Ustadh Bachu,tafuta Elimu kwanza,utafanya vizuri sana baada ya kupata elimu,sasa hivi bado sana,ushauri wangu acha minaqasha kwa sasa.vitu vingi vya wazi vinakusumbua
Awa watu wa twarika ni wahuni sana sababu muhadhar tumeshuhudiya sisote n ukweli umedhihirika muace uwongo wa kudhalilisha muhamad bacu na kusema kwamba kajikodjoleya ni uwongo mtupu wenye mepanga sababu ukweli wa Islam wameuona . Allah awaongoze
@@AbuuOthman Sifa za masufi: Kusema uongo, kuzusha ibada mpya, kutukana, kupandisha mapepo, kukata viuno, washirikina, waganga wa kienyeji yaani wapiga ramli, kumzulia uongo mtume, kutafsiri Quran kwa akili zao na matamanio yao.
@@hamadsalim9183 usiwashangae hawa wazushi wa kisufi ndio walivyo, Sifa za masufi: Kusema uongo, kuzusha ibada mpya, kutukana, kupandisha mapepo, kukata viuno, washirikina, waganga wa kienyeji yaani wapiga ramli, kumzulia uongo mtume, kutafsiri Quran kwa akili zao na matamanio yao.
Alipo kukojoza alikuwa dj hivi sasa ni shekh said atakufanyaje si utakunya kasome bachu bado ugali mbithi muwache shekh said atupe ilmu ww edelea kubiga tarubeta
Sasa unapooongea na mtu ambae kiakili tu unamshinda na vitabu vyake haina haja ya kufungua vitabu sasa unataka angefungua vitabu kiaje wakati kashakojoa ama ulitaka mtu anye kabisa
Kuna ushabiki sana badala ya ukweli, wengi wa sunni ni wapotoshaji na wafuasi wao hawafuati ukweli bali ushabiki. Dj akutanishwe kwenye munaqasha ili mbivu na mbovu zijulikane kama ambavyo mpaka leo hoja 19 hazijajibiwa
@@khalfanikimanta6663 hii media inafanya mijadala ya dini kama ushabiki wa mpira badala ya kusaidia watu kutafuta ukweli kwa manufaa ya dini. Kila uzushi ni upotofu na upotofu mahala pake ni motoni Allah atunusuru na atujaalie kuiona nuru na haki na atujaalie kuifuata.
Hahahahaha sasa hoja 19 alitaka tu kwa mara moja tanga lkn kwa ustfah said kenya alitakiwa atoe zote hizo 19 lkn moja moja kimpangilio ili kila moja afunzwe ila chakushangaza alikojoa kwenye hoja moja tu 😂😂😂 jee zingefika tatu asingekunya😂😂😂 na kapewa ofa siku akijiskie aende akaziendeleze
Cha ajabu ni kwamba siku ile Ya Mnakasha Saidi Meza yake ili jaa Vitabu Bali bachu alikwenda na karatasi tu na pia ikakoselewa imekutwa ameandika kiswahili Sasa Sijui hao watu wanaomfagilia Bachu haya Hawakuyaona?????? Na akawa Anakosolewa makosa ya Nahwu pale mwanzo
Tena So kidogo Kinacho Nishangaza Nikwamba Yani Hivyo Anavyozungumza kutaka Mjadala Tena Kana kwamba Mjadala wa Mambrui watu hawakuona Namna ilivyokuwa Yani anajisahaulisha kwamba Alikimbia Na akainuka Kwenye kiti Na Wakakimbiana yeye Na wazee alokwenda nao Ulingoni Sasa Me nseme Tu ikiwa Yeye Bachu atajifanya kusahau Basi Sie twakumbuka Maana Bado mapema hatuwez sahau Hahahahhaha Anataka Majadala Tena Walau Apate goli la Mkono lakini wapi????
@@HemedSerious Hahhahaah Umenifurahisha Sanaa Wakati Nasoma Hii commenti yako ndgu yang Hemed Eti bora angekuwa Na matatizo ya Mguu Ungekatwa lakini Alonayo yeye bachu Ni Matatizo ambayo yamo kichwani je Madaktari wataka kichwa????
@@hassanmohamedabdalla4108 MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa, SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ? Nakupa Highlight: Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO) Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ. Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi? Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi ya wanyama kuongea katika riwaya ya أبـو نـعـيـم الأصـفـهـانـي kwenye دلائل النبوۃ inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ? swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO) Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ? mimi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea… MAANA BACHU ALIKUA ANAKATAA BARAZANJI SIJAMUITA MUONGO 😂😂🙌🏾 akaambiwa tulete video zako hapa UNASEMAGA HUYU BARAZANJI MUONGO mpaka UKATUPA KITABU CHAKE HII HUKUMU YA KUITA HAYA MANENO UONGO UMEITOA WAPI? SWALI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA Angesema HAKUNA SEHEMU ilipoanfikwa HADITH MUNKAR NI UONGO maana yake BACHU HUTUMIA AKILI YAKE KUONGEA NA SIO MANENO YA WANACHUONI Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith ya wanyama kutamka na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR. Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث tena akasema mmoja wapo ni ابن الصلاح katika علوم الحديث (مقدمة ابن الصلاح) wamesema wamesahihisha hadith DHAIF kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU مَولِد الْبَرزَنجِي NI SIRA ndo mana tunakitumia na tunatumia hadith DHAIFU. wewe SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU akanyamaza kimya AKAAMBIWA SI ULISEMA HII HADITH SI DHAIF akamwambia hii uloleta ni hadith lazima turudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako.. SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH?? Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa مصطلح الحديث MAKOSA YA BACHU YALIKUA kwenye NAHAU, تحقق صدقه 😁 KUELEWA MISAMIATI YA ELIMU YA HADITH NA TAFSIRI AZOKUA ANAZILETA NI POTOVU ZINAPINGANA NA WANAZUONI NDO MANA AKAWA ANAFUNDISHWA KILA NUKTA ANAYOKOSEA mfano alisema hadith غريب ni HADITH NGENI KABISA 😂😂😂🙌🏾 Watu wakacheka akaambiwa hadith غريب sio hadith ngeni na kama unabisha leta MWANAZUONI HATA MMOJA ALOSEMA HADITH غريب ni ngeni غريب - في أي مرحلة من مراحل الإسناد يوجد راوي واحد فقط يروي الحديث makosa mengine شديد ضعيف na mengine mengi NI AIBU KWENDA KUPINGA KITABU CHA LUGHA YA KIARABU AFU WEWE UNAEPINGA UNATOLEWA MAKOSA YA LUGHA YA KIARABU LIVE WATU WOTE WANAONA katika vitu atakuta kwenye MAISHA YAKE NI ULE MJADALA WA KENYA (SIKILIZA MANENO YA SHEIKH MAFUTA BAADA YA NIQASH ALOMWAMBIA SHEIKH BACHU ) NDO MANA AKAAMBIWA BAADA YA HAPA UTAENDA KUSOMA
Bachu mzinguaji Anatafuta umaarufu kwa ujinga tu Na kujifedhehesha Buree...subscribe My UA-cam Channel @Abuu Othman Tv Upate kuendelea kupata Matukio yetu
Bachu mzinguaji Anatafuta umaarufu kwa ujinga tu Na kujifedhehesha Buree...subscribe My UA-cam Channel @Abuu Othman Tv Upate kuendelea kupata Matukio yetu
mabrui ni huko huko kwa wafuasi wa saidi na tayari baada ya munaksha vurugu lilifanyika na uzushi pia watu wakamwaga maji kwa kiti eti bachu kajikojolea tena watu wazima na akili zao,hili ni jambo haliingii hata akili ,then wakawa wanatangaza urongo huo subhanaallah tena hawana hata wasi wasi ebu muigopeni allah makhurafi,na ndio mana ndugu bachu hataki tena munasha ufanywe huko na makhurafi wanalijua hili ,bacho amesema popote sharti tu pasiwe mabrui na sababu mnazijua ikiwe vurugu na ukosevu wa nidhamu ,hata saidi akitaka mombasa akitaka kilifi akitaka malindi akitaka tanzania popote bachu yupo chonjo sasa mseme tu lini mko tayari na mada yoyote ile,nidhamu zichungwe pia ila pasiwe mambrui kwa hali zilizotokea ili zisijurudie hii ndio maana ya bachu kusema hivyo.ila masufi ubishi wao washazoe kuacha ngoma kwa ni ngumu sasa washazoeleka.
