Hongereni Ayo tv. Hususan repoter wetu kwa kaz nzur unajitah kuitendea haki kazi yko .Allah akupe yalio ya kheir na akuzidishie baraka. Namuomba Boss MILLARD amtunuku nishani ya mfanyakazi bora huyu kijana wetu mpendwa. Ayo Tv ni namba 1 TZ.
Poleni sana ndugu zangu t Tanzania..Wakenya tupo nanyi..mwenyezi mungu ailaze roho yao sehemu nzuri peponi..sote njia yetu ndo hiyo hiyo sema tu Hatujui tutakufaje....
Dah! Poleni sana ndungu zangu inauma sana sana ila msijali pia wadogo zangu Mungu ni mwaminifu hata waacha kama mlivyo bali ataendelea kufanyika Baba yenu ktk wakati wote huu,%%%%
Shukrani Ayo Tv.Ni uchungu na ni uchungu zaidi kwa hali ya kuzembea kwetu kama waafrika kazini,hasa panapohusu Uhai na maisha ya watu .Headphones na kuchat...............Wapi na wapi kwa dereva anayetarajiwa kuwa macho na maakini zaidi.Mungu baba wape nguvu na moyo waliofiwa.
Mama kaongea vizuri, viongozi/wakuu wa idara tofauti tofauti, muwe mnasikiliza malalamiko ya watu na kuyafanyia Kazi. mwendokasi daresalaam Bado kunamatatizo mnajaza sana Hadi milango haifungi. Tatueni matatizo msingoje watu wafe.
Inauma saana Mungu uwape nguvu walio fiwa na ndugu zao na maratiki zao mujipe imana azwa waliyo wacha watoto wadogo Mungu waguze wtt uwape nguvu usiwawa poleni sana ndugu zangu
Uzembe uko kwenye usimamizi mzima katka usafiri wa majini kwani hii siyo Mara moja,.. Serikali iwajibike ktk hili watambue ajali ya majini inaua watu wengi kwa wakati mmoja.. Vyombo vya usafiri majini vibebe abiria na mizigo kulingana na uwezo wake,.. Serikali imetupia macho sana kwny usafiri wa barabaran wakasahau majini.. Dah.. Mungu ni mwemaaa,.. Awapumzishe mahala pema peponi ndugu zetu hawo, Amina.
Mtangazi yuko makini. Allah awatie nguvu ndugu na jamaa wote waliopoteza watu wao Allah wasimamie na awanyanyuwe waweze kulivumilia hili ambalo ni zito kwao. Kazi ya Mungu hainaga makosa na alilolikadiria hakika hakuna wakulizuia poleni sanaaa ndugu zete hakika msiba huu ni wetu sote.
Poleni ndugu zangu wa kisiwa cha ukara na ukerewe kwa pamoja mungu aziraze roho za marehemu wote warotanguria mbere za haki mungu wajari pumuziko ra milele mwanga wa milele uwangazie wapumuzike kwa Aman amen
Poleni sana Mwanza, mwenyezi mungu awafanyie subila katika kipindi hiki kigumu, najua inauma sana hatupaswi kulaumu wala kuhukumu kila kitu tuseme ahsante mwenyezi mungu amen
Baba Magufuli Raïsi wa Tanzania tunatumaini kama mambo ayo yatafatiliwa kwa makini sana, na wausika wa usafiri, wafunguwe macho sababu feza, inakuwa na samaani sana kuliko uzima wa mtu. Ni upuuzi ule. Wachunguzwe vizuri sana tena sana.
Eeee Mungu nakuomba uwatetee watoto wako ktk kipindi hiki kigumu kwao sisi hatutoshi kuwatia moyo ,,Mungu kutana nao na uwape aman na faraja itokayo kwako
Ushauri wangu,watoto walio fiwa na wazazi wao,ndugu wawa chukue na kua lea Kwa wema,na serikali pia wawa saidie watoto watakao kosa usimamizi,wawa chukue na kua simamia.
