Sabah Salum Mithili Yako Hapana@al ghafri

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 443

  • @robertfabian8090
    @robertfabian8090 4 роки тому +58

    Kama bado unaisikiliza 2020 gonga like.
    One of my favourite song.
    Kila niuzikilizapo na pata hisia za kipekee sana. Sauti nzuri ya Sabah.

    • @azawahirtoufiq9236
      @azawahirtoufiq9236 4 роки тому +1

      am here july 2020 💕

    • @fatmaabubakhar7994
      @fatmaabubakhar7994 4 роки тому +2

      Hisia gani wapata si uniibie siri😂😂😂😂😂😂

    • @robertfabian8090
      @robertfabian8090 4 роки тому +3

      Fatma, kuna hisia nadhani hazina neno au maneno ya kuzielezea na ukijaribu kuzieleza utaharibu au utapoteza maana halisi, inabaki kuwa ndani ya moyo wako. Kiukweli naposikiliza huu wimbo ninakuwa kwenye ulimwengu mwingine kabisa.

    • @zuennarashid5630
      @zuennarashid5630 4 роки тому +1

      2020 september now i am looking

  • @jamal-dintz6465
    @jamal-dintz6465 Місяць тому +7

    Anaeisikiliza leo 2024 hii nyimbo like hapa❤

  • @mr.magic771
    @mr.magic771 11 місяців тому +14

    its 2024 and its still my best taarab

  • @abuuswabr1781
    @abuuswabr1781 Рік тому +7

    Macho yakisemezana,, nakumbuka ya sirini
    Mithili yako hapana,, umeumbika mwendani
    Wewe kwangu sultana,, unapendeza mathoni
    Alibiiiih! Alibiiiih! Alibiiiih 🙌🙌💝💝💝💝

  • @jumazamani8410
    @jumazamani8410 2 роки тому +6

    Dah zenji enzi izoooooo nakumbuka tunachambua karafuu dah siku zimepita mungu ailinde Zanzibar yetu

  • @mohammedmkomi9087
    @mohammedmkomi9087 5 років тому +10

    DAAAH HII NYIMBO INANIKUMBUSHA MBAALI SAANA 2003 NIPE CHEKECHEA BABA ALIKUWA NA REDIO NDOGO HIV YENYE COVER YA MBAO MCHANA AKIRUDI SHAMBA ALIKUWA ANACHUKUA JANVI ANATANDIKA CHINI YA MZINGAFURI ANAFUNGULIA TAMTAM ZA MWAMBAO.

  • @jamaalabubakar1211
    @jamaalabubakar1211 6 років тому +24

    Maa shaa Allah...Allah Atujaalie wake wema,watakaotupa utulivu na walio na huruma kwetu.....bila shaka mke mwema ndio pepo ya duniani....Rabby yatakabalie maombi yetu...Allahumma Aamiin

  • @SaidAlly-zb2jb
    @SaidAlly-zb2jb 4 місяці тому +5

    Kama bado unaisikiliza hii 2024 ebu tujuane kwa likes

  • @muslimahmuslimah4894
    @muslimahmuslimah4894 8 років тому +35

    Duniani Mithili yako hapana, Na peponi tutakutanishwa tena. My favourite song Ma shaa Allah.

  • @ahmadakishingo1935
    @ahmadakishingo1935 4 роки тому +16

    Daaa kidato cha tatu 1996 siku hizo Mungu marehemu shwahiba wangu (Rukia Kaumbwa) alikuwa anapenda kuimba wimbo za Sabah na kuzipata kama zilivo

  • @rahmakarama4202
    @rahmakarama4202 Рік тому +2

    Mashaallah ni nyimbo nzuri na ukitulia kuisikiliza ndio ina raha yako heko Sabah nakupenda sana na nazipenda nyimbo zako na sauti pia hongera

  • @bigmzazee2961
    @bigmzazee2961 3 роки тому +5

    Nilikua nampenz Wang 2013 2014 alikua mzanzibar halida hajj aliupenda wimbo huu sana dahh alichonifanyia ashkur mungu tu inauma sanaa alikua anaupenda wimboo huuu nikiusikia roho inauma mnooo ngoma tam sn

  • @mkambijuma4327
    @mkambijuma4327 5 років тому +6

    waw yuko wapi mtoto aliembuka na roho nzuri na heshima zako akaniweka moyoni mwake na nikamuweka moyoni kwa dhat akaniimbia nyimbo kama hii ya allah
    hebu nikutanishe naye.

