂
Frida uko sahivi sana. Millard, Vido, Frida Mungu awabariki
Waheshimu baba na mama upate miaka mingi na heri Duniani.. hii ni amri y Mungu Tena yenye ahadi ya Mungu.
Mama ni Mungu wa pili ...unakufa mke anapata mume mwingine au akifa unaweza pata mke mwingine ila mama huwezi pata mwingine🚶
wachache watakuerewa
Millad utaendeshaje gari alafu mama mkwe wewe afrika wengi wetu sio utamaduni
Mm kwa sasa ni mke na nina kijana wa kiume nitakapokuwa mkwe kwa kweli kijana wangu akae tu na mkewe mbele mm nitakuwa nyuma.
Nahsi imani tuu kukaa mbele hakuna mana yoyte
Sure sioni maana mim
Gari yangu naendesha mm nitakaa na mke wangu mbele wengine watakaanyuma
Wazazi wako wamekuwa wengine maana wanaongelea wazazi
@@mossyfimbo3577mama ana mme wake anbaye ni baba ,wapiwa kwenye gari Yao wao atakaa mbele na mmewe ,ukishaoa nafasi ya 1 ni mke wako coz ndiye anayeendesha maisha yako Kwa wakati huo na sio mama
Dont worship your wife's ...
Mwanamke mwenyewe anatakiwa kuachia siti wakati huo kwa kujiongeza mama n mtu mkubwa sana❤️
Ilaaa mimi naona millard ayo yupo sahihi kabisa nakupa maua yakooooooooo
Daah ila milady
Hata Masjid na kwenye sherehe wakubwa ndo wanakaa mbele yani sehem zote na ukiwa na umri mdogo utatoka mbele ndo adabu iyo ⭐
Kimsingi sio Mama Wala sio Make wote hawapaswi kukaa mbele,Hawa ni watu muhimu wanapaswa kukaa kwenye Seats za nyuma ili wawe Comfortably and Safe.Watu wengi hamuelewi hili.
Wote mpo sahihi but Frida Amani you're so bravo!
Watangazaji hakuna kitu Leo ndo sijawaelewa
Gari lenyewe sina bora nyie labda tukitoka dukani usiku mimi na tochi kulika tu😂😂😂
😂😂😂
Mm nikiwa na mkewangu na watoto kwenye seat ya mbele anakaa mtoto wangu mkubwa mama anakaa na watoto wake wadogo kwa ulinzi zaidi.
Ni kweli miradi Ulaya mkubwa hawezi kusimama na mdogo kukaa
I love Frida, you’re open mind.❤
Asante sana milady
Kihalali kabisa siti ya mbele ni ya mke ,mtu ukishaoa kila kitu ni wewe na mkeo kwanza ndio maana hata iweje kuna vitu mama hawezi kukufanyia zaidi ya mke wako huo ndio ukweli na utabaki hivyo ,ulimwacha huyo mama yako ukaambatana na mkeo huyi ndio kipaumbele chako no 1 ,sisemi mama hana nafasi ,mama naye anayo yake tena kubwa ila watu hawajui kutofautisha
Nitampisha mama akae hata bb nitampisha akae mbele
VIP. Hukaa nyuma. Mama atakaa nyuma mimi na Mke.wangu tutakaa mbele. Sababu zipo nyingi. tu.
HUYU DADA INAONEKANA HANA ADABU KWA WATU WAZIMA KABISA, NA NI MSHINDANI SANA
Naunga mkono point za Millard ni za kiheshima za kiafrika na Kitanzania kwa ujumla. Nadhani Frida anachukulia simple things lakini siyo heshima na adabu za Kitanzania
Nampenda sana mama yangu nampenda mno,hata wife anajua hilo lakin kwenye hili kit cha mbele atakaa mke wangu,maana kwenye ndoa mnakuwa mwili mmoja na mama anabaki kuwa mzaz wa nyie wote anabaki kuwa kiongozi.
Kwaani mbele kuna nini??
Nafasi ya malezi inaonekana dhahiri hapo.
