Leten season two plzplzplz guys hii movie n nzuri xna na pia iko na mafnzo kwnye jamii nzima hongereni nyote mulio shiriki ili kuweza kuborexha hii movie big up xna kwa kazi nzuri❤❤❤❤
Oyaa team strong tuko nao bampa to bampa km wapenda mama yangu kichaa like apa walai love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 team strong wapi like zangu jmn nawapenda walai n mtoe ingine please 🙏
Mwisho wa Ubaya ni aibu Hatimaye Kidawa, Loveness na Bhailam wameumbuka. Tumejifunza vitu vingi kupitia MAMA YANGU KICHAA ❤🎉. Kama upo pamoja na Mimi gonga like nyingi kwa Steve mweusi wetuuu 🎉❤
Watching from Kenya ,,i lik de paster,,,,mama sele ,baba sele,,sele mwenyewe,,,na Wote walio cheza fulamu hii,,, Ktk mwanxo hdi mwisho.... Steve....kazi safiiiiii,,,,❤❤❤
Picha hii nzuri Sana Steve tunaomba endeleza naona haijasha tuonyeshe Aziza akishi maisha mapya akiwa muzima mufano akiolewa pia tuwaone kidawa nayule mwanamke alimutesa sele akimuona sele yupo namayake
Mungu awabariki nyinyi nyote kwa ujumla msamee kaka yako tafadhali plz lakini imekuwa kipindi kizuri sana mimi kama mweheshimiwa wa taifa la kenya nimewavulia kofia kabisa mbarikiwe sana kabisa mola awalinde zaidi stive na wenzazo mungu awabariki na jamii kwa ujumla. Nawatakia kila la heri mnapo jiandaa kwa kipindi kingine❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Masai umezingua apa ilitakiwa aziza aonyeshe Ni jinsi gani anamsamehe bailamu na bailamu ataishiji ikiwa Kam ndg yake amelewa kila ktu kuhusu yye by dg Dach mataa ya veta kamata machiga naimani ww unanijua Sasa bac. ❤ Jua hyooo anaekosoa ndio mwalimu wako wa Sanaa
Kwaza hii inafundisha sana tena sana ukiachilia hayo mm nimependa mlivoungana vikundi nadhani vitatu kwakweli mtazidi kwenda mbele mkiungana kama hivi kama hii muvi ni yasele basi hongerayake na nyinyi mzidi kuungana❤❤❤❤
Asanteni kwa kushirikiana nimefarijika kumuona Kevin kan na Braun Hongeren kelvin nazipenda kazi zake Sana uyukaka mungu akuongoze kakaangu naitwambuga diwani natokea tanga duga ila kwasasa nipo omani nafarijika Sana nasanaa yako huwa na kufuwatiliasana
hongereni Sana kiukweli ata Mimi hii filamu imenipa funzo kubwa Sana tunawaombea muondelee kuifundisha jamii kupitia nyinyi watajifunza mambo mengi Sana ahsanteni sana👏👏👏👏👏👏
This is fantastic and tangible movie it teaches alots of lesions congratulation nyote mlioshiriki much love ila mungeongezea kdg tuone kma aziza ataolewa na baba sele na sele pia ataperform vzr drasan ama
No shortcut to richness... Tufanye kazi kwa bidiii na asante kwa kuigiza filamu yenye mafunzo makubwa. God bless you familia ya steve.much love from Kenya❤❤❤
May the Mighty God always protect our parents and children and may He always help us make wise decisions about our lives....nice job Steve I have always been emotional but kazi nzuri kweli🇰🇪🇰🇪
Tamthilia ilyojaa wingi wa maisha tunayoyaishi mafunzo tele, sele kacheza role moja ajabu. Asante sana mweusi family mbarikiwe sana, waiting for part 2🩷🩷🩷🩷🩷
Mimi kama Mimi nimependa tamsilia kwa sababu muna mafnzo mazuri sana kaka svu nimepanda sana tu tunatan utowe zaidi yahii kaka nashikuru sana ❤❤❤❤❤😊😊😊😊
Mashallah hapo kweli Aziza ulizeza vizuri sana na hata mwisho wake mmemaliza poa japo tu ukutoa tamko la kumsamehe bhaila hila umetisha dada unashahili pongezi🤝👏👏👏👏👏👏
Bro kwawewe kulala na Aziza kitandani inabidi aoge saaaaaana na aoshe meno vizuri kwasababu alikuwa kichaaa😭🤣😂🙏🙏 Mimi APA Tangu Congo 🇨🇩🇨🇩 Bey kwaheri 👋
Hii tamthilia inaeleza wazi tu vile hii dunia matukio yanafanyika kila kuchao. Kweli usimuamini yeyote katika maisha yako hata dugu wa familia duh!salute steve from kenya
Merci beaucoup mon petit frère sele j'aime cette série grâce à toi-même. Sans oublier monsieur Steve est les autres membres qui ont joué ce série que DIEU vous bénisse.