  • @faudhiamunna-lg7ge
    @faudhiamunna-lg7ge 5 місяців тому +2

    Hii taarab inanyongonyeza moyo yani ipo na udhini sana kwenye kinanda chake wallah nimechwa mie nataman kumuona mwanamme huyo ata njiani wallah😢 mimi nampenda sanaaa Ally❤

  • @MohamediNyari
    @MohamediNyari 9 місяців тому +3

    Maa shaa Allah atujaalie wake wema nawatoto wema

  • @mwinyirogoh2389
    @mwinyirogoh2389 7 років тому +56

    jamani naikumbuka hii nyimbo sana2 baada yakumpoteza mchumba wngu wakwanza! mola aiweke roho yke maalipema insha Allah tutaonana my....!!!

    • @zainabbukari1910
      @zainabbukari1910 7 років тому +3

      Mwinyi Rogoh pole sana kifo cha mahaba ya shakila pia

    • @abubakarkeya9634
      @abubakarkeya9634 5 років тому +1

      Mola akufanyie wepesi

    • @alialibablly7010
      @alialibablly7010 5 років тому +1

      Pole sana Ameen mkumbuke kwa Dua na swalah na sadaka

    • @salimnassor9153
      @salimnassor9153 5 років тому +3

      Jamani mimi nyimbo sipendi hasa, na nailazimisha nafsi yangu hivyo, lakini nikisikia hivi vinanda vya kuanzia tu kwanza, inanibidi nisimame kama dakika 5 mpaka 10. nafsini mwangu najihisi kua mnafiki, Astaghfirullah.

    • @aminasalim6782
      @aminasalim6782 4 роки тому +1

      Pole sana wangu Allah ampe kauli thabit

  • @haroubjuma5107
    @haroubjuma5107 5 років тому +28

    This song makes m to feel happy when i was home Zanzibar islands god bless Zanzibar i love Zanzibar

  • @allysharubusharubu182
    @allysharubusharubu182 Місяць тому +3

    wazeee hawa nd walokua wanajua kuimba utulivu nyimb izi aziwez kuisha hazi ata kidg

  • @bittybitty2712
    @bittybitty2712 5 років тому +4

    Jamani naipenda hii nyimbo sana yana mama kaimba maneno matamu nakumbuka kuee huyu mungu ampe maisha marefu

  • @Edwardgasper
    @Edwardgasper 7 місяців тому +5

    Ukiisikia huu wimbo lazima usisimke na kama mmeo yupo mbali lazima umpigie cm sabah mashallah

  • @Twalibuidd
    @Twalibuidd 4 місяці тому +3

    daah huwa namkumbuka mpenzi wangu sana jasmin

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 5 років тому +33

    2020 anyone??👌

  • @emmanuelmasoko1013
    @emmanuelmasoko1013 Рік тому +13

    Hizi ndio Taarab Sasa, hizo zingine boringo, gonga like hapa 2023

  • @nassoryussuf3639
    @nassoryussuf3639 4 роки тому +7

    Nyimbo tamu sana, inaburudisha ba kufunza pia. Fasihi ndo hii jmn

  • @nugwimpemba3183
    @nugwimpemba3183 7 років тому +14

    dah yaan huyu mama nyimbo zake sikomii kuziskiliza every day nakumbuka kulee zenji maeneo ya mji mkongwe hukos ngoma hiyo i like this sabah salum

  • @philcoism
    @philcoism 5 років тому +11

    This is my second best song after Yalaiti ya Bi Malika. "Mpenzi mwenye imani, mimi nakupenda sana."

  • @nassirsafari2338
    @nassirsafari2338 4 роки тому +6

    2020 who's still listening....Swabaha mchacho ameweza sana.... +254

  • @abdallahmkandambuli4571
    @abdallahmkandambuli4571 6 років тому +9

    nyimbo hii inanikumbusha mbali sana,majonzi furaha sina upo mwangu mawazoni ni maneno yanayonitowa machozi,mama amejuwa kuimba jamani

  • @eddyali8408
    @eddyali8408 7 років тому +12

    Wanigusa rohoo ynguu kwa maneno yko mwili wote hoi mums sabah lv so much .... hapa Musa chothaz kutoka italy

  • @lailahasan2200
    @lailahasan2200 5 років тому +4

    Mashaallah,, inaniumiza hii nyimbo kumkosa wa moyon, aise mungu ndo mjuz cha tu....

