MAMAYANGU KICHAA PART 7 NEW

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 773

  • @Steve_Mweusi
    @Steve_Mweusi  11 місяців тому +200

    VIP DAKIKA NI NDOGO ? AU ZINATOSHAA MAAANA KUNA WATU WANALALAMIKA ETI NYIE MNAONAJE NASOMA COMMENT HAPA

  • @chidzodunda
    @chidzodunda 11 місяців тому +23

    Much love ❤likes kwa baba Sele, Sele mwenywe pamoja na Steve jamani angalau hata kumi 😂😂❤❤❤❤❤❤ iendelee twasubiri😊

  • @maalimali5513
    @maalimali5513 11 місяців тому +35

    Sele Mtoto bora kuwahi kutokea katika tasnia ya uigizaji❤❤❤

  • @ibrahimuselemani4076
    @ibrahimuselemani4076 11 місяців тому +204

    Wakwanza leo,likes za upendo ziende kwa mtoto Sele anajua sana❤🫡🇹🇿🇹🇿likes kwake kama unamkubali🎉

  • @francismuthiani349
    @francismuthiani349 11 місяців тому +75

    Kenya one ..
    ONE LOVE FROM KENYA 🇰🇪. ❤️

  • @user-jy2rj6ng1b
    @user-jy2rj6ng1b 11 місяців тому +12

    Mama ni mama hakuna kama mama
    Na hakuna maisha magumu hpa duniani kama kuishi bila mama wallahi....
    Keep it up Sele 😘😘😘😘

  • @princekillian3640
    @princekillian3640 11 місяців тому +10

    Wakwanza leo from kenya 🇰🇪 much love✊✊

  • @JayKayBryan-ts6go
    @JayKayBryan-ts6go 11 місяців тому +22

    Much appreciated good job from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @chelseafc7522
    @chelseafc7522 11 місяців тому +19

    Best comedian in East Africa..much love from kenya na Steve niliona interview yako ukisema ujui English bana ...wacha tutuagusha.....anyway we are waiting for more comedies to come

    • @innocentboykid2442
      @innocentboykid2442 11 місяців тому

      Kwani English ndo mafanikio ya mtu

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 11 місяців тому +1

      Ajifunze, kujua lugha ni rahisi akiamua .

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 11 місяців тому

      ​​@@innocentboykid2442ni muhimu sana, angalia wasanii kama diamond na harmonize wamejifunza English kwasababu waweze ku contact, kuwasiliana na kushirikiana na wasanii wa mataifa mengine mbali kwasababu communication is very important.

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 11 місяців тому +9

    Saivi ni mwendo wa Da zeti sio Hamad kijicho Tena 😂😂😂 Steve mweusi 🙌🏼🙌🏼

  • @dorrymmbiki8251
    @dorrymmbiki8251 11 місяців тому +7

    Leo na mm wa kwanza naombeni like hata 5

  • @dolphine62
    @dolphine62 11 місяців тому +4

    Uuuuweeeh my favourite waiting part 8 eagerly watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @BAHATIKIBA-ul6wx
    @BAHATIKIBA-ul6wx 11 місяців тому +7

    Moja Kati Ya Somo Kutok Kwa Steve Mwak Huu Ni Hii Movies Kam Unamkubal Mweusi Weka Likes Hapa🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @brianongeso5091
    @brianongeso5091 11 місяців тому +1

    Pongezi sana kwa ubunifu na endeleeni tu na kazi nzuri ya kutuburudisha.🇺🇬🇰🇪mnatambulika

  • @carolnjeri320
    @carolnjeri320 11 місяців тому +13

    Hey guys ... much from love Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Wana kaveve kazoze haroo ❤

    • @alexwaiguru7130
      @alexwaiguru7130 11 місяців тому

      Tupo wengi wakenya 🇰🇪 APA 😂😂 stove angekuwa mkenya tungeringa Sana 😂

    • @leahwanjiku5466
      @leahwanjiku5466 11 місяців тому +1

      Aki wakenya shida yenu n nn. Sasa kaveve apa inakujia wapi

  • @partypulsetv
    @partypulsetv 11 місяців тому +7

    Dope❤...nifikisheni 2k subscribers,niko na mixes kaliii🔥🔥🔥

  • @NyanzobeImmanuely
    @NyanzobeImmanuely 11 місяців тому

    Kiukweli dkk ni ndogo jitaidin muongeze alafu mbona mnatuchanganya muve imeandikwa mama yangu kichaa alfu ukiipley inakuja uchoko mwingine Kiukweli mnatukera mwisho nampenda sana Sele ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ kwake anaweza sana🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ElizabethMwaya
    @ElizabethMwaya 11 місяців тому +6

