MAFUTA NA GES MHE MANSOUR AFUNGUKA MUUNGANO WAMEKATAA ASILIMIA 60 SISI 40 HATA HII WAMEKATAA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 63

  • @faizaannassir2568
    @faizaannassir2568 2 дні тому +5

    Mungu akubarik bro mansur mm kama tunashinda napendekea mansour kama waziri kiongozi wetu . Ni mzalendo wa kweli . Na umejitolea. Akupe masha marefu.ya uzima

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 15 годин тому

    Siku zanzibar ikiwa na jeshi lake kamili ndio siku Kila mtu Duniani atajua kuwa zanzibar ni nchi na nchi yenye uhuru wake🙌🙌

  • @SaidAbdala-f7p
    @SaidAbdala-f7p 2 дні тому +6

    Wamekataa si kwasababu ya asilimiya 40.howo watanganyika wana agenda jao. Na ajenda yao ni moja.tu kuufanya zanzibar mi mkowa. Waengereza wapo nyuma ya tanganyika ndio wanapanga kila kitu

  • @leoncastelyn3751
    @leoncastelyn3751 День тому +6

    Ulikua waziri ,je kikubwa kipi mulifanya zanzibar mbona Husein amewashinda yote awamu zilizopita

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 День тому +2

      Mchango wa RAIS WA TANZANIA,akiwa ni MZANZIBARI,imechangia sana sana hayo aliofanya Mwinyi

    • @alikhamis3723
      @alikhamis3723 День тому +1

      Unamanisha serikali za CCM zilizopita nyuma hazijafanya kitu

    • @mohammedhamad9392
      @mohammedhamad9392 День тому

      ​@@alikhamis3723anayo fanya mwinyi yotee ni kwa sababu ya Mama tu!

    • @BinSultan-t5g
      @BinSultan-t5g День тому

      Alikua nzi wa kijan

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo День тому

      Waziri ni mshauri Tu wa Rais! Wewe Mdanganyika usiyejielewa!nyie kazi yenu ni wizi na kunywa pombe tuache Wazanzibari tupumue!

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 2 дні тому +2

    WATAWALIWA WATUMWA
    Watawaliwa na Watumwa hayana HAKI na UHURU wa Kujiamulia bila Kibali Cha Watawala.

  • @nadharmusa223
    @nadharmusa223 2 дні тому +5

    Yan huyu jamaa aliiweka zanzibar kwenye kiza zaid ya miez3 na akateketeza pesa za waliakodi kununua majenereta hadi leo hayajawahi kuwasha hata balbu moja leo et yeye anakosoa watu wengine maisha ya siasa mtiani

    • @twahasuleiman-lo9vl
      @twahasuleiman-lo9vl 2 дні тому

      Hujui kitu ww nyamaza. Ata Allah anasamehe

    • @haroubhbm5728
      @haroubhbm5728 2 дні тому

      Maneno ya mkosaji haishi la kusema maana yeye amekata waya baharini ovoo😮 mansoor yupo poa sana we humjui pita tuu

    • @twahasuleiman-lo9vl
      @twahasuleiman-lo9vl День тому

      @@nadharmusa223 acha chuki ww Sasa, kwani umeme unatoka wapi , si uko Tanganyika kwenu, Sasa aliyesababisha sio Mh.Mansour, hujui kitu ww

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 2 дні тому +3

    Wazanzibari wenyewe ndio wanafiki wanajiuza wao na ndugu zao

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln День тому

      Kabisa tunagombanishwa tubaguane wapemba na waunguja kila mmoja anajiona yeye bora kuna chuki ndani yetu ndio maana hatufiki popote kimaendeleo

    • @Clever-l8v
      @Clever-l8v День тому

      Ukwel watu hawautak ndio maana hali imekua hivi ​@@salehkhamis-ob8ln

    • @fakihdarusi4385
      @fakihdarusi4385 День тому

      😂😂SEMA UMEONGEA POINT SANA

  • @MaulidSuleiman-c9d
    @MaulidSuleiman-c9d День тому +1

    Wewe Mansoor SI uliapa wewe kwa vyovyote vile hutatoa Siri ambazo utazijua jee wewe SI mnafiki usitoe Siri unakiuka kiapo chako na mnafiki ni mtu mbaya sana kasema mjumbe wa mwenyezi mungu

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 День тому

      Hizo siri kama anazotoa sasa ni kwamba sasa sio tena waziri ni mwananchi wa kawaida.

