UTACHEKA BABA LEVO ALIVYOMTANIA MR MANGURUWE ,DODOMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 53

  • @GideonKweka
    @GideonKweka 3 місяці тому +4

    Ila bongo bhana uongo maelfu ya nguruwe kumbe ni 12

  • @ZATIUNISaidi
    @ZATIUNISaidi Місяць тому

    Jamani tuchangamkie fursa twendeni tukamwone dokta guruwe na mlimaji vanila maarufu,duniani ,maana hii kichwa siipatiagi jibu lakini anapata hela,na atawatapeli wawekezaji mwisho atakuja kunyongwa,tapeli ila ukila naye kiakili unapata hela

  • @frankmtavangu5517
    @frankmtavangu5517 3 місяці тому +2

    Ila huyu jamaa😂😂😂😂

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 3 місяці тому +3

    Huyu mr Manguruwe ni tapeli mkubwa..ametapeli watu wengi sana kwenye kilimo cha vanilla na parachichi

    • @dottomabula7253
      @dottomabula7253 3 місяці тому

      Uvivu Uvivu Uvivu Uvivu Uvivu na siyo kutapeliwa , mdanganywa KAZI na utajiri wa haraka, Vijana lazima ufanye product Yako na siyo kujisikiza kwa mtu

    • @dottomabula7253
      @dottomabula7253 3 місяці тому

      People should understand crystals clear
      Wawekeze wenyewe in multiple projects to diversify our economy ndo Siri ya utajiri

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 3 місяці тому +2

    Nikweli kabisa nitapeli

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 3 місяці тому +2

    Uyu jamaa akil yake kama awo nguruwe

  • @michaelamachary5316
    @michaelamachary5316 3 місяці тому +1

    Duh, inasikitisha kwa kweli

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 3 місяці тому +1

    Baba levo usiwe unamtangaza uyo jamaa atakualibia ...utaonekana nawewe akili yako baba levo kama uyo jamaa...mimi kama shabiki yako baba levo uyo jamaa anakualibia bwana ..usimpromoti uyo chizi manguruwe baba levo nawewe...wewe unamashabiki wakislam unatukwaza baba levo...mim sijapenda baba levo..uyu jamaa manguruwe hana akili ata moja ...baba levo uyo jamaa anakuharibia bwana usimpromoti

  • @amenipafungo8733
    @amenipafungo8733 Місяць тому

    Nguruwe aliumbwa na Mungu kwa makusudi mengine katika na siyo kwa chakula. Mungu katika NENO LAKE Amekataza sana ulaji wa nyama ya Nguruwe. Wanadamu wote wanaokula Nguruwe watapata adhabu kali sana na hawatakuwepo katika ufalme wa Mungu.

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 3 місяці тому +2

    Hawa jamaa maongo kisha yanasahua mara nguluwe mia tatu mara elfu na na mia tatu

  • @mwanyulatz
    @mwanyulatz 2 місяці тому

    Mbona kama kawehuka uyu mr

  • @AminaRozey
    @AminaRozey 3 місяці тому +3

    huyu ndo aloanzisha VANILER VILLAGE kule zanzibar na kutapeli watu ..

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 2 місяці тому

    Sasa niny kwan watu wotee wanatumia nguruwee, kil mnyam ana Hak awepoo

  • @elisantemrita9490
    @elisantemrita9490 3 місяці тому

    Wewe tuliza kipara
    Huwezi kulinganisha ngurue na ngombe nisawa na kulinganisha nyanya na thahabu

  • @YonaDaud-fu5mw
    @YonaDaud-fu5mw Місяць тому

    Huyu jamaa na kampuni yake ni tapeli wazoefu.
    Hawalipi watu wengi sana na malalamiko ni mengi sana
    Ushauri wa Bure ACHENI KUWEKEZA KWAKE NI MATAPELI WAKUBWA

  • @frankmtavangu5517
    @frankmtavangu5517 3 місяці тому

    Nguruwe wamethibitishwa na tbs.kutoka ujerumani

  • @michaelamachary5316
    @michaelamachary5316 3 місяці тому +1

    Jinga kweli

  • @daudysanga8492
    @daudysanga8492 2 місяці тому +1

    Tapeli ww

  • @hassanplan.b7815
    @hassanplan.b7815 3 місяці тому +4

    yeye pia ana akili kama nguruw

    • @ShabanMainde
      @ShabanMainde 3 місяці тому

      😅

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 3 місяці тому

      Ndomana ana hela kuliko wewe mwe akili kama ngamia

    • @bonifacewanyonyi3555
      @bonifacewanyonyi3555 3 місяці тому

      😂😂😂😂

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 місяці тому +1

      ​@ramadhanmahongole NYAMA YA NGURUWE IMEJAA MAMALIONI YA FUNZA NDIO SIFA YAKE NA NGURUWE WANAKULA VINYESI MCHAFU USIMFANANISHE NA NGAMIYA KABISA

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 місяці тому

      ​​@@ramadhanmahongole9293HIZO HELA WEWE UMEZIONA???

  • @EmmanuelNdahya-ud5nj
    @EmmanuelNdahya-ud5nj 3 місяці тому +2

    Kapime akili kwanza ndo ufanye biashara

  • @ayubually5084
    @ayubually5084 2 місяці тому

    mi namuelewa

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 3 місяці тому +1

    Uyu sio makonda alimwita mzalisjaji wa vanila

    • @brianbaltazar6198
      @brianbaltazar6198 3 місяці тому +2

      Ndio huyu..ni tapeli mkubwa sana ametapeli watu wengi sana kwenye kilimo cha vanilla na parachichi

    • @Gloria-vh5bz
      @Gloria-vh5bz 3 місяці тому +1

      Ni yeye ,akili yake pia haipo sawa ni vile tu Tz hatufatilii ila kiakili hayupo sawa huyu

  • @TUMAINIMWILILA
    @TUMAINIMWILILA 3 місяці тому +1

    Nivyema unapokuwa unahojiwa kuwa siriasi na kujibu kwa busara ili kuipa heshima zaidi kazi yako.

  • @SaidiKitange-us2ej
    @SaidiKitange-us2ej 8 днів тому

    Bongo sihami.

  • @KaizaEdwin
    @KaizaEdwin 3 місяці тому +2

    Mwizi mkubwa wewe

  • @michaelamachary5316
    @michaelamachary5316 3 місяці тому +1

    Mmh! Hawa wanafanya watanzania wote wajinga

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 3 місяці тому +3

    Biashara haramu tu? Kasome biblia

    • @davidjoackim2216
      @davidjoackim2216 3 місяці тому

      Biashara haramu,kwani hizo ni drags 😂

    • @JaphetVenance
      @JaphetVenance 3 місяці тому

      Dhambi gani mboga hiyo we endelea kufuga paka wako

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 3 місяці тому

      Ujue biblia siyo ya mtu mweusi😂

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 3 місяці тому

      We endelea kusoma biblia wenzio wanakuwa matajiri kwa kujiwekeza

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 3 місяці тому

    Baba levo unaongeaga ila hapo kwa manguruwe umefk leo umeyavagaaa