Asokasoro Hakuna -Fatma Issa, Culture Music Club

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024
  • Old Is Gold Taarab Zanzibar.

КОМЕНТАРІ • 217

  • @SubiraMohamedy-ev9ed
    @SubiraMohamedy-ev9ed 4 місяці тому +7

    Nmezijua nyimbo za hyu mama toka nikiwa mdogo,,nlikuwa napenda sana taarabu,kuna baba wa kipemba alikuwa anapenda sana kuzisikiliza akiwa dukan kwake,,maashallah bi fatma mpk leo namfuatilia♥️♥️

  • @MuhamadiAli
    @MuhamadiAli Місяць тому +1

    Mungu awasamehe wazee wetu na warudi wa mola kutaka msamaha lkn watu wa zamani waliimba na watu wa leo wanakwimba. Maneno ya marehemu bikidude muimbaji hamalizi siteji.

  • @kijijinikwetutv8
    @kijijinikwetutv8 4 роки тому +15

    Kama una kabala kazi kutoka Zanzibar gonga like yako mpaka 2020

  • @assaddhamir5349
    @assaddhamir5349 6 місяців тому +9

    Who's still watching 2024 😊

  • @fatmaunji1275
    @fatmaunji1275 5 років тому +13

    Mmmmmh nyimbo inanitoa machozi hiii namkumbuka marehem shemeji yangu akiludi job ananiwekea nisikilize Daaaah mwenyezi mungu ampunguzie adhabu ya kabriii🙏🙏🙏Asokasoro hakuna

  • @salumsalum1775
    @salumsalum1775 3 роки тому +5

    Nani mwezangu anasikiliza 12 April 2021 gonga like hapo tuwe pamoja

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 Рік тому +4

    Dogo msilipe mwanya likaja likatatiza sadaqqqta dada yangu❤

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 4 роки тому +14

    Hizi ndio nyimbo zenye maneno ya maaana.Old is gold.

  • @issamuhammedi
    @issamuhammedi 4 місяці тому +1

    Nasikiliza 2024 yani hizi nyimbo hazitachuja milele

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 Рік тому +4

    Dada fatma issa kwa ubora wake mashaallah maneno Safi kabisa♥️👏👏👏👏

  • @SalehRashid-ry6td
    @SalehRashid-ry6td Рік тому +6

    Kama unatizama 2023 gonga like hapo twende sawa

  • @azizasaid913
    @azizasaid913 4 роки тому +34

    Kama unatizama Kama Mimi 2019 Weka like yako

  • @snahlicious
    @snahlicious 5 років тому +26

    aso kasoro hakuna aloumbwa muweza
    mwenye lile hili hana ndio shani yake adha
    tabia kutolingana si jambo la kushangaza
    kinachonikera sana nisonalo kupakazwa
    kunisema sichukui
    kusengenywa haifai
    ni hekima njema rai
    kunionya sikatai
    la msingi niiteni na wala sitopuuza
    sikatai nambieni wallah ntawasikiza
    mengine msinidhani yakuwa ntawabeza
    nami ntawashukuruni kwa vile mmenifunza

  • @mushken65
    @mushken65 Рік тому +3

    Maneno na mpangilio wa Hali ya juu sana . Taarab asili nzuri sana 🇰🇪

  • @fatumamwangome2548
    @fatumamwangome2548 5 років тому +12

    Masha Allah marehem baba yangu aliipenda sana hii nyimbo imenikumbusha mbali sana machozi yanitoka hasa niliskia dogo msilipe mwanya likaja likachachizaaaaaa

    • @ally1702
      @ally1702 5 років тому

      Pole sana

    • @ashuashu3843
      @ashuashu3843 4 роки тому

      Pole

    • @zainabsuleiman5920
      @zainabsuleiman5920 2 роки тому +1

      Allah awarehemu wazee wetu waliotutangulia mbele ya haki awasamehe makosa yao Amiin 🤲🤲

