Inanikumba tukio moja hii nyimbo, nikiwa naelekea kazini nilikuwa moja wa abiria wa dalala kutoka Moroco Buguruni. Tukiwa ndani ya safari dereva aliweka hii nyimbo, kuna mzee wa Kiarabu alikuwa makini kuisikiliza hii nyimbo, baadae tulimsikia akimwambia tingo ''chukua hii elfu kumi mkale wewe na dereva kwani hizi ndio nyimbo za kuweka watu wakasikiliza''
Naombeni mnisaidie jina la wimbo huu nakumbuka kuuimba ila sikumbuki jina( pitapita yangu shimo la udongo nimemuona eeh rehema niko, rehema niko ngogo rehema yeye nimempata wanguu wa kuishi nae rehema niko ngogo rehema eeh, reheme twende zetu sote chimalaaa huko wakakuone baba namama ukale chakula cha kwetu. Alafu na Dada kawasaki alinikanya hapa mjini nenda polepole
Msond ndio mlikua the best haitotokea tena nyimbo zenu zote zina ujumbe mzr na zinaburudisha pumziken kwa aman wote mliotangulia TX MOSH WILLIAM &MWIDINI NGURUMO&MAINA&SULEIMAN MBWEMBWE 😢😢😢
Safi sana eti anajita simba na hawa wazeee wetu wataitwa nani nendeni mkasome nyie bado sana timazameni baba zetu walivyovaa kiheshima na unaweza tizama na baba mama hata watoto .
Nimekumbuka enzi zile nilipo kuwa Mtabira kasuru kigoma hii nyimbo imenikumbusha mengi sana amani kweni Msondo Ngoma God bless all my friends good luck
haya leo tupo 2021 je kutatokea mziki ulotulia na mfunzo kama hawa watu walivyokua wakiimba kwa moango na mafunzo siku hizi kila nyimbo mapenzi nimekimbiwa kaniacha au kupigana mafumbo ya ujinga na kuoneshana mambo ya fahari majumba na magari ehh mola walaze pema malenga hawa
Leo nasikiliza hii nyimbo nikakumbuka nilitengwa kama mmbwa kwa ajili ya mali za hapa duniani Ewe Mwenyezi Mungu naomba uwape wazazi wangu pumziko la milele
Kama bado tuko live 2024 na hii nyimbo gonga likes basi✅
Gonga like kama bado unaendelea kutazama huu wimbo mwaka 2024
Safi sana chuma hcho
Kama unaisikiliza hii nyimbo huu mwaka 2024 gonga like nyingi
Mi nasikiliza msondo hadi mwakakesho
Hi Leo nimejikuta naipiga kwa saut mpaka majiran wanajua nna matatizo 😊😂
😂😂😂leo hii tarehe 09/06/ sa 10:12 naisikilizaaa
@@mgayatz1659 😀😀
@@josephlucas2786 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Tunaoangalia Mwaka 2024 tukiwa na situation kama hii Mungu atupe nguvu....kwel Wazaz ni Nguzo kubwa.
Hao ndioo marafikii WA kwelii nduguu yanguu hatuna RAFIki WA kwel Zaid yao
Kama bado unaangalia nyimbo hii gonga like tukielekea 2024 tumuombe yarabi atuvushe salama
Kama unaitizam hii ngoma kwa huu mwaka 2020 gonga like twende sawa
Tupo
I enjoyed it a lot and im enjoying too much, from 🇲🇿2024. Gonga like who is enjoying it
Karibia wote hatunao tena. Hakika wamefanya kazi nzuri, ujumbe adimu sana, hawadaiwi. Wapumzike kwa amani
RIP my DAD and my MUM, I have seen it all, but God the Almighty shall fight for us!!
Kama umeisikiliza 2020 gonga like hapa
Tupo tu ukitoka msondo ngoma unaingia les wanyika ck hatupumui
Msikilize Muhidin Maalim Ngurumu
Stereo Mbwembwe utajua kweli
Long time tulikua tuna cheza og dance live
Poasanahii
this song ilikua fav song wa marehemu baba yangu❤️
Hata mm pia
2019 na bado unaitizama hii gonga like.