Inasikitisha sana jamani tumepoteza ndugu zetu wengi sana,eeeh mwenyezi mungu uwafariji wafiwa wote na uwape wepesi katika wakati huu mgumu,R.I.P wapendwa wetu
Mungu inaumiza saaana jamani. Watanzania wenzengu kifo hakiepukiki lkn tahadhar ni muhimu sn.Usalama wa maisha yako uko mikononi mwako. POLEN SAAANA NDUGU ZANGU 😑
pole sana mama yangu umeongea sana Kwa uchungu niuzembe wa madereva anaendesha HK nafon masikioni nakuchati kwakweli niuzembe pole sana mama mungu atakupa wepesi😭😭😭😭
Hongera Hamis Abdallah kwa kuitendea haki kazi yako. Napoleni ndugu zetu wamwanza mungu awape roho zauvumilivu ktk kipindi hiki kigumu kwetu sote
Hongereni Ayo tv. Hususan repoter wetu kwa kaz nzur unajitah kuitendea haki kazi yko .Allah akupe yalio ya kheir na akuzidishie baraka. Namuomba Boss MILLARD amtunuku nishani ya mfanyakazi bora huyu kijana wetu mpendwa.
Ayo Tv ni namba 1 TZ.
Haswaa wapo vizurr
Ayo TV Respect sana
Amne Hamid nikwel kabisa
Poleni sana ndugu zangu t
Tanzania..Wakenya tupo nanyi..mwenyezi mungu ailaze roho yao sehemu nzuri peponi..sote njia yetu ndo hiyo hiyo sema tu Hatujui tutakufaje....
Dah! Poleni sana ndungu zangu inauma sana sana ila msijali pia wadogo zangu Mungu ni mwaminifu hata waacha kama mlivyo bali ataendelea kufanyika Baba yenu ktk wakati wote huu,%%%%
Shukrani Ayo Tv.Ni uchungu na ni uchungu zaidi kwa hali ya kuzembea kwetu kama waafrika kazini,hasa panapohusu Uhai na maisha ya watu .Headphones na kuchat...............Wapi na wapi kwa dereva anayetarajiwa kuwa macho na maakini zaidi.Mungu baba wape nguvu na moyo waliofiwa.
Mama kaongea vizuri, viongozi/wakuu wa idara tofauti tofauti, muwe mnasikiliza malalamiko ya watu na kuyafanyia Kazi. mwendokasi daresalaam Bado kunamatatizo mnajaza sana Hadi milango haifungi. Tatueni matatizo msingoje watu wafe.
hili ni ngumu kufutika mioyoni mwetu,Mungu twaomba ulinzi wa vinywa vyetu tusije tukakufuru Amina
nimeumia sana nimelia sana.. dah.. m/mungu zilaze roho za marehemu mahala pema peponi.. soo touching
Poleni sana ndugizetu wa tz kweli mmepatwa na msiba mkubwa ALLAH (SW)awape subra wote walopoteza watu wao..Inna lillahi wa inna ilaihi rajiun
Mwana dada wap wew
p
Inauma saana Mungu uwape nguvu walio fiwa na ndugu zao na maratiki zao mujipe imana azwa waliyo wacha watoto wadogo Mungu waguze wtt uwape nguvu usiwawa poleni sana ndugu zangu
Pole ndugu mungu awape subra kwa wakati huu mgumu na awarehemu wenzetu walio tutangulia inshaAllah
Poleni ndugu zetu wa Tanzania, Burundi tumeguswa pia.Mungu azifariji familia za marehemu
Thanx 🙏
Uzembe uko kwenye usimamizi mzima katka usafiri wa majini kwani hii siyo Mara moja,.. Serikali iwajibike ktk hili watambue ajali ya majini inaua watu wengi kwa wakati mmoja.. Vyombo vya usafiri majini vibebe abiria na mizigo kulingana na uwezo wake,.. Serikali imetupia macho sana kwny usafiri wa barabaran wakasahau majini.. Dah.. Mungu ni mwemaaa,.. Awapumzishe mahala pema peponi ndugu zetu hawo, Amina.
Poleni nduguzetu mungu akawe mfariji ktk kipindi hiki kigumu mungu awapumzishe mahalapema Perino.
Poleni sana ndugu zetu Allah awape shifaa awalaze mahali pema pepon Insha Allah
Mtangazi yuko makini. Allah awatie nguvu ndugu na jamaa wote waliopoteza watu wao Allah wasimamie na awanyanyuwe waweze kulivumilia hili ambalo ni zito kwao. Kazi ya Mungu hainaga makosa na alilolikadiria hakika hakuna wakulizuia poleni sanaaa ndugu zete hakika msiba huu ni wetu sote.
