Watumishi Wake Baba | Traditional | St. Paul's Praise & Worship Team, UoN |wimbo wa Kwaresma
Вставка
- Опубліковано 16 вер 2024
- Watumishi wake Baba, wangapi waliopo
Wanakula na kusaza chakula chake Baba
Nami nataabika hapa, nashiriki na nguruwe
Chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
Nitarudi na kusema baba yangu nisamehe
Nimekosa kwake Mungu na mbele yako baba
2. Baba kamwona yu mbali kashikwa na huruma
Akakimbia kumlaki kamkumbata na busu
3.Baba yangu nimekosa ninaomba huruma
Unisamehe nirudi nikakutumikie
4. Mimi sistahili tena kuitwa mwana wako
Unifanye kama mmoja wa watumishi wako
5. Wanikaribisha mimi kwenye karamu yako
Meza imeandaliwa inaningoja mimi
6. Nasogea ninakuja ninakukimbilia
Mimi ni mtoto mpotevu baba unipokee
Heri ya pasaka! happy Easter, Bwana Yesu Amefufuka
#SautiTamu #Zilipendwa
. . .
#Mwanampotevu #Kwaresma #SautiTamu
Wimbo wa kwaresma
St. Paul's Praise and Worship Team
Catholic Students Community
University of Nairobi (UoN)
Ni wimbo maarufu zamani wa kikatoliki unaoweza tumika katika kipindi cha kwaresma (lent), wakti wa huzuni, maombolezo, matanga, mazishi, toba, kuabudu, majuto na hata wakati wa kupokea ekaristi (komunio takatifu).
Harmony iliyotumika hapa imetoka kitabu cha nyimbo cha Tumshangilie Bwana.
Related songs from Kenya Tanzania Catholic choirs include Baba yangu Ikiwa Haiwezekani, pasipo makosa mkombozi wetu, Mama pale msalabani, Asilegee Moyowe na Mwanzi Uliopondeka, Bwana kama ungehesabu maovu yetu nani angesimama, Nimekukimbilia wewe Bwana, Ataniita, Hii ni Kwaresma, Kwa Ishara ya Msalaba Tuokoe na Wakupeleka Hukumuni, Nchi Inazizima (Yuda Akarudi),
Ni ile hadithi ya mwana mpotevu - the prodigal son - the lost son.
produced by Martin Mutua Munywoki
Tazama nyimbo nyinginezo za kipindi cha kwaresma katika channel hii kama vile Asilegee Moyowe, Amin Amin Nawaambia, Watumishi wake Baba wangapi waliopo, Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu, nani angesimama, Yesu akalia kwa sauti kubwa, Baba mikononi mwako naiweka roho yangu, Mungu wangu mbona umeniacha, Pasipo Makosa, Kwa nini wasimama mbali, nimekukimbilia wewe Bwana, na nyinginezo.
These are most popular common Catholic Lent songs, holy week songs, Good Friday Songs, Holy Thursday Songs, passion of Christ.
Tazama wimbo wa anayekula Mwili Wangu, nijaposema kwa lugha
Wasambazio na wenzao wanufaike
Oh wow guys! Just wow! This song reminds me a looooot. It was my mum's favourite song. I am sure it blesses her in heaven. We sang it at home each Friday during Kwaresma. Big love from Johannesburg. I will teach my choir members here.
great
It's a nice song indeed touching ...George kinyanjui mum is in heave singing with the angels resting in peace in her father's house.
@@genovevashitsama3831 Thank you so much. May her soul rest in eternal goodness.
7y~j 200 ggg8j
George, may perpetual light continue shining on our dear mum may her soul RIP mum mum singing with the Angels
Hii nyimbo mmeitendea haki nakumbuka mbali sana aisee mbarikiwe
Kama umeipenda gonga like hapa au comment kabisa
Asante Christian
I work outside Kenya..na Huwa nafanya kazi gyt shift but ikifika 1 kwendelea ma work ni kucheza catholic songs Hadi asubuhi 5...am acatholic for life..