Daa hii ngomaaa INA hatar..2019 anayesikilizaaaaaaaaa
Mimi bado naangalia 2020
Hiyo intro ya John John mimi dunia imenizonga huwa sichoki kuisikiliza.
Unyama kabisa
Inanikumba tukio moja hii nyimbo, nikiwa naelekea kazini nilikuwa moja wa abiria wa dalala kutoka Moroco Buguruni. Tukiwa ndani ya safari dereva aliweka hii nyimbo, kuna mzee wa Kiarabu alikuwa makini kuisikiliza hii nyimbo, baadae tulimsikia akimwambia tingo ''chukua hii elfu kumi mkale wewe na dereva kwani hizi ndio nyimbo za kuweka watu wakasikiliza''
Zubeda Said duh huyo Mzee alikua noma
Zubeda Said duh huyo Mzee alikua noma
Huyo mzee ni mimi hapa
Zubeda Said kibando hicho
@@imbatokamoyoni2209 barikiwa
Anaeitizama 2021 ni mm peke angu
Hivi wakina nani wamewafundisha hawa vijana wa siku hiz kuimba matusi 2 wakat baba zetu walikuwa wanaelimisha jamii ni kwel kabisa old is gold
Hata mmi nazielewa sanaaa
Je hawa wazee bado wako hai?
Duuuuh mali ya baba inanitoa roho kweli nakumba nilivyodhulumiwa aaaaaah nimekumbuka mbali sana😭😭😭😭
Naombeni mnisaidie jina la wimbo huu nakumbuka kuuimba ila sikumbuki jina( pitapita yangu shimo la udongo nimemuona eeh rehema niko, rehema niko ngogo rehema yeye nimempata wanguu wa kuishi nae rehema niko ngogo rehema eeh, reheme twende zetu sote chimalaaa huko wakakuone baba namama ukale chakula cha kwetu. Alafu na Dada kawasaki alinikanya hapa mjini nenda polepole
Km yamekutoka machozi km mm gonga lik twende sawa
Wazee wa kazi kweli, wananikumbusha tabata segerea dares salam, wataalam hao🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Yan 2023 bado utamu wa hii nyimbo uko vilevile jamn❤
Mimi Napenda sana hizi nyimbo,, MUNGU awapumzishe kwa amani walio tangulia 🙏🏾
Msondo ngoma hakuna km nyie wazee. Ngurumo Tx moshi hatari sana
2019 sikilizaaaaaaaaaa halafu uniambie tuendelee 2020 jaman hatar sanaaaaaaaaa
HAICHUJI HII NGOMA, SULEIMAN MBWEMBWE, SULEIMAN MWANYILO KWENYE BESI, SAIDI MABELA, MUHIDINI NGURUMO, TX MOSHI WILIAM, HASSAN REHANI BICHUKA. HATARI SAANA
Hongera, ila kwenye wimbo huu tayari Mwanyiro na Bitchuka walikeisha rejea DDC. Aliyepiga bass guitar ni Muhdin Kisukari.
Hawa ndiyo walikuwa wanaimba bwana siyo hawa wa sasa hivi wanaruka ruka na kuvaa suruali chini ya makalio
2021, cha kale ni dhahabu.