  • @aminamahmoud8784
    @aminamahmoud8784 5 років тому +49

    Eeeh jamani kama unaskiza hii 2019 jun,piga like

  • @salmamasoudy6842
    @salmamasoudy6842 4 роки тому +1

    na pepon tutakutanishwa tenaaa mpz mwenye iman mm nakupenda sasa mpk 2020 iko juu vya kale dhahabu

  • @suhaybabeid3115
    @suhaybabeid3115 4 роки тому +8

    Cjaona mwengine km ww sabah salum i like your taraab mashallah love my grand mom for give us good entertainment thanks😀😀 and last that i want to tell you everyday i listen your taraab😭😭 am cry coz of your good taraab. THANKS😍😍

  • @preetyroshylne1475
    @preetyroshylne1475 6 років тому +11

    Nataman kukuona,majonz furaha cna umo mwangu mawazon dah ...Kazi nzur bi sabah

  • @latahilehsein3749
    @latahilehsein3749 5 років тому +1

    Subhanallah hii nyimbo sichoki kuniskilza na ina nifanya niwakumbuke wazazi wangu wote wa 2 saa 8 mchana marehemu mama yangu na baba yangu wakiimba pamoja, Allah awasameh makosa yao ya sirini na dhahir awajalie janat firdaus ya daraja ya juu Ameen YARABBY

  • @ismailmjeshi1984
    @ismailmjeshi1984 7 років тому +44

    wapenzi wa sabah hamjamboooooooo..............

  • @mohamedshaaban7412
    @mohamedshaaban7412 7 років тому +39

    my feelings is going deeper,, it reminded of me when I was 8yrs my mom told finish to eat to go madrasa,,,, impressive 👌👌👌

  • @kiddatu7
    @kiddatu7 5 років тому +15

    Them dayz when love was real!!! Sometimes iwish I could go back to those days...it reminds me of my late wife...rip beb when ihear this song icant control my tears oooh!!! sleep well mpenz mwenye ulikua na imani kwangu

    • @farhatfatma12
      @farhatfatma12 5 років тому +1

      Pole sana. ALLAH AMREHEMU NA AMPE PEPO YA FIRDAUSI.

    • @biabuali1371
      @biabuali1371 5 років тому

      Pole xana

    • @shabanially175
      @shabanially175 5 років тому

      Pole kaka kwa kuondokewa na mpendwa wako, Inshallah mtakutana kesho peponi.

    • @mozasalum9715
      @mozasalum9715 4 роки тому

      Abubakar Ali pole

    • @RioIpo
      @RioIpo 4 роки тому +1

      Pole sana bro

  • @kareemrasheed6997
    @kareemrasheed6997 8 років тому +5

    Nice song wallah ng`ombe hazeeki maini nyimbo hii inankumbusha udugu wangu diana

  • @kibibimwaita2438
    @kibibimwaita2438 5 років тому +4

    Miaka mingi lakini haishi hamu old gold

  • @hajiomar7026
    @hajiomar7026 6 років тому +9

    Masha Allah inanikumbusha mbali sana iko wap Zanzibar yetu hii

  • @zubyzubymohamed4103
    @zubyzubymohamed4103 7 років тому +8

    Me mwezenu feeling beat za uyu mama zote na sauti yakee OMG🎹🎹🎹🎸🎸🎸🎼Nataman! nataman! nataman! kukuona OMG Majozi furaha sina humu mwangu mawazoni ...😘😍😌

    • @zainabbukari1910
      @zainabbukari1910 7 років тому

      Zubyzuby Mohamed yani sijui nani atamuwezea minamtamani nimuige

  • @faroukmahmoud8111
    @faroukmahmoud8111 4 роки тому +16

    Reminds me of my wedding night 23 years ago. Lost for words. Beautiful.