    • @msakuzikondo536
      @msakuzikondo536 2 роки тому +1

      N mimi Marehemu baba yangu aliupenda sana.Mungu akurehemu KK

  • @feisalboy6702
    @feisalboy6702 Рік тому +2

    Dah bi fatma issa ww utaniuaaaaa

  • @faridbakar8242
    @faridbakar8242 4 роки тому +10

    2020 old is gold

  • @sitisharif-s3z
    @sitisharif-s3z 2 місяці тому

    Can't get enough

  • @johnkuma6867
    @johnkuma6867 2 роки тому +2

    imependeza sana sana mpangilio na sauti nzuri dada umebarikiwa nayo.Hi Taarab inanipeleka ulimwengu mwingine wa hali ya juu sana. Love nikiwa hapa Kenya

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 Рік тому +2

    Si choki kusikiliza nyimbo zake huyu dada ina mafunzo kweli , but si kwa majuha mafunzo kwa waliyo n'a akili but ikiwa kichwa empty kakojoe ulale♥️♥️♥️♥️love home Zanzibar 😘😘😘

    • @jabirkombo5483
      @jabirkombo5483 7 місяців тому

      Hhhhhh ushakojowa tyr ww

    • @issamuhammedi
      @issamuhammedi 4 місяці тому

      Love to kweli hizi old is gold kweli ukisikiliza Kuna hisia unazipata

  • @omarsaid3105
    @omarsaid3105 3 роки тому +1

    Real tyme taarab,essence of social civilisation in East African coastline... sio taarab mseto.

  • @Gangalamu
    @Gangalamu 5 років тому +8

    1 of ur best song ever Fatma Issa. What a lyrics composition and ur Melodius Voice. Wwwwwwooowwwwwww

  • @mwaka308said7
    @mwaka308said7 2 роки тому +3

    Thank you!for this sweet lovely song of mama Fatma...old is Gold.#

  • @ahymokash9640
    @ahymokash9640 6 років тому +5

    Pambeeeeeee kinancho nipa udhia nikule kuniapiza asokasoro hakuna aloumbwa na mwezao kinancho nikera sana nisonalo kupakazaaaaaaa

  • @Gangalamu
    @Gangalamu 5 років тому +9

    Sensational Fatma Issa Aaddaabbb, THIS song has it all, LYRICS singing and composition of highest calibre. Wwwwoooooowwwwwwew

    • @mariamomar9644
      @mariamomar9644 4 роки тому

      dogo mcilipemwanya mukawa mwaedeleza hapo tu

    • @Gangalamu
      @Gangalamu Рік тому

      ​@@mariamomar9644kabisa mummy

  • @Gangalamu
    @Gangalamu 7 років тому +7

    Sijui nisemeje kuhusu huu wimbo ulivo mzuri tangu Mashairi Musiki na Muimbaji. Malkia wa tarabu na huu wimbo una mambo na waadha wote bora. Amazing to say the least

  • @preetyroshylne1475
    @preetyroshylne1475 6 років тому +5

    ASokasoroo hakuna aloumbwa na muwezaaa,,hongera bi fatma kaz nzur ,.

  • @othmanal-nabhany9243
    @othmanal-nabhany9243 4 роки тому +1

    Asokasoro hakuna aloumbwa na muweza,, ndio anavyotwambia mamaetu Bi Fatma Issa

  • @AllyNjimbo
    @AllyNjimbo Місяць тому

    Taarabu za saahivi nimapenzi 2 hakuna tena taarabu kbs watu walikuwa wanaimba jmn.

