MWANRI AVUNJA WATU MBAVU AMWAMBIA MAJALIWA "SAUTI HII NI MSISITIZO TU MKUU, MI SIWEZI KUKUGOMBEZA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora Agrey Mwanri akiongea mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Tabora kwenye jukwaa la kufungua fursa za kibiashara kwa Tabora.

КОМЕНТАРІ • 118

  • @charlesudoya9396
    @charlesudoya9396 5 років тому +73

    Wanaotamani kuwa wanyamwezi kisa mkuu wa mkoa huyu hebu nipeni like zangu tafadhali.

    • @sarahjohn6896
      @sarahjohn6896 5 років тому +1

      wanyamwezi wanatamani kuwa wachaga...😊😊😊MWANRI HATARI SANA

  • @funneybozzendaddy7631
    @funneybozzendaddy7631 5 років тому +43

    😂😂 acha inchii hii ikamatwe na wanaume alafu inyooke kama cremp kah!!!! Halafu tueshimiane humu ndani😂😂😂😂

    • @mamahustru
      @mamahustru 5 років тому +1

      😂😂😂😂😂 Huyu mzee huwa ananipa raha sana. Walahi hiki kibarua kikifika ukomo, awe mchekeshaji jukwaani. Ni ajira tosha, binafsi nitalipa kiingilio.

    • @mobaisa9475
      @mobaisa9475 5 років тому +1

      funney bozzen Daddy muheshimiane wanawake pind wanaume tuko vitan

    • @winiemmary968
      @winiemmary968 5 років тому

      😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @bellomusictanga6647
    @bellomusictanga6647 5 років тому +58

    Mrithi wa mzee majuto😂😂 kama unabisha nyoosha mkono juu, jifanye kama unajikuna

  • @fidelslick2086
    @fidelslick2086 5 років тому +3

    Tunakupongeza Muheshimiwa Mwanri kwa kazi safi inayoleta maendeleo Tabora na Tanzania.

  • @winjanuary7632
    @winjanuary7632 5 років тому +35

    Sauti hii ni msisitizo tu mkuu wangu 😂😂😂

  • @elishamusa5193
    @elishamusa5193 5 років тому +1

    Mh. Aggrey Mwanri ni so very creative and fast thinking person

  • @dr.johnsonnyamohanga585
    @dr.johnsonnyamohanga585 5 років тому +25

    Huyu mkuu wakoa anauwezo mkubwa sana wa kufikiria na kuongea naona hata ukuu wa mkoa Haumtoshi Apewe Uwaziri wa TAMISEMI ndio atapata muda wa kuisaidia Tanzania kwa kila mkoa jamani,Hii akili sio ya kawaida😂😂😂😂😂😂😂 Acha nchi hii ikamatwa na wanaume inyooke kama Cremp ili watu tuheshimiane Humu ndani,kama unabisha nyoosha🕺🕺🕺🕺 mkono ujifanye kama unajikuna uone.🏃🏃🏃🏃

  • @chrispinelwoga4182
    @chrispinelwoga4182 5 років тому +20

    yaan nampenda bure anaongea Kwa msisitizo

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 5 років тому +1

    Jamani watoto wake huyu natamani kujua wanaishi vipi😂😂😂😂 sio kwa userious huu aiseee. Hongera Sana mkuu

  • @glorymaimu5109
    @glorymaimu5109 5 років тому +8

    agreyyyyyyyyy hahaaaaaa I love you,,,,, tembea na YESU amen

  • @AKO_FURNITURE
    @AKO_FURNITURE 5 років тому +11

    Acha inchi ikamatwe na wanaume afu tuheshimiane humu ndani

  • @dbwaxvevo5780
    @dbwaxvevo5780 5 років тому +16

    Roho mtakatifu taala mbavu zangu maana, nimechekaaaaa xna

  • @tonymnyamatv8483
    @tonymnyamatv8483 5 років тому +12

    Mmh Mi hata sielewi maana sijui kama sanaa yangu nitafika mbali maana Viongozi wa nchi hii wanaongoza huku ni wasanii tena Wana kila aina ya Burudani sasa sisi up coming tutatokea njia gani wakati nchi nzima inaongozwa na wasanii😀😀😀🙌🙌🙏

    • @jackrinaman7521
      @jackrinaman7521 5 років тому +1

      Haaaaaa

    • @yahayakisuda7916
      @yahayakisuda7916 5 років тому

      Tony mnyama acha ku judge kupitia clips fuatilia mazungumzo kuanzia mwanzo hadi mwisho....unafeli broo sasa unajiita upcoming politician then unafatilia tu clips hujui clips zinatengenezwa kwa maana ipi?????