Kiukwer video nying sana tunafatilia na ni nying sana mnaaza mwazo mzur lakn kwenye umalizaj wenu yaan finnal episode mnazingua mwishon lakin hii mmeuwa 👍👍👍👍👍salute kwenu tunasubr kitu kingne apa🥰🥰tunawakubal sana 💥💌
ASANTE WOTE TUMEFIKIA MWISHO WA TAMTHILIA YETU TOA MAONI YAKO HAPO CHINI 🙏
Mimi naitaji mtowe nyingi sasa iyi nimeona tumefikia mwisho 💪💪💪
Mniajiri pia mimi ni actor
Mwisho wa ubaya ni aibu safiii
Steve mambo vipi,naipenda kazi tokea Canada
Good job stev
Hongeren saaan Steve mweusi kwa kazi nzuri mpe maua yake aziza🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌹🌹🌹 na kaka mkubwa alokua anaishi na sele🌹🌷🌹🌹💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏
Leten season two plzplzplz guys hii movie n nzuri xna na pia iko na mafnzo kwnye jamii nzima hongereni nyote mulio shiriki ili kuweza kuborexha hii movie big up xna kwa kazi nzuri❤❤❤❤
Jmn mbn iishe kwa kweli nmejfunza ktu hongereni xna kz nzuri
Oyaa team strong tuko nao bampa to bampa km wapenda mama yangu kichaa like apa walai love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 team strong wapi like zangu jmn nawapenda walai n mtoe ingine please 🙏
Yaaa!
Asante mm nashukuru Sana kwawote mulezi wasele mungu akubariki tumejifunza mengi Sana mu enderee kutupa funzo mweusi nakukubari nawapenda sana ❤❤❤❤❤
Bairam angeonyesha mshangao . "Aziza! Umepona Dadangu?!"Watching from+254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯💯🔥❤️🔥❤️
💯💯💯💯💯💯👍Umeweza kaka Steven hongera tumejifunza vingi sana🙏
Mwisho wa Ubaya ni aibu Hatimaye Kidawa, Loveness na Bhailam wameumbuka. Tumejifunza vitu vingi kupitia MAMA YANGU KICHAA ❤🎉. Kama upo pamoja na Mimi gonga like nyingi kwa Steve mweusi wetuuu 🎉❤
Mungu ni mungu tu mutupe sesoin ya pili❤❤❤
Wooow ,Soo amazing ,,ñatamani kuwa muigizaji pia❤
Mashaallah kazi nzuri
Alhamdulillah usifanye ubaya kwa mtu kesho atakusaidia
Hahahaha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ni nzuri sana inaelimisha nilitamani sana iendelee asante Steve Mweusi na sele
Stivu endelea kukuza hichi kipaji cha huyu sele mungu atakulipa😢😢😢 maana hatujui bila kumshika mkono ingekuaje❤❤❤❤ stiv kua nae sele
Yaaan mnajuaa movie nzuri yenye mafundisho mazuri❤❤
Watching from Kenya ,,i lik de paster,,,,mama sele ,baba sele,,sele mwenyewe,,,na Wote walio cheza fulamu hii,,,
Ktk mwanxo hdi mwisho....