Hahahaha kama Anataka Mchango Anaweza kuchangiwa lakini so kwa stahili hii Ya kishenzi Na kutukana Wanawazuoni kuwaona wote hawana elimu mwenye Elimu ni yeye Tu Duuuh Hahahahhahah Bachu kituko cha Mawahabi
Mkichaa huyu Yaani Hata hajielewagi Maana Yeye Katika Munaqasha Wa Mambrui alishindwa Na akakimbia huku akiwa katota Mikojo mpaka kwenye kiti alichokaa Na jibu likamshinda kutoa Sasa Leo anaanzisha Mengine Mapya Hahahhaha Anatafuta Bao La mkono huyooo
@@AbuuOthman Akhy muogope Allah, haya yote unayoyapost utayakuta siku ya Qiyama! Una uhakika alijikojolea???!!! Ukisimamishwa mbele ya Allah utaweza kuthibitisha kuwa alijikojolea???!!! Mlinusa mkakuta ni mkojo kweli???!!! Hata kama ndo hamuwapendi mawahabi ila Sio vzr kuwadhulumu kiasi hicho.... HYO POST YAKO ALLAH ATAKUKUMBUSHA SIKU YA QIYAMA SIKU UKIDAIWA USHAHIDI... MCHE ALLAH!
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Shukraan Kwa Maoni Sheikh Wang Na pia Samahan Sana kama itakuwa Umekwazika Juu ya hili lakini Tu nikukumbushe ya kwamba Uyu Bachu kama Ni aibu Anajiaibisha mwenyewe Na kuhusu Kadhiya iyo ya kukojoa Ni kweli Na video ipo inshaaa ALLAAH tutaileta Na chengine pia yeye Muhammadi Bachu Amewatukana Sanaa Wanawazuoni wetu tena Wakubwa wakubwa kama hao wakina Sheikh jaafar bar'zanji lakini na hata hawa masheikh zetu wa sasa lakini hilo au hayo yote kwa bachu hayaonekano anavyokosa adabu Kuwakosea Masheikh zetu Leo hii twaonekana sie tunatabu kisa Tumetaja kadhiya yake ya kujikojolea Duuuh Tumche Mola soteee...Shukraan
@@AbuuOthman Akhy Allah ndiye mjuzi zaidi wa yaliyopo katika nafsi zetu, na yeye ndo anaujua ukweli zaidi... ile ni njama tu waliipanga wale mashekh wa kitwariiqa kwa lengo la kumdhalilisha Bachu! Bachu ni mtu mzima, hawezi kujikojolea bana tumche Allah! Lile ni jasho tu kutokana na kwamba alikaa kwenye kiti kwa muda mrefu! Na hyo huwa inatokea tu kwa watu wengi hasa kweny siti za magari, masofa etc...!!! Sasa tuwe tunakuwa waadilifu tunapotaka kumradd mtu na sio kumzulia kitu ambacho hana... Saiv mwamuita kikojozi baadhi yenu, na wengine wanasema kuwa alijinyea...!!!! Yote haya tutambue kuwa Allah anayona na yeye ndiye hakimu siku ya Qiyama! Kwo watu waangalie siku ya Qiyama wasije wakafirisika Amal zao,,, Thawabu zao akapewa Bachu au madhambi ya Bachu wakapewa wao kutokana na dhulma waliyomtuhumu nayo ya kujikojolea/kujiharishia kama wanavyosema baadhi...!!!
