Boss Malisa thumb up for being a goal oriented leader! Super great! Despite the inconvenience, you managed the situation in a very calm way! Congratulations
Very poor managerial skills..hana lolote na hajui conflict resolution kilaza tu...haya alitakiwa ayafanye behind the scene sio Public kama hivi hapa kakosa skills kabisa usimsifie hapa kaonesha tamaa tu ya pesa kawagombanisha watu bila ridhaa Yao hajui lolote kwenye uongozi particularly kwenye hili zero bin sifuri
Dr samia Suluhu Hassan mama yetu anapenda wasanii mfanye kazi vizuri ili kuongeza kipato kwenu binafsi na nchi pia.sasa huyo ni dada anae jitahidi kupambana halafu mwanaume tena anaigiza muda mrefu badala kuwa kioo kwa huyo dada yeye ndio anamvunja moyo.Dada usilie kabisa kabisa ila pambana bila kuchoka maisha hayo ni kawaida sana.
Hakuna boss au manager anayependa majungu katika utendaj kazi wake pengine amefanyamakusud kuwakutanisha pengne akiwa nania yakwamba 2anawezazungumza nakumaliza tofautizao, manager hana kosa anatafuta kupatanisha sema luludiva na hemed ndohawajitambui ,
Apo boss wao ndo amezingua tena sana na amewakosea sana ilibidi akaenao kwanza chemba sio hivo ALIVO FANYA yy kw 7bu anajua kua awa wanatofauti yy akawakutanisha seemu moja alf kw kuwaongepea
Huo uwezo mkubwa waliokuanao wa kuigiza ndio unaokuchanganya, wanajua sana kuigiza hawa hyo ni maigizo ya kutengeneza Kiki kuna kazi inakuja inawahusu hawa wawili
Fanyeni kazi vijana, acheni utoto. Sijui nani kafanya nn, nani anataka nn. Kila mtu anakosea, ila ukikosa hela sijui hizo nguvu za kuleta nyodo mtazitoa wapi, ohooo!
Hemed un professional, afukuzwe kazi. Hawezi kuharibu press ya kutambulisha kazi mpya. That's disrespectfully . Hana heshima wala adabu. Anajiona kama nani. Tafuteni replacement.
Nakupenda fanya.kazi ridhik mwamzo wachuki
Ila jamani wanawake wallah tunapendwa sema tu hatujitambui😢😢😢 angalia lulu alivyoshikwa mkono na huyo kaka ❤❤
Toka namjua hanaga shida lulu jaman😢
@ naskia watu wa Tanga ni wa pole 🥰🥰🥰🥰😥
Hemed choko
Boss Malisa thumb up for being a goal oriented leader! Super great! Despite the inconvenience, you managed the situation in a very calm way! Congratulations
Very poor managerial skills..hana lolote na hajui conflict resolution kilaza tu...haya alitakiwa ayafanye behind the scene sio Public kama hivi hapa kakosa skills kabisa usimsifie hapa kaonesha tamaa tu ya pesa kawagombanisha watu bila ridhaa Yao hajui lolote kwenye uongozi particularly kwenye hili zero bin sifuri
Dr samia Suluhu Hassan mama yetu anapenda wasanii mfanye kazi vizuri ili kuongeza kipato kwenu binafsi na nchi pia.sasa huyo ni dada anae jitahidi kupambana halafu mwanaume tena anaigiza muda mrefu badala kuwa kioo kwa huyo dada yeye ndio anamvunja moyo.Dada usilie kabisa kabisa ila pambana bila kuchoka maisha hayo ni kawaida sana.