Wow, we really appreciate
@@patriciachebet8210 i guess its typo mistake he meant night shift
Tuuko wengi
How this songs makes one relax it's magical 🙏
Today it's ash Wednesday 2024 and I feel blessed with this song 🙏🙏♥️
Same here🙏
2024,Asante kwa wimbo mzuri.
Even when we've gone wrong,we can still go back home because where home is where we belong.
Bwana asema,karibu nyumbani.
Am acatholic man .wen I listen to catholic songs Huwa nafeel Niko closer kwa mungu wallai..nani Huwa anaskia vile Huwa naskianga...❤❤❤
Thanks so much Wilfred
when you say wallai do you know you are exalting another deity , the god of the arabs.
Hata kama Babaako umemkosea akakufukuza nyumbani ukimwimbia huu wimbo atakupa mpaka Mali zote na kukusamehe. Asante sana sauti zenu tamu sana from 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
🙏🙏🙏asante
Amen amen
Ameni ameniiii
I can't tell why or how but there's a way this song touches me. I get unexplainable shivers whenever I listen to it.
Thank you so much
Who would press 'thumb down' on such a masterpiece?
Well done St. Paul's UoN P&W choir
Proud to be a Catholic 👍👍👍👍👍
Blessings to you
Blessings to you
Reminds me of school days nyakati za Kwaresma.
Yes. This song is very common during the lent season
Komunyo ya kwanza mwaka 2000, dah mbali sana
Ubarikiwe
Huu wimbo nimeuskia sasa mara ya alfu na moja...kongole familia ya St. Paul's kwa kushiriki chakula kifaacho
🙏🙏🙏
Nimebarikiwa sana na huu wimbo umeboreshwa vizuri sana naurudia kila wakati utanimalizia MB hakika mmejitaido hongereni sana majirani zetu Kenya 👏👏
Am I the only one who prefer the song at a slightly higher playback speed. Check it out here and compare.... I would like to know your feedback
ua-cam.com/video/dbIdKPMWjdw/v-deo.html
Sauti nazo mmebarikiwa,it so sweet serving God at youthful age.Napenda kurudi kwa Kwaya kutukunza ingawa sughuli kunikumba lakini lazima nitarudi tu Mungu atanijalia.
🙏🙏🙏
Kazi njema ...barikiweni.
Thank you, ubarikiwe pia
Hiyo bass... wa. hawa wanaume wananguruma serious. nimekubali..
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Reminds me about my mum 😢😢😢😢 continue resting in peace mum till we meet again 😢😢😢
Finally i found the song I have been looking for ages.
Big ups St Pauls UoN
Me too😂
Me too
Wow I remember I use to sing this song with my mom 2004 when watu wa choir ilikua imeanguka,the all misa na imba na my mam because sisi ndio tulikua maskini kanisani 😭😭😭nimetokwa na machozi,nilipoona huu wimbo
Thank you for sharing the great memories
Be blessed
Watu huwa wanatoka balii used to go to church with school shoes na school uniform i remember i used to practise the song while i was very young nikiwa ata sina shiringi tano ya kutoa sandaka
My God forgi e all our sins (Tutubuni tafathalini).
Barikiweni tumebariwa sana
Asante
Mungu awabariki sana
Hello???
Huu wimbo ni mzuri xana nimekuwa nautazama xana youtube je mnaweza kunitumia kwa njia ya whatsApp
Ubarikiwe. Reach us via email sautizakuimba@gmail.com
Mungu awape nguvu muendelee kumuimbia, hakika mnanikosha sana from mwanza Tanzania 🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👊
Asante
during this time in the world people are experiencing the worst, because of the pandemic affecting humanity its a wake up call to go back to our merciful father who will welcome us back despite our shortcoming and sinful nature though lost because of materialism and worldly pleasure he is patiently waiting for me and you to go back to our inner self the song is an invite it has consoled me very much. thanks our brothers and sisters for harmonious vocals .