    Story inafundisha Sana , Mungu awape maarifa zaid❤❤❤

  • @okwarotv
    @okwarotv 11 місяців тому +22

    Kenya we love you bro🇰🇪

    • @ericnibigira6564
      @ericnibigira6564 11 місяців тому

      Bon idée mon frère !moi aussi j'ai besoin la traduction en français ❤🇧🇮💞🇧🇮

  • @charoabdalla6781
    @charoabdalla6781 11 місяців тому +18

    The best of all times...I support you from Kenya broo

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 11 місяців тому +15

    Wale wa Kwanza kuangalia Mama yangu kichaa part 7 tujuane Kwa like. Steve mweusi na Dogo sele nawakubali Sana 👏🏼👏🏼

  • @yusuphmkomwa3427
    @yusuphmkomwa3427 11 місяців тому +1

    Steve wewe ni noma sana series zako zinafundisha sana video zako kali sounda kali DIRECTOR wako ni mnyamaaa sana nimtu noma sanaa

  • @user-ho4pd3qx8j
    @user-ho4pd3qx8j 11 місяців тому

    Ipo sawa Sana DOGO SELE yupo sawa Sana namkubali namtakia kila la heri Mungu amlinde endeleeni kutuelimisha mambo mazuri kupitia vipaji vyenu tofauti tunaelimika kupitia kwenu tupo pamoja nipo ZANZIBAR 💓✨🌹🥀

  • @halimamohammedsuleiman5159
    @halimamohammedsuleiman5159 11 місяців тому +1

    Mtoto sele Mungu akuzidishie kipaji chako MashaAllah unaweza

    • @janeikerra8707
      @janeikerra8707 10 місяців тому

      ❤❤❤jaman huyo mtoto anakipaji

  • @mfalmekitaofficiel
    @mfalmekitaofficiel 11 місяців тому +1

    Oh! Steve mweusi hauna m'pinzani wewe ni number one.

  • @dennisondieki2412
    @dennisondieki2412 11 місяців тому +29

    One love from Kenya 🇰🇪 and Doha 🇶🇦 good work Sele keep going Dogo.

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 11 місяців тому +15

    Much love from Burundi❤❤❤ 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Mashoka-z5e
    @Mashoka-z5e 11 місяців тому +3

    Director Anajua mpk anakeraa😅😅😅🙌🙌🙌

  • @user-mh7hh9sr7y
    @user-mh7hh9sr7y 11 місяців тому +1

    Huyo baba Sere anamsamamo nimemkubali san naomb picha ihiish akiw bdo anamsimamo wak❤

  • @user-we1db3or3t
    @user-we1db3or3t 11 місяців тому +2

    Wao was eagerly waiting for this episode Steve nisamehee kiswahili kigumu hapa kenya

  • @pamelafelix6361
    @pamelafelix6361 10 місяців тому +3

    Mtoto sele❤..... he is very talented boy...

  • @Ekerengatv-045
    @Ekerengatv-045 11 місяців тому +1

    Nice work 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-xw4xc6rw3q
    @user-xw4xc6rw3q 11 місяців тому +12

    One love from uganda 🇺🇬🇺🇬 I love you guys u Mk it ❤

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 11 місяців тому

    Yaan hii move ni nzr nimeipenda san ten san nataman isishe haraka :mscheleweshe inayofuata mi ❤❤❤:mi nataka iwe hata kesho ila ndy hivyo mnaichelewesha itabid niwe na subira ❤nawapenda wote kz nzur

  • @RahmaRamadhan-us3kr
    @RahmaRamadhan-us3kr 11 місяців тому

    Nzuri sana big up Steve mweusi kazi nzuri braza

  • @user-gx9gd9zc3o
    @user-gx9gd9zc3o 11 місяців тому

    🎉🎉🎉❤❤❤❤❤nawapenda bure mko na mafinzo mazuri aki❤love you from kenya🇰🇪

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. 11 місяців тому +3

    Nimechelewa ila niwaombeni like hata tano basi 😢😢😢❤❤ kama kawaida tuh😂😂😢😢

  • @MulababazOG
    @MulababazOG 11 місяців тому

    Kazi nzuri sana hongerani kazi iendelee 🙏🙏🙏🙏

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 11 місяців тому

    Wow pongezi san Steve ❤❤❤❤na wahusika wote

  • @juliuswerema3655
    @juliuswerema3655 11 місяців тому +1

    Fundisho nzur sana mungu awabariki wote

  • @mussayohana8574
    @mussayohana8574 10 місяців тому +1

    Kweli inauma kabisa mama kakamatwa jamani mi nariaa😂😂😂😂

  • @ramadhanihoti2376
    @ramadhanihoti2376 11 місяців тому +1

    Sele na stivu mmetisha sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-of5oi6sz7k
    @user-of5oi6sz7k 8 місяців тому

    mashallha mungu akubariq mtoto sele pamoja na wazazi wako wote❤🎉🙏🇵🇰

  • @lalylaabdi2572
    @lalylaabdi2572 11 місяців тому +1

    Sele baba much ❤❤❤❤❤❤❤wajua kuigiza hii ni mafunzo mazuri sana mama ni mama atabaki kua mama tu❤❤❤❤❤

