Msisimko wa Sifa - J. C. Shomaly | St. Paul's Students Choir University of Nairobi | Sauti Tamu
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- Happy Easter. Kila heri ya Pasaka watazamaji. Bwana Yesu amefufuka, ameturudishia uzima, tumshangilie kwa msisimko wa sifa.
St. Paul's Students Choir University of Nairobi vol 8
Karibu kuutazama wimbo wa kwanza wa kanda ya nane (vol 8) Kwaya Kuu ya Wanafunzi ya Mtakatifu Paulo, Chuo Kikuu cha Nairobi
#StPaulsStudentsChoir #vol8 #SautiTamu
Sasa wakati umefika, Tazama Bwana tunakuja kwako, Watumishi Wake Baba - Traditional sasa zinapatikana hapa
Usikose pia kutazama nyimbo nyingine za St. Paul's Students Choir, Nairobi University songs UA-cam kama vile
Nitakutukuza Mungu, Mwangaza (Mukasa), Natazama Kalvari (Kwaresima) na Tunakimbilia Ulinzi wako (Mama Bikira Maria)
Misa Upendo (sub vol 8.1) na nyinginezo za kanda zilizotangulia: Alfajiri ya Kupendeza, Kina Hiki, Mbinguni Kutakuwa Raha, Mshike Mshike, Ikatetemeka Nchi, Tazameni Miujiza, Ninafikiria sana, Ushuhuda Tosha, Upendo Kupita Upeo,
ORGANIST
MKUDE SEKULU
DIRECTOR
MARTIN MUNYWOKI
COMPOSER
J. C. SHOMALY
PRODUCER
MARTIN MUNYWOKI
Tazama pia wimbo wa Atawala Milele pamoja na nyimbo nyingine katika channel hii
Kupata nyimbo nyinginezo bora za Kikatoliki, tembelea channels kama vile Rajo Production (nyimbo kama Mimina, Bwana Unibadili, Neema ya Mungu, Maneno Matamu), Tanganyika Production (kama vile shusha baraka na moyo wangu), Holy Trinity Studios, GSR Smart Sounds Studio Production, na nyingine.
Lyrics
Tunayapiga makofi na nyimbo za sifa
Tunashangilia, tunafurahia
Leo tunasisimka kumshukuru Muuma
Huo ndio kweli msisimko wa sifa kweli
Pepo na shetani wameshatimua mbio kweli
Tunalipa sifa jina lake Yesu Kristu
Nasi twamsifu Mungu kwa shangwe na sifa
Simka, sisimuka, shangilia, jina Yesu
Tumeuona wema wake na mkono wake umetubariki
Subscribe to find Best Catholic songs Kenya and Tanzania
This song is so lovely, listening to it during Easter and it's been a blessing!!! Thank you St. Paul's choir
🔥🔥🔥🔥
I support its so lovely
Am proud to be a Catholic all the way from Uganda
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
G.S.mkude one of the best organist ever ...🎉🎉
Very talented and humble organist
Thanks St. Paul's Students Choir University of Nairobi for the beautiful song and for making Kenya proud, now Tanzanian choirs have been put on notice. Your song composition and singing prowess is unmatched! God bless you and your singing ministry. Jesus is Lord!
Thank you. Be blessed
I can listen to the beat and I can enjoy the song while i don't understand what it says but I know its praising the Lord. Well done St Paul's University Choir. I am proud to be Catholic from Zimbabwe. Easter time is important us Christians.
Huo kweli ndio msisimko wa sifa. The writer must be so proud the singers did justice to the song.
Mwalimu Joseph Cosmas Shomally has always been the best.....long live Mwalimu
Amen
Amen.verygood.verysweets.verysong.veryPopular.One.of.the.most.Listen.to.it.so.finely.tuned.verybeautiful.verykind.veryGodLove.thankyou.somuch
Thank you so much
Be blessed
St Paul's UON. I shall never stop loving you. You are the best🤗😍. Mr Shomaly kudos👏👏🙌 you never disappoint.