@@AbuuOthmankawatukana matusi gani hebu taja mawili tuuu au unaropokwa wewe ibn bachu kakutukanieni mashekh zenu watu matusi gani SEMA acha ubabaifu shida yenu nielimu sio kitu kingine mnakariri mistari ya maulidi basi dini wapi
Yaani naona hasomi hizi comment maana kila mtu anamwambia akasome kwanza kisha ndo amuite ustadh said kma ni mtu mwenye akili atatafakari kwa nini tunamshaur hivi 😂😂😂 ila kma hata mazingatio hana bc wacha mara hii aje anye kbsaaaaaaaaaa
yani bachu baada ya miezi kadhaa ndo umetwalii suali moja uliloulizwa na ustadhi said ndo sasa unatisha mjadala amakweli uwezo wako nimdogo sanaaaaaaaaaa inaonekana sikuzote hizo unapitia vitabu kuhusu suali ulilo ulizwa😂😅😂
Hahahwhaha wenyewe wanamshabikia Na wana muita Sheikh huko yani bachu ndyo Jisemaji la kiwahabi tanzania Hahaha wanamtegemea yeye ndy wakupambana na watu wa maulid
@@omarbadawy-y3s alitalii kwanza miez mitatu kisha kaenda kujikojolea 😂, kaulizwa SUALI moja akaondoka mwaka mzima na sasa anataka kwenda kujaribu tena kujibu 😂. Haya mchangieni tena 😂😂😂
@@saltechnologiesco.ltd.2377 kisa hataki zogo la BACHU. Anataka majaji ndio wapange. Hata mpiganaji taisoni hapangi yeye ngumi Bali meneja NDIO hupanga. DJ Kazi yake mueke ulingoni na hatutaki mazoea na watukanaji
Anajisahaulisha Na anajuwa Watu wamesahau wakati Bado kumbukumbu Tunayoo Yaani Hata ukiekwa tena Mjadala Mwendo niuleule Tunanzia palepale tulipoishia Ajibu Swali kisha Ndyo Tuendelee Hahahahhaha
Hapo me ndyo nnapochoka kwamba yeye bachu anamuita Ustadh Saidi DJ lakini Dj huyo ndyo alomkojolesha Na akakimbia kiti Halaf Ajabu ya mawahabi Baadhi yao mpaka leo wanamshabikia Eti wanasema Hajakojoa
@@AbuuOthman mawahabi hata ataghfirullah hata kama kaliwa tako basi kwa masifa atajutwngazia hakuhisi haswaaa,😂. MUWAHABI kama wayahud wanapigwa wanasema mabomu hayajaleta madhara kwa kutaka sifa TU kumbe huku haro debee
Hahahaha Hakika Kabisa ila Safari Hii Sio Kukojoa Anaweza Akanya Kabisa Maana Uyo Anaemtafuta Somtu Mzuri Hahahahah Me nimuombe Bachu Atafute kazi tu ya kufanya Aachane na haya Mambo kama yeye Anatafuta Umaarufu kwa Kuwatukana Masheikh Ameukosa Umaarufu kilichobaki kwake sasa anahaibika kila Siku Na kupata Fedhehaa
@@omaryjumbe14v8 Hahahahaha Bachu Tutamuandika katika Upande Wa Royal Tour Maana Ni mtu Wa kipekee Kabisa Hahahahha Maana Ummah Unamshangaa Sasa Sie twataka mjadala ukifanikiwa Huu anaoutaka Tunamkumbusha Tulipoishia ndyo tunaanzia hapo hapo Asijuwe tumesahau Hahahahhaha
Muhamadi wanachuoni wa ahli sunnah wanakataa mijadala isiofaida na hii haina faida wewe unaonekana unasimamia haqi na saidi anasema anajuwa sana kulikowewe ila nilichokigundua saidi anajiona bingwa nWewe unajiamini kuweka mjadala naona hakunahaja ya kufanya mijadala saidi ni mtu wa mambrui hawa ni Ahli kalami wanatumia njia za wanachuoni wa manteiqi ndio slahayao kubwa tuache upuuzi huu tueneze Elimu
ALLAH AMUHIFADHI MOHAMMAD BACHU KWA KWELI KAZI ANYO IFANYA NI KUBWA SANA KUWATOWA WATU KWENYE KIZA KINENE CHA UZUSHI NA KWA WALE WENYE AKILI WANAMUELEWA VIZURI, ILA WENDA WAZIMU WANAOPENDA UZUSHI HATUWAZINGATII
Nyinyi wazushi hata mukaambiwa vp hamsikii ibakie rehema ya Mungu tu maana hayo maelezo yanaotolewa yanakutosha kua hoja kwako ila bado umebakia kwenye uzushi sasa mm nikupe hoja ya nn na hutaki kuongoka
Habybi Muhammad hakika tulitegemea nyinyi mutuongoze kumbe munafanya biashara mtandaoni wanaanika clips zenu ili tukuengezeeni idadi ya viewers kwenye accounts zenu walimu tunaenda mbali sana mbona mumetawaliwa na ujinga elimu zenu zimekuwa hazifanyi yanayotakiwa kufanywa na wenye elimu nyote ni DINI moja alaf munalumbana mambo gani haya tangulizeni hekima na busara maana hata yaliyomo vitabuni kama hamutakuwa na hekima hayawezi kufanya kazi.
@@farijalakhalid5558 huyu Ni MTOTO wa haram katika Dini kwasababu hatumjui Shekh wake ni Nani wala kasoma kwa Nani. Kaja kuvamia tu naona miji ya watu yenye wenyewe anataka kuifanya Ni miji yake 😂
@@saltechnologiesco.ltd.2377 nasour bachu namjua ambae Shekh wake anaitwa said njungu alifariki kwa kugongwa na beskeli wiki moja baada ya kula kiapo baina yake na shekh Habib Haji Kombo wa kiembe samaki Zanzibar kiapo cha Allah sw amuondoe mapema mpotoshaji baina ya mashekh wawili. Na nasour bachu alikufa baada ya kuwatukana wachawi wa bubwini Zanzibar ikiwa ndio mwisho wa khabari yake akawa akipelekwa ugangani usiku usiku ila hakuna kilichomfaa. Baya Zaidi alimuota Mtume saw na hakupewa mkono wa Mtume saw na hii Ni khabari kubwa haipati Kwa maghurafi wa kiwahabia wenzake
Ewe kijana ulishindwa katika dakika ya kwanza kwenye mjadala wa mombasa na watu wote wameshuhudia ulivyo jikojolea jee unataka na kutolewa mavi ?. Pili : acha ufedhuli acha kutaja akina albidh naona unataka kumuubua babako kwani babako alikua mombasa kama hujui jua kuanzia leo punda milia wewe. Haya washajitozea wanawake wenzako pambana nao sasa.
Huyu bachu ni muongo, alafu anajua kama alishindwa, na ndo maana anataka arudiane nae Ili akasawazishe Ili watu wamuone wa maana Mr masifa. Alipofanya munakasha na alkubra aliona kashinda akaridhika hamtaji Tena. Bachu acha unafiki na uongo.