  • @jumahamad8075
    @jumahamad8075 4 роки тому +2

    Nataman kukuona jaman sabaha mashallh sauti nzuri

  • @ra.darai1
    @ra.darai1 Рік тому +4

    جدتي مره قالتلي ان كلما اشتاقت لجدي تسمع هالأغنيه🥺

  • @duncanmshila3614
    @duncanmshila3614 4 роки тому +2

    Jameni 2020 na bado nyimbo ni hit ...naipenda maana yanipa hisia nzuri ...Love you Sabah Salum

  • @khakeemafro6274
    @khakeemafro6274 8 років тому +54

    Dahh kitambo kweli kipindi icho najiandaa kwenda madrasa saa nane mchana zinachezwa kwenye kipindi cha burudani sauti ya Zanzibar radio

    • @zenazena9472
      @zenazena9472 6 років тому +1

      khakeem afro daaah sabah unazeeka na sauti yako, mwanamama unaipa tasnia ya miuzi ya taarabu raha tupu

    • @mzeemzee2467
      @mzeemzee2467 6 років тому +2

      Zikipigwa mbili tu muda tayari wa kwenda

    • @Anonymous00018
      @Anonymous00018 6 років тому +3

      Hahahahaa mbio na mas-haf yako unakimbilia, duh! Alhamdulillah time flies

    • @omaralihamad3785
      @omaralihamad3785 6 років тому +1

      Hahaha

    • @greatiq8234
      @greatiq8234 5 років тому +1

      Mwanangu wacha tu. Mi nilimtumia cousin wangu kule UK 1998 akaning'ang'ania!

  • @fatemamudathir6931
    @fatemamudathir6931 8 років тому +2

    Akheir Zaman.......wallahi wanikumbusha hapo awali ya mapenzi na ya Ayuoni wng. luv it

  • @allymuchiri8767
    @allymuchiri8767 5 років тому +2

    Jamani!!!nikiwa ndani ya boat kismayuuu..huu mziki hatari sana karibu nijitupe baharini.

  • @shabanndabari5958
    @shabanndabari5958 8 років тому +13

    mpenzi mwenyewe imani,mi nakupenda sana

  • @wahidahabibu8274
    @wahidahabibu8274 7 років тому +18

    mashaallah najiona mm ndo naiimba juu yakitanda namumewangu ananisikiliza...mashaallah sabah

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 4 роки тому +6

    Salamu! Salamu! Salamu twaleteana
    Mpenz! Mpenzi! Mpenzi hatuonani
    Siku gani tutakutana unitoe adhabuni
    Siku gani tutakutana unitoe adhabuni
    Mapenzi kuridhiana huba zisizo kifani
    Mapenzi kuridhiana huba zisizo kifani

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt 28 днів тому

    Ilaa jamani huyu mama kwakweli mashahalla mwenyezi mungu amemjariia sana Sauti nyororo

  • @tarrickaziz9327
    @tarrickaziz9327 4 місяці тому

    Wimbo wangu pendwa wa muda oteeeee❤ hii kitu haiachi roho inataka tuuuu 😅

  • @mussahaji4598
    @mussahaji4598 5 років тому +5

    Sabah hapo uliongea vizuri enzii hizooo inanikumbusha siku hizooo tunapanda daladala Chai maharage bububu

  • @breakfr5549
    @breakfr5549 5 років тому +2

    HACHIMIA 🇰🇲 : NATHAMANI NATHAMANI MKUWONHA MWENYE HANI MWENYE HANI NATHAMANI MADJOZI FURAHA SINA MKU KWANGU MAHATSONI

  • @sailuusaidi2132
    @sailuusaidi2132 3 роки тому

    Hii nyimbo nikisikia nakumbuka
    Na mpenz wangu uko tanga ila sasa ivi
    Hakuna mapenz kabisa yani 2021

  • @maiyakassim5302
    @maiyakassim5302 4 роки тому +1

    Duh! Sikugani twakutana unitoe adhabuni wallah naumia sana nimekumbuka mbali Sana 😭😭

  • @abdulkheirmohd2489
    @abdulkheirmohd2489 9 років тому +16

    This song reminds me soo much about my sweet mama

  • @salwahalisi29
    @salwahalisi29 6 років тому

    Sabah i love nyimbo zako zote uko juu sana mungu akuweke nakupendaa.duniani mithili yako hapana na peponi tutakutanishwa tena

  • @hamisihamisi5445
    @hamisihamisi5445 7 років тому +8

    Huu wimbo unanikumbusha Mlandege Mtumbani Zanzibar.

