Bin Mweri Online Tv
Bin Mweri Online Tv
  • 59
  • 89 066
Yaa Ikh`wani @Bin Mweri Tz🎹
Qaswida ya harusi iliyosomwa na (Ustadh Bin Mweri) kutoka kigombe Tanga Tanzania🇹🇿
Переглядів: 72

Відео

Elimu Ina Thamani @Bin Mweri vs Akhy Ally
Переглядів 2049 місяців тому
Elimu Ina Thamani @Bin Mweri vs Akhy Ally
Maajabu makubwa👉Bin Mweri🇹🇿
Переглядів 8710 місяців тому
shuhudia mwanzo mwisho Maajabu makubwa yaliyofanyika katika harusi hii,📝
Ust Bin Mweri👉 swalatu alaa nnabiy
Переглядів 12811 місяців тому
Maulidi ya harusi yakitanguliwa na swala ya mtumi صلى الله عليه وسلم
Ustaadh Said Ally Hassan.
Переглядів 7511 місяців тому
Sikiliza wasia wa kimaajabu kwa wamama wa zama hizi dhidi ya mabint zao pindi wanapotaka kuolewa😫
Qaswida Rasulallahi Qad'ashraqta nura
Переглядів 171Рік тому
Qaswida Rasulallahi Qad'ashraqta nura
maneno mazito yaliyowaliza wengi aliyoyatoa shekh Hassan Bin Said Bin Khuzayma 20_10_2022
Переглядів 159Рік тому
Shekh Hassan Said Khuzayma
Sababu za kutojibiwa maombi yetu
Переглядів 1052 роки тому
Ust: Haamid Ungana nami katika kuzifahamu baadhi ya sababu zinazopelekea kutojibiwa dua zetu.
Tumeingiliwa na mwezi mtukufu wa RAJAB
Переглядів 202 роки тому
Video from Bin Mweri Tz 🚶🏿
Yafahamu Maajabu ya surat Kah'f
Переглядів 442 роки тому
Ustadh Hamidu Bin Mweri Anakutea maajabu ya surat Kah'f ndani Qur'an
madhara ya mwenye kudumu kunywa pombe.
Переглядів 1162 роки тому
madhara ya mwenye kudumu kunywa pombe.
#IN'TABIH ni kipindi cha nasaha
Переглядів 172 роки тому
Kupitia Channel hii utaweza kueleimika na kufaidika na mambo mbalimbali ya dunia yako na akhera yako Usisite #Kusubscribe katika channel hii nyonte mnakaribiswa🙏
Maulidi makuu ya madrasat Nuur (mji mdogo wa Bago) 18/12/2021
Переглядів 2472 роки тому
Qaswida: Birasuuli llah ikisomwa na Ustadh Hamidu Bin mweri kutoka madrasat Qamaral Munira kigombe
Ust: Hamidu Bin Mweri: Hadithi: Uharamu wa kugombana!
Переглядів 652 роки тому
الحديث صحيح في الصحيحين عن النبي عليه الصلاة والسلام أنه قال: إذا التقى المسلمان بسيفهما فالقاتل والمقتول في النار قيل يا رسول الله هذا القاتل فما شأن المقتول؟ قال: لأنه كان حريصًا على قتل صاحبه فالمسلمان إذا التقوا ظلما وعدوانا هذا وعيدهم، أما إذا التقوا بشبهة ولأمر مشروع كما يقوم أهل العدل في قتال أهل البغي، فهؤلاء الذين قاموا بإزالة البغي محسنون، ومقتولهم شهيد ويرجى له الخير لأنهم قاموا بإزا...
Ustadh Hamidu Bin Mweri: ukweli kuhusu kifo
Переглядів 1052 роки тому
Ustadh Hamidu Bin Mweri: ukweli kuhusu kifo
Kisa cha bwana aliye wakashifu wanazuoni waliopita ndani ya gari. Je nini kilimtuta?
Переглядів 3722 роки тому
Kisa cha bwana aliye wakashifu wanazuoni waliopita ndani ya gari. Je nini kilimtuta?
Maashallah!! angalia mpaka mwisho ushuhudie maajabu ya mtoto huyu! 🙏
Переглядів 2162 роки тому
Maashallah!! angalia mpaka mwisho ushuhudie maajabu ya mtoto huyu! 🙏
Shuhudia mzee huyu jambo lililomkuta hakuamini Dah!😭
Переглядів 182 роки тому
Shuhudia mzee huyu jambo lililomkuta hakuamini Dah!😭
Maajabu ya zaharau
Переглядів 31 тис.3 роки тому
Maajabu ya zaharau
Maneno ya dhahabu kutoka kwa Shekh Hassan Khuzaima (kigombe TANGA)
Переглядів 4753 роки тому
Maneno ya dhahabu kutoka kwa Shekh Hassan Khuzaima (kigombe TANGA)
Qamaral Muniira kigombe tanga Wakiwa ndani ya jiji
Переглядів 3043 роки тому
Qamaral Muniira kigombe tanga Wakiwa ndani ya jiji
Qamaral muniira Kigombe
Переглядів 2583 роки тому
Qamaral muniira Kigombe
Kisa cha maajabu kilichomtokea huyu bwana
Переглядів 1903 роки тому
Kisa cha maajabu kilichomtokea huyu bwana
Ustadh Hassan Bin Khuzayma kutoka kigombe Tanga maulid ya harusi
Переглядів 3713 роки тому
Ustadh Hassan Bin Khuzayma kutoka kigombe Tanga maulid ya harusi
Firqatul Khayriyyah Tanga🎵 Tukiwa tupo katika mazoezi yetu ya kila siku
Переглядів 1453 роки тому
Firqatul Khayriyyah Tanga🎵 Tukiwa tupo katika mazoezi yetu ya kila siku
Fitna za Al'khawaarij
Переглядів 273 роки тому
Fitna za Al'khawaarij
Tusidharau Qur'an jamani😭 haya maisha ni mapito tu
Переглядів 83 роки тому
Tusidharau Qur'an jamani😭 haya maisha ni mapito tu
Maulid ya majengo Kigombe Tanga 24/01/2021
Переглядів 2,4 тис.3 роки тому
Maulid ya majengo Kigombe Tanga 24/01/2021
25 January 2021
Переглядів 1013 роки тому
25 January 2021
Shekh Saidi Ally Hassan Kutoka gongoni Kenya Akiwa katika mji wa kigombe tanga
Переглядів 1,2 тис.3 роки тому
Shekh Saidi Ally Hassan Kutoka gongoni Kenya Akiwa katika mji wa kigombe tanga

