Sehemu ngumu kwenye mahusiano ni mawasiliano. Bila kuwa ubunifu wa mawasilianoa katika maongezi, Kuweza kuzalisha hisia ya maneno ndani ya maongezi, Nyie wote wawili msiboleke Kila Siku ni shughuli sana. Lazma Uwe na ukomavu wa mahusiano vilivyo. Notes: Mahusiano ni hisia, Ndio uhai wa mahusiano. #HonMichaelDeusdedityKessy.
Nilikua na swali, kamauna date na mtu alafu akombali na ww alafu uwemtupekee wa kumjulia hali lakini hataukiandika ujumbe ama kumtaka muongee anakua mwepesi wa kukupigia simu kwa haraka. Lakini mbali na hayo hakuandikiagi sms yakukujulia hali. Hapo anamapenzi ya kweli ama nidharau2. Naomba unisaidie kwa hilo
@@lizamedia ndio mm ndo namtumia sms pekeangu lakini akiona anajibu kwa haraka lakini hataivo yeye hawezi nitext ni mm 2 ila nikimuandikia ujumbe mfupi anajibu2
Vipi. Mapesi
🔥
Jaman yani ghafula nekupenda
asante nazidi nijunza na unaniponya
Sawa mama tumekupata
Jukumu la mwanaume:
kumpenda mwanamke wake.
Jukumu la mwanamke:
kumheshimu mwanaume wake.
Yakiwepo hayo, hayo mengine yanakuja automatically.
❤❤😂😢
Sina mpenzi lakin natamani kuwa nampenz nifanyaje jaman?
Sehemu ngumu kwenye mahusiano ni mawasiliano.
Bila kuwa ubunifu wa mawasilianoa katika maongezi, Kuweza kuzalisha hisia ya maneno ndani ya maongezi, Nyie wote wawili msiboleke Kila Siku ni shughuli sana.
Lazma Uwe na ukomavu wa mahusiano vilivyo.
Notes: Mahusiano ni hisia, Ndio uhai wa mahusiano.
#HonMichaelDeusdedityKessy.
Hakika..
Asante kwa point
Nilikua na swali, kamauna date na mtu alafu akombali na ww alafu uwemtupekee wa kumjulia hali lakini hataukiandika ujumbe ama kumtaka muongee anakua mwepesi wa kukupigia simu kwa haraka. Lakini mbali na hayo hakuandikiagi sms yakukujulia hali. Hapo anamapenzi ya kweli ama nidharau2. Naomba unisaidie kwa hilo
Sijaelewa samahan,. Kwamba ni wewe peke ake ndo unapiga simu na kumtumia text!? Lakin anajibu kwa haraka !?
@@lizamedia ndio mm ndo namtumia sms pekeangu lakini akiona anajibu kwa haraka lakini hataivo yeye hawezi nitext ni mm 2 ila nikimuandikia ujumbe mfupi anajibu2