We ni stupid Kwan Deni hilo la taifa c mnaliweka kwenye kod mnazopandisha kila mwaka Niliwahai ckia we jamaa una PhD cjui lkn Mbona hoja zako ni za level ya standard four? Mnapandsha kodi ambayo kimcing ni wananchi Ndo walipaj na ni hao hao Ndo wanaumia alafu in very narrow mind set Uko nayo unadanganya kwamba hatutagongewa milango... We actually know how those madeni kills our country indeed.
Lakini waziri mbona Kama unawadharau sana WATANZANIA Kama wewe sii mwenzetu. Hakuna mtanzania atakaedaiwa ni serikali ndo itakayodaiwa kanakwamba serikali watatowa Hela ZAO mfukoni walipe au watafanyaje? Sasa sikiliza waziri kauli zako ni mbaya kuliko za mpina. Tunajua Kodi zitapanda na walipa Kodi ni sisi wadogo tunaonunua bidhaa madukani hiyo kauli mbaya mno waziri ukiuwona huu ujumbe tafadhali futa hiyo kauli walipa Kodi ni sisi sio serikali na Kodi ndizo zitaiwezesha serikali kulipa deni Hilo. Inauma sana
Huyu anatuambia kua hatulipi deni kwani unga ukipanda nani aliesababisha si ni nyinyi maisha yatakua magumu mtaani sababu tukishindwa kulipa mtapandisha cod mfano mlikua hamkati cod kwenye mita za umeme lakn sasa hv kwa mwezi 1500 hamjui kwamba mnatuumiza sisi raia?
Ndyo maana vitu vinabinafsishwa,bora ujenge nyumba yako kwa taratibu ukijua ni jasho lako kuliko kukopa na kumalizia kujenga maana mwisho wa siku itakuja kuuzwa
Huyu kichwani empty kabisaa wenye uchumi mkubwa wanatengeneza pesa wenyewe.na kukopa anayelipa mwananchi usituletee eti hupigiwi hodi ulipe kodi kila sehemu mikodi mafuta Nk
Maslahi ya taifa wananchi na raia kwanza hata ,jifunzeni kulipa madenii kwa rasilimali za nchi na sio mfumo,nchi zilizoendelea zinawauzia silaha na malighafi zinatoka afrika?....swiss amerika na ..ndio mnapoficha hela zenu na mkifa hata vizazi vyenu havipati kitu,mzungu anafungua kesi kulinda aibu mnakimbia kesi.......
Kunakitu kmaitwa communication skills Kuna statement kama zfuatazo "vunja vikombe vyote baba ako atanunua" Alsema mama unafkl mama alimansha nn ulipo dondosha kkombe kmoja??
Swali langu kea bunge tukufu la Tanzania jeeee....? Kutokana na maongezeko hayo ya madeni ukiangalia yanyuma ambayo bado hayajalipwa na tunayoendelea kukopa jeeeeh wakijanakusema tunataifisha mrad na ardhi kiasi cha deni la zaman na tunaendelea kukopa na hili deni litakujakuitwa na watoto wetu la zaman ,tujifunze kwa wenzetu kausha dam dawa ya deni lilipwe deni la zaman hatutataifishwa vitu Tanzania.....?
Ndio mimi kilasiku huanasema Tanzania tunawasomi wapumbavu huyu anapotosha watu wakikopa nusunarobo wanagawana wao robo watafuta jambo wanfanya halafu wanapandisha ushuru ndio kamaivo unaona kariakoo wanagoma kufungua maduka kwasababu ya ushuru kuamkubwa sasa hapo hawajakufata nyumbani awaniwashenzi tu wizi wakubwa watanzania tuamke sio ukidai hakiyako unaambiwa mpinzani wao wanatajirika kupitia migongo yetu
Ww sasa sio kiongozi mzuri kama Magufuli. Ww unawaza kuendelea kukopa tu? Ni ujinga!! Siungi mkono madeni. Magufuli alikuwa hakopi ovyoovyo bali yeye alikuwa anafanya kuacha kukopa kabisa, na angekaa miaka 10 bac hii nchi isingekuwa na madeni tena. Yule alikuwa ni kiongozi wa mfano.
Acha usitufanye wajinga hujui deni linapopanda linasababisha maisha kuwa juu maana tozo,kodi za hvyoo ndio mtaziweka ili watanzania walipe hilo deni,unajisifu kukopa baada ya kutafuta namba ya kujitegemea ama kweli jpm ndio maana hakutaka kufanya kazi na ww
...Nina Imani angekuwemo Mpina humo angesema unadanganya Bunge na Ushahidi angetoa sijui ungesema nini...