  • @bismassshilla2025
    @bismassshilla2025 6 років тому +5

    mwenye lile hili hana...ndio shani yake AZA...huhuhuuuu!!! ni raha sana Fatma Issa

    • @issamuhammedi
      @issamuhammedi 4 місяці тому

      Acha tu hadi basi yani hadi unakuwa na hisia kali Sana na unyumbani wetu asikwambie mtu kuwa mzanzibar raha we

  • @John-m2w5v
    @John-m2w5v Рік тому +2

    Congratulations keep it up💪

  • @abdallahdula6573
    @abdallahdula6573 8 років тому +8

    Old is gold 100%

  • @shafikamasudi2211
    @shafikamasudi2211 3 роки тому +3

    2021 still nasikiliza huu wimbo

  • @alzaah615
    @alzaah615 7 років тому +5

    hakina ndugu yangu asokasoro hakuna, kinachonipa udhiya ni kule kuniapiza wala sioni vibaya kule kunielekeza heko dada mtanzania maneno ni kibaao

  • @alitonya1123
    @alitonya1123 Рік тому +1

    Wallahy hii ni sweet song japo sikua zama izo ila nimetokea kuupenda huu wimbo...Fatma aki u really got a blessed voice.

  • @Gangalamu
    @Gangalamu 6 років тому +3

    Fatma Issa amongst ur best songs

  • @AllyNjimbo
    @AllyNjimbo Місяць тому

    Nikweli jmn asokasoro hakuna kila aloumbwa na mueza

  • @mamat5661
    @mamat5661 7 років тому +5

    Inanikumbusha mbali mnooo, binaadamu hatuyaoni yetu tunayaona ya wezetu

  • @user-ie9dz9hm9q
    @user-ie9dz9hm9q Рік тому +1

    Nice muzic old is gold ❤👏👏

  • @AllyNjimbo
    @AllyNjimbo Місяць тому

    Hii nyimbo inanikumbusha mbl sn jmn

  • @dahoudrashid216
    @dahoudrashid216 6 років тому +3

    Nice music old Zanzibar ftma nice ming ming

  • @MuhamadiAli
    @MuhamadiAli Місяць тому

    Nyimbo za zamani ulikuwa unasikiliza zaid ya mara sita hujajua kilichokusudiwa na hiyo ndio maana ya tungo. Sasa mambo yote hadharani.

  • @shamsahajri8145
    @shamsahajri8145 4 місяці тому

    Old is Gold Salute to bi Fatma

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 Рік тому +1

    Kswahili hichooooo❤💃🙋

  • @alzaah615
    @alzaah615 7 років тому +1

    hakika ni tamu sana kukusikieni ndugu zetu mungu awabariki na atuzidishie umri mwingi allah yaallah zanzibar is gold ndugu zangu tutaweza kupokonywa yote but talent's ni zetu heko nyumbani

  • @fatumarizione3667
    @fatumarizione3667 7 років тому +4

    love you mamy big up wala msijedhani yakuwa nitawabeza niongozeni jamani

  • @fatoumaahmed7670
    @fatoumaahmed7670 4 роки тому +2

    J'adore cette chanson merci 💃💃💃💃💃

  • @zainabsuleiman5920
    @zainabsuleiman5920 2 роки тому

    Hakuna alie kamilika zaidi yake Allah

  • @yusuphidrisa2100
    @yusuphidrisa2100 8 років тому +9

    hongera fatma issa

  • @aminayusud851
    @aminayusud851 9 років тому +12

    Fatuma isa waaaaaa.naipenda vars kinacho nikira sana nisonalo kupakazaaa

  • @aminamsakatile7219
    @aminamsakatile7219 7 років тому +3

    mashallah Fatma Issa..ktk ubora walke

  • @saudaissasaudaissa1329
    @saudaissasaudaissa1329 9 років тому +3

    Ikiwa nimekosea wajibu kuniongoza asantaa fatma issa

  • @ummulkheirally1841
    @ummulkheirally1841 6 років тому +2

    Mmmmmhhh duuuuuuuuuhhh iko pouw sana aaa

  • @abdullakhalfan4668
    @abdullakhalfan4668 Рік тому

    Fatma Issa Mwaaahhhhh❤🎉

  • @ramadhansimba7760
    @ramadhansimba7760 5 років тому +2

    Fatuma issa ni noma

  • @user-xb2hw4yt1t
    @user-xb2hw4yt1t 7 місяців тому

    Best old is Gold I like it .❤❤❤

  • @aishamatangamatangamatanga1344
    @aishamatangamatangamatanga1344 2 роки тому

    Hakika zamani itabaki kua zamani sichoki kusikiliza ❤️❤️😘

  • @innemussa1828
    @innemussa1828 6 років тому +1

    ahsant bint issa maneno mazuri!! Asokasoro hakuna!!!

