Agape Gospel Band - Amefanya Mengi Yesu (Live Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 сер 2022
  • Wimbo #AMEFANYA MENGI YESU ni Wimbo uliobeba moyo wa Shukrani , ni mengi sana ambayo BWANA amefanya katika maisha yetu , Kuna wakati wengi wetu tulikua tunalia lakin leo Bwana ameyafuta machozi yetu, tulikua tunapitia situation ngumu sana katika maisha lakini leo BWANA amefanya jambo jipya.
    Unapoimba wimbo huu hata kama bado unalia Amini kwamba yupo Mungu anayefanya yupo Mungu anayefuta machozi ya watoto wake. Usichoke Amini katika Yeye anayefariji
    Musicians
    Main keys : Innocent Nelson
    Aux keys : Michael Lowkeys
    Guitarist : Kaz Benjamin
    Bassist : JP kazire
    Drummer : B Ngowi
    Back Ground Vocals
    SOPRANO :
    Jocelyn Bryson
    Neema Mlay
    ALTO :
    Jonas Moshi
    Hannah Joseph
    TENOR :
    Justin
    Pascal Guveti
    Lead Singer: Victor Maestro
    Mixing and Mastering by Baraka Ngowi
    Sound Engineer: MUJWAHUKI
    Venue: The Reality of Christ Church
    Video Directed by ROC Media /Baraka Adam wapili
    #AmefanyaMengiYesu #AgapeGospelBand #LiveMusicVideo.Channel Administered by Huru Digital
    Instagram: / hurudigital

КОМЕНТАРІ • 82