Steve....kazi safiiiiii,,,,❤❤❤
Wow tuli enjoy kbisa film nzuri saana tunawapenda saana❤❤❤❤
Ndugu zangu kwa kweli mnajituma sana hongereni sana Mungu awape vipawa zaidi na zaidi
Huyu sele anamoyo watu wazima wanalia yeye anamudu dahh umekua kabla ya umri mwanangu ❤️❤️❤️❤️❤️
Wakwanza leo from kenya 🇰🇪much love 🔥🔥🔥✊
Sele unajuwa unjuwa na unajuwa tena mungu akukuze ufanikishe malengo yako amin ishaallah
Axnte sana Steve na members wako❤❤❤Much love frm 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Alfu Sele mungu akuajalie kila la her uweze kusonga mbele🙏🙏🙏
Merci
Much love from kenya mungu awajalie kwa hilo funzo umetufunza steve na wenzako
Great from Kenya ,keep it up guys Sasa hapa mmeanza kuiba akili zetu kutoka Nigeria to Tanzania jirani wetu❤
Baba sele saf San Kwa kaz nzur ❤❤unajua kuigiza mungu akutie nguvu
Much love from Kenya 🇰🇪 ❤❤❤❤❤❤❤
MUNGU NA WABARIKI SANA TEAM NIMEYAPATA MAFUNZO MENGI
Mambo
bahar inapoamua kujisafixha bc uchafu wote anauwondoa ,,,ahsante mchungaj, pia xhukran dokta,sele,mr hanc,stev,. Na yuleeeee aliyempa maziwa
Ulimwengu unachakujifunza kupitia hii tamthiliya ...🙌🙌🙌🇹🇿🇹🇿KEEP GOING STEVEN AND ALL YOUR GROUP MEMBERS
Mapato classic apa ❤❤ naomba maua yangu Mimi ndowamwisho
Nimefwatilia mwanzo mwisho, na nmejifunza mambo mengi sana. Thanks from🇰🇪
Umenibariki sana baba mlezi wa sele kwa misimamo nawaivizaji wote 💪💪💪💪
KWA WALE TULOKUWA NA HII SERIES MWANZO MWISHO WEKÀ LIKE KUTHIBITISHA STEVE KAFANYA KAZI ÑZURI
Picha hii nzuri Sana Steve tunaomba endeleza naona haijasha tuonyeshe Aziza akishi maisha mapya akiwa muzima mufano akiolewa pia tuwaone kidawa nayule mwanamke alimutesa sele akimuona sele yupo namayake
Mimi wa kwanza leo😊 like ziwe nyingi
Mungu awabariki nyinyi nyote kwa ujumla msamee kaka yako tafadhali plz lakini imekuwa kipindi kizuri sana mimi kama mweheshimiwa wa taifa la kenya nimewavulia kofia kabisa mbarikiwe sana kabisa mola awalinde zaidi stive na wenzazo mungu awabariki na jamii kwa ujumla. Nawatakia kila la heri mnapo jiandaa kwa kipindi kingine❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Never give up sirisi nzuri sana yenye mafunzo, kwanza bongezi kwa Dogo sele ku.uleta mama nyumbani hongera twawabongeza sana love❤❤❤❤ from kenya
Gktjhujukkhkhj❤🎉🎉
Masai umezingua apa ilitakiwa aziza aonyeshe Ni jinsi gani anamsamehe bailamu na bailamu ataishiji ikiwa Kam ndg yake amelewa kila ktu kuhusu yye by dg Dach mataa ya veta kamata machiga naimani ww unanijua Sasa bac. ❤ Jua hyooo anaekosoa ndio mwalimu wako wa Sanaa
Great job Steve with all of your members ,,, congratulations and much love❤❤❤ to you🇰🇪🇰🇪