Thank you so much Rose
Hawa vijana wanaimba na kumchezea Yesu kwa furaha nyingi... Safi sana. Na sauti zao zimenibamba sana. Mungu Aendelee kuwabariki waendelee na vipawa hivyo hata popote watakapo enda kuishi baada ya masomo yao....
My soul is healed. I've received the blessings of Mary Mother Of God, Jesus Christ through this master piece. Hands up to the team
Thank you
❤❤
Maisha yangu nakuwekea mikononi mwako eeh mwenyezi Mungu🙏🙏🙏
Am a Ugandan, buh I like ur songs u pipo. Thnkx keep it up with lovely songs. We really appreciate
Thank you so much
Wimbo huu naupenda sana. Nikianza kuusikiliza, sichoki kuurudilia hadi na hadi.
Shukrani sana
wow wow wow....sisimka miili yetu hakika tumeuona mkono wa Bwana Ukitubariki
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
🎉🎉🎉🎉,👊👏👏👏✊ safi sana
God bless you too
If you are still listening to this masterpiece 2022 ...ur a legend
Thank you
Very organized,,I love the song and the message in it.Barikiweni sana,a proud Catholic forever.
I never get tired listening to this song.
Thank you so much.
God bless you
My song naibeda wacheni MUNGU haitwe MUNGU🙏🙏🙏🙏🙏💃💃💃💃
Amina
My best song I listen every evening.
Thank you so much
Director munyoki kazi safi.... listening for the 100th time ❤❤❤
Shukrani sana brother
Be blessed, I LOVE this choir wabula. Enjoy it every day from Uganda 0
Thank you Margarette
munguanaweza yote hakuna aliyekama mungu kikubwa tuzidi tu kuombeana wapedwa natakakujiunga nakikundi chenu
Karibu sana Yakobo
Munaimba vizuri sana wandugu na dada zangu, nahivyo mubarikiwe
Ubarikiwe nawe pia
Hakika tunabarikiwa na mkono wake Bwana. Asanteni kwamsisimko wa sifa.
Kwa kweli ni msisimko wa sifa.Huu wimbo umenibariki
Shukrani sana Mercy
Saut ya tatu na ya nne hongeren sanaaa
Asante
Thanks 😘
Mungu au shetani. Nyimbo zenu zinajenga jamii. Bwana yesu asifiwe. Upendo wa Mungu uwe nanyi
Utume kweli kwa vitendo. Synody amina .
🙏🙏🙏
Amen mbarikiwe sana watumishi wa mungu wimbo mzur sana tz
Shukrani Baraka
Nawe ubarikiwe
Mmevunja rekodi kwa nyimbo zenu tamu ! Mola awabariki kwa kazi yenu nzuri .
Watching from Doha
Mungu awatie nguvu mzidi kutuinjirisha zaid
Mwenyezi Mungu aubariki ujana wenu
Hoooo yesssss I love you Jésus 😍 ❤
Amen
Beautiful song. I love it
My favourite song have listen it to many time but l can't get bored much love for them here from Uganda mbale
Asante
May God bless you am so happy take my boy also
Welcome
Najivunia kuwa mkatholiki napenda sana
Amina
Jina yesu... Thnkx 4 da lovely song. U a da best St. Paul's choir
Thank you Agie
Wapi Mkude naona anayarudi hatare sana
Would like even to see them on stage.Happy to be associated with them
Welcome to St Paul's Chapel, Nairobi
siku zote huwa mnanibariki nawapenda sana st Paul's mungu azidi kuwabariki muendelee kutuinjilisha kwa nyimbo tamu. Amina
Mnanibariki sana jamani
Mungu ndo kira kitu hapa duniani amen
Just how could anyone hate on this lovely song ,the lovely voices and choreography behind the song!!!
I am on repeat mode..Cant get enough of it..
