I am so tickled. I have fallen in love with this genre. This is my JAM! I grew up in a small town in the US. I had no idea such a beautiful genre exists. This song right here, I know this is a classic bop and I am not even from there but this vibe makes me feel something special.
Ndani ya Nairobi naisikiliza Doh I miss hom pemba Hapo ushashiba wali kwa mchuzi wa daga wa bizari Nikiwa na Mlezi wangu Bi zainab ndani ya Amani kwamabata nyerere Tumetoka mbali Sana Alhamdulillah namshukur Allah leo 18/09/2024 Nairobi kenya
Nilipokuw mtoto kiukwel nilizichukia sana hiz nymbo taarab ila akil yngu ilkuw ndog baad ya kusikilza ujumbe wa hz old taarab kwa kwel ndio zimekuw zinaniliwaz Allah awafanyie wepes katk kila hali kwa kwel ujumbe ni mzito sana
Nilipokuaa mdogo kdgo nikisikiaa nyiinbo zaake niliwahi kumwambia baba akaniposeee huuyuu nilimpeendaa sanaa mashair yaake na maneno mazuur sanaa , Mungu akupe kipaaj had pepon,
Ww fatma issa hauna mpinzani kwa kuomba na sauti nyororo yenye kuvutia hii nyimbo inanikumbusha mbali sn jins maadui walivokatisha ndito zangu walidiriki mpk kunilisha chura usingizini dah nilipata jabu sn kujitibu mpk kupona nilikaa kitandani si chini ya miezi 2 nakunywa maji tu na uji nikila kitu kinatoka inauma sn aduikiumbe hatari sn
Kiukweli nimezaliwa 1968 na wimbo huu nilianza kuusikia miaka ya 1990 nikiwa nimetembelea sheji yangu pale Tanga mjini. Nika muuliza huyo muimbaji anaitwa Nani? Akaniambia ni Fatma Isa !! Nika muuliza hivi alifanywa nini katka maisha yake mpaka akatoa huu ujumbe mzito? Akaniambia yeye ni msanii mwenye kipaji hivyo Anajua Mambo mengi . Ki ujumla ninampenda Fatma na wimbo huu toka auimbe mpaka Leo sijapata mbadala wake. Hongera bi Fatma kwa kazi nzuri
Kheir adui shetani utamwita kichwani atataja jina nakusema akitakacho na kwenda zake alikotokea ila adui kiumbe!?!? Utajuta kuzaliwa kila ukipata maumivu Yy ndo anazidisha moto
You can cry that song yoooh my mind is going far when I hear that song it's better adui kiumbe more than adui shetani
Mwisho Wa mwaka 2020 dec 25 leo, kama upo like
I am so tickled. I have fallen in love with this genre. This is my JAM! I grew up in a small town in the US. I had no idea such a beautiful genre exists. This song right here, I know this is a classic bop and I am not even from there but this vibe makes me feel something special.
Pure awesomeness. Classic I love it too
Ndani ya Nairobi naisikiliza Doh I miss hom pemba Hapo ushashiba wali kwa mchuzi wa daga wa bizari Nikiwa na Mlezi wangu Bi zainab ndani ya Amani kwamabata nyerere Tumetoka mbali Sana Alhamdulillah namshukur Allah leo 18/09/2024 Nairobi kenya
Dah nilisoma nyerere pale home magogoni saiv nimedondokea malindi kenya😂
Mungu akupe maisha marefu mama inshaallah.........kheri adui shetani kuliko adui kiumbe wallah naielewa hii nyimbo htr
Cute song
Masha Allah amakweli dafatuma issa una sauti nzuri mwenyezi akulinde na husuda
Nilipokuw mtoto kiukwel nilizichukia sana hiz nymbo taarab ila akil yngu ilkuw ndog baad ya kusikilza ujumbe wa hz old taarab kwa kwel ndio zimekuw zinaniliwaz Allah awafanyie wepes katk kila hali kwa kwel ujumbe ni mzito sana
2021 gonga like 😛
Warereeeee ! Waaaaaah ! Mashairi Mazuri sana... Na Sauti Maashallah keep it up !!!