Mwigulu anajikuta ana akili kuliko watanzania wote mbwa uyu
Umetupiga Hapo we dingi hyo ni principle ipi ya kiuchumi??
We ni stupid Kwan Deni hilo la taifa c mnaliweka kwenye kod mnazopandisha kila mwaka Niliwahai ckia we jamaa una PhD cjui lkn Mbona hoja zako ni za level ya standard four? Mnapandsha kodi ambayo kimcing ni wananchi Ndo walipaj na ni hao hao Ndo wanaumia alafu in very narrow mind set Uko nayo unadanganya kwamba hatutagongewa milango... We actually know how those madeni kills our country indeed.
Waziri huyu pumb😢fu kuliko wote,muongo sana
Mwigulu sikuelew hata kidogo father,Magufuli alikuwa anafanyaje yeye pasipo kuendelea kukopa?
Kama sis ni matajiri ,kwnini ukopaji unaendelea kama si kuchanganyanya vichwa tu?
Upigani ndyo unaondelea
Mwigulu...tuna gas....usikimbilie kukopa. Tueleze kuna kikwazo gani?
Madeni sio mazuri , maoni yangu hayo
Punguzeneni kununua hzo v8 new model nayo ni kupunguza matumizi ya serekali, TX inatosha
Lakini waziri mbona Kama unawadharau sana WATANZANIA Kama wewe sii mwenzetu. Hakuna mtanzania atakaedaiwa ni serikali ndo itakayodaiwa kanakwamba serikali watatowa Hela ZAO mfukoni walipe au watafanyaje? Sasa sikiliza waziri kauli zako ni mbaya kuliko za mpina. Tunajua Kodi zitapanda na walipa Kodi ni sisi wadogo tunaonunua bidhaa madukani hiyo kauli mbaya mno waziri ukiuwona huu ujumbe tafadhali futa hiyo kauli walipa Kodi ni sisi sio serikali na Kodi ndizo zitaiwezesha serikali kulipa deni Hilo. Inauma sana
Huyu anatuambia kua hatulipi deni kwani unga ukipanda nani aliesababisha si ni nyinyi maisha yatakua magumu mtaani sababu tukishindwa kulipa mtapandisha cod mfano mlikua hamkati cod kwenye mita za umeme lakn sasa hv kwa mwezi 1500 hamjui kwamba mnatuumiza sisi raia?
Nikweli kabisa. Sisi tunakopa kwa sababu vyakuuza ni vingi,(bandari, ziwa na lasirimali watu)
Eti maskiini hakopi.....shame on you..
Usiishi kwa kukopi na kupesti.
Huyu jamaa akili zake kaweka tumboni
heee Tanzania yaku tajiri anaekula MRO moja kwa siku unalala kwamawazo he mungu tutolee uyu kiube
Ndyo maana vitu vinabinafsishwa,bora ujenge nyumba yako kwa taratibu ukijua ni jasho lako kuliko kukopa na kumalizia kujenga maana mwisho wa siku itakuja kuuzwa
Wizi tu tunakopa pesa nyingi but zinazoingia kwenye maendeleo ni kidogo mno nyingi zinapigwa
Huyu kichwani empty kabisaa wenye uchumi mkubwa wanatengeneza pesa wenyewe.na kukopa anayelipa mwananchi usituletee eti hupigiwi hodi ulipe kodi kila sehemu mikodi mafuta Nk
Atagongewa kuptia ongezeko la Kodi. Atachukuliwa mifugo yake kupitia ongezeko la Kodi
Alipigiwa kura kweli jimboni kwake
Maslahi ya taifa wananchi na raia kwanza hata ,jifunzeni kulipa madenii kwa rasilimali za nchi na sio mfumo,nchi zilizoendelea zinawauzia silaha na malighafi zinatoka afrika?....swiss amerika na ..ndio mnapoficha hela zenu na mkifa hata vizazi vyenu havipati kitu,mzungu anafungua kesi kulinda aibu mnakimbia kesi.......
Serikari ni tajiri ila raia sisi ni mafukara wa kutupwa kila siku pesa inashuka thamani na kod zinaongezeka yani afadhari hio enzi ya kodi ya kichwa
Mtu ukipata shibe akili huruka,unatamani hata waliokupa shibe uwalipue wasiwepo. Mungu anaona naye anaumia
Kunakitu kmaitwa communication skills
Kuna statement kama zfuatazo "vunja vikombe vyote baba ako atanunua" Alsema mama unafkl mama alimansha nn ulipo dondosha kkombe kmoja??
