Warumba cheeeeeeee........cheeeeee Warumba henyaaaaa.........henyaaaa Nimemiss kwetu jaman iki kigoma kinanitia Mzuka apa nanyonga kama cna akili nzur 🤣🤣😜🇹🇿🇴🇲
Inampa confidence mwingine bila kushika kitu hawezi kam wanawake tulivyozea vipochi we mchunguze mara nyingi inaelekea hawezi kaa muda mrefu tu hivi nimemchunguza pia video nyingi ahhh
Watu wamepa na saiv wanasherekea god bless u katika ndoa yk💕💕💕💕💕👏🙏👫
Da Zuchu ni moto aki
😍😍😍😍😍😍😍😍😍❤❤❤👏ESMA uko smart
Warumba cheeeeeeee........cheeeeee
Warumba henyaaaaa.........henyaaaa
Nimemiss kwetu jaman iki kigoma kinanitia
Mzuka apa nanyonga kama cna akili nzur
🤣🤣😜🇹🇿🇴🇲
Je mume wako yupo wap mpaka ukanyonga
@@juxjemc5768 yupo hapa hapa anaangalia uno la mkewe
😂😂😂😂😂😂
@@rahimaaaaa5682 wallah kigoma kitamu atar
We nomah unanyonga huku unacoment
Juma kweli wewe eafiki wa kweli si kwa pesa izo
Waromba jee mash Allah २४ harusi
Masha Allah
Watugaie hizo pesa na sisi walala hoi jamani
Simbaaaaa
Hio nguo vip Esma mbona uko wazi sana juu ushakuwa mke wa mtu
Siyo tu mke wa mtu na ni mama wa watoto wawili!
Inampa comfidence
Mashall
Ebwana eh mashog ndani
Lakn wanakufuru sana awa watu Sisi tunalia hali ngumu wenzetu wanazichezea
Umeona eee
Nanyinyi mtulie na njaa zenu watu wasifanye sherehe kisa nyinyi mna njaaa
Wanafanya ili warudishiwe zawadi sio kuchezea kawaida ndoa
Mie macho kodooooo😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 maisha ndo yalivyo
Mama daimond sura imekomaà
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Acha uongo ww mama sura aijakomaa,amependeza kama msichana wa miaka 25 na bado mrembo
Huyo jamaa aliyemleta zuchu ndio nani jamani😕
Anaitwa noel
Mdogo mtu aoe basi na yeye
Esma baraka nyingi eeebana
Nakubarry kaka tunaisubili video yangoma ulitoaa na wizikid kamkubwa
Wengine tuko huku gairo tunaitafuta pesa kwa mbinde wenzetu pesa wanairusha tu
Pesa wanaiokota nini dah
Mwari kigego
Sasa
Pesa za Tz kweli hazina dhamana,, huwezi tupa Kenyan dollar bure vile 😂
Wee kweli fala
Katuni za kiswahili
Bi harusii hajatuliia
Naombeni title za nyimbo zilizo pigwa please
Kunammoja hapo sijamuelewa nimwanaume au mwamke?kiukweli sija elewa mniwie radhi.nihuyo aliye mshika zuchu mkono
Warumba hoyeeee raha jamniiii
Duuh umenifikisha kwetu tanga nahiyo nyimbo ya ndundu😀😀😀🔉🔉🔉
Inaitwaje hii nyimbo
Ndundu hivyohivyo waitaka
Naitak
Duh
Kwani uyo mondi asimaliza kwenye icho kiglas anachata kuwamwagia wezie kitu gani😏😏😏
Inampa confidence mwingine bila kushika kitu hawezi kam wanawake tulivyozea vipochi we mchunguze mara nyingi inaelekea hawezi kaa muda mrefu tu hivi nimemchunguza pia video nyingi ahhh
Vitu vya bei ya juu havinyweki Kama serengeti light
Jaman mbona queen sijamuona
Queen nahis alichoka maana alicheza sana
I mean nyekundu
Nikuulizeje mbona naona bibi harusi wa kawaida kambae si harusi
EEh fully kupamba
Mtoto wakike ila anajitahid
Kwenye zadhabu hata jiwe ukilipaka coral lita pendeza tu
Kama kawaida yngu uko comments matus na delete
Hadi wengine wivu
Kinani tna wajumbe haaaaahaaa
Simba tu
Mahanithi wa kazi gani kuwaalika? kuleta nuksi tu
Bado unazaa usitukane wakunga
@@shangwekamando2599 alokwambia nazaa nani?
@@khalekichambo1131 ushazeeka
@@shangwekamando2599 siku nyingi, kikongwe
@@khalekichambo1131 vikongwe humu hatuwataki
Noel unanini😂😂
Hivi uyo Noel ni Gasho ama? Nimeongea virseverser
Alafu siku mbili na kipande watu wameachana
Kuachana kawaida yee Sio wa kwanza
Hahaaaaaaa umenena hakuna ndoa hapo
Si walisema Tahiya yupo shule?mmmh
Duuh
Hongr esm
Bi harusi hata autulii jaman 🤣
Ndo siku yake nyingine Labda kifo Acha ajishaue
Bi harusi wa mwendo kasiiii uyooo
Big harusi kifuwa wazi lol
Esma matiti nje nje!! Mh!
Yan anajishika shika muda wote
Esma hujajistir jamani
Esma umependeza sanaaaa,ww mrembo tu wacha waseme
Juma lukore kachenji elfu 5
Esma halina hata stara sijui huyu mwanamke ana kipi mpaka akatuonesha haswa
Dada yko yko n sitara ama umekamilika wewe
Wee mbona.huna stara Mambo ya kike umeyavulia nguo
Esma maziwa kama kochi la kukalia!!!
Hapo akiinama lazima lichomoke
Waongo nyiee mbona nalliona dodo
@@shangwekamando2599 au co
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani huyu mama dongote sio mamake Esma
Nimama ake
🤣🤣🤣🤣🤣akue mamake ni Nani sasa
Yani ndugu wa mume wamedamshi kuliko wa bi harusi
Mama mzaz na mama mlexi