This song makes me have a deep desire to get back to the ways of Christ, am a sinner and this makes me feel God still loves me so very much despite me fleeing away from His glory, indeed this music makes me feel hopeless, weak, and worthy of Christs forgiveness.
Jesus is loving and will always Welcome you home say ....Lord Jesus, I come to you, I acknowledge that I am a sinner. I ask you to forgive me. Remove my name from the book of sinners and write my name in the book of life. I receive you now as Lord and Saviour in the name of the Father, name of the Son and name of the Holy Spirit. I am born again. In Jesus Name, Amen.
Kati YA nyimbo nilizo angalia Sana ni hii usiku najisikia kusikiliza, asubuhi napiga ndo niende kazini, nikiludi mchana natamani kusikiliza Tena aisee mbarikiwe Sana sana Sana 😇😇
I love this song....everytime I feel low and just want to dance as I praise God...I do it with this song because it speaks to me❤❤❤❤❤. With love from Kenya 🇰🇪.
God used this video to show me that you CAN and SHOULD loose yourself in worship. Jump if you want to, lift your voice higher, pour out your guts before god- and don't care about what anyone thinks you're trying to do- or how you look. God knows it's all for him, and that's all that matters. Can't wait to lead worship with these guys one day.
Wimbo mzuri. Mbarikiwe sana
Sebene ninadhani ndio mziki utakao kuwa mninguni kwa wingi ....Mungu awainue zaidi
This song makes me have a deep desire to get back to the ways of Christ, am a sinner and this makes me feel God still loves me so very much despite me fleeing away from His glory, indeed this music makes me feel hopeless, weak, and worthy of Christs forgiveness.
Jesus is loving and will always Welcome you home say ....Lord Jesus, I come to you, I acknowledge that I am a sinner. I ask you to forgive me. Remove my name from the book of sinners and write my name in the book of life. I receive you now as Lord and Saviour in the name of the Father, name of the Son and name of the Holy Spirit. I am born again. In Jesus Name, Amen.
Come to Jesus He loves you
Jesus loves you ,Neema ya Yesu ifunuliwe kwako kwa jina la Yesu ,maana the Bible says tunaokolewa kwa NEEMA
Please come back
He loves you
If you confess your sins, He is faithful and just and will forgive you ❤.
JP KAZIRE.......shikamoo blazaaa......🙌🙌🙌🙌🙌. Hii bass gitaaa unaongea aisee.......😀😀😀😀😀😀
I was here this day asee Kidogo nipande na mimi niweke vocal
Instrumentalists understood the assignment 🙌🙌🙌
always😂😂
Mpo juu music classic umetulia sio vulugu vulugu KAZI mnafanya Kwa welendi mungu awatangulie Kwa KAZI yenu Amen 🙏
Can't believe l am finding this today.
Glory and honour to our God
Ruka kama tai and shika moyo mbarikiwe mpaka mshangae guys mnajua sana Agape band
Amen 🙏
Hahahahaaa nyie jamaaaa ni nomaaaaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🙏
Hapo kwenye kuruka kama Tai ndo pamenoga🙌💃💃💃
HOSSANA DANCERS wanataman siku moja mfanye kolabo katika kurudisha utukufu kwa BWANA
Je retrouve le serviteur de Dieu de la musique gospel congo🇨🇩🇨🇩 Michel bakenda💪
Que Dieu vous bénisse
Vraiment 😊😊
Uinuliwe tena Mungu wangu
This is Powerful song mbarikiwe sana Agape Gospel Band
umeguswa hahah nakuelewa
Wimbo mzuri sana,much love from Kenya
Kati YA nyimbo nilizo angalia Sana ni hii usiku najisikia kusikiliza, asubuhi napiga ndo niende kazini, nikiludi mchana natamani kusikiliza Tena aisee mbarikiwe Sana sana Sana 😇😇
🙏 Amen
Wow hongereni sana kazi ya nguvu hii
Sihitaji hatua Tano ndio niseme,Kwa hii moja nasema Asante Yesu ❤️❤️❤️❤️
My favoutite part hapa 😂😂😂😂 naweza parufia hata mara kumi BABA BABA BABA TEYO nirahisi kuimba kwa pamoja 🙌🙌👐🙌
Imeniweza kabisaaa 💻🎹📸🥁🎤🎧🎬🎥📹
I love this song....everytime I feel low and just want to dance as I praise God...I do it with this song because it speaks to me❤❤❤❤❤. With love from Kenya 🇰🇪.