Poleni ndugu zangu wa kisiwa cha ukara na ukerewe kwa pamoja mungu aziraze roho za marehemu wote warotanguria mbere za haki mungu wajari pumuziko ra milele mwanga wa milele uwangazie wapumuzike kwa Aman amen
Poleni ndugu zetu watanzania hili ni pingo kubwa sana, poleni wafiwa Mungu awape nguvu kwa kipindi hiki kingumu
Poleni sana Mwanza, mwenyezi mungu awafanyie subila katika kipindi hiki kigumu, najua inauma sana hatupaswi kulaumu wala kuhukumu kila kitu tuseme ahsante mwenyezi mungu amen
Poleni sana
Dah watoto wanatia huruma washapoteza wazazi wote wawili awajui awajui wapi wataanzia bado wadogo mungu waajalie kila kwenye uzito kuwe na wepesi
ahmadi shaibu amiin thumma Amiin
Kweli mama umeongea vizuri maan hizi cm madereva wazuiriwe kbc
Alhuma amin
R. I. P
amiiiin
Duuuh!!poleni sana wafiwa watoto wanahurumisha kweli hawana wazazi hawajui wazazi wako wapi Allah wape wepesa penye uzito
Dah!😭😭😭😭 inauma sana kwa kweli mwenyezi mungu azipumzishe roho za malehemu mahali pema peponi 🙏
poleni ndugu zetu kwa msiba mungu awape subira bwana ametoa Na bwana ametwaa.
Mungu awape Nguvu watu wote waliofikwa na msiba , na marehemu wote Mungu awalaze mahali pema peponi
Poleni sana wale ote mlio poteza mdugu wakalibu zaid.mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.
Poleni sana kwa kuondokewa na ndugu zenu, kiukweli inauma sana
Mungu awafariji wote, awatie nguvu, awape moyo katika kipindi hiki kigumu wafiwa wote!
Eh Mungu uturehem.🙏🏻
Poleni sana na hili janga kwa upande wa ukara na taiga zima na Africa kwa ujumula mung awape nguvu wafiwa wote
Baba Magufuli Raïsi wa Tanzania tunatumaini kama mambo ayo yatafatiliwa kwa makini sana, na wausika wa usafiri, wafunguwe macho sababu feza, inakuwa na samaani sana kuliko uzima wa mtu.
Ni upuuzi ule. Wachunguzwe vizuri sana tena sana.
Wallah it's so painful ... R.I.P our brother and sisters... When I saw those kid's I couldn't stop crying Who is going to take care of them 😭😭😭😭
Soo sad walahy Allah atawasahilishia
Remaining in e world suffering😢😢😢
Please I don't know shwahili can someone explain please.
Poleni sana ndugu zangu mungu alaze roho zao Mahalia pema amen
Inauma sanaa lakini yote tumuachie mungu kwani yeye ndio muweza yote
poleni ndugu Zang Kwa msiba mkubwa mungu aziwek roho za Marehem Mahali Pema peponi bwana ametoa na bwana ametwaa
Eeee Mungu nakuomba uwatetee watoto wako ktk kipindi hiki kigumu kwao sisi hatutoshi kuwatia moyo ,,Mungu kutana nao na uwape aman na faraja itokayo kwako
Poleni tanzania ni kazi ya mungu ayina makosa mbele yao nyuma yetu
Pole nduu zangu wa Ukelewe na Tanzania nzima,,,poleni sana..
mungu wabariki ndugu zetu waliopoteza maisha pia wape makazi mema mbinguni amen.
Poleni sana.
Host wa Ayo TV uko makini sana kijana...nakupenda bure kwa kweli, Hongera kwa kazi mzuri..
From Kenya, we are very sorry for the loss, may God give their families courage
Poleni sana ndungu zangu tupo pamoja,from Muscat,
Poleni Sana wapendwa, may God fill the gap
Ayo tv mungu awazidishie kipato ilimuweze kuendeleza ayo tv tanzania daima nchiyangu r.i.p
Mungu awape manguvu
Poleni sana watanzania wote Kwa msiba huu mungu awape wepesi Wa msiba huu
poleni sana mwenyezi Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu 😣
Poleni Sana Allah awape subira insha Allah
poleni sana mdugu zetu mungu awafanyie wepesi
poleni sana wafiwa Mungu azidi kuwatia nguvu
Poleni sana ndugu zetu watanzania wenzetu ni mipango ya mungu tu
Kazi nzuri reporter
Ushauri wangu,watoto walio fiwa na wazazi wao,ndugu wawa chukue na kua lea Kwa wema,na serikali pia wawa saidie watoto watakao kosa usimamizi,wawa chukue na kua simamia.
Poleni Sana Kwa kuwapoteza ndugu zenu mungu awe mfariji wenu ktk kipindi hiki kigumu R.I.P
Dah! mwalimu wangu MTAKI hakika tutakukumbuka milele R .I.P yatupasa kushukuru
Daaa rip mtakii
kaniuma sana mtaki
Maisha ni kitambo kifupi, tusimsahau Mungu ndugu zangu watanzania.. Mungu anatupenda..