  • @leilahassan2046
    @leilahassan2046 3 роки тому +8

    This song make me feel so badly when I remember my ☓, but no way life goes on

  • @MohdMubaraka
    @MohdMubaraka 7 місяців тому +3

    Kwa mimi nakumba nyimbo hii kipindi cha mchana kwenda chuoni

    • @jamal-dintz6465
      @jamal-dintz6465 Місяць тому +1

      Dahhh kumbe sio mm pekeangu. Nikweli hpo unakuta wali n mchuz wa chukuchuku wa samaki 😢😢. Kitambo 2013 iyoo

  • @icequeenmake_upartisttz6752
    @icequeenmake_upartisttz6752 3 роки тому +4

    2022 ♥️nmkumbuka kwetu machomane pemba

  • @fatmajuma9211
    @fatmajuma9211 5 років тому +1

    Duniani mithili yko hapana BABA yng mzazi na peponi tutakutanishwa tena inshaallah

  • @faridamkesso97
    @faridamkesso97 5 років тому

    Sichoki kusikiliza daima , dah nakumbuka mbali sana nilivyopotezana na niliempenda kwa dhati 😢 hadi leo 2020 hanitoki

  • @circulationnewhabari154
    @circulationnewhabari154 8 років тому +5

    nampenda sana huyu mama inshaallah Allah akujalie umri zaidi hakuna kama wewe kwenye tasnia yaa taarabu tanzania

    • @zainabbukari1910
      @zainabbukari1910 7 років тому

      circulation newhabari sana akuna mashauzi tu yamewajaa mavi matupu

  • @gshdhshhshs3362
    @gshdhshhshs3362 6 років тому +3

    I feel home omg jamani nyumbani kwetu 😢2018 i miss home zanzibar mitaa yamchenzani jumba no 3

  • @bahathirashid1856
    @bahathirashid1856 3 роки тому +8

    2021 still glued to the beautiful lavish lyrics ... anyone ? ❤️

  • @peterjunior6811
    @peterjunior6811 8 років тому +13

    dah Sabah mkali sana Ila wabongo hatumsifu mtu mpk AFE

    • @zainabbukari1910
      @zainabbukari1910 7 років тому +1

      Peter Junior siwashazoea micharuko dar live kaka miaka sabaha penda yy

    • @cpasalma1532
      @cpasalma1532 5 років тому +1

      Natamani natamani kukuona

    • @mohamedmgwami5987
      @mohamedmgwami5987 5 років тому +1

      naikumbuka Zanzibar ile yazamani Imani nyoyoni mwa Watu ilikuwepo, watu waliheshimiana, kupendana kuhurumiana, Mabaya tunayoyasikia nakuyaona Leo hayakuwapo wakati ule

  • @faizahmed90
    @faizahmed90 2 роки тому

    Macho yakisemezana yakumbuka ya sirini sabah salum is the best

  • @Sumadobi
    @Sumadobi 7 місяців тому

    jamanii huu Wimbo uwiiiiiiiiiiiiiii natka kama nikamtunze mama sabah ❤❤❤❤❤

  • @hadjisoihiri2436
    @hadjisoihiri2436 5 років тому +5

    Je ne prend pas vraiment votre langue mais j aime tellement cette chanson 🤗🤗

  • @KindoEmmanuel
    @KindoEmmanuel 5 місяців тому +1

    Ningali nasikiliza hii mwaka huu wa 2024

    • @saidhamad7504
      @saidhamad7504 4 місяці тому

      Yeah tunapita pita tukimis old days❤

  • @MiqdadHanzwan
    @MiqdadHanzwan Рік тому

    Bado Gati .... Ahhh mwatukumbusha mbali wallahi

  • @ashahaji4936
    @ashahaji4936 7 років тому +11

    hamna km mume wangu Yussuf Allah bless my hubiy

  • @abouhariatsaid2007
    @abouhariatsaid2007 5 років тому

    Keuli mach'Allah nzuri kupendana muhimou dro tamou ya moyoni na zayidi raha kuonana ichall'whaou

  • @saidamohammed2438
    @saidamohammed2438 8 років тому +9

    love this song it remind me of someone use to be soo special

  • @sumaboy8105
    @sumaboy8105 Рік тому

    Nataman nataman kukuona mpenzi wangu yaan jins navomkumbuka mpenzi wangu bas tu 😔😔😔😪😪😪

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 8 років тому +5

    I smell marashi ya karafuu when i listen this nice song,long life my zanzibar
    miss you
    love you

  • @mejamchenje9785
    @mejamchenje9785 5 років тому +2

    Daa sina chakusema zaid ya kumshukur mung ailaze roho ya marehem mamaangu panapo staghli ishaalh pepon tutakutanishwa hakika alikua mpen z sana wanyimbo hii data

  • @aisshamohamed3452
    @aisshamohamed3452 8 років тому +14

    natamani kukuona.. nice song...