The dramist long live broman❤🎉the best there is💪😎
God used this video to show me that you CAN and SHOULD loose yourself in worship. Jump if you want to, lift your voice higher, pour out your guts before god- and don't care about what anyone thinks you're trying to do- or how you look. God knows it's all for him, and that's all that matters. Can't wait to lead worship with these guys one day.
🙏 Amen
We,, x,,,
Hatari sana kwa ulimwengu wa giza
I see growth!! Watching new release "Bwana ni mchungaji wangu"😌
Top Top AGB✨🔝
Yeeees tunasubiri kwa hamu
Bila Wakongo tungekuwa wapi hii dunia ??? We love you our brothers and sisters 💗💗🙏🙏
They are Tanzanians
@@robertocham7736with some Congolese darling""wape credit akina Victor
Yani hapa mmekonga nyoyo yangu🤛🤛🤛Mungu awabariki Sana mfanye zaidi ya hii
@celeb meshack
🙏
The influence of Congolese music🇨🇩🔥.
When I listen to them, I hear the style of Michel Bakenda, Alka Mbumba, Fiston Mbuyi, etc.
Powerful and spirit lifting song Agape is always the best band may God keep using them for His Glory
Uwinuliwe tena Mungu wangu 👏🏻🙌🏼🙌🏼🙌🏼 this is true representation of kings Music 🎶, keep representing Christ to the fullest
#TriumphantPraise 🇰🇪🇰🇪
Amen 🙏
Hii kitu sio mchezo kabisaa.. Mbarikiwe Sana Nyie watu 🔥🔥🔥
Amen
Asiyeinuka kucheza hii, ana ka roho ka uchawi kwa mbaaaliiii......😃😃😃😃😃
Kazire daaahh Bass imelia
Hakika Mungu ni wewe kwa makubwa na madogo ni wewe tu sio mwingine, mbarikiwe sana sana.
Amen
Mungu wambingun azid kuwainua ...IJN
hongeren kwa kaz nzuri, sebene tam sana huchoki kuskiliza aseeee💪💪💪👍👍
KWAMAKUBWA NI WEWE na MADOGO NI WEWE
I feel you guys! Mungu awabariki sana kazi yenu ni njema.... Kwa Yesu raha sana
🙌🏽Amen
The sound engineer understood the assignment of live music 🎉🎉
Mungu awabaliki mziki umetulia hasa vyombo vipo high quality hebu mungu awapeleke viwango vingine amen 🙏
Hongren sana tuishi katika kumcha Mungu nakumpendeza Yeye ilisikumoja twende Mbinguni tukamsifu Mungu kwa pamoja
Mnanipa Raha aki vile ni kwa utukufu wa Mungu ni tunajikuta tumekaa uku tunatikisa mwili tujuane🔥🔥🔥
Hawo instrumenters wako juu🎉🎉🎉
Ndio naruka kama tai saa hii.🔥🔥🔥
I watch this video on my way to work and back. Everytime am free. I just put it on repeat
Moto uwake zaidi ndani yenu.. 🔥🔥🙌
Utukufu kwa YESU KRISTO
Amen.
Wimbo wangu nilioagia mwaka 2023 kuingia2024❤❤❤❤❤❤
Wimbo wa Baraka huwa nasikiza mara mia kwa siku .......Mungu wangu Uinuliwe tena.
Yaaani Mungu anawatumia,nilimuona Mungu hata kwenye mkutano wa imani,upendo na miujizaa nilimuona Mungu sana.
