SIRI YA KUWA MTU WA TOFAUTI - JOEL NANAUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 100

  • @daprince7545
    @daprince7545 Рік тому +40

    Mwaka wa 2015 niliamua kuacha kunywa pombe. Vijana wenzangu walishangaa kuchukua uamuzi huo. Wakadhani nitarudi kwa pombe. Nashkuru mungu alinipa nguvu mpaka saii niko na family yangu naishi maisha yangu.

  • @UsafiMichael-mc8kt
    @UsafiMichael-mc8kt Рік тому +5

    Mwaka 9.2.2011 hakika sitakuja kuisahau hii siku kamwe🎉matokeo ya kidato cha nne yalikuwa yametoka na nilikuwa nimepata ufaulu wa divisheni three ya point 25 yaaani
    Hist D
    Kisw B
    Chem D
    Physics D
    Civics C
    Geography D
    Math F
    Bioz D
    Eng D
    Matokeo hayo hauwezi kwenda kidato cha tano maana nilikuwa na C na B tuu na kwenda five lazima uwe na C3.wengi wa mtaani walikuwa wamepata divisheni four ya point 26 mpaka 28 wakawa wameomba ualimu wa msingi 😊😊😊 mimi lengo langu lilikuwa ni kwenda form five basi,wengi wakaniambia omba ualimu mbona wengi wameomba msingi waliongea sana😮😮😮 nikaanza safari ya kurudia mtihani na Mungu akiwa ananisimamia ,nikafaulu nikaenda kidato cha tano 😢😢😢 nikafukuzwa shule na ilikuwa shule ya binafsi aseee nikarudi tena mtaani wakaanza kusema kikowapi sasa wenzako wameenda ualimu na watamaliza wewe uko mtaani utajuta kwanini ukwenda!!!!!! Basi wazazi walinitia moyo nikarudi tena shule nikaanza safari tena hakika nikafaulu na nikasonga mpaka nikamaliza chuo.lengo langu nilikuwa sitaki kufuata mkumbo wa wengi kisa wamesomea ualimu na mimi nikasomee ualimu wa msingi .sijadharau ualimu wa msingi wapendwa lakini wengi walikuwa wamepangwa na mimi nikawa sitaki nataka kwenda kidato cha tano .Hakika sifa na utukufu apewe Mungu awezaye kutusaidia hata tunaposimama pekee ili kutimiza malengo

  • @kubiyapp3567
    @kubiyapp3567 Рік тому +14

    Ndiyo mimi nahishi tofauti wa mazoea mwanzo ilikuwa ngumu lakini sahvi nafurahia maisha yangu

  • @OdeniGeorge-m3m
    @OdeniGeorge-m3m Рік тому +8

    Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏

  • @ndatoyeaspert6745
    @ndatoyeaspert6745 Рік тому +4

    Asante.mimi ni mrundi,anae kufuata nakuami mafundisho yako.kwasasa ninaishi katika kile ninacho Feel,

  • @bonifaceferdinand566
    @bonifaceferdinand566 Рік тому +3

    Hili somo linanikumbusha lile somo kwamba mazingira yavyoweza kubadili mitazamo ya mtu,hili somo linaigusa jamii moja kwa moja,shukrani

  • @josephmichael9555
    @josephmichael9555 Рік тому +4

    Kwakweli mm sijiamini kabisa najishusha thamani sana

    • @anny19988
      @anny19988 Рік тому +3

      Umeumbwa na Mungu, Kuna kusudi la wewe kuwepo hapa, una kitu ambacho dunia inakihitaji na hamna mwingine aliyenacho ndio maana ukaja duniani. Plz usijishushe thamani. Usisikilize maneno mabaya ya watu hata kama yametoka kwa mzazi wako, mlezi, mwenzi, boss, rafiki, n.k. Usisikilize maneno mabaya wala usiyaweke kichwani mwako. Kila siku jiambie maneno mazuri kama vile, mimi ni mshindi, mimi ninaweza n.k. Kumbuka wewe thamani yako iko palepale kwa maana umeumbwa na Mungu ila wa kuipandisha au kuishusha hiyo thamani ni wewe mwenyewe. Fanya maamuzi sahihi.