bachu ndivo alivo alisambaratishwa juzi na mwanamke Sasa anatafuta njia ya kumtoroka yule mwanamke halafu hayo maneno anayoyasema ni uongo mtupu kashapigwe kashapigwa tu si majadida si masufi si wanawake Sasa hivi kakaa kama pimbi hata hivo anavyosema hamuoni ovyo utafikiri anazungumza na wavuta bangi masikini bachu da
ila Ushasabscribe Channel Yangu Hii Ya @Abuu Othman Tv ili Tuweze kusapotiana katika kazi zetu hizi na kushare video zetu katika Magroup ya Wasap Ahsante
Yani Bachu Anajidhalilisha Tu Bure Hata kama Akimuita Ustadh Saidi DJ hiyo wala Haimshushi pale alipo Na kwa Mantiki hayo inamana Bachu yeye ajiitae Sheikh inamana Alishindwa Na DJ kwenye Mdahalo kule Mambrui???? Kwahiyo Dj Kamshinda Sheikh Bachu!!!!! Na haimaanishi Hata akimuitaje Lakini kama mtu kakuzidi kakuzidi tu we mtukane Ustadh Saidi lakini Ndyo Umekubali Vipi kushindwa Na DJ kwenye mjadala wa Mambrui Ambapo mpaka leo Hutaki kwenda tena
MAMBRUI pamoto Hahahahahah Ndugu yang Naomba Uniunge mkono Usabscribe Channel Yang hii Ya @Abuu Othman Na unisaidie kushare hizi video zetu Ujumbe upate kufika mbali
tell me something bachu you will be ashamed again, sheikh saidi that is a big fire not your size, acha utoto bachu ustadh saidi sio number yako, lugha yetu ya português inasema a cabeça não regula o corpo que paga, maana yake kichwa Kama hakifanyi kazi mwili ndo unaumia, From mocambique 🇲🇿
Umemsikia hio siku amejibu su'ala yaku thibitha mbuzi ngamia kuku wamezungumza? hajajibu mpaka lakini ametumia ujanja ya hepa kunibu su'ala كل دابة كانت لقريش نطقت تلك الليلة hii hadithi na sahihi au nibrojo
Mnaruhusu mjadala jinsia mbili tofauti? Au hamjui Muhammad ana akili kuliko hao waliomhusisha binti (ambaye haijulikani siku hiyo alikuwa libido au ndio kaingia kwenye siku) afanye mujadala na mwanamume?
Bado rudi ukasome kwa sasa utoshi ilimu huna ni dj alo kukojoza jee agelikuwa ni shekh mungu amuhifadhi shekh said
Ustadh Bachu,tafuta Elimu kwanza,utafanya vizuri sana baada ya kupata elimu,sasa hivi bado sana,ushauri wangu acha minaqasha kwa sasa.vitu vingi vya wazi vinakusumbua
Allah akuongoze
Una ushahidi gani km hana elimu
Awa watu wa twarika ni wahuni sana sababu muhadhar tumeshuhudiya sisote n ukweli umedhihirika muace uwongo wa kudhalilisha muhamad bacu na kusema kwamba kajikodjoleya ni uwongo mtupu wenye mepanga sababu ukweli wa Islam wameuona . Allah awaongoze
UKITAKA KUJUA WANAOMPINGA ALLAH NA MTUME SAW INGIA KTK UTUBE ANDIKA RVS ONLINE TV SALA YA IJUMAA MASJID FATMA
Mr bachu achana na Ustadhi saidi atakusumbua sana,yule jamaa ana maarifa mingi sana ::: zaidi muelewa sana pia cabinet yake nzito watakudhalilisha tu
Bachu yeye ni Mhuni hvyo anajifanya haelewi kitu na ana watu wanamshakiza tu kama jibwa la mwituni
@@AbuuOthmanallaah akulipe kwakauli yako ya maandishi
@@AbuuOthman
Sifa za masufi:
Kusema uongo, kuzusha ibada mpya, kutukana, kupandisha mapepo, kukata viuno, washirikina, waganga wa kienyeji yaani wapiga ramli, kumzulia uongo mtume, kutafsiri Quran kwa akili zao na matamanio yao.
@@hamadsalim9183
usiwashangae hawa wazushi wa kisufi ndio walivyo,
Sifa za masufi:
Kusema uongo, kuzusha ibada mpya, kutukana, kupandisha mapepo, kukata viuno, washirikina, waganga wa kienyeji yaani wapiga ramli, kumzulia uongo mtume, kutafsiri Quran kwa akili zao na matamanio yao.
Masufi ni wajinga tu
Wamuita dj kwalipi afadhali ww twakuita kikojozi ulijikojolea Mombasa Kenya kwahiyo huna lakusema tarumbeta lakiwahabi
Muhammad,huyo Bwana humuwezi,utajidhalilisha sana...Makosa meeeeengi ya ki Nahau yalidhihiri kwenye Munaqasha wenu,na vingi kwako vina mapungufu,soma kaka,acha mahangaiko
😂😂 haumjui vzr Muhammad bachu....huwaga hakurupuki..acha ushabiki
Said na genge. Lake ni wasanii ktk dini
We una vitabu sio elim
Ustadh achana na hao ilimu yao bado sana😂. Kama ni ushabiki wanao sana hao.
Hivi yule dada nae kashaapata bwana naona katulia Mimi nilisema akiolewa tu atatulia
Sasa mkifanya hvyo mwapata faida gani
Acha kujirambaramba sana ,,, tulia ,,, ewe hadhayaan binhadhyaan almuhriq,, kasuku la kiwahabi toka zanziberiii😅😅😅 pote la ahlu'Farqa walfitna. Unapaparika mnooo.
Dj said ni msanii usifanye nae mnakasha
Baalegh ya Ilmu
Naam Hakika kabsa
Muhamadi bachu ... ww nikama abuu lahabi
Bachu wewe siulikojoleshwa zama zile
Wewe ulijikojolea bado hujatosheka
Huna elim bachu atajikojolea tena said anajua wewe sheikh wako nani mbona hatujui mwenzio anamasheikh wewe huna sheikh kama mwalim wenu albaan.
Upuuzi na upumbavu😮
Alipo kukojoza alikuwa dj hivi sasa ni shekh said atakufanyaje si utakunya kasome bachu bado ugali mbithi muwache shekh said atupe ilmu ww edelea kubiga tarubeta
Kila mtu yuwakuona mwehu sana
Huyo dj Said ni mjanja mjanja tu hakupatikana maana hakuwa na watu wa kumsaidia kuleta Fujo maana ktk munaqasha hakuna kitabu hata kimoja alisoma
Sasa unapooongea na mtu ambae kiakili tu unamshinda na vitabu vyake haina haja ya kufungua vitabu sasa unataka angefungua vitabu kiaje wakati kashakojoa ama ulitaka mtu anye kabisa
Kuna ushabiki sana badala ya ukweli, wengi wa sunni ni wapotoshaji na wafuasi wao hawafuati ukweli bali ushabiki. Dj akutanishwe kwenye munaqasha ili mbivu na mbovu zijulikane kama ambavyo mpaka leo hoja 19 hazijajibiwa
Yaani najaribu kuliona hilo wallaahi huyo mwenye kuandika kichwa cha khabari tu yaonekana uadilifu hakuna wallaah
@@khalfanikimanta6663 hii media inafanya mijadala ya dini kama ushabiki wa mpira badala ya kusaidia watu kutafuta ukweli kwa manufaa ya dini. Kila uzushi ni upotofu na upotofu mahala pake ni motoni Allah atunusuru na atujaalie kuiona nuru na haki na atujaalie kuifuata.