Wa ndugu ni vizuri muwa kutanushe wa samehane iyi ni ndu nia emedy ndugu ongopa mungu musame hanee
Wewe luludiva mkubali mwamba yaishe
Sema bongo njaa zinawasumbua wasanii anaaongea upuuz si anasema anaondoka
mmh huyu kaka chizi kweli kweli eti simama tuone nan ni babu 😂😂😂😂😂
Belinda.nyamaza mwaya nakupenda ❤❤
Mtoto wa like hana kosa
Mi nimeipenda hii move inabeba ualisia wa jambo
Lulu diva wewemusuri sana ❤❤❤
Pole lulu diva yatakwisha tuu siku Moja yaja
Mtoto katulia mwanaume unashindwaje
Hemed big up
Kusema huyu anaigiza nini yeye anaigiza nini
Kwenda wew ndo mshenzi maraya hemed hagombanagi namtu
Acha upumbavu diva hemend mnyamwezi sanaa
Jmn analia😂😂😂😂
Tatizo wasanii wanawake umalaya ndo unawasumbua
Mimi nacheka na waandishi 😂😂
Mm cjaona kosa la lulu ila hemed hua ni mtu wa bifu sana hata na wanaume wenzake nani anakumbuka alivyokua na ugomvi wa Yusuph mlela na hemedi
Ok! Kumbe amekaa kike Sana lol
Yan huwa simpendi hemedi kwa jinsi ya majivuno
Kweli kbs kak nakumbk
PHD mkorogo jua alìezi
Yaaani kama ni kweli basi shida ya kwanza kila mmoja anajiona mzuri . Mbweha nyinyi tokeni kwenye sanaa kaleni uzuri wenu mfyu zenu😊
Hemed kakosea sana,,ata yeye alikuwa mweupe mbona kaongezea mkorogo wakichina
Hemedy Hana shida ila kwanini huyo boss wenu hakutumia busara!
Phd wenu ndo huyooooo hana adabu kabisa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hii nchi ina vituko duuh!!
Yani wewe hemed kweli utafikir mwanamke
Maskini dah nimemuonea huruma. Jamani mpk machozi yamenitoka, Mungu akujaaliwe Diva
Kki hiyo! Ila mmejitahidi🎉🎉🎉🎉🎉
Filters za usoni zinamsaidia Sana Lulu Diva
Hemed ni k tena k kabisa mchumba huyoo
Hemedi mnyamwezi ana msimamo nzuri sana,nakubali kaka
Mkundu wake huyo hemedi wako
Mnyamwezi anagombana na mtt wa kike au kiki??
@@frankngoloka5416hachana nae uyo
Mshamba tu unagombana na mwanamke mbele za watu kama shoga au mwanamke
@@MsAggie5 kwa hvo sio ududu au
Hemed unajikuta nan Kwa mfano😂😂
Kaka anajiona kuliko
Lulu achan nae yule hemed babuuu😂😂😂
Hemed una hasira za hivyo wewe ni mwanaume lulu Pole dear tunakupenda
WA BONGO BHANA 😂😂😂😂
Kukataliwa kubaya
Belinda mwakijambileee😂😂😂😂
WENYE AKILI TUSHAELEWA HYO NI KIKI😂😂😂😂😂
Hemerd ni mwamba sana haka kadada kamempenda
HB Acha maneno bwana,,,,,we mwanaume
Meneja wenu ndio anamakosa kwanini kawakutanisha na nyie hamkutaka kuwa pamoja
@@KhadijaKhadija-zv8uo kweli kabisa
Boss malissa 😂😂🎉🎉 shout out
Hakuna boss au manager anayependa majungu katika utendaj kazi wake pengine amefanyamakusud kuwakutanisha pengne akiwa nania yakwamba 2anawezazungumza nakumaliza tofautizao, manager hana kosa anatafuta kupatanisha sema luludiva na hemed ndohawajitambui ,
@@SamwelJonathan-b4iHemed ndo hayuko professional, kwanini haheshimu kazi? Anajiona Nani? Asingemshambulia Lulu toka mlangoni
Uwakika huyu meneja hajitambui mjinga😢
Lulu.mjinga 2
Senior ovyo hemed
Bos malisa amekosea Kuwaiti kabla ya chemba kukubaliana kwanza
Heee diva ninyi lazima muwe wapenz
Achana na shoga wakihindi yulee😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 hemedi mnamuelewa
Bongo Noma
Masikini diva😢😢😢😢😢😢
Km sio kiki basi demu atakua mpuuzi mkuu
Kumeanza kuchangamka😂😂😂😂
Mnajizaraulisha sana mjirekebishe
Kwann lakini sio vizuri silipendi li hemed
Tuko wengi yuko na misifa anajikuta mzuriiii dunia dunia nzima😂😂
Tatz hemed amekwemisha kuww wanawake huww wanamtaka
Yaan hemed heshima hana anajionaje cjui
Sema lulu nae anamajibu machafu mana hata na gara b uwa wanaznguana
Wakiwa nje ya kamera au wanavyoigiza?