Poleni sana ndugu zetu ..mungu awape subra kwa wakati huu mgumu..R.i.p
Ee Mungu wapokee marehemu wote ulio waita mikononi mwako mahara pema amina
Poleni sana ndugu zetu😢kutoka kenya
Poleni sana wa Tanzania. ..kutoka wingereza.
Shukran sn millad ayo
Ime niuma sana sana jmn!mungu siamamia wafiwa wape nguvu
poleni sana jamani.mwenyezi mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
Poleni sana. ..May their souls rest in peace
mwenyezi mungu aziwekd roho ya marehem maaripema peponi nimelia sana jamani tumrudien morawetu kwani akuna ajuaekesho
Innalillah wainnaillayh rrajiuni. Polen sana ndugu zangu
Bwana ametoa bwana ametwaa jna la Bwana lihimidiwe Amina
poles sana kwa family Tanzania
Mungu awafanyie wepes waweze kua na amani ya moyo #rip
Jamani watu wa Huko wakarimuu mungu awatie nguvu@ayo tv big up
So sad.. Poleni sana kwa mkasa huo uliowapata.
Poleni sana ndugu zetu msiba wetu sote
Poleni sana. Mola akawape amani na utulivu wakati huu mgumu.
Pole sana mtangazaji maana hata wewe uso unaonekana jambo hili limetugusa wote!!
Poleni sana ndugu zetu mungu awa tangulie
Poleni sana jamani sina mengj zaidi namwomba mungu awondolee azabu za kabli
Pole sana ndugu zetu wa mwanza
poleni sana mungu awatie nguvu wafiwa wote
This is terrible so sad 😔 rest in peace , Tz sorry 🙏
Ndo nachoipendea @Millard Ayo tv Haina rongo rongo uharisia mtupu🙏
Allah awapunguzie adhab za kabri! Amiin!
daaaaah so sad jamn mwenyenz mungu awaondolee adhabu ya milele huko waendako daaaah watoto wadogo wazazi wamewatoka daaaaah inaumiza sana aaaaaah
Inatia huruma mpaka machozi yamenitoka mungu andelea kuwapigania Na kuwapa nguvu kwenye kipindi iki kigumu😢
Inasikitisha sana jamani tumepoteza ndugu zetu wengi sana,eeeh mwenyezi mungu uwafariji wafiwa wote na uwape wepesi katika wakati huu mgumu,R.I.P wapendwa wetu
so sad kwa mama hao mungu awatie nguvu majirani zetu tz
Poleni ndungu zangu mungu awatie nguvu
daa ningumu kuamini
Mungu inaumiza saaana jamani. Watanzania wenzengu kifo hakiepukiki lkn tahadhar ni muhimu sn.Usalama wa maisha yako uko mikononi mwako. POLEN SAAANA NDUGU ZANGU 😑
Jamani kweli kifo hakina huruma😭😭😭poleni Sana wa Tanzania mungu awape nguvu kwa wakati huu mgumu imetuumiza pia sisi wa Kenya poleni jamani
pole sana mama yangu umeongea sana Kwa uchungu niuzembe wa madereva anaendesha HK nafon masikioni nakuchati kwakweli niuzembe pole sana mama mungu atakupa wepesi😭😭😭😭
daaaah inauma sana maana hii ajali imepelekea hta mm kupoteza mama zangu wadogo wawili kwenye ajali hii
Mama anajielewa sana ameeleza mambo ya msingi sanaaaa
😢😢 mungu azilaze rohoo za marehem maala pema pepon amn
M/mungu awapumzishe kwa amani ndgu zetu.
Poleni sana ndugu zetu
Inasikitisha kweli ,poleni jamani,kazi ya Mungu haina makosa
Poleni watanzania wenzetu rambi rambi kutoka Kenya,,,tunawaomba muwe na uvumilivu
poleni ndugu muliofikwa na misima kuwen na mioyo ya subila.
Polen ndugu zetu watz kwa msiba
poleni sana mungu awatie nguvu
Poleni Sana Kwa msiba
Mungu awaponye wafiwa wote
It's very sad for sure! May the Almighty God Rest their Souls In Peace til we See them again!
Poleni sana wafiwa wote mungu awatie nguvu katika kipindi iki kigumu so sad😢😢
poleni sana Jamani inauma sana
This is terrible so sad 😔 rest in peace , Tz sorry 🙏
lets set up safe standards procedure n safety officers E AFRICA WIDE
What happened?