Hahahahaha sasa hoja 19 alitaka tu kwa mara moja tanga lkn kwa ustfah said kenya alitakiwa atoe zote hizo 19 lkn moja moja kimpangilio ili kila moja afunzwe ila chakushangaza alikojoa kwenye hoja moja tu 😂😂😂 jee zingefika tatu asingekunya😂😂😂 na kapewa ofa siku akijiskie aende akaziendeleze
Bachu Unasema Ustadh saidi awezi kufungua vitabu¿???? Hahahahahah acha kiblii wewe
Cha ajabu ni kwamba siku ile Ya Mnakasha Saidi Meza yake ili jaa Vitabu Bali bachu alikwenda na karatasi tu na pia ikakoselewa imekutwa ameandika kiswahili Sasa Sijui hao watu wanaomfagilia Bachu haya Hawakuyaona?????? Na akawa Anakosolewa makosa ya Nahwu pale mwanzo
Bachu Anamatatizo aisee😅
Tena So kidogo Kinacho Nishangaza Nikwamba Yani Hivyo Anavyozungumza kutaka Mjadala Tena Kana kwamba Mjadala wa Mambrui watu hawakuona Namna ilivyokuwa Yani anajisahaulisha kwamba Alikimbia Na akainuka Kwenye kiti Na Wakakimbiana yeye Na wazee alokwenda nao Ulingoni Sasa Me nseme Tu ikiwa Yeye Bachu atajifanya kusahau Basi Sie twakumbuka Maana Bado mapema hatuwez sahau Hahahahhaha Anataka Majadala Tena Walau Apate goli la Mkono lakini wapi????
Tena ya akili , ni afadhali angekua na matatizo ya mguu ungekatwa mambo mengine yakaendelea
@@HemedSerious Hahhahaah Umenifurahisha Sanaa Wakati Nasoma Hii commenti yako ndgu yang Hemed Eti bora angekuwa Na matatizo ya Mguu Ungekatwa lakini Alonayo yeye bachu Ni Matatizo ambayo yamo kichwani je Madaktari wataka kichwa????
Acheni upuzi mawahabi kuna mambo yakufanya kwenye uislamu si porpjo kwenye mtandao
Hahahaha BACHU ujumbe Umfikie Huu
Kibrrrri kimetawala ndo maana unashindwa ondoa kibra
Naam Kibri sanaa na dharau imemjaa
Mungu akujaalie akuonesha angalau ujue maana kibri
Ivi ustdh said akitaka mjadala namwehu kamauyo ataonekana mtoto uyo katumwa wakishamtia kisiman wanamuacha
Hakika kabsaa ila wafuasi wa bachu hawajielewi wanamshabikia ujinga Tu
@@AbuuOthmanwe ndio juha Namba Moja kama kweli dj wenu anataka mjadala mwambie apite mbele
Mpaka Sasa ni mwaka umepita tangu ukandwe Sasa umeshatwariiii taaaaaal
Hahahahahah ndio hapo Sasa ili kiendelea Kuwa Mfuatiliaji bora wa Channel ya @Abuu Othman Tv Subscribe Now Channel yetu na ushare
Mawahabi na makafiri lengo lao ni moja
Hahahaha hakika kabisaa lengo lao ni kupotosha ummaah na sikuelimisha Ummaah
@@AbuuOthman ikiwa ngome ya abujahi ama abdutalib ni bisharia mimba yamtume kuwanini kumtaa mtume na wameambiwa na gome na ngamiazao?
Kuweni naakili naona akiyakoukomatakon@@AbuuOthman
Allah akujaalie akili na akuongoe utoke kwenye ujinga
@@hassanmohamedabdalla4108 MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa,
SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo
Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ?
Nakupa Highlight:
Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO)
Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea
AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ.
Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج
Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi?
Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza
Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza
BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi ya wanyama kuongea katika riwaya ya أبـو نـعـيـم الأصـفـهـانـي kwenye دلائل النبوۃ inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar
Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO
JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ?
swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO)
Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith
Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ?
mimi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea… MAANA BACHU ALIKUA ANAKATAA BARAZANJI SIJAMUITA MUONGO 😂😂🙌🏾 akaambiwa tulete video zako hapa UNASEMAGA HUYU BARAZANJI MUONGO mpaka UKATUPA KITABU CHAKE
HII HUKUMU YA KUITA HAYA MANENO UONGO UMEITOA WAPI?
SWALI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA
Angesema HAKUNA SEHEMU ilipoanfikwa HADITH MUNKAR NI UONGO maana yake BACHU HUTUMIA AKILI YAKE KUONGEA NA SIO MANENO YA WANACHUONI
Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith ya wanyama kutamka na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR.
Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث
akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث tena akasema mmoja wapo ni ابن الصلاح katika علوم الحديث (مقدمة ابن الصلاح) wamesema wamesahihisha hadith DHAIF kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira
na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU مَولِد الْبَرزَنجِي NI SIRA ndo mana tunakitumia na tunatumia hadith DHAIFU. wewe SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU akanyamaza kimya
AKAAMBIWA SI ULISEMA HII HADITH SI DHAIF
akamwambia hii uloleta ni hadith lazima turudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako..
SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH
ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH??
Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa
مصطلح الحديث
MAKOSA YA BACHU YALIKUA
kwenye NAHAU, تحقق صدقه 😁 KUELEWA MISAMIATI YA ELIMU YA HADITH NA TAFSIRI AZOKUA ANAZILETA NI POTOVU ZINAPINGANA NA WANAZUONI NDO MANA AKAWA ANAFUNDISHWA KILA NUKTA ANAYOKOSEA
mfano alisema hadith غريب ni HADITH NGENI KABISA 😂😂😂🙌🏾
Watu wakacheka akaambiwa hadith غريب sio hadith ngeni na kama unabisha leta MWANAZUONI HATA MMOJA ALOSEMA HADITH غريب ni ngeni
غريب - في أي مرحلة من مراحل الإسناد يوجد راوي واحد فقط يروي الحديث
makosa mengine شديد ضعيف na mengine mengi
NI AIBU KWENDA KUPINGA KITABU CHA LUGHA YA KIARABU AFU WEWE UNAEPINGA UNATOLEWA MAKOSA YA LUGHA YA KIARABU LIVE WATU WOTE WANAONA
katika vitu atakuta kwenye MAISHA YAKE NI ULE MJADALA WA KENYA
(SIKILIZA MANENO YA SHEIKH MAFUTA BAADA YA NIQASH ALOMWAMBIA SHEIKH BACHU )
NDO MANA AKAAMBIWA BAADA YA HAPA UTAENDA KUSOMA
Sheikhe wacha ujuha
Uanze kwanza wewe zuzu
Ulikojoa Sasa utaenda kuachamavi ndiomana anakustiri kaamua kukaa kimyaa.unamwita dj kumbuka Kunamaswahaba walitokea ktk ujahilia.ndio Mana nakusikizaa nachukua elimu Chache Sana kwako.ivikwanini usiwafate makafiri uangize ktk uisilamu?