КОМЕНТАРІ

  • @mustafasuleiman2034
    @mustafasuleiman2034 4 дні тому

    Mwambie maalimu Ali anajua ✅

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg Місяць тому

    Maasha allaah

  • @MwatumuMwevi
    @MwatumuMwevi 2 місяці тому

    MashaAllah

  • @user-tl2ks4fl4h
    @user-tl2ks4fl4h 3 місяці тому

    Allah atunusuru

  • @user-tl2ks4fl4h
    @user-tl2ks4fl4h 3 місяці тому

    Acheni magoma

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 4 місяці тому

    ماشآء الله على هذا الصوت الطيب والرائع والمميز. ماشاء الله تبارك الله على هذا الحضور الراقي من العلماء والمشايخ حفظكم الرحمن ورعاكم جميعا

  • @sibawaybakar6317
    @sibawaybakar6317 6 місяців тому

    Mashaallah

  • @sarmbadmkali6150
    @sarmbadmkali6150 7 місяців тому

    Masha allah

  • @ZAMYLFILM
    @ZAMYLFILM 7 місяців тому

    Mashaallah Allah akuzidishie sheikh wetu sayiid ahamad ahamad badawy mwenyebaba, wajinga hawaelewi eti BIDAA

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 8 місяців тому

    😂😂😂 limekosekana veve tu hapo.