Amaizing Amaizing🎉
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu, ile series ya worship mliyoimba siku ile tunaiomba jamani .
Nimechelewa kuona wimbo,
But Mungu awabariki sana,
Nimehudumiwa sana na mega hii ya holy spirit.
Mungu awabariki sana Agape.
Hehehehe, where have I been all this time...this group is my kind💃💃💃💥eish, Agape Band you are a blessing!!! Hongera
Napenda huu muziki wa wandugu katika Kristo, wataalam sana 🔥🔥🔥
🙏
Praise Song of all quality. Bwana ameinuliwa kwakweli. Mungu aendelee kuwainua Agape gospel band.
🙏
Watu wabaya sana nyie mumetisha mbaaya !!
Moto zaidi ya pasi 🥳🥳🥳🥳
Acha Bwana Yesu ainuliwe,muziki safi sana👏🏻👏🏻💪🏾
kazi nzuri kabisa Agape band,God bless you
Nyie watu nyiee, Hadi raha jaman utukufu Kwa Mungu
WOW wow wow, sebene la YESU yani sichoki kulisikiliza 🇰🇪 🇹🇿
🙏
Ruka kama tai🙌🏾
Uinuliwe tena Mungu wangu,uinuliwe teena, asante kwa kunikumbuka kila wakati.
Wow, i listen to this praise song when I'm down and after that i feel okay 😇🥰🥰 God bless you y'all
Kwa kweli Mungu azidi kutukuzwa kupitia ninyi, you guys are amazing
Spectacular 13:00 is where the sweetness commences.
What’s the name of the song @13:00
@@Godlovesme77735Naruka Kama Tai
Kama tai🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏
Actually you people you have really blessed me with your song.....en its my prayer that may God lift in higher level than where you are now🙏
1:56 🫠🫠 This feeling🥰🥰
I love everything in this song ❤️@uinuliwetena🙏.....God bless you team blessed ,,,🔥❤️
🔥🔥🔥🔥uinuliwe Tena Mungu
Amazing be blessed 🙏🙏🙏 Mungu na atukuzwe
Beautiful sebene
Leaders mmefanya kitu kubwa san motoo moto😂 jamaa alikua na chapa aswa, bila kumsahau lead guitarist umeimenya ni hakuna kupoa🥳
🙏
🔥🔥🔥🔥🔥
Ninabarikiwa tele. Unaruka kama Tai. Mungu nipe neema
nyie watuu🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Wooooooooooo amazing and I'm grateful with this song 👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏❤
Mizikii imelia🔥🔥🔥🔥
Hakika kazi yenu ni njema mnoo 🔥 Agape
🙏
Ruka kama TAI ..,NOMA SANA
Bwana unibariki naruka kama 🦅
#TriumphantPraise
God os good kama txi
Noma tena sanaaa 💃💃🤍✨
Wimbo zaidi ya wimbo
So amazing,,,. Hakika Acha Bwana azidi tukuzwa.
Utukufu kwa Yesu
Amen
La bonne musique 🙌 Mbarikiwe sana
Agape band you are a blessing to the body of Christ..am praying for more Grace fir you
Kila mtu dance yake❤❤❤❤❤❤
Music was born in DRC 🎉, moto sana
nyie majaa mmesababisha nipende sebene🙆🏾♂️....Mungu anatukuzwa
Un chant très profond🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Sa signifie quoi svp ? J'aime trop troo
@@fredmboko2615
Ça signifie :
Dieu m'a béni, je vole comme un Aigle 🦅
Oyoooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mzee wa Twi liii twilili....
Hatari💥
Natamani kukaakaribu nanyi 😅 mnafanya naimba barabarani kama wazimu 😂🎉😂😂😂
Nice work for the glory of God. The anointing and the touch of God's presence 🤗👌
Very nice 22 9ice Mungu aku barike sana
Kweli binguni kurikuwa sweet kweli
Balaaaaaaaaaa na nusuuu
Wow nice kazi nzuri sana 🔥🔥🔥🔥