Nimeipendanda sana kwaanziamwanzo mpaka imefikia mwisho ilakwamm naikubali sana naomba iendelee ilikwawamam wangine wajifu
Nz
Much love from Uganda 🇺🇬, kwanini mwisho jamani 😢
Nzuri sana kazi nzuri Steve mi shabiki yako ❤❤❤❤
Much love...guys you're doing a great job watching from kenya🇰🇪
Hongera Steve na team Yako Kwa jumlà kazi nzuri sana🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳hongera Kwa dogo sele you nailed it🔥🔥🔥🔥🔥🔥shabiki weni toka kenya
Much love from kenya mama yangu kichaa ina funzo zuri sana mungu awabariki ndugu na kakazetu wote🤲🙏❤❤❤❤
Kwaza hii inafundisha sana tena sana ukiachilia hayo mm nimependa mlivoungana vikundi nadhani vitatu kwakweli mtazidi kwenda mbele mkiungana kama hivi kama hii muvi ni yasele basi hongerayake na nyinyi mzidi kuungana❤❤❤❤
Kazi nzuri Steve ❤ more love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asanteni kwa kushirikiana nimefarijika kumuona Kevin kan na Braun Hongeren kelvin nazipenda kazi zake Sana uyukaka mungu akuongoze kakaangu naitwambuga diwani natokea tanga duga ila kwasasa nipo omani nafarijika Sana nasanaa yako huwa na kufuwatiliasana
Asante sana kwa movie yenye mafunzo babake sele kazi nzuri kwa kurudisha furaha kwa Sele ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kazi njema Steve na timu yako❤❤
Movie nzuri tumejifunza sana pia mwendelee kutuelimisha Manyingine nyingi zaidi 🥰🥰🥰🥰🥰
Big up kwa baba sele ..ameutendea haki uhusika wake vyema👏👏🔥🔥
hongereni Sana kiukweli ata Mimi hii filamu imenipa funzo kubwa Sana tunawaombea muondelee kuifundisha jamii kupitia nyinyi watajifunza mambo mengi Sana ahsanteni sana👏👏👏👏👏👏
Nimependaaa sanaaa inaaa fundisha jamiiii seleee mtoto mzurii snaaa ❤❤❤❤❤❤
This is fantastic and tangible movie it teaches alots of lesions congratulation nyote mlioshiriki much love ila mungeongezea kdg tuone kma aziza ataolewa na baba sele na sele pia ataperform vzr drasan ama
Kama wewe ni Team Steve gonga like hapa ili Twende mbele ❤❤❤❤
Much love from malawi ❤❤❤❤❤❤ baba sele kwa upendo wako kwa mwanawo sele 🎉🎉🎉 hongela sana dogo sele kwa upendo wamama nimejifuza sana
Sijachelewa leo naikubali tena sana💜💜
Apana naomba uwendelee tena nawapenda saaaaaana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
No shortcut to richness... Tufanye kazi kwa bidiii na asante kwa kuigiza filamu yenye mafunzo makubwa. God bless you familia ya steve.much love from Kenya❤❤❤
Hakika kazi ni nzur Saana mungu azid kuwaongezea marifa ili mtuletee kaz zingne nzur hata kushinda hiiii🎉🎉🎉
May the Mighty God always protect our parents and children and may He always help us make wise decisions about our lives....nice job Steve I have always been emotional but kazi nzuri kweli🇰🇪🇰🇪
Mma ni mma ata akue kipofu.