Mtoto umleavyo ndivyo atakavyokuwa.
jaman jman mwanaume au mwanamke anapooa TU yule aliyemuona ananafasi kubwa ndo maana hata Vitabu vinasema utamuacha baba na mama yako utaambatana na MKE au mume wako wazazi ulishakaa nao sana tu ukioa kipaumbele ni mke wengine baadae sio adabu Wala nidhamu ila ndo Iko ivo
Milard yupo vzur❤
Huyo Farida hajitambui na kama huu ndio uharisia wake basi atakaye angukia hapa ajiandae for sure
Tunatakiwa tufuate kanuni ya Ashrafi Hakimi. Mke mwenye busara atampa mama mkwe respect inayostahiki. Lakini wadada wa kisasa ambao wao wanajifanya kuishi katika ulimwengu wa tarakimu hawawezi.
MKEWANGU akae mbele mna ni sehem hatar Ikitokea tatzo la ajali
Kwa ufupi kwaajili ya usalama mimi sipendi kukaambele mimi mama yangu pia hapendi kukaa mbele
naona ,Frida kitakacho kusaidiya uwe unaweka toto bele hiyo nipendekezo yangu.
Kawaida kwa usalama zaidi ni kiti cha nyuma.
Mama akija anakaa kiti cha nyuma kwa usalama wa mama yangu.
Sasa we mirad mfano mama mkwe utakaa nae ww mbele
Kiuhalisia wote mko tofauti kabisa.
Kama dreva ni mm itabidi mama na mke wangu wakae siti za nyuma wote. Kama ni baba na ninaeendesha ni mm mke wangu atakaa nyuma baba atakaa mbele. Na kama mke wangu ndo dreva mm na mzazi wangu tutakaa nyuma wote. Hata kwa wakwe ni hivo hivo.
Mara nyingi anayekaa mbele ni co-Driver, kama mke ni dereva lazima akae mbele kwasababu anaweza kuona baadhi ya vitu barabarani and vice-versa..
Naitwa Mudy Kiukwel nikiwa namkewangu na mamaangu ntamuacha mkewangu wakae mbele
Akae na mama yake tena mm waniache nyumbani ili wanisengenye kwa uhuru huko😂😂😂😂😂😂
Thanks
Mama Akae mbele Mimi sio mama Tu hata shemeji Akae mbele Tu nadhan inakuwa poa zaid
Niko pamoja na millad ayo
UKWELI
NIKIWA NAENDESHA
MAMA MKWE ATAKAA NYUMA SABABU SITI YA NYUMA INA HESHIMA YAKE
VILE VILEE NIKIKAA SITI YA MBELE NA MKE WANGU HATA KUONGEA ITAKUWA RAHISI
Mama angu ni muhimu kuliko mke wangu ..
Alaf kukaa mbele kama mama ataingia wa kwanz atakaa yeye au kama ni mke ni sawa au mm nikae nyuma mama na mke wangu kama mmoja anajua kuendesha ataendesh
Hekima tuu well said Milad
Labda mama awe mgonjwa ndio atakaa mbele tofauti na hilo atakaa nyuma. Chamsingi tufike salama. Gari ni 1 hakuna kugombania siti nikiwa naendesha nahitaji kitu mke wangu ananipa kwa urahisi karanga,korosho
Mimi niliwahi kupewa lifti na kaka yangu mmoja iv si tumbo moja ila kimtaa tunafamiana akanikuta akanipa lift me nikafumgua mlango nikaa nyuma we akanifokea akasema unakaje nyuma we niboss wangu we nitajiri nakuendesha ebu njo ukae mbele
Kwenye matumizi ya seat za gari iko tofaut kutegemea na hiyo gari iko kwenye shughul gani.
Ni mama❤❤
Nimesoma Comments ...Wengi hawana mafundisho ya Ndoa...