MashaAllah MashaAllah MashaAllah raha jaman raha kusikiliza huchoki waishia kurudia irudia tu
Mashaallah mama .Mungu akupe maisha marefu bi Fatma
Nilipokuaa mdogo kdgo nikisikiaa nyiinbo zaake niliwahi kumwambia baba akaniposeee huuyuu nilimpeendaa sanaa mashair yaake na maneno mazuur sanaa , Mungu akupe kipaaj had pepon,
Mnyasa mnyasa kwann tena hujaposewa
😃😃😃😃😃
@@nurualihamad895 😅😅
Fanya Adabu huyo babangu alinozesha mimi wakati mimi niko Madras 😂😂😂
Yaani mimi nikiicikia nyimbo hiiii nakumbuka wachawi walivo yatia mafuta ya taaa maisha yangu
Mi pia nakumbuka mbali nikiskia wimbo huu
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Hi nyimbo nakupenda toka niko mdogo
Tena dada heri adui shetani kuliko adui kiumbe but malipo ni duniani akhera huenda hisabu saddaqta mwahhhhh🙏🙏🙏🙏
Ww fatma issa hauna mpinzani kwa kuomba na sauti nyororo yenye kuvutia hii nyimbo inanikumbusha mbali sn jins maadui walivokatisha ndito zangu walidiriki mpk kunilisha chura usingizini dah nilipata jabu sn kujitibu mpk kupona nilikaa kitandani si chini ya miezi 2 nakunywa maji tu na uji nikila kitu kinatoka inauma sn aduikiumbe hatari sn
ah yani hii nyimbo bibi ang anaipenda ananimalizia mb zang kila sku jamani lkn nzuriiiii mpaka bibi anaipenda mashaalah
haaaaahaaaaaaaaa hichi kitu co mchevo voooo thuwaiba
Nakupenda sn fatma issa
ahsant bint issa,mashaallah!!! mashairi murua!!!! adui kiumbe! daima asikusifu!!! hata kuchoka hachoki!! hata km kitu huna!!!!!
Wallahiiiiiii
Alaaaa Mwambie mmakonde
Tunaosikiliza 2024/07/17 Tujuane hapa💪✊💯🔥
Yani siichoki kuisikilza hii nyimbo jinsi nilivyo zungukwa na Madui viumbe
dah hii nyimbo naipenda mno nakumbuka kipindi hicho mida ya saa nane nikienda madrassa dah welldown mama fatma issa
Hahaha na ukiisikia tu popote pale unajua mida imefika hahaha mule muleeeeee
hhahaaa kweli bana
Vyakale ni dhahabu ata na mimi nimeliona ilo
@salumgiriki4779 hivi tulikua tunaishi mtaa mmoja nini maana namimi naikumbuka kwa hivyo hivyo pamoja na ile ya Asia alkindy😂😂😂
Kabisa mida hiyo mama kashamaliza kunisuka nshalala naamshwaa haya chuoni sasa😂😂
Yaan mashairi matam zanzibar kunawaimbaji wazurisana sautinjema sana pia mapigo yahizo dufu
Tupo sawa 🤣🤣🤣
Nazikubalia sana kwakweli zamani walikuwa wanaimba kweli
Hata mimi naamini ni bonge la nyimbo na nimeipenda
Ilove Zanzibar from kp
Fantastic 2022 adui kiumbe
Hahaha kuna watu wanaumia sana nikiweka hii nyimbo yaani
Mashallah mama uko vzr
Naangalia Leo taarabu pendwa 15/8/2024❤❤❤
kweny mnanda me ndo namalizika😍😍😍😍
umeona heeee yan hatar sanaaaa uchoki kusikiliza jaman
Upo saw
Enzi za utoto: tukiimba Kama burudani
Ukubwani: ndio tunaelewa maana
😂😅😂❤
hatr
Heri adui shetani...km adui kiumbe...akhera kwenda....hesabu..maneno grade A...
Mashallah Mashallah sauti nzuri maneno mazuri saana
Mdaa wa chuo ndio inapigwa nyimbo hii had raha jmn dah
Hongera Sana wallah nyimbo nzuri saana
Ni kweli kabisa hawana tofauti hasidi na fisadi ni kheri adui shwetani kuliko adui kiumbe
mungu akubariki mamangu
Mashallah I like the lyrics...
Salaam alekum kweli yako shetan na kiyumbe wote siwazuri kheri pakaa na mbuzi niwazuri umenifurahisha sana Allah akujazi wape kweli
Ok
nampenda Fatma issa anajua kuimba
hujanishinda mimi...yani huyu mama wallah kama ningelikuwepo enzi zake ningemuoa habibt wangu kipenda roho.
@@mohamedsuleiman7215 mie kama namjuwa anapoishi ivyo ivyo kazeeka namuowa tu
🔥🔥🔥🔥🔥2022 yan hajakosea maneno yake kbsaa
Kuna mtu kanikwaza,ngoja niukonge moyo wangu kwa huu wimbo,Fatma mwaaaa
Hahahahaaa nimeipenda
Hongera mama fatma
Mungu aninusuru na adui kiumbe
Adui kumbe 2021 tujuane
Ulipo nipo
2020
Adui kiumbe!! 👌👌👊👊
Legend
hiiiii ngoma hata ikae miaka 100 bac bac bado itakuwa juu
Kabisakabisa
Kiukweli nimezaliwa 1968 na wimbo huu nilianza kuusikia miaka ya 1990 nikiwa nimetembelea sheji yangu pale Tanga mjini.