    • @sehemunzuri
      @sehemunzuri 5 років тому +1

      @@yahayakisuda7916 uwage unaelewa na wewe

    • @jamesedson1543
      @jamesedson1543 5 років тому

      duuhhhh pole sana

    • @Poltechie
      @Poltechie 5 років тому

      Akili yako ni ndogo sana plus wivu

  • @saidhamad2888
    @saidhamad2888 5 років тому +9

    Mh.Aggrey Mwanri hahika unajielewa na sisi tuko bega kwa bega kukuunga mkono.

  • @doctorjuniour9459
    @doctorjuniour9459 5 років тому +7

    KWA MARA YA KWANZA NIMEONA ANACHEKA.

  • @jumannemfaume
    @jumannemfaume 5 років тому +10

    Jifanye unajikuna🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @jumarajabu4230
    @jumarajabu4230 5 років тому +2

    Huyu ndo raisi wetu mtarajiwa anae kubaliana na me dondosha like

  • @meggyshukia8715
    @meggyshukia8715 5 років тому +1

    Hii sauti nita msisitizo tuu mkuu siwezi kukufokea 😄😄😄😄😄

  • @sandramtumwa2218
    @sandramtumwa2218 5 років тому +1

    Salute mkuu wa mkoa wangu.

  • @onlinetzmedia
    @onlinetzmedia 5 років тому +1

    He will become the next president. 👏👏👏👏

  • @kambiibrahim415
    @kambiibrahim415 5 років тому +3

    😅😅😅😅😀😀😀😀 Nyooosha mkono jifanye kama unajikuna uone....

    • @nelsonkibona8156
      @nelsonkibona8156 5 років тому

      kama uabisha kuwa uyu mkuuwamkoa cy kiboko jifanye kama unajikuna

  • @acreymwanisenga9549
    @acreymwanisenga9549 5 років тому +1

    Piga kazi RC wajina wangu,anaebisha anyooshe kidole juu walau ajifanye Kama anajikuna

  • @japhetdaud3889
    @japhetdaud3889 5 років тому +1

    Hahaha ha haa eti anayebisha anyoshe mkono au awe kama anajikuna atachomwa ndani 😆😅😂😤😷🙌💪👍

  • @peterjohn1969
    @peterjohn1969 5 років тому

    safii sanaa MUNGU awalindi viongozi waawamu yatano wote aijawaitokea duniani

  • @emmanuelgabagendi4515
    @emmanuelgabagendi4515 5 років тому +7

    Umesema kweli rc kbc

  • @angelusilljujalijuja9852
    @angelusilljujalijuja9852 5 років тому +1

    Kazi kazi jifanye unajikunakuna

  • @bernardchibwana2564
    @bernardchibwana2564 5 років тому +1

    Acha nchii hii ikamatwe na wanaumeeee!!!! Nimecheka sansasa

  • @davidisack1643
    @davidisack1643 5 років тому +1

    huyu mkuu wa namkubali sana, anafaa aje ainyooshe geita

  • @kassimhashi4092
    @kassimhashi4092 5 років тому

    Naomba serikali ya Tanzania mpeni huyu mzee uwaziri.please your Excellency

  • @yohanaeliah5605
    @yohanaeliah5605 5 років тому

    safi Sana mkuu wa mkoa wa tanyooka tuuu

  • @teamotz5493
    @teamotz5493 5 років тому +4

    Naomba ukasubscribe youtube chann yangu na endelea kusapot mziki mzuri🙏🔥💜😃

  • @stellawaillu843
    @stellawaillu843 5 років тому

    Big up mh Aggrey Mwanri

  • @muhidinshafii9253
    @muhidinshafii9253 5 років тому

    nice

  • @danielulomi8994
    @danielulomi8994 5 років тому +3

    jifanye kama unajikuna haha hahaaa

  • @joshuandabazaniye7642
    @joshuandabazaniye7642 5 років тому +1

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Agrey Mwanri tunaomba HOTUBA ZAKO ZICHAPISHWE KWENYE VITABU MUNGU AKULINDE DAIMA

  • @saididalu2330
    @saididalu2330 5 років тому +14

    Ivi wangapi wanamfananisha na jengua

  • @rojadetamwadri434
    @rojadetamwadri434 5 років тому

    You are so funny..