  • @ayshearsaeed5716
    @ayshearsaeed5716 5 років тому +4

    Kitu na boksi sichoki kuskiliza huu wimbo naupenda hatarii😂😂sauti dada madaha kama yote

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 роки тому +2

    Old is Gold 👍

  • @firyalharbou4952
    @firyalharbou4952 3 роки тому +1

    J'adore cette chanson je pense fort ma mère une très bonne chanson asante sana

    • @mushken65
      @mushken65 Рік тому

      Karibu Sasa toka hapa kenya 🇰🇪

  • @SaadaMwalm
    @SaadaMwalm Місяць тому

    Hii ndio tarabasilia

  • @nanadahal4740
    @nanadahal4740 Рік тому

    MASHAALLAH OLD IS GOLD NAMPENDA SANA FATMA ISSA NYIMBO ZAKE ZOTE

  • @perrychicken5876
    @perrychicken5876 7 років тому +3

    Maanii na muimbaji mzuri Mashallah

  • @mariamakeba
    @mariamakeba 3 роки тому

    4 day in a leo nyimbo tamu🎼🎧🪕
    Kinacho niumiza ni kule kuniapiza 🦚

  • @khamisomar9419
    @khamisomar9419 6 років тому +3

    Asante Fatma Issa

  • @fahashmohd6102
    @fahashmohd6102 7 років тому +3

    MashaAllah my Fav Fatma Issa

  • @dukanmchina6614
    @dukanmchina6614 6 років тому +2

    awsome hakika aliimba huyu mama

    • @mahamoudduchi3318
      @mahamoudduchi3318 4 роки тому

      Maneno yalimchosha ndo akaimba hii nyimbo we sikiliza vzr tu iyo nyimbo utajua km aliwatungia watu fulani😄😄😄😄

  • @haroubjuma5107
    @haroubjuma5107 5 років тому +2

    Asokasoro hakuna

  • @maswamaswatech3830
    @maswamaswatech3830 8 років тому +3

    hongera yako cz binadamu waleo hawajui km hakuna mkamilifu

    • @yaakubjuma8940
      @yaakubjuma8940 7 років тому

      Kuwa haikuwa watoto ulowazaa mwenyewe......itakua???

    • @yaakubjuma8940
      @yaakubjuma8940 7 років тому

      Asokasoro hakuna aloumbwa na muezaa.....

    • @yaakubjuma8940
      @yaakubjuma8940 7 років тому

      Mwenye lile hili hana.....
      Tabia kutolingana sio jambo la kushangaza.....

  • @aishahassan4168
    @aishahassan4168 3 роки тому

    Asokasoro hakuna aloumbwa na muweza

  • @mayasahkhalfan6828
    @mayasahkhalfan6828 6 років тому +1

    Kweli aso kasoro hakuna ...... maneno kuntu.

  • @samiralaakif
    @samiralaakif 5 років тому +2

    Bi Fatma sadapta maneno yako ni Elimu kwa wale wasengenyaji wamuogope Allah km umeona mapungufu kwa mwenzako muase ajue kosa lake wewe unayako kibao na yaliyopo upande wako mbona huyaweki hadharani haifai

  • @zainabsuleiman5920
    @zainabsuleiman5920 2 роки тому

    Jamani mnyonge mjyongeni a la haki yake mpeni kwa upande wangu hatotokea muimbaji mzuri wakike kwa upande wa taarab kama huyu maana huwa anatunga mwenyewe mashairo mwenyewe mziki mwenyewe pia na kuimba huwa anaimba mwenyewe jee ameshawahi kutokea muimbaji akafanya hivyo hatokei huyu mama yuko juu amepewa sauti