Mambrui mbn wapaogopa
Mambrui so kuzuri palimkojoza Hahahha
😂😂
😂😂😂😂😂😂
Kwa hutaki mamburui acha propaganda huna elim wewe achana na ria
HUNA LOLOTE BACHU KAZI KUJIDAI TU , SIFA KWENYE DINI HII YAKO MPYA
Bachu mzinguaji Anatafuta umaarufu kwa ujinga tu Na kujifedhehesha Buree...subscribe My UA-cam Channel @Abuu Othman Tv Upate kuendelea kupata Matukio yetu
Bachu mzinguaji Anatafuta umaarufu kwa ujinga tu Na kujifedhehesha Buree...subscribe My UA-cam Channel @Abuu Othman Tv Upate kuendelea kupata Matukio yetu
mabrui ni huko huko kwa wafuasi wa saidi na tayari baada ya munaksha vurugu lilifanyika na uzushi pia watu wakamwaga maji kwa kiti eti bachu kajikojolea tena watu wazima na akili zao,hili ni jambo haliingii hata akili ,then wakawa wanatangaza urongo huo subhanaallah tena hawana hata wasi wasi ebu muigopeni allah makhurafi,na ndio mana ndugu bachu hataki tena munasha ufanywe huko na makhurafi wanalijua hili ,bacho amesema popote sharti tu pasiwe mabrui na sababu mnazijua ikiwe vurugu na ukosevu wa nidhamu ,hata saidi akitaka mombasa akitaka kilifi akitaka malindi akitaka tanzania popote bachu yupo chonjo sasa mseme tu lini mko tayari na mada yoyote ile,nidhamu zichungwe pia ila pasiwe mambrui kwa hali zilizotokea ili zisijurudie hii ndio maana ya bachu kusema hivyo.ila masufi ubishi wao washazoe kuacha ngoma kwa ni ngumu sasa washazoeleka.
Ngoma ni asili ya shaitwaan na wafuasi wake.
Huyu marehemu Albeidh anakuuma nanini?
Jamani huyubachu anaakili lakiniiii?
Unamuuliza nani ina maana anachokiongea huelewi
Anataka mchango tu huyo tunamjua vizuri zanzibar
Hahahaha kama Anataka Mchango Anaweza kuchangiwa lakini so kwa stahili hii Ya kishenzi Na kutukana Wanawazuoni kuwaona wote hawana elimu mwenye Elimu ni yeye Tu Duuuh Hahahahhahah Bachu kituko cha Mawahabi
ACHA AJICHANGANYE TENA
Mkichaa huyu Yaani Hata hajielewagi Maana Yeye Katika Munaqasha Wa Mambrui alishindwa Na akakimbia huku akiwa katota Mikojo mpaka kwenye kiti alichokaa Na jibu likamshinda kutoa Sasa Leo anaanzisha Mengine Mapya Hahahhaha Anatafuta Bao La mkono huyooo
@@AbuuOthman Akhy muogope Allah, haya yote unayoyapost utayakuta siku ya Qiyama! Una uhakika alijikojolea???!!! Ukisimamishwa mbele ya Allah utaweza kuthibitisha kuwa alijikojolea???!!! Mlinusa mkakuta ni mkojo kweli???!!! Hata kama ndo hamuwapendi mawahabi ila Sio vzr kuwadhulumu kiasi hicho.... HYO POST YAKO ALLAH ATAKUKUMBUSHA SIKU YA QIYAMA SIKU UKIDAIWA USHAHIDI... MCHE ALLAH!
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Shukraan Kwa Maoni Sheikh Wang Na pia Samahan Sana kama itakuwa Umekwazika Juu ya hili lakini Tu nikukumbushe ya kwamba Uyu Bachu kama Ni aibu Anajiaibisha mwenyewe Na kuhusu Kadhiya iyo ya kukojoa Ni kweli Na video ipo inshaaa ALLAAH tutaileta Na chengine pia yeye Muhammadi Bachu Amewatukana Sanaa Wanawazuoni wetu tena Wakubwa wakubwa kama hao wakina Sheikh jaafar bar'zanji lakini na hata hawa masheikh zetu wa sasa lakini hilo au hayo yote kwa bachu hayaonekano anavyokosa adabu Kuwakosea Masheikh zetu Leo hii twaonekana sie tunatabu kisa Tumetaja kadhiya yake ya kujikojolea Duuuh Tumche Mola soteee...Shukraan
@@AbuuOthman Akhy Allah ndiye mjuzi zaidi wa yaliyopo katika nafsi zetu, na yeye ndo anaujua ukweli zaidi... ile ni njama tu waliipanga wale mashekh wa kitwariiqa kwa lengo la kumdhalilisha Bachu! Bachu ni mtu mzima, hawezi kujikojolea bana tumche Allah! Lile ni jasho tu kutokana na kwamba alikaa kwenye kiti kwa muda mrefu! Na hyo huwa inatokea tu kwa watu wengi hasa kweny siti za magari, masofa etc...!!! Sasa tuwe tunakuwa waadilifu tunapotaka kumradd mtu na sio kumzulia kitu ambacho hana... Saiv mwamuita kikojozi baadhi yenu, na wengine wanasema kuwa alijinyea...!!!! Yote haya tutambue kuwa Allah anayona na yeye ndiye hakimu siku ya Qiyama!
Kwo watu waangalie siku ya Qiyama wasije wakafirisika Amal zao,,, Thawabu zao akapewa Bachu au madhambi ya Bachu wakapewa wao kutokana na dhulma waliyomtuhumu nayo ya kujikojolea/kujiharishia kama wanavyosema baadhi...!!!