  • @Wille-hj6tc
    @Wille-hj6tc Рік тому +4

    Mungu akulinde kaka Joel nanauka

  • @pastorkingJoshua
    @pastorkingJoshua Рік тому +2

    We jamaa, utakuja kuwa noma sana kwenye kizazi chetu. Mark my words

  • @PaulMagoma
    @PaulMagoma Місяць тому

    N maisha yangu mwenyew nilisom had level y degree ya HR but now I'm full time network sababu salary ya HR huwez fanikisha malengo niliyonayo binafsi

  • @Kaundasutidodoma
    @Kaundasutidodoma Рік тому +5

    the more you teach, the more you mature my brain 🫡🫡🫡🫡

  • @OdeniGeorge-m3m
    @OdeniGeorge-m3m Рік тому

    Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏

  • @OdeniGeorge-m3m
    @OdeniGeorge-m3m Рік тому

    Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏

  • @OdeniGeorge-m3m
    @OdeniGeorge-m3m Рік тому

    Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏

  • @OdeniGeorge-m3m
    @OdeniGeorge-m3m Рік тому

    Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏

  • @OdeniGeorge-m3m
    @OdeniGeorge-m3m Рік тому

    Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏

  • @ElishaBernard-ih2vw
    @ElishaBernard-ih2vw 2 місяці тому +1

    Hata mm imenisadia sana

  • @masterkey536
    @masterkey536 Рік тому +1

    Barikiwa mnoooo

  • @pembamusic3929
    @pembamusic3929 Місяць тому

    Maisha ninayo ishi sio ambyo natka na haikua lengo langu ila sio kua n mabaya no! Bt haikua fikra zngu natman mda ungrud nyuma nkafnya maamuz sahihi ila daah nmechelew sana 😢

  • @MtesiwasospeterMasige
    @MtesiwasospeterMasige 9 днів тому

    mtumishi ni kweli ata Mimi ninachokifanya sio ndoto yangu

  • @emanuelifredi5436
    @emanuelifredi5436 8 місяців тому +1

    Nakubali sana kaka,,, MUNGU akupe nguvu uendelee kutupatia madini ya kutosha

  • @grace-neemabuninange-bujik9117

    Mim nina maisha yangu mwenyewe lakin wengi wanakuchukia kwa sababu ya hilo

    • @carenedimund9481
      @carenedimund9481 Рік тому

      Usijali kuhusu mawazo yao but the only thing its you to focus coz you're goals are coming they will wonder never give up

    • @ErickRichard-kh7tj
      @ErickRichard-kh7tj 3 місяці тому

      Ukiona unapendwa na kila mtu jitadhimini
      Unahitaji maadui kwa misingi ya kukuza ufahamu na kufanya ufanisi kwenye mambo yako
      Sipendi kupendwa na kila mtu
      Naamini kupendwa na kila mtu ni unafiki
      Kuna namna najirahisisha kwann unipende kama hakuna unachofaidika na mm cha bure
      Ukiwa mkali na mdhibiti mzuri wa maswala yako ya kimaisha lazima upate maadui

  • @IreneSabiniani
    @IreneSabiniani 14 днів тому

    asanteee kwa elimu bora ,je naweza kufanya mazungumzo na ww

  • @evaristlyimo115
    @evaristlyimo115 27 днів тому

    Kaka Joel asante sana somo ili Sasa najihisi wa tofauti sana

  • @gibsonmnun887
    @gibsonmnun887 Рік тому +1

    Asante sana kwa ujumbe huu unaoishi, nimetambua mm kwamba nimepoteza meng yaliyokuwa kibaumbele kwang na yaliyoweza kunipa furaha kwa sabab ya both nomative na informative influences

  • @kelyjames5452
    @kelyjames5452 Рік тому +1

    hsante kaka ,Joel mm naishi maisha yangu mwenyew ,kufuata Wengine wanasemaje wanaweza kukuburuza kwa mawazo Yao ,ambayo mwisho siku yanabaki majuto kwako!!