  • @rizikijabu742
    @rizikijabu742 5 років тому +1

    Asokasor hakun jmni

  • @salimathumanmayugo9926
    @salimathumanmayugo9926 3 роки тому +1

    Hamna mjadala kabsaa kama mawaidha, mane I ya hikma na yenye utulivu

  • @shuwekhamasoud1887
    @shuwekhamasoud1887 3 роки тому

    Nazikubali nyimbo za huyu mama bado yupo? Ananikumbusha mbaliiii 2021

    • @mohamedsuleiman7215
      @mohamedsuleiman7215 3 роки тому

      hujanishinda mimi yani ndo vile kashazeeka hoi bin taaban lakin ningelikuwepo enzi zake ningemuoa wallah....habibt wangu huyu nampenda rohoni.

  • @rahimaally6471
    @rahimaally6471 5 років тому +1

    Aso kasoro hakuna alouumbwa na mueza

  • @halimanabir2380
    @halimanabir2380 6 років тому +2

    lamsingi niiteni na wala sitopuuzaaa

  • @rizikijabu742
    @rizikijabu742 5 років тому +1

    Lovee mingming waalhh mungu akuweke

  • @ire.kasidikasidiss8099
    @ire.kasidikasidiss8099 2 роки тому

    Nice music with lovely view 👍👍

  • @snashiralmuaqly598
    @snashiralmuaqly598 2 роки тому

    daaaaah yaani weeeee achaaaaaa tu

  • @fatmaissa3154
    @fatmaissa3154 4 роки тому +1

    Maneno kuntu,hakuna mkamilifu chini ya jua

  • @fatmahussein9642
    @fatmahussein9642 2 роки тому

    Nyimbo naipenda hii asokasoro hakuna mm mweusi lakin shepu ipo hahaha kweli asokasoro hakuna

  • @feisalboy6702
    @feisalboy6702 Рік тому +1

    Ktk nyimbo uloimba hii ni kiboko yao

  • @hadjihadji197
    @hadjihadji197 Рік тому

    That's no one is a perfect except Allah. Nash's Allah.

  • @mussakivumbi2930
    @mussakivumbi2930 5 років тому +2

    Masha allah!!

  • @ahmadakishingo1935
    @ahmadakishingo1935 4 роки тому +1

    Kinachonikera sana nisonalo kupakazwa

  • @salimathumanmayugo9926
    @salimathumanmayugo9926 3 роки тому +2

    Maneno ya ukweli na mziki wa kukupa funzo

  • @maryvictor3412
    @maryvictor3412 4 роки тому +1

    Vya kale dhahabu

  • @nairathamad884
    @nairathamad884 5 років тому +1

    Mashaallah pambe maneno kuntu

  • @haithamjuma6686
    @haithamjuma6686 7 років тому +3

    wajina'umeona'eeenh'amina

  • @rehimatanzania4337
    @rehimatanzania4337 4 роки тому +2

    Nice song

  • @a.856
    @a.856 5 років тому +2

    Asokasoro hakuna...👌

  • @qeenlatty5380
    @qeenlatty5380 7 років тому +3

    siichok hii nyimb jmni dah uliimba hp sauti ssa ndio hoi mm

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 Рік тому

    Huu wimbo naupenda mno.naomba mwenye ataweza kunitumia pls

  • @sitisharif-s3z
    @sitisharif-s3z 2 місяці тому

    Zakale dhahabu kweli

  • @khaliphanassoro4851
    @khaliphanassoro4851 4 роки тому +1

    Fatma issa vp bado unaimba

  • @aliabeid5122
    @aliabeid5122 4 роки тому +2

    Vibaya msinidhan yakuwa nitawabez

  • @tvdlm2121
    @tvdlm2121 4 роки тому +2

    Mashaaallah