@@AbuuOthmankawatukana matusi gani hebu taja mawili tuuu au unaropokwa wewe ibn bachu kakutukanieni mashekh zenu watu matusi gani SEMA acha ubabaifu shida yenu nielimu sio kitu kingine mnakariri mistari ya maulidi basi dini wapi
Bachu kasome kila mtu anakwmby huna kitu ww kasome uko acha mbwembwee😂😂😂
We hujui kitu Bora ukae kimya tu
Yaani naona hasomi hizi comment maana kila mtu anamwambia akasome kwanza kisha ndo amuite ustadh said kma ni mtu mwenye akili atatafakari kwa nini tunamshaur hivi 😂😂😂 ila kma hata mazingatio hana bc wacha mara hii aje anye kbsaaaaaaaaaa
yani bachu baada ya miezi kadhaa ndo umetwalii suali moja uliloulizwa na ustadhi said ndo sasa unatisha mjadala amakweli uwezo wako nimdogo sanaaaaaaaaaa inaonekana sikuzote hizo unapitia vitabu kuhusu suali ulilo ulizwa😂😅😂
Hahahwhaha wenyewe wanamshabikia Na wana muita Sheikh huko yani bachu ndyo Jisemaji la kiwahabi tanzania Hahaha wanamtegemea yeye ndy wakupambana na watu wa maulid
@@omarbadawy-y3s alitalii kwanza miez mitatu kisha kaenda kujikojolea 😂, kaulizwa SUALI moja akaondoka mwaka mzima na sasa anataka kwenda kujaribu tena kujibu 😂. Haya mchangieni tena 😂😂😂
DJ alikuwa hapokei simu kisa nini?
@@saltechnologiesco.ltd.2377 kisa hataki zogo la BACHU. Anataka majaji ndio wapange. Hata mpiganaji taisoni hapangi yeye ngumi Bali meneja NDIO hupanga. DJ Kazi yake mueke ulingoni na hatutaki mazoea na watukanaji
Jibu uliloulizwa halafu upewe jengine
Anajisahaulisha wakati Watu bado wanakumbuka kuwa Kuna Nukta ilimshinda
Wee mwahu kweli tafuta wa saiz yako apo kwa watoto wa kikwajuni sio ust Said bora ukacheze kibuki tu ndio unalolijua
Tena Mwehu Sanaaa so kidogoo yani
Quran inatiwa mziki huko hamkemei ...
@@ibbu-tz hamkeni???!?!?!?!?!?!?!🤷♂️
Ulipewa homework ukatafute jibu paka Leo kama ushapata jibu ya swali uliloulizwa tujibu alafu mjadala uendelee
Anajisahaulisha Na anajuwa Watu wamesahau wakati Bado kumbukumbu Tunayoo Yaani Hata ukiekwa tena Mjadala Mwendo niuleule Tunanzia palepale tulipoishia Ajibu Swali kisha Ndyo Tuendelee Hahahahhaha
Bachu kusema sijui Ni nusu ya elimu
ni dj lakini alikufanya kiti ukakikimbia na kikiroesha
Hapo me ndyo nnapochoka kwamba yeye bachu anamuita Ustadh Saidi DJ lakini Dj huyo ndyo alomkojolesha Na akakimbia kiti Halaf Ajabu ya mawahabi Baadhi yao mpaka leo wanamshabikia Eti wanasema Hajakojoa
@@AbuuOthman mawahabi hata ataghfirullah hata kama kaliwa tako basi kwa masifa atajutwngazia hakuhisi haswaaa,😂. MUWAHABI kama wayahud wanapigwa wanasema mabomu hayajaleta madhara kwa kutaka sifa TU kumbe huku haro debee
Anataka kukojoa Tena huyu i say
Hahahaha Hakika Kabisa ila Safari Hii Sio Kukojoa Anaweza Akanya Kabisa Maana Uyo Anaemtafuta Somtu Mzuri Hahahahah Me nimuombe Bachu Atafute kazi tu ya kufanya Aachane na haya Mambo kama yeye Anatafuta Umaarufu kwa Kuwatukana Masheikh Ameukosa Umaarufu kilichobaki kwake sasa anahaibika kila Siku Na kupata Fedhehaa
@@AbuuOthman 😂😂😂😁😁😁mwlm unanivunja mbavu
@@omaryjumbe14v8 Hahahahaha Bachu Tutamuandika katika Upande Wa Royal Tour Maana Ni mtu Wa kipekee Kabisa Hahahahha Maana Ummah Unamshangaa Sasa Sie twataka mjadala ukifanikiwa Huu anaoutaka Tunamkumbusha Tulipoishia ndyo tunaanzia hapo hapo Asijuwe tumesahau Hahahahhaha
@@AbuuOthman umaarufu kaupata Sana, kwani hio AIBU alioipata sio umaarufu?😂,
@@AbuuOthman😁
Muhamadi wanachuoni wa ahli sunnah wanakataa mijadala isiofaida na hii haina faida wewe unaonekana unasimamia haqi na saidi anasema anajuwa sana kulikowewe ila nilichokigundua saidi anajiona bingwa nWewe unajiamini kuweka mjadala naona hakunahaja ya kufanya mijadala saidi ni mtu wa mambrui hawa ni Ahli kalami wanatumia njia za wanachuoni wa manteiqi ndio slahayao kubwa tuache upuuzi huu tueneze Elimu
Bachu ibara shida zakusumbua. Unaelekezwa. Na saidi.mjadala utauweza?wewe naona unataka ujinyee kabisa
Mijadala ya nyinyi,
Sasa si uendelee na mambo yako,
ALLAH AMUHIFADHI MOHAMMAD BACHU KWA KWELI KAZI ANYO IFANYA NI KUBWA SANA KUWATOWA WATU KWENYE KIZA KINENE CHA UZUSHI NA KWA WALE WENYE AKILI WANAMUELEWA VIZURI, ILA WENDA WAZIMU WANAOPENDA UZUSHI HATUWAZINGATII
ما معنى غريب في الحديث؟
ما الاعراب:تحقق صدقه؟
ما الصحيح: قد يكذب الصدوق ام السدوق؟
ما حكم الحديث الضعيف في الاستشهاد في مسائل السير والمناقب؟
@@IbraFareed Pole sana ndugu ila nakuombea kwa Allah akujaalie ushikamane na Sunna na uache kujidanganya
@@HashimSalim-qj7zn PINGA HOJA ACHA KULALAMIKA
PINGA HOJA NIMERUDIA MARA 2
Nyinyi wazushi hata mukaambiwa vp hamsikii ibakie rehema ya Mungu tu maana hayo maelezo yanaotolewa yanakutosha kua hoja kwako ila bado umebakia kwenye uzushi sasa mm nikupe hoja ya nn na hutaki kuongoka
@@HashimSalim-qj7zn JIBU HOJA SHEIKH
LAWAMA HAZISAIDII
Habybi Muhammad hakika tulitegemea nyinyi mutuongoze kumbe munafanya biashara mtandaoni wanaanika clips zenu ili tukuengezeeni idadi ya viewers kwenye accounts zenu walimu tunaenda mbali sana mbona mumetawaliwa na ujinga elimu zenu zimekuwa hazifanyi yanayotakiwa kufanywa na wenye elimu nyote ni DINI moja alaf munalumbana mambo gani haya tangulizeni hekima na busara maana hata yaliyomo vitabuni kama hamutakuwa na hekima hayawezi kufanya kazi.
