SENGA ,AMLILIA PEMBE AOMBA AZIKWE NA RUNGU LAKE,NI MAJONZI KWAKWELI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 жов 2024
  • #bongo24 #senga #pembe

КОМЕНТАРІ • 88

  • @barakaabel482
    @barakaabel482 3 години тому +1

    Pole sana Mzee Senga! Tunamuombea mzee wetu Pembe apumzike kwa amani....

  • @LUKINDAJAKOBOJULIUS-oi1ks
    @LUKINDAJAKOBOJULIUS-oi1ks 5 годин тому +4

    pole Sana mzee senga kwa kumpoteza rafiki yako wa damu damu Ila mtangazaji anaboa sana

  • @laanyunilaizer1666
    @laanyunilaizer1666 5 годин тому +6

    Kumpoteza ndugu au rafiki yako siyo sehemu ya "Mafanikio"Mtangazaji jiendeleze kwene fani yako

  • @adaNahimana-y7b
    @adaNahimana-y7b 33 хвилини тому

    Mtangazaji Uchwala kiswahili Kinampiga chenga

  • @tomsylvanus21
    @tomsylvanus21 14 хвилин тому

    Online media zimekua nyingi

  • @mushipatrick5311
    @mushipatrick5311 Годину тому

    Yani hawa watangazaji kwamba Senga amefanikiwa kumpoteza Pacha wake kweli 😂😂😂

  • @عمرانالحجري
    @عمرانالحجري 7 годин тому +3

    Katka mazungumzo yote sjaskia kasema azikwe na lungu. Achen mzaha katka Jambo la siliasi. 😢😭

  • @LinahNyagawa-sx3jo
    @LinahNyagawa-sx3jo Годину тому

    Pore sana

  • @TinaSodom
    @TinaSodom Годину тому

    Pole sana baba yangu😭😭

  • @yusufmushi
    @yusufmushi Годину тому

    Dooh Ndugu mtangazaji chukua likizo kidogo.... Jifue.... Utangazaji sio Tone, wala lafudhi ... Ni combination ya uelewa na namna ya kunyambua mambo wekeza ktk hayo then Rudi tena... Unaweza...

  • @ISACKITINDE
    @ISACKITINDE 7 годин тому +2

    Hawajui namna ya kuhoji Unasemaje umefanikiwa kumpoteza

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 Годину тому

    Pole senga

  • @jamesnangi9626
    @jamesnangi9626 9 хвилин тому

    Huyu mtangazaji taaruma yake haimufai kabisa,ety umefanikiwa kumpoteza

  • @JescawaziriMwaikugile
    @JescawaziriMwaikugile 6 годин тому +2

    Mtangazaji kapitiwa

    • @Mina.15
      @Mina.15 6 годин тому

      😂😂

  • @MosesKamba-tk3lp
    @MosesKamba-tk3lp Годину тому

    Mtangazaji anaoji utumbo sana

  • @jumongjr5837
    @jumongjr5837 7 годин тому +3

    Madhala ya Umepata D mbili ukakimbilia utangazaji ndohaya sasa.......

  • @Mina.15
    @Mina.15 5 годин тому +1

    Uwaa uyu Mtangazaji

  • @Nailafussy-kg7qz
    @Nailafussy-kg7qz 6 годин тому +2

    Amefanikiwa kumpoteza ndonn yani kamuuwa yy pumbavu kweli, mnakimbilia maiki wakat fani ni jembe

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 7 годин тому +1

    MASIKINI POLE SANA MZEE SENGA NAKUOMEA IMANI SANA KUPOTEZA RAFIKI YAKO MPENDWA

  • @Nyanda_Jr
    @Nyanda_Jr 6 годин тому +1

    Hawa watangazaji mnawaokota wapi?

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 2 години тому

    Inna lillah wainahyllah rajioun

  • @mussamatinde5042
    @mussamatinde5042 3 години тому

    Mtangazaji hufai kabisa!

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 2 години тому

    Bangi na Utangazaji wapi na wapi.Amefanikiwa?

  • @PatriceMgendi
    @PatriceMgendi 4 години тому

    Eti umefanikiwa kumpoteza pacha wako, 😂😂

  • @melejisekeyan9492
    @melejisekeyan9492 4 години тому

    Imekuwa ni desturi ya watanzania walio wengi, kwamba kuharibu lugha wakidhani wanakikuza, kumbe wanakiua. Wenzetu wanaboresha lugha zao sisi tunaharibu, " kufanikiwa kumpoteza maana yake ni kwamba alikuwa anafanya jitihada za kumpoteza wakati sivyo!"

  • @bensonmwananchi7701
    @bensonmwananchi7701 2 години тому

    We mtangazaji hujui nenda kalime

  • @AandrewMsumari
    @AandrewMsumari 7 годин тому +1

    Heshima yako ndio salamu zawakubwa uko kwenu sasa, yani mitangazaji mengine

    • @paschalseleli2391
      @paschalseleli2391 6 годин тому

      @@AandrewMsumari waandishi wa habari sijui wanapatia wapi hayo mafunzo yao aise, asilimia kubwa sikuhizi ndo huwa wanaanza kwa hiyo salamu, ni kama wanaigana ujinga tu hata kuhoji kwenyewe hawajui.

  • @DaudiMade
    @DaudiMade 6 годин тому +5

    Huyu mtangazaji sijamuelewa umefanikiwa kumpoteza rafiki yako kumbe kifo cha pembe kimesababishwa na senga?

