MSUKUMA Akerwa na BEI ya SUKARI, TOZO / KODI ni Mzigo kwa Wananchi Amtaka Mwigulu Nchemba Apunguze
Вставка
- Опубліковано 18 чер 2024
- #BmtvTanzania #Bmtv
Tembelea
bmtvtanzania.com/
INSTAGRAM
/ bmtvtanzania
FACEBOOK
/ bmtvtanzania
TWITTER
/ bmtvtanzania1
Kumbe mbunge Mpina nilizani anawivu na Bashe lakini kumbe Yuko sawa tatizo la Sukari Tanzania nilakutengenezwa na watu flan 🙄 pia nadhani huu niwakati wa watanganyika kuamka.
Kweli ccm kama mtanyanyasa mpina basi hata mimi nitahama kwanini hamtaki kuambiwa ukweli jamani
Unaakili sana msukuma
Mpina Yuko sawa
Musukuma hao wakina mwigulu Hawajahi kufungua hata kibanda watajuwaje faini matozo tumechoka na wezi
Upo sahihi
Mhe kusukuma uko pamoja na mlima mko sawa kabisa
Bashe aliwekwa kuja kutumaliza watanganyika, RIP JPM
Mimi natamani msukuma apewe urahisi mm nitashawishi mkoa mnzima wampigie kula
Hili bunge ni malumbano ya hoja wala co utatuzi wa matatizo ya Watanzania Tafakari chukua hatua.
Viwanda na wasambazaji was sukari...wanatuchezeaga sana.....nafikiri alichowafanyia Bashe ni sahihiii....
Kweli msukuma
Hao wnyiramba wanaimaliza Tanzania lakini mama kawaweka tu sijui anafikiria nini? Anazidi kuwamaliza watanzania 😢😢
Hili ya sukari inatumaliza aisee
Umeongea ukweli
Mungu anaona
Michezoenibisitazaniya
Kadiri ilivyo katika bunge letu ni vigumu kusikilizwa haya maoni ya Wah. Wabunge? Kweli Serikali iwe macho na maoni ya Bungeni.
Tatizo wizara ya kilimo inaongozwa na mtaalamu wa mira
Msukuma toka CCM Mimi naomba utafute chama watanzania tutakuunga mkono ugombee urais hii CCM imechoka kufikiri utawapigia kelele mpaka lini
Nadhani Wazili wa fedha kazi imemshinda anatakiwa ajiudhuru. Aachie wengine nafasi
Huyu waziri hana mpango wowote kakosa muelekeo
But this budget itapitishwa tu, maneno tu hayo ya kudanganya sisi. Professor Janabi, waambie hawa wabunge sukari siyo muhimu, it is dangerous.kwa afya zetu.
Sukari sukariiii
Huyu naye apelekwe maadali socks Kamata na huyu na shabby.. Nchi hii tutaandamana kwa akili ya mpina
Tatzo wanao fanya hvyo wapo humo humo bungeni ndio maana serkari hii tunaichukia
Kwani kuna ulazima wa Mwigulu kuwa waziri wa fedha?
Ushuru mkubwa anaweka wa nini huo
Huyu jamaa siyo msukuma niaminini mm wasukuma hawawezi kuwa na kichwa kama hichi💪💪
Wasukuma ndio wanaakili za kutetea Raia bungeni ,mfano
Kishimba ,
Msukuma,
Makonda,
Mpina,.
kishimba,
Kishimba
Biteko
JPM
Hao wote ni wasukuma na ndio watu pekee wanaojielewa kutetea raia
nasha tz tunatengeneza viwanda ila hatutengenezi mashamba .tukiwatengeza wakulima wakalima mashamba ya miwa kila kona mbona mabonde yapo mengi sio kagera tu .tengenezen mikakati boreshen tupande miwa kila kona. serikali wap mmefeli.
Asnt sana msukuma