Nakumbu ifakara ukumbi chatu holu balaa sana
2019 yaan huu wimbo auishi utamu wake utazani umetoka Leo Leo. Raha tuuuu
Ni kweli tupu
@@suzanarupia6484 atari tupu
Nimeangalia leo 31 12 2019 baba zetu walikuwa wanaimba vizuri sana haichuji
we acha tu,kilio Cha mtu mzima ni shida hongera ottu jazz band na mungu awalaze mahali pema peponi nyote mliotangulia mbele ya haki.ameen
Kweli yamenikuta mama yangu mwenyezi mungu akusamehe m/mungu akupunguzie adhabu ya kaburi nashukuru kwa urithi wa akili Mali wache wachukue wao
2023 tupo wanao tazama kama upo miongoni gonga like bas ndugu Zang
kama kuna anae sikiliza 2020 gonga like
Mimi
Zaina nasikiliza
iv Hawa jamaaa wapo mpaka leo au mbona nyimbo zao nzr sanaaa aisee
Labda mng'ande tu ndio yupo
RIP Tx Moshi,Ngurumo Nk.
Msondo hii ilikuwa shule ya muziki na maisha.
Much love mzee Mabela na solo lake. 💪💪💪💪 2021
Msond ndio mlikua the best haitotokea tena nyimbo zenu zote zina ujumbe mzr na zinaburudisha pumziken kwa aman wote mliotangulia TX MOSH WILLIAM &MWIDINI NGURUMO&MAINA&SULEIMAN MBWEMBWE 😢😢😢
rest in peace my lovely dady😭yananikuta ila Mungu ananilind sana
❤❤❤
Ni kweli mtu mzima halisi hivyo, MHIDINI NA BICHUKA WAKIWA NA MZEE WA KAZI NGURUMO WA 4:09 MEPITIA YOTE
MAFUNDI WETUUUUU MIAKA 10000000000000000000000000000000000
Hakuna kizazi kipya kitaweza kutetea haki za nyimbo hizi zinakubalika club na maharusin
😂 Mungu aweke roho zao mahali pema peponi Amin Amin
jmn mi kweli dunia inanizonga chanzo ni kufariki baba hiv hawa watajtokez wengne!!??Mungu tusaidie wapatkane
Yamenikuta haya rest in peace my mom and my dad😭😭I miss u so much
Pole sanaaa
Pole sana aisee..
0683495849
Pole
6666
Safi sana eti anajita simba na hawa wazeee wetu wataitwa nani nendeni mkasome nyie bado sana timazameni baba zetu walivyovaa kiheshima na unaweza tizama na baba mama hata watoto .
Romario wami baa mwananyala kwa wale walokuepo daa kitambo
Wanao angalia hii video kwa mwaka wa 2021 tujuane hizi ngoja miaka buku unasikiliza
Hapo diamond wenu atasubili Sana, maana ati anaiga Michael Jackson hii ndio asili yetu
2020 weka like
Classic! Muda unapaa sana
Aisee
Nmekukumbuka baba mzazi Issa Kissy dah
❤❤ hatari sana uu ni ujumbe kwa Wale wasio jituma wakisubili watu wafe ili washaini
Jamani..mora rudisha hiidunia iwekama ile ya zaman..yukoapi TX moshi"wapi Anko Gurumo
Nimekumbuka enzi zile nilipo kuwa Mtabira kasuru kigoma hii nyimbo imenikumbusha mengi sana amani kweni Msondo Ngoma God bless all my friends good luck
Hi
Sote Njiayetu Nimoja Mungu Zilaze Roho Zamalehem Maala pema
we acha tu nimezulumika sana
Ni leo 26/10/2024 naangalia chuma cha wahenga, sio komasav
naikubali. sana. baba ya muziki
Haw watoto hatawez kubeba ujumbe huu maana hawana hofu yamungu
Me nackiliza leo 2020 lakini kama imetoka Jana
nakumbuka mbari sana wengi wameenda mbere aki kama mbiru.stiveni Boko saidi shaha na wengine
Oya November 2019 Still Watching This BanG🔥🔥🤘🏻
Ananias edgar kanifikisha hapa!