Wataalamu ndo wametufikisha hapa ukitaja neno wataalamu unatukera sana
Swali langu kea bunge tukufu la Tanzania jeeee....? Kutokana na maongezeko hayo ya madeni ukiangalia yanyuma ambayo bado hayajalipwa na tunayoendelea kukopa jeeeeh wakijanakusema tunataifisha mrad na ardhi kiasi cha deni la zaman na tunaendelea kukopa na hili deni litakujakuitwa na watoto wetu la zaman ,tujifunze kwa wenzetu kausha dam dawa ya deni lilipwe deni la zaman hatutataifishwa vitu Tanzania.....?
Mnakopa na mnaibia serikal ndo tatzo ilo mpina angekuwepo mbna ungejuta kusema ivo
Ndio mimi kilasiku huanasema Tanzania tunawasomi wapumbavu huyu anapotosha watu wakikopa nusunarobo wanagawana wao robo watafuta jambo wanfanya halafu wanapandisha ushuru ndio kamaivo unaona kariakoo wanagoma kufungua maduka kwasababu ya ushuru kuamkubwa sasa hapo hawajakufata nyumbani awaniwashenzi tu wizi wakubwa watanzania tuamke sio ukidai hakiyako unaambiwa mpinzani wao wanatajirika kupitia migongo yetu
Ww sasa sio kiongozi mzuri kama Magufuli. Ww unawaza kuendelea kukopa tu? Ni ujinga!! Siungi mkono madeni. Magufuli alikuwa hakopi ovyoovyo bali yeye alikuwa anafanya kuacha kukopa kabisa, na angekaa miaka 10 bac hii nchi isingekuwa na madeni tena. Yule alikuwa ni kiongozi wa mfano.
Sawa bana sisi watanzania ni wapumbavu fresh bana fanyeni mnavotaka
Watu Ambo hawajasoma uchumi hawawezi kukuelewa..
The rich levarage on loans to keep on being rich..
NCHI TAJIRI HAZIKOPI HOVYO KAMA SISI PIA ANGALIENI WATANZANIA WANA HALI GANI
😮
WEZI TU WOTE HAWA
Si mrisha kuja na mkatuambia kama hatutaki tuamie burundi leo mkuu umesahau!!
Yani huyu anajikuta yeye anaakili kuliko watanzania wote 😅😅😅
SISI ATUTAKI MIKOPO YA HOVYO, INATUGHARIMU SISI MASIKINI KWENYE KODI
Duu! Mpaka Hawa Madalali wa ondoke madarakani tutakuwa tumesha choka mbaya,, hawana huruma kabisa na Wana nchi,, katiba mpya ni muhimu,,
Kuna mahara kuna shida
Mweshimiwa spik tunakopa kwa sababu vya kuuza ni vingi tuu mfano tuuze mawe yooote ya mwanza ahahahahah*
Sio matajiri wewe tembea nchi wenzetu wewe utakaa apo milele jalimbu kusikilinza wanchi
Aisee mwigulu kichwa box kabisa ,shida iyo mikopo mnakula elew watz wanacholalamika ,ukiw mkubw alaf ukaw unatumia makalio kuelew ni uchoko
😂😂😂😂
😢😢😢😢😢😢😢😢😢 d imepotea apo
Ila wewe hujijuwi tu mnatudanganya kama watoto
Nonsense, sifa ni kukopesha siyo kukopa. Asilimia 51 ya mapato unatumia kulipa deni kwako ni sifa. Dr ukwara wewe
Kama huna la kusema ni afadhali ukae chini.
Wacha kudanganya watu wewe mwingulu
Haaa tajiri anakopa unavodanganya watu
Acha usitufanye wajinga hujui deni linapopanda linasababisha maisha kuwa juu maana tozo,kodi za hvyoo ndio mtaziweka ili watanzania walipe hilo deni,unajisifu kukopa baada ya kutafuta namba ya kujitegemea ama kweli jpm ndio maana hakutaka kufanya kazi na ww
Duuuh
Huyu mshikaji anazingua sana
Hiki kichwa 😅😅
muheshimiwa spiki 😂😂😂😂
Mmeshatuona watanzania wajinga, endeleeni tu
Watanzania amkeni hawa Jamaa wamelewa mdaraka
Nikwel. Leo umeongea. Pont
Uongo uwo usijiamin kudanganya watu
Acha uongo
Hovyooooooooo
I don't like the way he's presenting, its like he's talking to something
Uongo mkubwa kwamaslahi yanani eti
Mwizi mkubwa utakufa tu
Aiseee 😂😂😂😂😂
Unaongea sana wewe.
Wacha kutapeli wa 🇹🇿
Huyu Ni kilaza
Usitudanganye
Anatetea mikopo uyu jamaa atal sana
Sema wewe nitajili na familia yako sio watanzania
😅😅😅😅
😡😡😡😡😡😡😡
This guy is speaking rubbish
Acha uongo
Anatetea mikopo uyu jamaa atal sana