Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Analipambania jimbo lake 🎉
Makofi kwa walipa kodi👏👏👏
Sifa zote ni kwa walipa kodi 👏👏👏👏👏👏👏
Jamani 😂😂😂😂
SHABIBY KILA SIKU KILA LEO 😁😁
Sisi hatutaki hawe waziri tunataka awe mbunge wetu miaka milion
Ahmed Shabiby Umeenda Vizuri lakini Hapo Kwa Mchengerwa Umeharibu Haikupaswa Hata Kumtaja Maana Moja Kwa Moja Huja Vuka Kiunzi Cha Uchawa Kwa Mkwe wa Rais
Gairo nguvu moja
Kaz ni Kaz tu
Huyo mbunge wa gairo anastaili sifa kabisa
Mamboyawananchiwake siwaongeewenyewe wananchi wevpi kwanimagufuli ilikuaje
Huyu mbunge anastahili uwaziri mana sio mbabaishaji!
Huyo anatakiwa kuchunguzwa na polisi ili kujua kama pesa zake anazitumia ndani ya Tanzania au anatuma kwa wahindi India.Baada ya hapo mengine yaje
Amezaliwa ukaguluni chitange atapelekaje huko na mama yake ni mkagulu
@@mataypanga5262wee unaonekana ni mbaguzi sana fala wee yaani kwakua tu ana ngozi nyeupe kaishakua muhindi
Wewe ulidhani mwenzako?.Kipofu wewe,hebu nenda India kama utamuona mamako mbunge@@zahranassor7809
Ccm hovyo kabisa misifa tuuu vitu muhim hamuongelei chochote
Analipambania jimbo lake 🎉
Makofi kwa walipa kodi👏👏👏
Sifa zote ni kwa walipa kodi 👏👏👏👏👏👏👏
Jamani 😂😂😂😂
SHABIBY KILA SIKU KILA LEO 😁😁
Sisi hatutaki hawe waziri tunataka awe mbunge wetu miaka milion
Ahmed Shabiby Umeenda Vizuri lakini Hapo Kwa Mchengerwa Umeharibu Haikupaswa Hata Kumtaja Maana Moja Kwa Moja Huja Vuka Kiunzi Cha Uchawa Kwa Mkwe wa Rais
Gairo nguvu moja
Kaz ni Kaz tu
Huyo mbunge wa gairo anastaili sifa kabisa
Mamboyawananchiwake siwaongeewenyewe wananchi wevpi kwanimagufuli ilikuaje
Huyu mbunge anastahili uwaziri mana sio mbabaishaji!
Huyo anatakiwa kuchunguzwa na polisi ili kujua kama pesa zake anazitumia ndani ya Tanzania au anatuma kwa wahindi India.
Baada ya hapo mengine yaje
Amezaliwa ukaguluni chitange atapelekaje huko na mama yake ni mkagulu
@@mataypanga5262wee unaonekana ni mbaguzi sana fala wee yaani kwakua tu ana ngozi nyeupe kaishakua muhindi
Wewe ulidhani mwenzako?.
Kipofu wewe,hebu nenda India kama utamuona mamako mbunge@@zahranassor7809
Ccm hovyo kabisa misifa tuuu vitu muhim hamuongelei chochote