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 4 роки тому

    Milele tutashikana yetu kubwa tumaini
    Milele tutashikana yetu kubwa tumaini
    Tuishi tukipendana kwa salama na amani
    Alibiihh!! Alibiihh!! Alibiihhhhh!!

  • @abdallahalmugheiry8884
    @abdallahalmugheiry8884 7 років тому +22

    wakti wa Zanzibar raha na mapenzi watu wakipenda na kuheshimiana

    • @allyderossi9742
      @allyderossi9742 5 років тому

      Abdallah Almugheiry:Sasahv ukitaka H.I.V aahh wala ucwe na wacwac,,kisiwa chote wandengereko wamekiharibu wanatoka kwao na njaa zao wanakj ku2haribia na cc.

  • @abdallakonyezo7197
    @abdallakonyezo7197 7 років тому +8

    Dah!!!....utamu mtupu Zama hizo taarabu ilikuatamu

    • @ismailmjesh7426
      @ismailmjesh7426 6 років тому +1

      Abdalla Konyezo mom anjua jamani.....sauti tuuuuuuuu' nyimbo haramu lakn allah atusamehe

  • @nabbeely5295
    @nabbeely5295 7 місяців тому +2

    Super star abdallah issa alijua kuandika huu wimbo 🔥🔥🔥2024

  • @mumsaida7994
    @mumsaida7994 7 років тому +5

    Full Mahaba..Shukran Maa Sabah Salum...Mola akueke ❤

    • @ismailmjesh7426
      @ismailmjesh7426 6 років тому

      Mum Saida kabsaaaa mum saida' allah amuhifadhi......

  • @eddieelijah9359
    @eddieelijah9359 11 років тому +3

    Maneno yako sawa sawiyya kaka Bakri....Mie ndo hulala kabisaaa

  • @al-khairat63
    @al-khairat63 Рік тому +2

    Nyimbo za mahaba kama hizi ndio twazitaka❤😊2023

  • @musachotara7412
    @musachotara7412 8 років тому +5

    mums sabah wanigusa mahali kwangu jamani naumia sana tena sana

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 4 роки тому

    Viva old is gold taarab Zanzibar
    Long life Zanzibar, Asili haipotei
    Viva Aunt Sabaha Muchacho

  • @aishaimran-xg9de
    @aishaimran-xg9de Рік тому +8

    2023 still Love this song

  • @kassimulega7043
    @kassimulega7043 7 років тому +10

    Maneno mazuri...sauti safi. Mashallah

  • @elizabethfaustin7785
    @elizabethfaustin7785 2 роки тому +2

    Nani nipo nae 2022 😇🥰

  • @tsembeasudi6609
    @tsembeasudi6609 6 років тому +2

    I still remember you mama.Natamani kukuona...

    • @halimamajid4042
      @halimamajid4042 5 років тому

      Tsembea sudi muombee dua Sana mama....

    • @halimamajid4042
      @halimamajid4042 5 років тому

      Kwani namm dah namkumbukasana mama ..........

  • @fatmaali7698
    @fatmaali7698 4 роки тому +1

    Hii nyimbo mume wangu aliniambia niiskize alafu kesho yake akasafiri. Kila nikiiskiza lazima ntalia machozi ya furaha.

  • @salmashee3706
    @salmashee3706 Рік тому

    Nice song masha Allah ❤ nice words and very melodious i dedicate this song to my beloved husband wherever he is❤ yes! Will always cherish your love forever❤❤❤ till death do us apart ameen!

  • @maryammussa9735
    @maryammussa9735 Рік тому

    Mashaallah nice song.ila huwa inaniliza sana

  • @wakisawakisa5455
    @wakisawakisa5455 2 роки тому

    2022 🤤 nikikumbuka mistari iliyoimbwa humu najikuta narudi mwenyewe kusikiliza tena

  • @sabriaalzadjali9328
    @sabriaalzadjali9328 7 років тому +3

    Sabah i love you,Zanzibar throwback