  • @DullahKinunga
    @DullahKinunga 11 місяців тому

    Pokea maua sere ❤❤❤❤❤usichereweshe episode 8 jamni tunakutegemea

  • @Piusbasilio
    @Piusbasilio 11 місяців тому +4

    Mimi leo wakwanza naombeli like apa

  • @guellordrachid2875
    @guellordrachid2875 11 місяців тому

    Sapoti sana kwa dogo sele.....nawafata toka congo drc 🇨🇩

  • @mohammedganyuma3445
    @mohammedganyuma3445 11 місяців тому +1

    ❤🎉🎉 ongereni nyote hii series naipenda sana❤❤❤

  • @leahwanjiku5466
    @leahwanjiku5466 11 місяців тому +3

    Madly addicted to this movie, much love from Kenya ❣️🥰🥰🙏😍🤩 you please

  • @namyamaravin7731
    @namyamaravin7731 11 місяців тому +1

    Much love from kenya and Canada kaka mama ni mama awe jisi

  • @princessediana-bo4sk
    @princessediana-bo4sk 10 місяців тому +1

    Enyewe mama ni mama tu ata awe Nani ❤❤❤❤❤

  • @user-om7sd7no7v
    @user-om7sd7no7v 11 місяців тому

    Dogo sele mungu akuangazie na akulinde na kila husda nakupenda saana my son

  • @NiyonkuruZiada-ik2gi
    @NiyonkuruZiada-ik2gi 11 місяців тому +13

    One love from burundi❤❤❤

  • @nellynelima9856
    @nellynelima9856 11 місяців тому +5

    Much love you sele na Steve from gulf ❤❤❤❤

  • @dorcahnyabo4713
    @dorcahnyabo4713 11 місяців тому +11

    much love ❤ 😍 from Kenya 🇰🇪 and Qatar 🇶🇦

  • @AizakJohnsikumoja
    @AizakJohnsikumoja 28 днів тому

    duuh!!, sele, na mweusi mko vizur, msikate tama mko vizur, ongezen ubunifu, namungu awa inuwe zaidi kwa ubunifu

  • @officialvane
    @officialvane 11 місяців тому +4

    Much love ❣️❣️❣️, watching from Kenya

  • @TumreshAthuman-il1vo
    @TumreshAthuman-il1vo 10 місяців тому

    MashaAllsh inamafunzo nimependa

  • @WitnessMaira-zq4fr
    @WitnessMaira-zq4fr 10 місяців тому

    Napenda sana jinsi mnavyofundisha jamii yetu kuhusu hiki kipind

  • @Bableshir002
    @Bableshir002 11 місяців тому

    Kitu Kali kaka zangu ongeza dakika kwa kweli ndio naenjoy

  • @zenakioga6567
    @zenakioga6567 11 місяців тому

    Bonge la movie na linafundisha zaidi ya mafunzo hongereni washiliki wote Kazi nzuri sn

  • @emily9744
    @emily9744 11 місяців тому +9

    ONE LOVE FROM .🇰🇪👍

  • @GodwinMgongo-xi2bm
    @GodwinMgongo-xi2bm 11 місяців тому +2

    Wakwanza Leo jamani nipeni like zangu

  • @aminaas8144
    @aminaas8144 11 місяців тому +8

    Love from burundi🇧🇮

  • @ShaniShebila
    @ShaniShebila 11 місяців тому +5

    Selemani pole mam😂mam atapona ❤❤🎉

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 11 місяців тому +6

    Much love from 🇧🇮 ❤❤❤

  • @noellahmakorongo5473
    @noellahmakorongo5473 11 місяців тому +1

    Dogo sele nampenda sana Jamani ❤❤good job steve msichelewe sasa episode nyingine 🤗

  • @user-tu2wl3fp3w
    @user-tu2wl3fp3w 11 місяців тому +12

    Keep it going dogo u are doing well❤

  • @user-tc5le7sv7t
    @user-tc5le7sv7t 11 місяців тому

    Lini yatapita 😢jmn ali inazidi kuwa mbaya zaidi 😢😢 asanteni kwa mafunzo mazuri 🙏😘😘❤️👌❤️