  • @ernestsinje9532
    @ernestsinje9532 5 років тому +1

    mnafunguwa viwanda vingi lakini hamjali hali za wafanyakazi watu wanaonewa ,wananyanyaswa,wanaunderpaid halafu kiongozi mkubwa anakuja as if he doenst care !sifa ni kufunguwa viwanda lakini viwanda ni vya wageni ambao wanapata faida kweli wanavuna lakini mfanyakazi anaonewa wala hana haki ni kama UKOLONI wala hizo ajira za laki mbili kwa mwezi ndio zitaikombowa tanzania katika umasikini kweli?Wizara ya kazi wanapokea bahasha ,viongozi wanapokea bahasha tu uwekezaji ni wa kumfaidisha mgeni tu ah!

  • @zainabumtubwi263
    @zainabumtubwi263 5 років тому +1

    Kweli hapa Ni Kazi tu .kufagia na kupanda miti tu

  • @kajinjirashid5590
    @kajinjirashid5590 9 місяців тому

    𝗠𝗪𝗔𝗡𝗥𝗜...𝗜𝗦𝗔𝗟𝗨𝗧𝗘 𝗬𝗢𝗨 𝗙𝗥𝗢𝗠 𝗞𝗘𝗡𝗬𝗔😂😂😂😂😂

  • @rosekimario8259
    @rosekimario8259 5 років тому

    Nakuombea kwa mungu uwe rais

  • @bernardchibwana2564
    @bernardchibwana2564 5 років тому

    Huyu mzeeee ana vituko sanaaa

  • @rosekimario8259
    @rosekimario8259 5 років тому

    Jamani Mimi natokea Kilimanjaro lkn natamani apewe ukuu Wa mkoa Wa Kilimanjaro au awe warizi Wa tamisemi

  • @brownjaffaly1172
    @brownjaffaly1172 5 років тому

    kama unatamani huyu awe mkuu wa mkoa wako ulipo nyoosha kidole jifanye unajikuna 😂😂

  • @josejcb5984
    @josejcb5984 4 роки тому

    ase ni noma xnaa

  • @prideofafrica_254
    @prideofafrica_254 5 років тому

    Huyu n comedy♨♨♨

  • @jamesmassy7637
    @jamesmassy7637 4 роки тому

    Myuuuu weee mbab

  • @saidkulwa1251
    @saidkulwa1251 5 років тому +1

    hahahahah wewe kama una bisha nyosha mkono juu nifanye kama unajikuna hahahahha Heshima yako Mzeee baba

  • @lewiskinoni1507
    @lewiskinoni1507 5 років тому +4

    Ndioo ndio mkuu

  • @nashontechnician2511
    @nashontechnician2511 5 років тому +4

    Huyu bwana agombee urais baada ya magu😀😀😀😀

  • @aldeamasuki6196
    @aldeamasuki6196 2 роки тому

    Daa huwa nafurahi sana

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 5 років тому +2

    Huyu mzee balaa

  • @bokemgaya7778
    @bokemgaya7778 5 років тому +1

    Jembeee

  • @mnadhiriwamungualiyetengwa5802
    @mnadhiriwamungualiyetengwa5802 5 років тому +1

    Roho Mtakatifu atawale moyo wangu

  • @vediantazvedastus6107
    @vediantazvedastus6107 5 років тому +1

    Tuheshimiane humu ndani

  • @marymelamed9033
    @marymelamed9033 5 років тому +1

    Another matiang'i

  • @chugahome2591
    @chugahome2591 5 років тому +1

    nataman uyu mzee acheke

  • @shabanabdallah2213
    @shabanabdallah2213 5 років тому +1

    😝😝😝😝 ninachosema ee mungu nisaidie 😆😆😆😆

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 5 років тому

    Natamani awe waziri mana anaweza sana.