  • @SaidJangoli-hr7ww
    @SaidJangoli-hr7ww 8 місяців тому

    Acheni kumdhihaki Allah,hata Mtume s.a.w amekataza sauti za ala za miziki,inalillah wainailaih rajiun.Allah atuongoze

    • @ZAMYLFILM
      @ZAMYLFILM 7 місяців тому

      Mmhh!! Upo sahihi Kwa ulivyosoma lakini usijaribu kumkosoa sheikh letu Baki na ya kwako alafu fainali Kwa Allah tutajua yupi mwenye makosa usionge kama mtume ni mjomba wako eti mtume alikataza mangapi unayafanya mtume ameyakataza Wacha ujinga

  • @mkubwamasoud2776
    @mkubwamasoud2776 9 місяців тому

    Daaah Mtihani wallah Allah atuongoze kwenye haki

  • @kassimngao2282
    @kassimngao2282 9 місяців тому

    Allah awaongoze kwenye hakki

  • @kassimngao2282
    @kassimngao2282 9 місяців тому

    Jisufi kubwa😂

  • @isihakambalawa8088
    @isihakambalawa8088 9 місяців тому

    Mapiano yanapigwa

  • @user-wc5rl8yq6r
    @user-wc5rl8yq6r 9 місяців тому

    Naam

  • @smdrcll3145
    @smdrcll3145 9 місяців тому

    Masya Allah❤❤❤

  • @abdula4014
    @abdula4014 9 місяців тому

    Maasha Allah

  • @issaalfaransi5263
    @issaalfaransi5263 9 місяців тому

    Bunch of innovators. May Allah preserve the muslimins

  • @user-ch2zh8sd2u
    @user-ch2zh8sd2u 9 місяців тому

    Mashaa allah 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 9 місяців тому

    Mashekhe wa kutegemewa wa kisufi wakiimba taarabu, innalillah wainnailaih rajioun

    • @musakhamisi1692
      @musakhamisi1692 9 місяців тому

      Hujui maana ndomana wasema taarabu

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 9 місяців тому

      @@musakhamisi1692 basi mnaweza mkasema ni ibada pia , kweli masharif bidaa wana balaa

    • @allyombele
      @allyombele 8 місяців тому

      لا عقل لك

    • @ZAMYLFILM
      @ZAMYLFILM 7 місяців тому

      Sawa. Wacha waimbe taarabu kama unavyoona kama inakuuma kamwambie babako akaimbe bongofleva, Nini kuwatukana masheikh wetu kwani mlilazimishwa kusoma maulidi acheeni ufala wahabi mnakera

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 2 місяці тому

      @@ZAMYLFILM mbona munakua wakali mukibainishiwa haki?

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 9 місяців тому

    Kumbe Taarabu pia inaruhusiwa ktk usufi? Duuh alhamdulillah kwa kutoka ktk uzushi.

  • @jabirihanthu
    @jabirihanthu 9 місяців тому

    Mashaallah

  • @Ibrahim-st3uo
    @Ibrahim-st3uo 9 місяців тому

    دجال من الدجاجلة عافانا الله والمسلمين آمين

  • @user-kx4wd5vb4j
    @user-kx4wd5vb4j 9 місяців тому

    Hiyo ni ngoma ya aina gani???

    • @nassortrans12
      @nassortrans12 9 місяців тому

      Naona sawa na Taarabu ya kimombasa juma bhalo Au kwa bongo malindi taarabu ya zanzibar

  • @binfarhan879
    @binfarhan879 9 місяців тому

    Jaman hebu tufikirien kwanza hii ni mwana chioni Gani alitamka inafaa katika dini au tunasubir Mashekhe watukataza tusema Mawahabi wamezid kuchafua dini na je Mtu siku ya Msiba wake kama hii ni Dini Yuko tayar kufanyiwa ili watu wapate Burdan mda was Mazishi au was Dua? Huyu ni Shekhe Mkubwa sana na anapenda Maulid hauna la kumuambia. Where we are going and to whom we will return? Itaq Llah.

    • @ZAMYLFILM
      @ZAMYLFILM 7 місяців тому

      Kama hamna lakukoment si ukae kimya Sasa kosa hapo liko wapi?? Shida yakusoma alafu usielewe mtume kafanyiwa haya yanayofanywa na hakukataza Sasa wewe ni nani? Msijifanye mtume anawajua sana.