  • @Nailafussy-kg7qz
    @Nailafussy-kg7qz 6 годин тому

    Mtangazaji ni msenge tuu

  • @HajiHija-od2db
    @HajiHija-od2db 4 години тому

    Ilo nikosatu la kibinaadam , mbona mnamuhukumu hivo moja kwa moja ? Mkamilifu ni mmojatu ni Allah, acheni hivo sio vizuri mumekaa kama sio binaadam ,

  • @RoseMgaya-e7r
    @RoseMgaya-e7r Годину тому

    Watangazaji wasiku hizi nihovyo sana eti umafanikiwa kumpoteza pacha wako huyu nimtangazaji wamchongo, nasikuhizi salamu kwao kwa walio wazidi niheshima yako hovyo kabisaa.

  • @abdiadam236
    @abdiadam236 2 години тому

    Interview kabla ya kujiandaa ni kipaji

  • @AminaKazumari
    @AminaKazumari 4 години тому

    Ulimi hauna mfupa jaman, hakuna mkamilifu zaid ya MUNGU tuu, naomba msamaha kwa niaba yake

  • @saidijuma9386
    @saidijuma9386 5 годин тому

    Huyo kaka yko au baba yko huna adabu

  • @stevensosipita
    @stevensosipita 5 годин тому

    NINGEKUWA MIMI SENGA NISINGEKUJIBU MPAKA UTENGUWE KAULI YAKO YA KUSEMA UMEFANIKIWA KWA KWELI MTANGAZAJI UMEZINGUA SANA

  • @nashonpaul6827
    @nashonpaul6827 4 години тому

    Ety! Dah story inatred kwenye mtandao, hawa waandishi ni wakufukuza kabsa

    • @nickmoshi8243
      @nickmoshi8243 3 години тому

      Serikali inatakiwa iangalie hizi media vizuri kwa kweli

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 5 годин тому

    Wasanii bwana presha,zikapanda,juueti "sijui huko juu.zilienda kufanya nini"?!

  • @kaznakazn3495
    @kaznakazn3495 3 години тому

    We mtangazaji unajielewa ulichokiongea au amefanikiwa kivipi? kuna mtu anafanikiwa kumupoteza ndungu au rafiki muwe munajipanga kumuhoji mtu so mwakurupuka tu

  • @Nasmaabdala-oz2su
    @Nasmaabdala-oz2su 4 години тому

    Ilaa uyuu mtangazaji to murch

  • @PasianiMarunda
    @PasianiMarunda 3 години тому

    D mbili

  • @GraceMadondola
    @GraceMadondola 6 годин тому

    Ila mtangzaji

  • @othumannuru7057
    @othumannuru7057 4 години тому

    Asamehewe tu hakuna mkamilifu ni Muumba pekee

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 5 годин тому

    mtangazaji utafikiri anatangaza uko harusini au burudani au umbea. pumbavu sana

  • @SaraMichael-rc5sn
    @SaraMichael-rc5sn 7 годин тому

    Amefanikiwa kumpoteza rafiki jamani kweli ulimi hauna mfupa

  • @fredcheppe1667
    @fredcheppe1667 5 годин тому

    Rudi shule.....media inahitaji elimu itakayokusaidia namna ya kuzungumza .....

  • @GraceMadondola
    @GraceMadondola 6 годин тому

    Huyu mtangazaji achinjwe

    • @Mina.15
      @Mina.15 5 годин тому

      😂😂

  • @nickmoshi8243
    @nickmoshi8243 3 години тому

    Hivi hawa watangazaji wana akili kweli? Unamuuliza mtu umefanikiwa kumpoteza pacha wako, kwamba alikua anatamani afariki?
    Kumbafu zenu

  • @yohanalukindo3737
    @yohanalukindo3737 6 годин тому

    Mwandishi pumba kabisa

  • @Ummybulla-e1e
    @Ummybulla-e1e 6 годин тому +2

    Madhara takupata d mbil alfu unakmbilia utangazaj ndo hayo sasa

  • @nehemiahmgawe975
    @nehemiahmgawe975 6 годин тому +1

    Amefanikiwa?

  • @paschalseleli2391
    @paschalseleli2391 7 годин тому +7

    Mtangazaji anamuuliza mfiwa eti naona umefanikiwa kumpoteza pacha wako kabisa. Dah, amefanikiwa kumpoteza pacha wake?

    • @itanzaniaAS
      @itanzaniaAS 6 годин тому

      Hawa ni wajinga😂😂

    • @magrethsemindu8699
      @magrethsemindu8699 6 годин тому +1

      Ndio tujionee mambo ya kazi za connection

    • @teonaslaurian5497
      @teonaslaurian5497 6 годин тому

      @@magrethsemindu8699 bongo kweli, nasikia mtangazaji amemuuliza Senga amefanikiwa kumpoteza ndugu yake. Aiseee elimu yake iangaliwe au huenda ana matatizo binafsi pia

    • @kevinsonmtui1709
      @kevinsonmtui1709 4 години тому

      Ndio ujue hata utangazaji licha ni taaluma ila pia kipaji kinahitajika...hapo kakosa jinsi ya kuuliza swali kajikuta karopoka maana huko ni kuropoka..mi ningemtukana

    • @henrybaraka5258
      @henrybaraka5258 4 години тому

      Wengine sio waandishi wa habari by professional...

  • @SosybLuwanda-dk8ms
    @SosybLuwanda-dk8ms 12 хвилин тому

    Watangazaji wetu ni umbwa

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 8 годин тому

    Pore sana