Very solemn befitting lent season and true. True repentance procedure.
Mama ni mama n'a ni mwenye upendo sana juu yentu anatuombea ki
Mmeimba vizuri sana. Hongereni sana. Nafikiri mtapatana na wazazi wetu pia. Big up! Toka Tz
No Lent without this
Thank you Paul
Good job keep it up guys
Thank you! Will do!
Mbarikiwe mmeimba vzr xana
Shukrani Fredrick, ubarikiwe nawe
Waooooo! My lovely song.congrats st paul
This song reminds me of high school days when we would go for mass outside the school church..i am not catholic but i really got used and love catholic songs
Thank you, and be blessed
9
Hongera sana wimbo mmeutendea haki mbarikiwe vijana
When that man left the pigsty and on his way to his father he was in the state of true contrition. That is the state we should all be in while we approach our Father in heaven for forgiveness of our sins.
True
Amen
Wimbo mzuri Sana kwani yatupasa kurudi kwa baba
Good song👊
Not catholic but I love this song...we serve a mighty God
You don't need to like a song because it's sang by your church.
We are all worshipping the same God. Let's join in praising his name regardless our religious affiliations
Amen welcome home!
I can listen to this song Hundred times.
Be blessed
@@SautiTamu Amen Amen
Huu wimbo umenituliza roho hakika.
Asante
This was the gospel from todays mass; [the prodigal son] March 27th, 2022. I couldn’t wait to get to this song. Wonderful!
Thank you 🙏🏻🙏🏻
Nimembalikiwa sana n huu wimbo wenzangu turundieni kwa bwana
Amina
Nisamehe BWANA YESU 😢😢😢
Amina
🙏🙏🙏
Nami nataabika hapa duniani
Goooood
Chakula kisichofaa...mojawapo za methali ninazozienzi sana kwenye bibilia...hongereni
Hongeren sana, Yatupasa kurudi kwa baba na kusema baba nisamehe
Amina
Be blessed
Nimekumbuka Roleto Girls in Mwanza 2002-2015. It was our daily song
A timely song,wow am proud to be a Catholic
i love this song, old is golden
Well said! I’m publishing a weekly UA-cam video on episodes from the life of Don Bosco, entitled ST JOHN BOSCO by JOE ZAMMIT. In this series I’m narrating events and miracles from the splendid life of Don Bosco. St John Bosco used to perform a miracle almost every day, through the intercession of Mary Help of Christians. From the lives of saints we can learn how to love God more and draw closer to him. Thank you......
This is one of my favorite songs- our father God is always loving and ready to invite us back home 🏠
Thank you Dedan
So wonderful and good vocals, the very song that my late father liked,, 😍 congratulations st Pauls choir..
Very good song mey god yuo all
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
My favorite song daima
Thank you
My very first Bible scripture. Thanks for the song, I was taught in 1973.
This song is well done big up dearest students of Nairobi University. Proud of you I followed you from Bujumbura - Burundi
Safi Sana hongere sauti ya tatu mnanipa Raha Sana
Shukrani
sauti tamu kweli mna sauti tamu
Shukrani
Naipenda hizo nyimbo through mi mother coz mm nilikuwa mtukutu xana.
Naomba Mungu anisaidie kweli. Am from far then am heading far with Jesus
Christ. Amen
Amen
This song came to mind today in the morning and mind you I'm not even a Catholic but I think it's because I went to a Catholic Highschool plus I really loved the Catholic songs
Thank you Linda
I repented olmost every saturday undergoing cancer stage 4 treatment..and the Lord forgave me my sins and healed me
Wooow. God bless you
Lord please welcome me back home after going astray for several years 😭😭😭😭😭
Amen
God,I turn onto you,I ask for forgiveness,🙏🙏🙏
Amen
wow nzuli sana
Asante, be blessed
Dah huu wimbo unanikumbusha nilipo pata komunio '89👍
Baba yetu Mwema utupokee sisi tunaorudi kwako tuliokuwa tumetumia vibaya urithi wetu ulotupa Amina.