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo День тому

      Huyu ni mende sio chawa!na watu WA Aina hii ni wabaya zaidi ya chatu!

  • @GSaleh-xr3vn
    @GSaleh-xr3vn 2 дні тому +4

    Adui wa wazanzibar ni wazanzibar wenyew

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 День тому +2

      Ni wabara kwa sehemu kubwa

    • @GSaleh-xr3vn
      @GSaleh-xr3vn День тому

      @ahmedalbalooshi8518 wabar ndio wanaokuchagulien viongoz?

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 День тому +1

      @@GSaleh-xr3vn GSaleh,kwa kiwango kikubwa ndio hao.Mfano mmoja ni ule wa uchaguzi wa 2015,Kikwete aliremsha majeshi,kama vile kuna vita, ili kupinduwa maamuzi ya wananchi na kuhakikisha CCM ndio mshindi

    • @GSaleh-xr3vn
      @GSaleh-xr3vn День тому

      @@ahmedalbalooshi8518 yawezekan upo sahih ila ulishawaijiuliz alietangaza uchaguzi wa huo mwak alikua anatok bara?

  • @SaidSalum-v5c
    @SaidSalum-v5c 2 дні тому +1

    Ndio Mhe. Mansoor

  • @mussasaidhamad1891
    @mussasaidhamad1891 День тому

    tafautisha baina ya mamlaka na uzalendo kake Mansuri

  • @zenj1986
    @zenj1986 2 дні тому +2

    Muhimu familia zenu ziwepo nchini, manake siku za uchaguzi huwa familia zipo nje na wengine hupata shida

  • @Clever-l8v
    @Clever-l8v День тому

    Tatizo watu wana uchungu wa nchi lakin wengine wana ficha yao moyon hawana ukweli kwann Babu Duni wamuondoshe katika nafas yake amewe meengine au kwakua yy sio mpemba!? Wallah zanzibar kwa hali hii haiwez kuendelea sefu alikua anatembelea fimbo kma sapoti babu duni yupo fresh munamtoa kusingizia mzee kumbe ubaguzi wenu tu yy sio.mpemba jitangazeni tu kua nyinyi maslah yenu binafsi musinifanye wema kwa wote

  • @rashidyunus1835
    @rashidyunus1835 2 дні тому

    🎉

  • @MaulidSuleiman-c9d
    @MaulidSuleiman-c9d День тому

    Huyu Omo namkubali sana Hana sofa ya kua mwizi tofauti na Mansoor hafai huyu ni njaa kali

  • @MaulidSuleiman-c9d
    @MaulidSuleiman-c9d День тому

    Mansoor akiongea utadhani ni mtu lakini huyu ni mtu hatari sana sisi tunataka ainuke aseme ukweli kua matendo yake kwa wanyonge yalikua vipi watu hawajasahau wanamuachia mungu tu

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln День тому

    Tatizo sio bara shida wazanzibar wanafiki kwanza hatupendani Wapemba na waunguja kila mmoja anajiona yeye bora ndio maana hatufiki popote kwa ubaguzi wetu tutaendelea hivi hivi kulalamika kwa roho zetu mbaya

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 День тому +1

      Hizo ni sumu zinazotengenezwa na chama tawala,na hasa kutoka BARA.Sikiliza vizuri hotuba za Nyerere na utagundua hayo

  • @AhmedAli-gh1lm
    @AhmedAli-gh1lm День тому

    ACT acheni upuuzi nyie, hii nchi bila ya Katiba na Mfumo mpya wa uchaguzi ulio "HURU" na "HAKI" CCM watabakia katika utawala maisha. Tukiingia katika uchaguzi bila ya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi ni kupoteza wakati tu. Lazima mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi yafanyike kwanza ndio ACT ishiriki uchaguzi. No Reform no Election!