Mr and Mrs wakiwa garini na mama mkwe amekuja basi mrs na mama mkwe watakaa nyuma ikiwa wanaelewana vzr na qakaendelea na story za kifamily vzr huku mr anaendesha vzr tu hiyo ni hekima na heshima pia
Mamaangu bwana lazima akae mbl ht iw nani me mother lzm akae mbl..
Kwani kukaa mbele ama nyuma what the difference?
Kumbe kukaa mbele ni heshima??? Nilikua sijui
huku kwetu usukumani tamaduni yetu unatakiwa umuheshimu mkubwa wako
😂😂😂😂farida nakuuga 🤝kwza mam zetu band vijana nivima akakaa yuma
😂😂😂😂😂😂Siku nikiwa mkwe nitakaa nyuma tu ,sipend siti ya mbele
Mkewangu atakaa mbele ikitokea ajali akifa ntaoa mwingine, vp mama akikaa mbele akafa utapata wapi mama mwingine mama samia mwenyewe anakaa nyuma
Frida huwa ananifurahisha sana😅 always!
Swali kwa hiyo kukaa mbele ni heshima? Mbona Rais hakai mbele?
Kama mke wangu ndo ataendesha ilo gari basi mm na mamangu tutakaa nyuma
Tatizo kubwa ni Maadili vile ulivyo lelewa,hapo inaonekana kutokana na Maadili mlivyo lelewa
Kiheshima mke mbele kwasababu mume anapoendesha gari kashati kanaweza kakapanda juu tumbo linaonekana mama hawezi mstili pale mbele
😂 ila Millard usitufanyie hivyo 😅😅😅😅😅 mimi nipo upande wa Frida na vido kwenye gari
Hakuna kitu kama hicho mama ndio apate heshima kuliko kila kitu mama ni mama
Kwan kukaa mbele na nyuma kunautofaut wakat gar ni hilo moja au nikikaa nyuma ndo nitakua sipo katka gar?
Kama ni mama inabidi mke aendeshe gari ili wakae wote mbele
Na kama wa kiume miladi wewe ndio unatakiwa uendeshe gari
Jamani hapana mimi naona bora mke akae mbele maana mama hata akiona nimekaa vibaya hawezi kuniweka vizuri, lkn mke wangu atanitengeneza
Bila mama mke asingekuona Ayo respect sanaaa 🎉
Mamangu akija kwangu akitaka kupika ni sawa bila shida na mke wangu alete maneno kwa ajili ya mamangu huyo ataenda zake
Muhim mzee kuheshim mipaka yake bila ya hivyo hutokaa na mke na utaishia mwisho wa siku utaishia kukaa na mama yako.
Kila mtu anawazo lake ila heshima tunawez tumia
Hata iwe vxr mama nimuhimu kuliko kitu chochote atakaa mbele mke akae nyuma iko wazi
Mke wangu .wewe na mama mkwe kaeni nyuma mkipiga stori za maisha siti ya mbele ikae wazi.fulstop hyo haitazua mjadala wala chuki
Millard upo vizuri nikweli mkubwa yoyote anatakiwa akae mbele
Wakae nyuma, ndio watakua salama. Kukaa mbele sio salama.
Kwenye gari ni heshima kukaa nyuma comfortably, hata mabalozi na Marais wanakaa nyuma. Ni salama na ustaarabu
Mama na mke wang kwann wote wasikae nyuma ili waende wanapiga stor ili km mm ndo drev kazi yangu ni draiv tu!
Apo kwa bank siwezi kumpsha mtu ila kwa gari mm ntakaa nyuma mbele ntampsha mkubwa wangu
Mim naona mkubwa ndio anafaa akae mbele
Ni Nadhan kukaa mbele kwa mzee ni heshima hata katika maongezi inakuwa nzuri kuliko mama Au awe anaongea akiwa nyuma yako
Kwenye gari yangu mimi huwa nakaa siti ya nyuma bila shida
We binti huna heshima hata kidogo chukua darasa hilo mtoto wakike hujitambui unatuaibisha
Mm kama mke mama akaetu kwasababu ni mzee
Biblia inasemaje juu ya hilo,