Amina
Amen,tuned from pipeline
Ubarikiwe
I like how you added lyrics to this classic song, I wish I could listen to more classic traditional local Catholic songs of this quality, thanks so much, be blessed
My school days at st.marys junior seminary kwale 🎉🎉
Thank you
Just love this song and wish they could sing more traditional catholic songs. Well done U.O.N. choir.
Well said! I’m publishing a weekly UA-cam video on episodes from the life of Don Bosco, entitled ST JOHN BOSCO by JOE ZAMMIT. In this series I’m narrating events and miracles from the splendid life of Don Bosco. St John Bosco used to perform a miracle almost every day, through the intercession of Mary Help of Christians. From the lives of saints we can learn how to love God more and draw closer to him. Thank you......
@@josephzammit8483 ilovethissong
Mavazi yasibane Sana jamani kazi tamu
Jkl
Mbarikiwe sana, asanteni sana
Nawe ubarikiwe zaidi
Wimbo tamu aki
Shukrani Lydia
Sauti tamu sana. Barikiweni
This is a nice and nice song i liking it congratuation to you
Thank you Thadeo, God bless you
Naupenda huu wimbo Hongera
More than 20 years since high schooling in a Catholic school,the song still fresh in my mind.Kudos Nyabururu Girls!
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@@SautiTamu qqq
Nimeipenda hiyo
Shukrani Kevin
Nimebarikiwa xana kutoka ndani ya roho yangu mpaka nje
Asante, ubarikiwe
Asanteni sana. Wimbo niupendao sana. Mmeimba vizuri.
Tukiri makosa yetu turud kwa baba mbinguni ktk hali nzuri
Nabarikiwa sana na Wimborne huu
Wimbo huu mzuri, asante
Asante Prisca, ubarikiwe
St alloysious kanyakine..i miss the school
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Maneno hamboyo yametamkwa kwawimbiuu unanipamiyo ninashiri nanguruwe ewe YESU nisamehe mimi niliye shiriki naguruwe nikurudiye maishani mwangu daima
I had to look for this song after it came in the spirit so often
This song reminds me of my school days when our spiritual teacher would always lead it in choir and I developed its interest based mainly the content God bless u big👏👏
Am I the only one who prefer the song at a slightly higher playback speed. Check it out here and compare.... I would like to know your feedback
ua-cam.com/video/dbIdKPMWjdw/v-deo.html
Wow, great song, it reminds me of our late Archbishop Raphael ndingi, RI P
Asante Susan.
Yanipasa nirudi 😭😭😭
amina
This sing lift my spirit this morning. God bless you my favourite catholic choir. I feel blessed to be a catholic. I love listening to Swahili catholic songs.
Be blessed Marie
I'm blessed with song
Amen
Please send me this song on WhatsApp, I need it... It's so sweet.. You can reach me on 0710967823 🙏🙏
Mungu awabariki sana , beautiful song
My favorite song
Thank you
Watumishi wake baba wanakula nakusaza chakula chake baba asante sana kwamaneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu tunapo anguka katika zambi inapashwa kuomba msamaha kama alivyo fanya mwana mpotevu Mungu awabariki na kuwajalia nguvu zaroho mtakatifu ili mpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
This has always been my all time favourite song right from my teenage years. Very profound message about our loving father. It speaks to me personally.
Thank you Stella
Teresa from Eldoret blessed song this morning
Thank you Teresa
Goood song
A very blessing piece
The piano it’s so good
Thank you 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Amen baba
wow so nice nice i love this song so much
Wakati nasikisa nyimbo Xenu Aki roho yangu upona mbarikiwe na mola awaongese nguvu mirere
Amina
it teaches alot
Amina
Good work Mr producer
Mungu awalinde mzidi kutupatia vitu vizur kama iv so amaizing ukiusikiliza unabarikiwa
Asante Cessy
So beautiful from my Alma Mater!! :-)