LULU DIVA AFUNGUKA BAADA YA KUGOMBANA NA HEMEDY “SIYO KIKI, KWANINI ANIITE JOYCE WOWOWO”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @FaustinaMkama
    @FaustinaMkama Місяць тому +6

    Lulu pole sana. Achana na hemedy mjinga uyo

  • @ElianeNininahazwe
    @ElianeNininahazwe Місяць тому

    Lulu chukuwa ma kopa yako❤❤❤❤❤❤

  • @MichaelMagige
    @MichaelMagige Місяць тому +3

    Hemed ameshakua anatakiwa abadiliki,Siku zote mwanaume ukigombana na mtoto like,mwanaume unajizalilisha!

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 Місяць тому +2

    Sawa Joyce Wowowo wetu tunakupentaaaaa unajua kuimba unajua kuigizaa alafu fanya kazi endelea kula pesa bora yeye Babu Joyce Wowowo atoke we ipige kazi😘

  • @andechakimasso7841
    @andechakimasso7841 Місяць тому +5

    Semaa hemedy ana utoto sanaa maneno ya kitoto toto sana yani mwanaume wa dar mtupuuu

    • @Burner_Acc
      @Burner_Acc Місяць тому +3

      Hana akili yule. Miaka yote yupo vile vile sifa za kijinga hakui. Sio mshabiki wa Lulu ila anaongea kwa busara kuliko lile kenge.

  • @kijweninawinnie
    @kijweninawinnie Місяць тому +2

    Communication skills,Proffesionalism,Management Bongo bado

    • @Hadia-99
      @Hadia-99 Місяць тому

      Kweli kabisa ingelikua ni nchi za nje hata angefutwa kazi na ashtakiwe

  • @NeemaKisingi
    @NeemaKisingi Місяць тому +1

    Mwanaume mmoja mpumbavu achana nae
    Huy ni shoga

  • @MrA24G
    @MrA24G Місяць тому

    Tatzo km hemed alishasema hataki kukutana na hyuu.Hao waliondaa ndio wenye matatzo.

  • @EvaAden-n9x
    @EvaAden-n9x Місяць тому +1

    Duuuuh pole mwaya lulu ukisikia uchawi ndo ule yule kakutafuta kakukosa kaamua Kuja kwa njia hyo achana nae

  • @annabellovell4778
    @annabellovell4778 Місяць тому +1

    So what if she had surgery 🤔 it is none of Hemedy 's business

  • @RahmaHamza-q8n
    @RahmaHamza-q8n Місяць тому

    lulu fanya kaz achan na hemed kashazoea ugomvi ishakuwa tabia yake

  • @madundanyonda2899
    @madundanyonda2899 Місяць тому +1

    Hemed kama kidogo tuu unavunja mkataba na kuludisha hela hufai kwenye matangazo

  • @RehemaMgoba-v4z
    @RehemaMgoba-v4z Місяць тому +1

    Umefanyaaaa

  • @ElianeNininahazwe
    @ElianeNininahazwe Місяць тому

    Kwani akifanya sejali tatizo iko wapii.muwili siwake napesa yake.mmi sioni tatizo hapo

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy Місяць тому

    KIKI TU tunaijua hiyo

  • @echikyabu6154
    @echikyabu6154 Місяць тому +1

    Nimeamini sio kiki ayo huna kazi mbovu🎉🎉🎉🎉

  • @godchila8013
    @godchila8013 Місяць тому

    Kuigiza wote hawajui Bora ata Lulu anaimba

  • @johanjoha5262
    @johanjoha5262 Місяць тому +1

    Ni kweli umefanya
    Kwa Nini mukifanya mnakata

    • @nasrachimamy
      @nasrachimamy Місяць тому

      Lulu akikataa video zake zitamuumbua man hakuna na tako wa shepu asahv halipo tumbo na tako limekuwa kubwa wasanii hawajikubali wallah wawe n mwisho mwem wallah

  • @zachariamishai7258
    @zachariamishai7258 Місяць тому +2

    Belinda mwakijambile😂 ila daah 😅

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 Місяць тому

    Huyu nae anajiita mwanaume? Hemedi acha kazi za kina Juma Lokole . Unathubutu kweli kugombana na mtoto wa kike kiasi hicho. Huna thamani wewe umejishusha
    sana pamoja na kwamba haupo juu hata chembe. Mpumbavu mmoja tu wewe.

  • @stanymccary7136
    @stanymccary7136 Місяць тому

    Belinda Mwakijambile

  • @Litopapi15
    @Litopapi15 Місяць тому +1

    ILA VIDO😂😂😂

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c Місяць тому

    Wanagombana afu wako muvi 1 😊,,na siku ya press wote wakaenda 😊,,na wakakaa karibu karibu😊,,acheni kupepesa macho nyie kama ni yakweli haya,,hemedi ndo shida na wote mnajua,,,kama mtu umkubali c unasema tu simkubal swali jingine,,,mtoto wa kiume uko set unachamba mtoto wa kike😊,,nyama zake we znakuhusu nn,,,sawa anajichonga ni yeye so ww...

    • @MrOmarmack
      @MrOmarmack Місяць тому

      ua-cam.com/users/shortsDjNRPCQi5Is?si=2hhm8HMmI-bCa8Jc

  • @chihoma-m4f
    @chihoma-m4f Місяць тому +1

    kwa hivyo nyie wanawake mukere halafu mwanaume wakiogea wanashindana heeeee hapana

  • @nadhifamustapha7557
    @nadhifamustapha7557 Місяць тому

    Sura zao zinafanana wote km wanawake

    • @IsiahMosl
      @IsiahMosl Місяць тому

      😂😂😂😂

  • @marhaally4444
    @marhaally4444 Місяць тому

    UMEFANYAAA

  • @MbalakaKenya
    @MbalakaKenya Місяць тому +2

    Ww ni Joyce wowowoo tu

  • @zabubamudy126
    @zabubamudy126 Місяць тому

    ❤❤❤

  • @losttribe007
    @losttribe007 Місяць тому

    Mwakijambile watanga wenzangu mnazingua🤡

  • @suhaylaabdullah4261
    @suhaylaabdullah4261 Місяць тому

    Hio ni kiki acheni ujinga wabongo hawendi bila kiki hawajiamini kiki ya hiyo sereas

  • @AgnesJohn-f1r
    @AgnesJohn-f1r Місяць тому +2

    😂😂😂 Joyce wowowo aka belinda mwakijambile ila hemed Mungu anakuona

  • @MansorJr-z3i
    @MansorJr-z3i Місяць тому

    Oyooooooo

  • @treyvissy9854
    @treyvissy9854 Місяць тому

    Nyimbo gani hizo huyu demu anaimbaga kwani?

  • @fadhilirijawala
    @fadhilirijawala Місяць тому

    Kiki

  • @thabitdaudi9815
    @thabitdaudi9815 Місяць тому +2

    Kiukwel hajui kuimba wala kuigiza ila regardless he shouldve treated her with some respect. Kwan ina maana sisi wote tusio imba au kuigiza hatuna maana?? Si kwel kila mtu ana hak ya kuheshimiwa. Grow a pair mzee hemed