Mwisho waubaya niaibu bhailamu umepata nini sasa sumeambuliya patupu asante Steve tumefika mwisho mungu akubariki kwa mafunzo yako❤❤
Wow tumejifunza kwakwel 😢😢Asanten team Steven Mweus ila viewers tunakua wengi kuliko kulike kwann?? Nimeipenda ❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏
Niaye dongo selemani
Asante sana kwamuendelezo nawapenda sana dogo sele seven mungu awabariki sana tulikuwa wote mwanzo hadi mwisho nawapenda sana🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Leteni part 2 kindly this was so awesome.. Congratulations sana babu kweli umeweza nimeipenda sana tamthilia yako....hongera zaidi babu steve
Mma wa kambo wanateza sana.Wanaume jifunze kukaa karibu na watoto wenu msiwpajie mma kambo
Nakubal Xan , Thanks Kwa Ushaur Wenu Team Mweusi Najuw Mpak Hap Tumehelimik Vya Kutosha , Nawaombeni Likes Hat 100 Kam Mnakubal Huu Moto🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tamthilia ilyojaa wingi wa maisha tunayoyaishi mafunzo tele, sele kacheza role moja ajabu. Asante sana mweusi family mbarikiwe sana, waiting for part 2🩷🩷🩷🩷🩷
This was fantastic and tachable movie with a lot of lessons. Congratulations ❤❤❤
Nimekuwa wa Kwanza kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 naombeni likes zenu ndugu zetu🎉
Wakenya tuko wengi
Mumeweza mumeweza tena kazi nzuri 🎉👏👏👏👏
Mmetisha sana sana,big up tumeinjoy na kuelimika❤
Mimi kama Mimi nimependa tamsilia kwa sababu muna mafnzo mazuri sana kaka svu nimepanda sana tu tunatan utowe zaidi yahii kaka nashikuru sana ❤❤❤❤❤😊😊😊😊
Great job brother 💯💯 from Nairobi Kenya
Sai mwisho steve auna maneno uko washini Sana ongeya nami nikupemaneno maneno nakupenda uingize upate nauli
Thanks a lot it was educative and enjoyable be blessed ❤❤much love from kenya🇰🇪
Mashallah hapo kweli Aziza ulizeza vizuri sana na hata mwisho wake mmemaliza poa japo tu ukutoa tamko la kumsamehe bhaila hila umetisha dada unashahili pongezi🤝👏👏👏👏👏👏
Creativity at it's best❤❤❤
Tumekua sambamba mwanzo mpka mwisho congratulation steve tunategemea kingin kitu kipya love from Qatar ❤❤❤burundi
Congratulations for this, waiting next episode 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kiukwel.hii
Sinema.imeniu 14:05 you zunisha.nakunifundix.mengi.mungu.awabariki.omy.kutoka.mbs
Much love from Kenya ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Nice iko naafunzi Sana
Jaman kwann iwe mwisho
Bro kwawewe kulala na Aziza kitandani inabidi aoge saaaaaana na aoshe meno vizuri kwasababu alikuwa kichaaa😭🤣😂🙏🙏 Mimi APA Tangu Congo 🇨🇩🇨🇩 Bey kwaheri 👋
🎉🎉🎉🎉🎉❤ much love from kenya
Hii tamthilia inaeleza wazi tu vile hii dunia matukio yanafanyika kila kuchao. Kweli usimuamini yeyote katika maisha yako hata dugu wa familia duh!salute steve from kenya
Love from Mozambique 🇲🇿🇲🇿
Nimeipenda sana Toka mwanzo Hadi mwisho Sele pamoja na mlezi wako mmenifurahisha sana pokeen maua yenu❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wakwanza kuangalia naomba like zenu
Nawa kibalisana kbs umeanza vinzuri namume maliza vizuri nawaku bali mungu awa baliki nyote bila kusahahu stive mwehusi
This is fantastic much love from Kenya ❤
Maoni movie mzuri Sana unaweza kutuletea nyingine zaidi tutapokea vizuri ❤❤
Movie with a lot of lessons much love from Qatar 🇶🇦
Merci beaucoup mon petit frère sele j'aime cette série grâce à toi-même. Sans oublier monsieur Steve est les autres membres qui ont joué ce série que DIEU vous bénisse.
Love from KENYA❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hakika namkubali sana dogo sele dogo endelea basi kuchapa kazi mdogo yangu
Big up steeve kwa kumtoa dogo sele , hongera sana
Kiukwer video nying sana tunafatilia na ni nying sana mnaaza mwazo mzur lakn kwenye umalizaj wenu yaan finnal episode mnazingua mwishon lakin hii mmeuwa 👍👍👍👍👍salute kwenu tunasubr kitu kingne apa🥰🥰tunawakubal sana 💥💌
Much love from kenya be blessed 😂😂😂😂😂❤
Mungu awabari'i,, nima mfuso kubwa🎉🎉🎉🎉🎉,,, Kaka sele,,,santé sana,, kwa amende leo
much love from Burundi🇧🇮❤❤❤❤
pongezi kwenu kabisa ndugu ah mumeniliza nai tamsiria nimezoweya kucheka tu kwa Steven lakini iyi imeniliza
😂😂😂😂 Pastor Mirambo fireee🔥🔥🔥🔥