  • @judithgodfrey6503
    @judithgodfrey6503 Рік тому +1

    Namshukuru nimeweza kusimamia msimamo wangu na nikatengwa kwa muda baadae msimamo wangu ulikuja kuonekana wa maana sana baada ya matokeo ya Jambo nililopinga kuonekana

  • @halfanMaganga
    @halfanMaganga 3 місяці тому

    I have something inside...next is me

  • @annastaziamzobora1984
    @annastaziamzobora1984 8 місяців тому +1

    Hata sijui naona nipo hapa

  • @anithamsoke2329
    @anithamsoke2329 11 місяців тому +1

    Stand still even if u stand alone!
    I usually don’t follow the Claud

  • @lilianjoseph1144
    @lilianjoseph1144 6 місяців тому

    Ninakufatilia nina mwezi mmoja. Kwa sasa najiona siko normative wala formative. Naanza kuweza kuishi maisha yangu peke yangu. See me at the TOP.
    Thank you

  • @selemandaniel6179
    @selemandaniel6179 23 дні тому

    Kweli kabisa life coach

  • @academiazsoft
    @academiazsoft Рік тому +1

    Ahsante sana. Am on it.
    See you at the top

  • @maulidympembeta6045
    @maulidympembeta6045 5 місяців тому

    Kaka Joel uko vizur mno katka mambo ya psychology Yan mpka unakera . Masomo yko baadhi najifunza zaid lkn baadhi yanarasmisha masimamo yang na mambo yang, Yan nagundua kumbe ni masomo kabsa yanafundishwa . La mwisho kaka Joel kila ninapoona kitu kipo mtandaon kinahusika na wewe bac huwa napata shauku kubwa kutazama au kusikiliza sas anapokuwa mtu mwengne aaa shauku hunitoka Yan nahisi kama sio madini yko vilee!!! Kwa kifupi napenda usimulie wewe mwenyewe sbb wewe ni mfasaha mno .

  • @EliasGwaya
    @EliasGwaya 7 днів тому

    Aiseee

  • @uniquemwalo
    @uniquemwalo Рік тому +1

    Boss J unamadini mengi sana Jah bless 🙏

  • @HaimacMwalim-xn5os
    @HaimacMwalim-xn5os 8 місяців тому

    Mimi nime penda somo moja Kati yayote mbin yaku fokasi Jambo mojatu hadi kutimiza rengo nashukuru kwa uwepo wako duniani Mimi mwenyewe si haba rakini hiro du,

  • @academiazsoft
    @academiazsoft Рік тому +1

    Imekata kabla ya kuisha

  • @JenivaGrayson
    @JenivaGrayson 7 місяців тому

    Asante sana

  • @EnezerMarithanga-ks6rv
    @EnezerMarithanga-ks6rv Рік тому

    Normative en informative enfluence ilinicost mm ikanisababisha kupoteza mwaka 1 kusoma kitu ambacho sio kusud langu ila baada ya kugundua kusud langu Kwa kupitia video zako Imenifanya niweze kufanya maamuzi sahihi na Kwa ujasiri

  • @Adidja257
    @Adidja257 5 місяців тому

    Najikuta nafanya yale siyapendi natumikiya serekali bali ndoto yangu ni biashara😂

  • @mohammedsiga7202
    @mohammedsiga7202 6 місяців тому

    Nilitamani sana niwe na sikiliza na backsound tofauti 💯💯🫶🏾 Asante sana Daktari

  • @OdeniGeorge-m3m
    @OdeniGeorge-m3m Рік тому

    Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏

  • @OdeniGeorge-m3m
    @OdeniGeorge-m3m Рік тому

    Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏

  • @OdeniGeorge-m3m
    @OdeniGeorge-m3m Рік тому

    Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏

  • @OdeniGeorge-m3m
    @OdeniGeorge-m3m Рік тому

    Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏

  • @emanuelmanfred9856
    @emanuelmanfred9856 9 місяців тому

    Ukweli ninacho kifanya sasa ndiyo nilicho chagua lakini nimekuwa mtu wa kufeli kila wakati na kusababisha maumivu kwa wengine.

