Daa bora ni sisem ila na shindw kujizuiy huyo omo vina jusa mulipew usiya na malim seif au vp mbon Ana ni fany nizid kumpend kila sik❤❤❤❤ mung azid kulind na Shar za ccm
Asante sana muheshimiwa omo allah akupe nguvu na akuhifadhi na kila balaa kwa kutetea amani na haki ndiyo ukamilifu huo lkni amani tu bila ya haki icho kitu hata hakiingii akilini tunakutakia kila la kheri brother omo katika kupambania jambo la haki kwasababu ilo ndiyo la umuhimu zaidi ikisha ndiyo yafata haki allah akuwafikishe kwa kila jambo la kheri unalolipambania🤲🤲🤲
Asnte mh omo hiii haki sijawahi atasikumoja kusikia viongozi wa ccm kulitamka wao kila siku AMANI tu lakini kinyume yake huletwa na haki kama lipo tamko walozungumza ccm naomba mnitumie clip yao walosema neno haki
Daa bora ni sisem ila na shindw kujizuiy huyo omo vina jusa mulipew usiya na malim seif au vp mbon Ana ni fany nizid kumpend kila sik❤❤❤❤ mung azid kulind na Shar za ccm
Asante tumepokea taaluma yako. Asante Tena. Mungu akubariki.
Asante Omo ww msomi kweli .hao wengine wanafiki tu
Asante sana muheshimiwa omo allah akupe nguvu na akuhifadhi na kila balaa kwa kutetea amani na haki ndiyo ukamilifu huo lkni amani tu bila ya haki icho kitu hata hakiingii akilini tunakutakia kila la kheri brother omo katika kupambania jambo la haki kwasababu ilo ndiyo la umuhimu zaidi ikisha ndiyo yafata haki allah akuwafikishe kwa kila jambo la kheri unalolipambania🤲🤲🤲
Asante omo waelimishe wenzetu wapo mbali sana kimaono
Omo uko sawa ila hao wasema mdomoni tu
c c m wao wapo kishabiki tu wa hao
😂😂😂😂Omo bwana mbele Yao kawa karanga ukijua huna la kusema mbele ya wasomi Kaa kimya
Wamekaangwa sura ndogo hii ndo dawa ya mtu aliekukosea heshima na adabu walizani 😂ndo wamemuweza muheshimiwa othman huyo ni msomi
Jazira anaona aibu wallah
Huyu jamaa ana hekima na akili sanaaaa
Mashaallah
Ila omo
Hikma kubwa OMO wape darsa ao Amani msingi wake haki, wasitiane vijiti vya maskio. Lkn leo wameshapata walichotaka naona Vishwa chini.😅
Mbona macho yao wanayainamisha chini wao kulikoni jamani? Naona hata izo shingles za zinainama na kuinuka. Ukweli number waumaa eee?
Wape wape vidonge vyao
Asnte mh omo hiii haki sijawahi atasikumoja kusikia viongozi wa ccm kulitamka wao kila siku AMANI tu lakini kinyume yake huletwa na haki kama lipo tamko walozungumza ccm naomba mnitumie clip yao walosema neno haki
Bila haki hakuna Amani nyinyi nyote munasema tu lakini OMO ni msema kweli wambie hao wanaohubiri Amani wakati haki haipo
Ulitangulia wapi wewe hina lolote OMO
Kwa mam ako
Kuandik hujui tulia ukoo ww