  • @rdj_mayunga2295
    @rdj_mayunga2295 5 років тому +1

    Bonyeza link Hapo Chini Uone Maisha Ya Rose Mhando Yalivyo Magumu Mpaka Uruma Duuu ua-cam.com/video/FNRmIksRQNI/v-deo.html

  • @edmundmbunda2513
    @edmundmbunda2513 5 років тому +1

    Nomasana

  • @paulmbeza5254
    @paulmbeza5254 5 років тому +1

    Piga kazi mkuu!

  • @kelvinbocko2063
    @kelvinbocko2063 5 років тому

    nakukubal sana mkuuu piga mzg haaaaaaaaaaaa😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @karnerashid9504
    @karnerashid9504 5 років тому +1

    Anaebisha aseme au anyooshe mkono au ajifanye anajikuna kichwa

  • @johneliasvideos
    @johneliasvideos 5 років тому

    "Kama ni noma na iwe noma"

  • @rodgerskassiki1568
    @rodgerskassiki1568 5 років тому +2

    kama comedy hivi !!

  • @mwitajamhuri6474
    @mwitajamhuri6474 5 років тому +3

    Jifanye kama unajikina t

  • @yusufuomary4017
    @yusufuomary4017 5 років тому

    sukuma ndani

  • @ShaibuMwikambi
    @ShaibuMwikambi Місяць тому

    Kiboko Mwamba

  • @balakakalagho1388
    @balakakalagho1388 2 роки тому

    Asilimia zote zake

  • @frankomart5801
    @frankomart5801 5 років тому

    Uongozi = Leadership .

  • @msafilisamsoni1560
    @msafilisamsoni1560 5 років тому

    Serious Comedy

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌

  • @adelynemizengo1514
    @adelynemizengo1514 5 років тому

    Mheshimiwa😂😂😂

  • @nawihadj6674
    @nawihadj6674 5 років тому

    ibrahimu pasha pargal prime minstry

  • @zondomartine
    @zondomartine 5 років тому

    Je unahitaji kutengenezewa matangazo ya biashara katika mfumo wa redio?. Nicheki watsaap Kwa 0752454400.

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 5 років тому

    Siku hizi kila binadamu kawa kituko

  • @olaislukumay571
    @olaislukumay571 5 років тому

    Hahhahahhahah roho mtakatifu tawala mbavu zangu

  • @sarahwanjala6601
    @sarahwanjala6601 5 років тому

    Eee mimi namkubali nikiwa +966 mbavu zangu jamanj

  • @sixtuskamir2542
    @sixtuskamir2542 5 років тому

    huyu muheshmiw inabd awe na channel yake yutube..

  • @tibeitajoseph6646
    @tibeitajoseph6646 5 років тому +2

    Haaaaa
    .

  • @hamixhamix4241
    @hamixhamix4241 5 років тому

    Lazima watu wanyooke.

  • @furahahappe
    @furahahappe 5 років тому

    Hahahahaha.

  • @adamngazira658
    @adamngazira658 5 років тому +1

    Hahahahahahahahahah

  • @heaventomonja3576
    @heaventomonja3576 5 років тому

    natamani awe lais

  • @petermim
    @petermim 5 років тому

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @mwanaidhussen1325
    @mwanaidhussen1325 5 років тому

    🤣🤣🤣

  • @mussajabili6836
    @mussajabili6836 5 років тому +1

    Huyu ndie rais mtarajiwa mrisi wa magu 2025 kama unakubar gonga like

  • @oyay2821
    @oyay2821 5 років тому +1

    Huyu mzee ana vitisho vya kitoto sana....eti jikune kama unabisha? Jee huo si utoto?

  • @rdj_mayunga2295
    @rdj_mayunga2295 5 років тому +1

    Bonyeza link Hapo Chini Uone Maisha Ya Rose Mhando Yalivyo Magumu Mpaka Uruma Duuu ua-cam.com/video/FNRmIksRQNI/v-deo.html