  • @Hidaya-t3t
    @Hidaya-t3t 11 місяців тому

    Nzuri sana tena sana,ila fupifupi sana na dk ni chache mnooo

  • @BrendaMuhonja-y6s
    @BrendaMuhonja-y6s 23 години тому

    Neema ya Mungu inatosha🙏my sister Mercy and the team keep glowing ❤

  • @user-fc1gw1gv9q
    @user-fc1gw1gv9q 11 місяців тому

    Kali sana hongera dogo❤❤❤

  • @kevineakimana4431
    @kevineakimana4431 11 місяців тому +2

    Mimi wakwanza jamani naomba likes zangu

  • @user-nw7ri6yz2k
    @user-nw7ri6yz2k 11 місяців тому +1

    Ningetamani kumuona mama sele arikuanamwanae sele nainapona papa sele ulichomufanyia mukeako mubaya huowapili nimekipenda Sana 😭😭😭🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @user-ld4iz7cb8n
    @user-ld4iz7cb8n 11 місяців тому +1

    Congratulations on Steve mweusi and my young brother dogo sele ❤❤❤❤

  • @user-ue1xn4td6y
    @user-ue1xn4td6y 11 місяців тому +1

    Kwa ukweri nasema Hongera sana!! Mambo anaenda vizuri sana!!! Steve, Asante Sana kbs 👏👏👏

  • @ntucufosaidesaide380
    @ntucufosaidesaide380 11 місяців тому

    Nawapata kutoka MOZAMBIQUI,iko Poá sana iyo hii move!

  • @jeanlouis1539
    @jeanlouis1539 11 місяців тому +6

    Much love from Burundi❤❤

  • @ke1shavohbryo
    @ke1shavohbryo 11 місяців тому

    From kenya Steve na Dogo kazi yenyu tunaipenda sana

  • @addinnocentkalifaria514
    @addinnocentkalifaria514 11 місяців тому +5

    One of the best clips ....keep it up guys❤

  • @damarisnjerichege100
    @damarisnjerichege100 11 місяців тому

    From kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.. following keenly

  • @RidaThedone
    @RidaThedone 8 місяців тому

    Yaan huyu mtt mungu ambaliki kpaji chake kizd kukua

  • @user-ef1xp6sj8k
    @user-ef1xp6sj8k 11 місяців тому +1

    Number one Leo marafiki like hata 5 tuu

  • @miswaleheshauri605
    @miswaleheshauri605 11 місяців тому

    Mafunzo big up wahucka wote

  • @JacqueSangu
    @JacqueSangu 11 місяців тому

    Mtoto sele Allah azidi kumlinda akuze kipaji chake inshaallah

  • @user-tf9ui4hq9l
    @user-tf9ui4hq9l 11 місяців тому

    Nawapenda sana from American❤❤❤❤❤

  • @haluwahavla9740
    @haluwahavla9740 11 місяців тому

    nmejifunza ktu kwa kweli i movie iko vzr xna na pia ina mafunzo katka jamii ❤❤❤❤

  • @pamelaemmy8180
    @pamelaemmy8180 11 місяців тому +15

    😭😭😭😭😭I LOVE MOM❤

  • @user-rj9io4nk8c
    @user-rj9io4nk8c 11 місяців тому

    🎉🎉🎉 Najibamba nikiwa Kenya pamoja sana

  • @purity134
    @purity134 11 місяців тому +7

    You're the best Dogo

  • @khadijamoss293
    @khadijamoss293 11 місяців тому

    Muendelezo jaminiiii mnafanya vizuli❤nawapendasana

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 11 місяців тому

    Hongera sana dogo sele ❤❤

  • @musafiridieudonne8167
    @musafiridieudonne8167 11 місяців тому +6

    I like you guys from USA 🇺🇸

  • @user-fe4st6io3x
    @user-fe4st6io3x 11 місяців тому

    Yaaan uyo mtoto mungu amsaidie afike mbal

  • @user-ir9xj5yt5p
    @user-ir9xj5yt5p 11 місяців тому

    Dakika ongeza kidogo mna n fupi,lkn pia inamafunzo mazri sana much love sele ❤❤❤hii n nzuri kw mma wote good job mungu awasongeze mbele zaidi

  • @user-be9zj6fw1c
    @user-be9zj6fw1c 11 місяців тому

    Congratulations sele mama ni mama hta km nikipofu

  • @user-jf4eb4br3x
    @user-jf4eb4br3x 11 місяців тому

    Nawapenda sana. From Rwanda

  • @salmahoperi9783
    @salmahoperi9783 11 місяців тому

    Nakupenda Sele Kwa kumpenda mama yako

  • @nicodemusmusyoka7449
    @nicodemusmusyoka7449 11 місяців тому

    Brasa unafanya makuu sana,,naipenda

  • @HannaWambui
    @HannaWambui 11 місяців тому +2

    Much love to all team mamangu kichaa loves you from kenya