  • @WilliamSospeter
    @WilliamSospeter 6 місяців тому

    Absolutely 💯

  • @OdeniGeorge-m3m
    @OdeniGeorge-m3m Рік тому

    Mimi naishi maisha yangu mwenyewe....kaka unatupa elimu nzuri sana🙏🙏🙏

  • @Livingstonembookwa
    @Livingstonembookwa 6 місяців тому

    kwa kweliimefikia Mahali due to environment niliyopo hata sielewi ninako elekea

  • @JULIUSJOHN-rq7hc
    @JULIUSJOHN-rq7hc 6 місяців тому

    Me nipo sehem zote mbili naishi maisha yangu ila mudamwingine nafuata mkumbo ila kupitia hii naenda kubadilika nakuishi nitakavyo

  • @mosesfrancis8495
    @mosesfrancis8495 23 дні тому

    ✌️

  • @SAIDSaidy101
    @SAIDSaidy101 10 місяців тому

    Aisee Wewe umenigusa sana mimi ni mojo ya watu ambao awaamini kila kitu kinacho kinasaportiwa na watu wengi, kiufupi ni kwamba si kila kinacho semwa na wengi ndio ni kweli hapana!

  • @uwser-mj2ii4wx2b
    @uwser-mj2ii4wx2b 6 місяців тому

    🎉🎉🎉

  • @HijaKuyu
    @HijaKuyu Місяць тому

    👍

  • @TitoZefania
    @TitoZefania 6 місяців тому

    100%

  • @bonemwaminifu3935
    @bonemwaminifu3935 8 місяців тому

    Nishaangaika sana kupata kitabu lakini bado sjafanikiwa nipo zanzibar

  • @KARIMARodrick
    @KARIMARodrick Рік тому

    Mwalimu kwasasa mimi naishi maisha yangu mwenyewe bila kutaka kufafa nawengine

  • @KelvinMullar
    @KelvinMullar 8 місяців тому

    Safi sana kaka, God may bless you with your generous words

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 Рік тому

    Maisha ninayoishi kwa sasa hivi niliamuaa mwenyewe baada ya kugundua marafiku zangu walipenda starehe zaidi ya uwezo wao.Niluachana nao, kwa sasa hivi namshukuru Mungu sana.

  • @eradiusaudax6224
    @eradiusaudax6224 10 місяців тому

    Mungu akulinde kaka najiona npo mbalii kwa izi elimu zako maana kimekua chakula chang Cha akili Cha kila siku

  • @AbdulkadirHaji-dd4uu
    @AbdulkadirHaji-dd4uu Рік тому

    Mie naishi ktk maisha yangu mwenyewe sio yale waliyoyatak watu niishi kwa sababu watu wengi wamezoea kufny jambo fulani kw mfano kw kutumia njia A mie nawambia sifanyi hivyo nafanya kwa njia B na wananishangaa sana outcome yngu inakuwa bora zaidi ya wao.

  • @OfficialTinkayo-em1od
    @OfficialTinkayo-em1od Рік тому

    Kabisa...lakini naomba utuandalie somo itakuaje kama rafiki yako ana marafiki wengi sanaa

  • @dr.sarahbusongo
    @dr.sarahbusongo Рік тому

    Hii msg imekuja wakati muafaka kabisa kwa sababu pengine nimeishi kwa utofauti sana na nikataka kuona mbona kama nacomplicate maisha maybe nirudi tu kwenye maisha ya kawaida na mazoea ambayo watu wengi wanaishi... thank you kaka Joel. Ninakusanya vizigo vyangu na kuendelea mbele. God bless you

