Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
BABA LEVO AFUNGUKA KUMPOKONYA SIMU ASMA "TUKIGOMBANA NAKUPOKONYA VITU VYANGU"
Вставка
- Опубліковано 21 бер 2024
- www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Safi sana baba levo kila mtu asepe na chake
baba levo nakukubali
Legendary Festival
akaaa e sifa zote zile kwa Asma ndo kalipwa hivii najua levo ulikasirika Asma alipochukia upuuzi wenu ulitaka aungane na weye kumtusi mama tuby
Hadi mwenyewe anaona aibu, looh ukanyang'anye simu kweli jameni😅😅😅
Wee naona watu wanasema nisingerudisha sim mm nliwahi shikiwaaa ukutani na bisu nkaambiwa unatoa sm utoii kisaa nimemwambia sikutaki tenaa weeee nlimrudishiaa mwenyeeee japo roho iliuma mbwaa yule😅😅😅😅 cha kufiaa nini😂😂😂😂
😂😂😂😂
🤔🤔🤔🤔🤔
Duh aise kweli chakupewa usikitegemee una Roho mbaya sana
Toa na ww tuone😢😮
😂😂😂😂 dah
😂😂😂❤️❤️😂😂😂
Baba levo yupo sahihiii
Hahahahaaà.hata Mimi naichukua akanunuliwe nahiyo aliye naye mbwa kabisa
Kwa hili huyu jamaa mshamba. Kweli kusoma ni muhimu😢😂😂
Kaaiyo kusoma kunaingiaje hapo nyie mnajiona mmesoma ni mafara sana ndo maana mnaishia kushikwa makalio mjin
Kumbe uko ivo😅😅😅😅😅😅
Mwanaume ovyo
😂😂
😂😂😂et kuwaamin wale kama wataendelea ni shughul🤣🤣🤣
Hako kanaongea kisa ka mdada angekua yeye angeacha saivi tunachukua tukiwapa 😂😂
Nkikupa k2 ujue nakpenda kama ukiniuziiii nakunyanganyaaaaa
Yaani wabongo kazi ni domo kaya
Mwanaume bure san huyu
Mtu wa hovyo kabisa, roho ya kimasikini hiyo.
Acha baba levo kimia
Misikurudishi ulimgaragaza bure😢
Mwenzangu nakata kiuno Kwa ufundi mgongo wote wa moto umeinjoi mpak ukanihonga Leo uje unipore weee! masihara kabisaa
Mwanaume wa hovyo. Sasa baba levo nae ni Mwanaume wa kuwa nae wanawake na nyinyi hamjielewi
Ukute bwan wako hana hata nusu ya maisha ya baba levo alafu acha roho mbaya
Acha njaa tukiachan rudish vitu
Ww mwenyew akipita kwenye Anga Zako hukatai tunajua tu
Hata wewe kuna wanaume wakuona wa kawaida saan, wala hakuna sababu ya kumdharau mwingine
Hili ni li ng'ombe kweli
Upo sahihi baba yake na levo😂😂😂
Tangu Harmonize amupige Baba Levo..Baba Levo amezima hakuna mbwembwe za Dubai na China tena ⚠️😭😭😭 🦇🦇🦇🦇🦇🦇🦇🦇🦇🦇🦇🦇🦇🦇
Kwani harmoniz ndo alikua ana mpeleka huko mbona wa bongo washamba sana
Kwan alikuwa amewaka
Wew mie sirudishi 😂 labda Uje na mabomu 😂😂😂
queenmilan mbona nawewe uko vovyo