  • @HvhVvb-k3i
    @HvhVvb-k3i 2 дні тому +1

    Hata Mimi nitakataa maana neno mapinduzi daima ya Nyerere baada ya kumuuwa karume Sasa itakuwaje nimefanya mapinduzi nishare na wewe ?

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 2 дні тому

    Hela katowa wapi

  • @MaulidSuleiman-c9d
    @MaulidSuleiman-c9d День тому

    Huo Mansoor hafai kua kiongozi alipokua kiongozi watu walilalamika kuporwa ardhi zao Kila mahala au seme watu wamfuate atangaze hadharani kuwa atawarejeshea viwanja na ardhi zao

  • @zenj1986
    @zenj1986 2 дні тому +1

    Ndio ulipojipatia ardhi nyingi sannna kwa dhulma.

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa День тому +1

      Kwani vp ww changing alichoongea mbona mwinyi mkewe mmasai ndo anachota ardh anavotaka

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 2 дні тому +1

    Siasa za futuna ili moate mnachotaka

    • @JumanneUledi
      @JumanneUledi День тому +1

      Jifunze kuandika vyema! Ili mawazo yko yaheshimiwe

  • @mussasaidhamad1891
    @mussasaidhamad1891 День тому

    mbona usso hauonekani na furaha

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 2 дні тому

    Kama kautumikia znz TU Hana uzoefu ili tukuelewe uwe umetumikia na kenya

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 12 годин тому

    siasa za kugawa watu ni siasa za hovyoooooooooooo ukitoka kwenye Uzanzibari utakuja wapemba na waunguja..............

  • @alihaji215
    @alihaji215 2 дні тому +3

    Lengo lao walitaka asilimi zote wachukuwe wao na isitoshe wanataka iwe inaongozwa na kanissa na ndo maana hapa tulipo wametuwekea vikwazo lukuki washenzi hawa na dawa yao sisi tujiungeni na waislam wenzetu duniani ndo tutakuwa salama washenzi hawa

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 2 дні тому

      Unaongea kwa hasira au haya palestina wale sio waislam haya hao waislamu wanawasaidia vp ? Leo waislam mnafanya nini kusaidia waislam wanaochinjwa kila kukicha Sudan wameuana mpaka mwezi wa ramadhani haya waislam wamechukua hatua gani?

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 День тому

      Endelea ktuchukia watanganyika hadi cku ya kufakwko sisi huku bara hata hatuna shida na watu kama nyny tunafanya mamboyetu kwa aman ma wazanzibar wote wananao miliki mashamba majumba na biashara hku bara ni mashahid kwenu kuwa twawapenda sana na hatuwabagui

  • @nassorally-xi6zh
    @nassorally-xi6zh День тому

    Kua muelewa ww aliapa akiwa waziri sasa Wacha anikke uwovu wenu

  • @MurshidMussa
    @MurshidMussa 2 дні тому

    Wewe Mansur na OTHMAN ni laaanatu llah hamna lamaana hata moja

  • @MurshidMussa
    @MurshidMussa 2 дні тому +1

    Je hapo ulipo kua waziri na wakat unapokea mshara uliwahi sema hayo

  • @ElivassLukumyai
    @ElivassLukumyai День тому

    Nyinyi nikisiwa nyinyi sii ichi wewe nyamasa

  • @ahmedbaamironlinetv4753
    @ahmedbaamironlinetv4753 4 години тому

    HUYU mtu namkubali mnoo

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 2 дні тому

    Maneno mazima kabisa

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 2 дні тому

    Hela katowa wapi