Nyimbo hizi kweri zitakuja kurudi kweri na tuko kizazi hiki
Mukiweza sanaaa waliotangulia mbele za mungu ,mungu awapunguzie hadhabu za kabuli
Nyimbo zenye ujumbe Kwa jamii sio nyimbo A kushikilia suruali mbele ambazo zinaaribu watoto wetu
Mshabiki was kweli msondo ngoma
Redio za mbao hapa ndipo kwao,penda sana manyuzi ya said mabera.
amani saana mzee hawa walikuwa mafundiiii
Mimi kwangu hizi nyimbo ni elimu toshaaaaaa..... Mungu awabariki popote walipo
Msondo ya watanzania
haya leo tupo 2021 je kutatokea mziki ulotulia na mfunzo kama hawa watu walivyokua wakiimba kwa moango na mafunzo siku hizi kila nyimbo mapenzi nimekimbiwa kaniacha au kupigana mafumbo ya ujinga na kuoneshana mambo ya fahari majumba na magari ehh mola walaze pema malenga hawa
Haitokea tena kwa vizazi vya leo kutokea tena kupiga mziki huu
Hakika ni meseji mzuri sana.....R.I.P wote waliotangulia mbele ya haki!!!!
Mambo ya kimboka buguluni live 1999 nilikua nawakubari sana hawa jamaaa
Hatariiiiiiiiiiiii sana
2020 nani anangalia saiv? Nyimbo unaweza Kopea mkopo bank
🤣🤣🤣🤣🤣
born 1994...en still listern to this 2021 ✌🏽🔥🔥
Hawa ndio wanamuziki.. ujumbe hata mtoto aneweza kusikiliza.. sio chapati maana yake nini!!
Tukiwa tunaombeleza msiba wa rais wetu Magufuri tujuane hapa
Always old is gold.
m2; mzma dawa haya ni ya kale sasa
Kweli hizi nyimbo nazipenda Sana
kwa kutumia ujumbe huu, tuhamasishe jamii kutenda haki na kutimiza wajibu wa kulinda utu wa kila mmoja wetu..!
Wazungu wanazijua izi nyinbo atakwao waziangalia Kila wakati tz oyeeee
Leo nasikiliza hii nyimbo nikakumbuka nilitengwa kama mmbwa kwa ajili ya mali za hapa duniani Ewe Mwenyezi Mungu naomba uwape wazazi wangu pumziko la milele
Pole sana ndo binadamu tulivo 😢
Kilio cha MTU mzimaa hatarii Sana'a ,namkumbuka babu yangu popote hulip babu nakukumbuka sana.....
Nakumbuka mbali huu wimbo
nimemkumbuka mzee wangu mungu akulaze mahali pema peponi
mungu awaweke pema walio tangulio wameondoka na mziki uu umesha potea
wazee hawa walikua wanapiga kazi za maana kiukweli.
Vjana ck hz utaxkia domo domo hata nying c zakuskiliza miaka 4,
Asante ottu.tusitoane roho kwa mali wameacha mababa wetu.
Yaani ule mwaka 1979 ndo wakati wa ujana tulikuwa hatulali
Enzi mziki unaitwa mziki tofauti na kizazi hiki Cha fujo tupu ... Aah sijui Kama mziki wa dance utarudi kwenye ubora.....!!
Zamani ni zamani tu kila kina wazi
Kizazi hiki hakitatokea tena tumeachiwa kizazi cha wahuni
Gaspar Msagati yaaaaan nishida haitatokea tena mazeee kwan xayz n mapenz 2 hata nymbo za kuelimisha hamna
😂😂
Gaspar Msagati hakika sio utani kwakwerii
Wala hujakosea aaaaaaaaaa
Classics...
Nikweli kabisa good
Everything is clear and natural. The sounds, rhythm and the pictures.
Nafalijika sana ninapo sikiliza zipendwa
Bado naisikiza leo July 2021. Skiza mawaidha.
nyimbo ndo hizi unaburudika na ujumbe juu
Mlichokiacha duniani mtakumbukwa milele na milele ila vijana mliowaachia mziki sasa hivi video zao huwezi kuangalia Hata na mwanao
nyimbo bora karne na karne mungu wape pumziko LA milele hawa wazee
2021 gonga like kwa mawaidha haya