Vijana wanatafuta ugali kupitia KIKI😂😂😂
Dume zima linabishana na wanawake
Mtoto mbona alitulia mwanaume unashindwaje kutulia
Hemedi shoga yule acha nae anataka kiki kashazowea kuwachezea ao ila hapa kashindwa
Emedi ni dume, ududu , Balthazar, egonga ❤
Lulu unamtaka hemedi mmmmh😂😂😂😂
😂
Hemedy tutolee wowoo mwanaume unawowo ka msr fulan kwenda bwana weeee
Apo boss wao ndo amezingua tena sana na amewakosea sana ilibidi akaenao kwanza chemba sio hivo ALIVO FANYA yy kw 7bu anajua kua awa wanatofauti yy akawakutanisha seemu moja alf kw kuwaongepea
Maboss zao tamaa tuu
Yaani kiki za hovyo,Hiyo nice too meet you ndio limetuletea haya yote wakati neno tunalitumia tuu mtaani..Hao wanapendana
Hemedi hana Adabu
Mabox😂😂😂😂
So sad
Nipo pamoja na ww lulu hemedi mtoto wa mama shoga tu yule
Hata mm naona hivyo
Waigizaji bhana
Kumbe sio kiki jamani hemed sijakuzowea ivo 😢jamani msameheyane dunia tunapita
Yan apo hapo humjuii😂😂 hpo hpo tena ana ku Dm😅😅😅😅
Mala amjui mala kila siku ananitongoza
Ovyoo kabisa
Kusema kweli hemed anazalau sna anajikuta sana hasa kwa wanawake kama kashahojiwa akasema hwa mbuzi nimewapunguza sana alafu anajiita mwanaume
Hii itakua sio kiki hii kweli wana ugomvi hawa
SIO Kiki hii ni kweli wanazinguana hawa
Ndio sio kiki@@empireentertainment-tz
Huo uwezo mkubwa waliokuanao wa kuigiza ndio unaokuchanganya, wanajua sana kuigiza hawa hyo ni maigizo ya kutengeneza Kiki kuna kazi inakuja inawahusu hawa wawili
Kiki hii kazi iende, attention tu hapo.
Sio kiki
Hemed kama Binti, daah naanzaje kugombana na mdada.
Sio bure kuna ki2 🤔
Lulu kipenz chapa kz muache aendelee kupepeta mdomo mshamba uyo med muonekano wake na tabia yake havifanan kabisa
This is the definition of Tanzania....😂😂😂😂😂😂
Fanyeni kazi vijana, acheni utoto. Sijui nani kafanya nn, nani anataka nn. Kila mtu anakosea, ila ukikosa hela sijui hizo nguvu za kuleta nyodo mtazitoa wapi, ohooo!
Nikajua anaongelewa tarimo
Uyo mwanaume ajaiva,anaboo hana heshima kabisa uyo bwana
Ni atari sana kinyongo kikizdi ni atar sana
Hee kumbe uliwambia kama hemedy hayupo wakakubar nawew ukapand mtumbwi wa vibwengo kwenda
Boss katumia technic kupiga pesa kuwachonganisha watu
Ni usenge sana kazingua make huyu boss aliambiwa watu hawaelewani yeye anafosi
Sema huyu jamaa Hamed amezingua lulu diva Hanaga shida am her fan ila uju shoga Hamed ame ni kwaza sana
Jamaa shoga kumbe 😂 ndo maana anakuwa hivyo
Mimi ndio huyo dada hapo nyuma mwenye macho makubwa najiwazia kimoyo moyo
Anajiskia hemedi
Sanaaa
Kiki BN iyo
😂😂😂 nacheka lakini naogopa 😂
Anakuonea wivu tu da lulu mshamba wa kiume uso umemshuk
Mwanaume na mwanamke wakigombana jua wnatongozana siye tunawaacha tunasubir mjukuu
Hemed un professional, afukuzwe kazi. Hawezi kuharibu press ya kutambulisha kazi mpya. That's disrespectfully . Hana heshima wala adabu. Anajiona kama nani. Tafuteni replacement.
Hemed huna kaba
Mnamuonea Hemed bwana nyie?😊
Watajua wenyewe
Nikweli anataka kiki uyu kaka kwasababu amevuya siku nyinyitu
Brenda mwakilemba
AFU WW MUANDAAJI UNAMATATIZO WW WASANII
WOTE UMEWADANGANYA KW MASLAY YKO AFU ETI WASIPOST WAANDISH W HBR KWAN WAO AWATAKI ELA