Me too
It is my ringtone. You'd call me time and again to hear it🤩
Ni wega ni wrembo oyo ...very moving
🙏🙏🙏
Waoh🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏sauti chonjo kabisa👍👍👍👍👍👍👍👏👏👏👏
Wimbo mzuri sana hongereni sana waimbaji
The best 👌 Catholic Church ⛪ 🙌 expression
Thank you
well, Hongera wana University of Nairobi. Nawapata vema hapa Tz mkiwa na G.C. Mkude imara ktk Kinanda. Kumsifu Mungu hakuhitaji cheo chochote
Mpo vzr sana mungu awabariki mnatupa burudan ndani ya moyo asanteni sani
Ubarikiwe🙏
Wapaji Catholic awabarikiwe
Nikweri wema wa mungu umetubariki, mungu awabariki kwa wimbo muzuri?
Asante. Na ubarikiwe pia
Huu wimbo unafaa kabisa. Hongereni sana na tusisimke 🎉
Thank you so much @nyumu_d4
Let Jesus Christ Lord be praised forever
Soyez tous bénis au noms de Jésus christ 👋🙏🏽🙏🏽🙏🏽❤❤❤
🙏🙏🙏
Nawapenda bure tu..😍😍
Awesome
The lady playing the drums
God bless you all wen listen to your music i feel as if am haven 🙏 🙌 ✨ 💕 😪 ❤ 🙏 🙌 ✨
God bless you too
Wimbo mzuri sana hongereni sana waimbaji 2:36 2:48
Nice one,
Mmeuimba kwa kusiamua kwel
Wimbo mzuri, tulizo la hasira na ujumbe mwafaka
Amina
Msisimko naipenda sana
Shukrani Jeremiah
Ninakupenda mungu
🙏🙏🙏
Waooo kumbe kenya nao wako vizuri hivi eee
Wako vizuri hawa vijana
181
Hongera nyote..
congratulations St. Paul's Student choir University of Nairobi
Thank you
Mungu awabariki wana st Paul na awazidishie nguvu na imani ya kulitangaza neno lake
Kama kawaida, this choir never dissapoints, keep up
Asante
Mungu awabariki na awalinde katika masomo yenyu kwa kazi zuri ya mungu?
Asante🙏🙏
Mungu awe.nanyi.ktk utume wenu
Amina
A beautiful song from our young people. Love it
Thank you Micky, blessings
Kweli wimbo unasisimua sana. Hongereni waimbaji na mcheza kinanda big up
I love it, Mungu na aendelee kuwabariki mnapoendelea kumtukuza kwa kumuimbia
A masterpiece of its own class! Listening to this song since the day it first premiered on youtube. Kudos #Sauti Tamu, keep up the good work of evangelization through your melodious music.
Nasisimka na dance kabisa
Asante
Great song indeed 👌
Beautiful..and inspirational!!!!Keep up the good work...God wins always!!!
Okay I'll let GOD IS THE MORNING AND I'M YOU AND ME
Be blessed
Amina. 🙏
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hakika wema wa Mungu unaonekana,tusisimke jina YESU
Atukuzwe Mungu skuzote
Amina
My best song ever
Thank you Petronila, be blessed
So sweeet msisimko wa sifa😍😍😍😍
Asante Joseph
Good song much interesting I love
Thank you Joshua
Ubarikiwe naskuru
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
My favourite University in Kenya,I was with great hope to join you but I didn't make it, may God bless you abundantly.
Wonderful song God Bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
Asante
Nawapenda bure ,cant sleep without listening to your song ,,keep it up nd be blessed always
My church..Yeey.Nice one
Najivunia kuwa mkatoliki
My all time song
Thank you Everlyne
Proud to be a catholic... More Grace my fellow....
Thank you Naomi
Hongera, na Hongera Organist Mkude. Piga makofi kwa melody safi
Big up vijana wezangu. Endeleeni kutujenga mwoyo yetu. Sauti imekaa poa sn kbs mkopo juuuuuu
This song blesses me every time l watch, Nasisimka kweli
Asante Kimani, ubarikiwe
nice song st Paul,keep it up
Tumesisimka hakika asante sana kwa wimbo mzuri
Congrats at long last this is the video av been waiting for
Kaka naona unasisimuka
Nice one ⭐
Thanks 🔥
Amen,God b w u.
And with you too
Thank you
The holy spirit really powered comrades 💪
Thank you