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 10 місяців тому

    Mashaallah mashaallah

  • @MustafaOyoo-qz7rp
    @MustafaOyoo-qz7rp 10 місяців тому

    Dah mumekuwa mwapiga vinanda.mwaonaje mukapiga drams pia na magita.nyie wazushi dah

  • @manturemdachi2118
    @manturemdachi2118 10 місяців тому

    Mashaallah mzazi wetu na mlezi wetu Allah akujalie umri mrefu na mwisho mwema

  • @JumaKhamis-cw8ec
    @JumaKhamis-cw8ec 10 місяців тому

    Yaweza kua wamesoma ila tarabu na mnanda huo haumo katika dini na mnanda huo kharamu

  • @JumaKhamis-cw8ec
    @JumaKhamis-cw8ec 10 місяців тому

    Nuimbo ni haramu haihitaji elimu apo

  • @abdouassoumani6912
    @abdouassoumani6912 10 місяців тому

    12:09

  • @abdouassoumani6912
    @abdouassoumani6912 10 місяців тому

    Masha allah alhamdulilah félicitations pour ❤

  • @user-jc6zt3mu4i
    @user-jc6zt3mu4i 10 місяців тому

    Hakuna mwanazuoni aliebakia africa mashariki na kati kama hiko kiumbe. sasa ikiwa mwayadiriki maneno ya mtumi (s.a.w) basi waekeni watu katika madaraja yao au laa mwafata mkumbo na ushabiki basi muacheni alhabiby ahmad badawiy aingie motoni na nyie wahabia ingieni peponi😢😢😢

    • @AbuuSiiriin
      @AbuuSiiriin 9 місяців тому

      Wewe mwendaazimu hawa washirikinaa wakina jufrii

    • @AbuuSiiriin
      @AbuuSiiriin 9 місяців тому

      Msufi waimba taarabu

  • @makamedaabadabamaliwaza5252
    @makamedaabadabamaliwaza5252 11 місяців тому

    Ustdh.. saeed alii hassn....

  • @user-bp6fb6wo5u
    @user-bp6fb6wo5u 11 місяців тому

    Huyu muimbaji haswa na mapiano pia!!!! Duh kali mzee mwinyi papa 😂😂😂😂😂😂😂😂 kumbe mutrib mkubwa wewe!!! Halafu na allama qawwama!!! Na wafurahia kusifiwa kwa uongo mbele yako!!!! Uliamka usiku kufanya ibada wewe!!! 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂 mzee wetu wa kibajuni una tabu sanaaa....

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 10 місяців тому

      Hakiamungu wimbo utasema wa ummu kulthum vile vile na vinanda watumiavo

  • @twaibasaidi9512
    @twaibasaidi9512 Рік тому

    Mashallah mungu akubariki mwalim🤲

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 Рік тому

    Mashaallah

  • @jumasaid1826
    @jumasaid1826 Рік тому

    Mashallah kk Mungu akubaaaariki

  • @brotherochu
    @brotherochu Рік тому

    Dooh swalli alannabiy Kazi nzur mwalim wangu allah azidi kukufungua inshallah

  • @user-ye4xy7ss5b
    @user-ye4xy7ss5b Рік тому

    Nyote mnaotukana hamna hata nusu chembe ya ilmu kuwafikia hao waloketi apo mbele wala kinachosomwa apo amkijui hata chakuwashauli tafuteni mashekh msome msifuate fuate tu

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 8 місяців тому

      Hapo hakuna mmoja anaemfikia Ibilisi kwa ilmu, kwa hiyo tumfuate Ibilisi? Uislamu haumfuati mtu kwa sababu ya ilimu yake mtu ndio atakiwa aufuate Uislamu hata km ana ilimu.

  • @user-uc5py2ll5n
    @user-uc5py2ll5n Рік тому

    Matusi hayafai mnapata dhambi

  • @Nevershot
    @Nevershot Рік тому

    Si vizuri kitukanana katika dini au wakati wowote ule.Vile vile kuongeza Ibadaa yenye haikuwepo wakati wa Mtume S.A.W ni kuwenda kinyume na Quran takatifu na ni sawa na kusema nyinyi mwaijua dini vizuri kumshinda mtume s.a.w

    • @hajigahimbare579
      @hajigahimbare579 10 місяців тому

      Kawauliza wanaofanyisha Misabbaqua Ya QUOR'AN, Kwanini Haikuwepo zama za Mtume wala Maswahaba" Jee Wao Wanaipenda sana QUOR'AN zaidi Ya Alivyoipenda Mtume na Maswahaba? Watakavyokujibu Swali Hilo Kisha Nawe Urudi Hapa Upewe Jibu La Swali Lako insha'allah. Kwa Njia Nzuri Al Akhy.