Nika muuliza huyo muimbaji anaitwa Nani? Akaniambia ni Fatma Isa !!
Nika muuliza hivi alifanywa nini katka maisha yake mpaka akatoa huu ujumbe mzito?
Akaniambia yeye ni msanii mwenye kipaji hivyo Anajua Mambo mengi .
Ki ujumla ninampenda Fatma na wimbo huu toka auimbe mpaka Leo sijapata mbadala wake.
Hongera bi Fatma kwa kazi nzuri
Mungu atuepushie na adui kiumbe
Mwema rafiki hanae
Huyu Mama anastahiki tunzo ya uwimbaji bora kwa upande wa taarab maana hatokei kama yeye kwa upande wa taarab kabisa yaani kwa ninayosema
Ni kweli mana hii yimbo ina ujumbe mzuri sana
Haki ya mungu hi ni taarabu asili ya ukweli. Mpangilio OOOOh unanimaliza hadi kwa damu na nafsi yangu. 🇰🇪 nikali imependeza sana
Mashallah.....
Vya zamani kweli havirudi
July's 2022
Nilikuwa ikifika saa 8 naelekea chuoni nikisikia huu wimbo ninasimama mpk umalize nikfika fimbo zinaniaubiri kwa kuchelewa bby fatma iss ninkukubali
Mda wa chuoni ukipita njiani lazma uiskie hiyo kusklza unataka na bakora chuoni zinakungoja sa8
Hii nyimbo nikiisikia nakumbuka enzi zile za kwenda chuoni inapigwa kwenye kipndi cha burudani na sauti ya Zanzibar ama sivyo
100%
100
Siku hizi inaitwa ZBC Radio zama hizo ikiitwa sauti ya Tanzania Zanzibar
Yaan mm na ww mawazo sw enzi izo ukiisikia 2 wimbo huu ujuwe muda wa chuon tyr da 😋 zaman raha kwakwel
Upo sahihi ukisikia hiyo unajua mda wa chuoni tyr
Japo mwenyewe chako kakubariki wabudyyyyy watakiendea mbio hadi lao litimie huyo ndie aduiiiiiiii kiumbeeeeee
NI BONGE LA NYIMBO NAIPENDA SANAAAAA
Waaaaaooooooo
Bora adui shetani kama kiumbe malipo duni ahera kuisabu fatuma Issa maaneno kabisa maaneno yako
Old is gold
Mashaalah kwa kweli
Waa
Mashaa Allah
snt kheri adui shetan km adui kiumbe
Haitachuja Wala ikae ichuje
Gonga like👍
From 2023 August 20
Bora adui shetwani
Kwanini na si wazanzibar tukaeka play graund song kama India nazani tuta uzamichezo yetu
2023 comment zenu😂
Hiyo ni kwaniaba ya watu wenye roho mbaya wenyewe wanajijua
Ni kweli kabisa duniani ni Mapito but akhera ndio kwetu kwa hivyo wataishi n'a hizo adhabu za . Mungu kwa yote waliyatendea wenzao🙏🙏🙏
😊😊😊
Bora adui shetani utamwita nakumpa kitakacho nakwenda zake ila adui kiumbe? Utaimaliza dunia na pembe zake
Bora adui shetani kiumbe hatari anataka akutangulize
MashaAllah 🎉❤
Huyu ndio kiboko
VERY TRUE😢"!😫😩
Kheir adui shetani utamwita kichwani atataja jina nakusema akitakacho na kwenda zake alikotokea ila adui kiumbe!?!? Utajuta kuzaliwa kila ukipata maumivu Yy ndo anazidisha moto
2024 tupo pamoja❤
Mashallah
31/01/2021 like
Hakikaaaaa.jamaniii.yakale dhahabu sn
Xannah kabisa lkn sasa mitusituuuuu
hili goma balaa
Mm ilikua zikipigw tu najua mida ya kula tayr 🤣 daah tuntok mbali
Wanafki wapoo inawachoma
Still on 🔥 📛 2025
Tunatoka mbali sana 🤣
Naipenda sana
2024
hehehhe
Nitafute kwa 0769311574
Vya kale ni dhahabu....
💌
Huyu mama kabarikiwa nasauti walai yani watamani umsikize
02/02/2023 like
TRUE 👍 TRUE 😢😭
Mate chini nnatema....tunusuru ya jalia nahisi Tabia mbaya..
NI MANENO YA UKWELI MATUPU
Lisemwalo lipo kama halipo ujue laja huyu ndio adui 💆
mngu akupec
I loved she is the singer I don't speak Swahili but I liked