Bachu wewe mtoto walai huna elimu hata mmi nataka munaqqsha na ww said anaelimu bwana
Huyo Ni mweupe kabsa
Backup ulivyo kama mtoto wa haramu
Kila kona fujo
Aaah Sanaa Hivi Sasa Amekuwa Kama Kihoja Yani Huyu Jamaa
@@farijalakhalid5558 huyu Ni MTOTO wa haram katika Dini kwasababu hatumjui Shekh wake ni Nani wala kasoma kwa Nani. Kaja kuvamia tu naona miji ya watu yenye wenyewe anataka kuifanya Ni miji yake 😂
KUMBE BACHU ANA MASHEKH😂, MBONA HATUWAJUI MASHEKH WA BACHU?
Ikutoshe kumjua almarhum Nassoro Bachu
@@saltechnologiesco.ltd.2377 nasour bachu namjua ambae Shekh wake anaitwa said njungu alifariki kwa kugongwa na beskeli wiki moja baada ya kula kiapo baina yake na shekh Habib Haji Kombo wa kiembe samaki Zanzibar kiapo cha Allah sw amuondoe mapema mpotoshaji baina ya mashekh wawili. Na nasour bachu alikufa baada ya kuwatukana wachawi wa bubwini Zanzibar ikiwa ndio mwisho wa khabari yake akawa akipelekwa ugangani usiku usiku ila hakuna kilichomfaa. Baya Zaidi alimuota Mtume saw na hakupewa mkono wa Mtume saw na hii Ni khabari kubwa haipati Kwa maghurafi wa kiwahabia wenzake
Ewe kijana ulishindwa katika dakika ya kwanza kwenye mjadala wa mombasa na watu wote wameshuhudia ulivyo jikojolea jee unataka na kutolewa mavi ?.
Pili : acha ufedhuli acha kutaja akina albidh naona unataka kumuubua babako kwani babako alikua mombasa kama hujui jua kuanzia leo punda milia wewe.
Haya washajitozea wanawake wenzako pambana nao sasa.
Huyu bachu ni muongo, alafu anajua kama alishindwa, na ndo maana anataka arudiane nae Ili akasawazishe Ili watu wamuone wa maana Mr masifa. Alipofanya munakasha
na alkubra aliona kashinda akaridhika hamtaji Tena. Bachu acha unafiki na uongo.
Wapumbavuuu nyinyi wote na mtoa post
Sikataka mwenyewe sasa bachu asemeje? Au hamuelewi?
bachu ndivo alivo alisambaratishwa juzi na mwanamke Sasa anatafuta njia ya kumtoroka yule mwanamke halafu hayo maneno anayoyasema ni uongo mtupu kashapigwe kashapigwa tu si majadida si masufi si wanawake Sasa hivi kakaa kama pimbi hata hivo anavyosema hamuoni ovyo utafikiri anazungumza na wavuta bangi masikini bachu da
Hakika kabsa Nakuunga Mkono Usemayo Ndugu yang Hemedi
ila Ushasabscribe Channel Yangu Hii Ya @Abuu Othman Tv ili Tuweze kusapotiana katika kazi zetu hizi na kushare video zetu katika Magroup ya Wasap Ahsante
BACHU UMEFANYWA NINI MAMBRUI? MBONA PAMEKUTISHA SANAAAA😂😂😂
Hahahaha MAMBRUI pamoto Hahahah Naomba Unisaidie kusabscribe Channel yetu hii Ya @Abuu Othman Tv Ahsante
@@AbuuOthman 😂👍
Mtu kwanza kakufundisha mpaka nahau yule elim yake ni kubwa humuwez utaumbuka dogo
Kataka DJ SAID
Yani Bachu Anajidhalilisha Tu Bure Hata kama Akimuita Ustadh Saidi DJ hiyo wala Haimshushi pale alipo Na kwa Mantiki hayo inamana Bachu yeye ajiitae Sheikh inamana Alishindwa Na DJ kwenye Mdahalo kule Mambrui???? Kwahiyo Dj Kamshinda Sheikh Bachu!!!!! Na haimaanishi Hata akimuitaje Lakini kama mtu kakuzidi kakuzidi tu we mtukane Ustadh Saidi lakini Ndyo Umekubali Vipi kushindwa Na DJ kwenye mjadala wa Mambrui Ambapo mpaka leo Hutaki kwenda tena
KUMBE MAMBRUI UNAPAOGOPA 😂😂😂 BACHU KWELI HAJIELEWI
MAMBRUI pamoto Hahahahahah Ndugu yang Naomba Uniunge mkono Usabscribe Channel Yang hii Ya @Abuu Othman Na unisaidie kushare hizi video zetu Ujumbe upate kufika mbali
BACHU JITAFAKARI UNA MATATZO NA UTAPOTEA
Naam hakika kbsaa Yan amekuwa kama kawehuka yan
Bachu wewe Twaghut mkubwa uliekuja kupoteza watu kwa janja zako za uongo ustadh said humuwezi hata kidogo(acha ghira)nenda kasome
Mungemjibu kwanza zile hoja 19 kisha ndipo muendelee
tell me something bachu you will be ashamed again, sheikh saidi that is a big fire not your size, acha utoto bachu ustadh saidi sio number yako, lugha yetu ya português inasema a cabeça não regula o corpo que paga, maana yake kichwa Kama hakifanyi kazi mwili ndo unaumia, From mocambique 🇲🇿
Bachu anazinguwa huyu jamaa Yani ifike pahala Apuuzwe tu maana amekuwa kama kituko tu hahahahaha cha Mawahabi
Umemsikia hio siku amejibu su'ala yaku thibitha mbuzi ngamia kuku wamezungumza? hajajibu mpaka lakini ametumia ujanja ya hepa kunibu su'ala
كل دابة كانت لقريش نطقت تلك الليلة hii hadithi na sahihi au nibrojo
@@hassanmohamedabdalla4108 mjadala uliufuatilia Sheikh
@@AbuuOthman ww nipe jibu hio ninsahihi au uongo?
@@hassanmohamedabdalla4108 ماجدلت عالما إلا غلبته وما جدلت جاهلا إلا غلبنى Ni hvyo yani
Kuna ukhty fulani kulee kwa sheikh Samiir anakutafuta kwenye swala la Maulid😮😮😮 mbona unamkimbia???
Mnaruhusu mjadala jinsia mbili tofauti? Au hamjui Muhammad ana akili kuliko hao waliomhusisha binti (ambaye haijulikani siku hiyo alikuwa libido au ndio kaingia kwenye siku) afanye mujadala na mwanamume?
Kaona hunachochote ndomana hawezi kukaanawewe