    • @hamidsalmin4810
      @hamidsalmin4810 9 місяців тому

      Mwinyi baba aimba taarab ya ki masri, mpaka aliza watu, utasema asoma Aya za quraan. Lahaula wala kuwwata illa billah. Mcheni Mola wenu.

    • @Nevershot
      @Nevershot 9 місяців тому

      @@hajigahimbare579Hili ni swali la kitoto sana. Qur'an tunapoisoma tunapata thawabu 10 katika kila herufi wewe wapata nini kupiga twari?

  • @user-gs4xb3vj7g
    @user-gs4xb3vj7g Рік тому

    mansha Allah

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому

    Mssufi ni manhaji ya kikafir

    • @baarutmazrui5186
      @baarutmazrui5186 Рік тому

      We wahabi unamanhaji ya kiibilis uisilamu ni tabiya sio matus

    • @SugowFarah-up3db
      @SugowFarah-up3db 10 місяців тому

      Akhy afwan waache tu waimbe ila usiwakufurishe na pia tuzidi kuwaombea waepukane na ugonjwa huu wa bid'ah

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 10 місяців тому

      Sasa hyo nyimbo aloanza nayo ajiitaye muft wa kenya haina tafauti na wimbo wa UMMU KULTHUM wa misri vile vile yani

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому

    Sufiiiiiiiii

  • @adnaankhanbhai7057
    @adnaankhanbhai7057 Рік тому

    Yana onekana manaafik makubwa ki surah tu laanatullahi alayhi

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 11 місяців тому

      We utakuwa ni mtoto wa zinaa.ndo maana huna adabu kamuulize mama yako vzr

    • @adnaankhanbhai7057
      @adnaankhanbhai7057 11 місяців тому

      Hakika kama we ulivo mtoto wa haramu mja laana we ka ulizie babaako kama wamfahamu wewe mwana haramu mkubwa weee

    • @alwysaggaf
      @alwysaggaf 10 місяців тому

      😂 hasira au matusi ya kazi gani? Kama haya tufanyayo sio yako si ujipe shughuli akhiy? Madrasa za Ahlul Sunnah (Twariqa/Suffii au upendavo kutuita) ziko wazi na zinafundisha kwa miaka mengi. Unakaribishwa inshaALLAH. Sisi hatutukani kama wengine. Thanks❤

    • @salhakhalfan6513
      @salhakhalfan6513 9 місяців тому

      Huo uhabi wenu ndo umewafunza kulaani watu na kuwatusi,, yaan ww uwekwe na habib ahmad badawi na elimu yako hiyo ya kulaani waislam wenzio una nn ww

    • @salhakhalfan6513
      @salhakhalfan6513 9 місяців тому

      We fanya uonalo sawa anaehukumu ni ALLAH mbona unaingilia kazi si yako

  • @kassimdaud4258
    @kassimdaud4258 Рік тому

    Ukiwa Sufi asubuh haifik adhuhur ushakuwa mwendawazimuu Ni kama haoo

    • @salumnuhu9066
      @salumnuhu9066 Рік тому

      Nini hii mbona upuuzi mtupu

    • @hamzabashiru4069
      @hamzabashiru4069 Рік тому

      Ukiwa wahabi asubuhi jioni umekua mpumvavu

    • @hamzabashiru4069
      @hamzabashiru4069 Рік тому

      Mwahabi someni acheni janja janja

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 11 місяців тому

      ​@@salumnuhu9066we mtoto wa zinaa

    • @nassortrans12
      @nassortrans12 9 місяців тому

      Huyo sheikh ndio anadai anamuona mubashara ktk bidaa ya mawlidi mtume Na anarembua macho yake huyo sheikh kuangalia juu eti anamuona mtume live live bila chenga Hamuwachiii jamani

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 Рік тому

    Mashaaa allah

  • @abunufilaabunufila2152
    @abunufilaabunufila2152 Рік тому

    Maashallah