  • @rabiashaibu
    @rabiashaibu 5 місяців тому

    Ni kweli kabs kaka napend sana kujfunz kutoka kwako

  • @bestbest9638
    @bestbest9638 Рік тому

    ahsante kiongozi ila mm naomba uendelee kutupatia elimu

  • @mussakubari3920
    @mussakubari3920 Рік тому

    Kaka Mimi naishi maisha yangu mwenyewe mpaka naonekana mbaya kwakua cpendi kufuata mkumbo

  • @neemacurthbert
    @neemacurthbert Рік тому

    Amina Kaka Joel kiukweli vijana wengi tunaishi kwa kufuata mkumbo wawengine ndio maana tunaishi maisha ambayo hatuyapendi ila kwasababu tu wengi wanaishi hivyo ndio maana nasisi tunafuata hivyo hivyo balikiwa sana kaka kwasomo hili🙏🙏🙏🙏

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 Рік тому

    Ebwanae kweli kabisa mdogo wangu

  • @yohanamdui7458
    @yohanamdui7458 8 місяців тому

    Mimi nahitaji niwe wa tofauti shida kubwa ni kwamba kila ninachotaka kufanya kimeshafanywa na wengine. Sasa nifanye mini zaidi naomba ushauri

    • @hawakizenga864
      @hawakizenga864 5 місяців тому

      Fanya unachokipenda kua n uthubutu kua jasiri fanya kwa bidii

  • @MalikiChitopela
    @MalikiChitopela 6 місяців тому

    Tnx powerful words c u around again ❤

  • @MeliethKaizile
    @MeliethKaizile Рік тому

    Ahsant sana kaka Joel Nanauka, masomo yako yananibariki sana, na mimi kiukwel natafta sana kuwa wa tofaut sana tofauti na wengine

  • @djaysamtzm950
    @djaysamtzm950 8 місяців тому

    Hakika wewe ni njia moja wapo ya Tiba😢

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 11 місяців тому

    Kila siku napata vitu vipya

  • @JumaNaizer
    @JumaNaizer 6 місяців тому

    Naeshimusana manenoyako

  • @henrymoghu5087
    @henrymoghu5087 Рік тому

    Nakupenda kaka mungu akupe maisha marefu

  • @amanilwila1185
    @amanilwila1185 8 місяців тому

    Thanks brother jee..

  • @mchmwal...z.a.ndelwa7838
    @mchmwal...z.a.ndelwa7838 Рік тому

    ❤ nimeweza hicho asante

  • @johnbanda6601
    @johnbanda6601 Рік тому

    Ni maisha yangu mwenyewe

  • @Kisimirmedia
    @Kisimirmedia 11 місяців тому

    Dash my brother God bless you

  • @EsterJames-sk4te
    @EsterJames-sk4te Рік тому

    Asante kaka nmejifunza

  • @Balakahamis
    @Balakahamis 10 місяців тому

    Hasa kabisa

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj Рік тому

    Asante sana

  • @paschalmasanilo2617
    @paschalmasanilo2617 7 місяців тому

    Mentor 🎉

  • @meshackmmassi
    @meshackmmassi 10 місяців тому

    God bless you

  • @faudhiaGombaeka-kf7oe
    @faudhiaGombaeka-kf7oe Рік тому

    🙏

  • @beatrixmalakasuka1214
    @beatrixmalakasuka1214 Рік тому

    unajua kaka

  • @rashidhassan8156
    @rashidhassan8156 Рік тому

    Thanks

  • @JifunzeKiarabu
    @JifunzeKiarabu Рік тому

    👍

  • @bernadetachari7648
    @bernadetachari7648 Рік тому +1

    Nikweli mwalimu kwaunachokisema,kwani uamuzi wa maisha ya mtu ni mutu mwenyewe aamuwe lakini ukinghoja uamuzi kwa watu hautafanikiwa hata kidongho

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    🤝

  • @hildamasonda6528
    @hildamasonda6528 Рік тому

    Naishi maisha yangu kwa kwel