Mungu akubariki sana kwa elimu hii imepita mlemle kwa maisha tunayoishi mola akuongezee maarifa na hekima katika kutuelimisha pia wababa walielewe hili
🎉Mashallah Mashallah Mashallah ni kweli habibty isemayo kwa kweli ni mtihani tulionao wazazi Tunamuomba Allah stuongoze sisi na vizazi Allah akuhifadhi ukhty wetu duniani na Akhera Allah akupe umri mrefu wenye manufaa uelimishe jamii Allah awalipe wewe wazazi wako
Allah akulipe na atujalie mwishomwema natamanisana mawaizakama aya yange sikilizwana Kila mzazi wakike nawakiume Yana fundisha Sana mungu atujalie tuwe wenyekusikia na kuyatendea Kaz lnshallah
Masha Allah sahihi kabisa nahii yote imetokana na kutaka haki sawa baba anatafuta pesa mama anatafuta pesa mtu wakutizama watoto hakuna mtoto anajitizama mwenyewe natv
Asalam alykum warahmatulahi wabarakatuh.Ukt umesema kweli kwa familia nyingi zimefeli kwa kweli. Nakuomba tafadhali ukt tafuta nafsi kuwaeleza Hao ndugu zetu waarabu.Ati mtoto afanye atakalo na hii inaleta shida kwa jamii. Nishawai ambiwa mtoto wakike alo balehe aafanye atakalo hdi kupelekea kukaa ,wakati wake free mbele ya mzazi wa kiume bila kujihifadhi na mzee asiseme kituu.Tafadhali sana ukt fanya tiktok uwaelkmishe.Huku wafanyakazi wanapata shida juu watoto na mtoto Ana uwezo kumwita afanyakazi mbwa hili ni Sawax2?.
Weww nuru unachungwa mpaka leo mtoto bado hujaolewa hata uchukungwe hivyo mm siulizwi kitu ni mtu mwenywe tu atakavyojiweka 😮 kaka mm hanipii kitu chao nangaika mwenywe kujitafutiya😮
Kweli kabisa ukhty uyasemayo ni ya kweli mtupu, Na nakupenda kwa ajili ya Allah
Yaaarabi ,,mlipee kherii fatumaa
Masha Allah ukthi unaongea point sana Allah akuhifadhi ili uweze kutoa mawaidha zaidi na zaidi ishallah
Kwa kweli ni mtihani sana, Tuzidi tu kumuomba Allah azidi kutulindia vizazi vyetu Inshaa Allah, Kwa Nguvu zetu wenyewe hatuwezi ya ALLAH
Shukran kwa mawaidha
Mola akupe umri wa kheri uzidi kuenezamaneno yaallah
Mashaallah
Allah Akuzidishie kheli dada Fatma *Allah akuhifadhi
Subhana Allah Tabarakallsh nataman kila mzazi askilize na kuya fanyia kazi haya ndo mafundisho na drasa tuna takiwa kupewa shukran ukhty❤
Hakika Ukhty tumepata darasa zuri sana
Subhanallah.Inna lilahi wainna ilahi rajiun
Hongera mdogo wangu, from saidi mussa mdidi ,kondoa
Mashallah ukhty mafunzo mazury yabidi tuyafanyie kazi na hichi kizazi chetu Allah atuongoze 🤲❤️
Amin Yaa Rabb!
Mashallah tabarakalah,mafunzo mema sana dada,Jazzak Allahu kheri fii dunia wal Akhera InshaAllah
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatu Mashallah
Mashallah, Darsa nzuri
Mungu akubariki sana kwa elimu hii imepita mlemle kwa maisha tunayoishi mola akuongezee maarifa na hekima katika kutuelimisha pia wababa walielewe hili
Amin Yaa Rabb!
Swadakta my Allah akulipe kher ukty
Jazaqallah haira ukt mungu akupe umri mrefu uzid kutufunza mambo mazur mm binafsi nakupenda kwa ajili ya Allah
Allah akuhifadhi ukhty fatma, upo sahihi sana
Masha allah tabaraqallah rahma
Asante sana mama
MashaAllah ukhut I like the way you preach (ALLAHU SW) kila la kheri Dunian na Akhera.
From Nairobi.
Maa shaa Allah 💜
Amin Amin Amin!
Asalam alykum warahmatulahi wabarakatuh.Ukt unasema kweli kabisa,Mwenyezi Mungu akuongoze katika hilo innshaallah.
Shukran mama Fatuma kwa mafunzo bora
Mashaallah shukran kwa Darsa mzr Allah akulipe pepo ya fredaus
MashaAllah uht Allah akuongezee,,,umri mrefu uzid kutupa elim
Allah atujalie mwisho mwema navizazi vyetu anatuongozee vizazi vyetu
MashaAllah shukran sana Allah akujalie kla lakhr
sawasawa. darasa zuri
MashaaAllah,,Allah akulipe khery nyingi ukhut uzidi kutupa elmu zaid❤
🎉Mashallah Mashallah Mashallah ni kweli habibty isemayo kwa kweli ni mtihani tulionao wazazi
Tunamuomba Allah stuongoze sisi na vizazi
Allah akuhifadhi ukhty wetu duniani na Akhera Allah akupe umri mrefu wenye manufaa uelimishe jamii Allah awalipe wewe wazazi wako
Amin
Amin Allahumma Amin!
Allah akulipe na atujalie mwishomwema natamanisana mawaizakama aya yange sikilizwana Kila mzazi wakike nawakiume Yana fundisha Sana mungu atujalie tuwe wenyekusikia na kuyatendea Kaz lnshallah
Jazakallah khayran
Allah akubariki da Fatma akuzidishie ilm akuruzuq faham pia yana leo nimefaidika subehanallah allah atuongozee na kizaz chetu
Allah huma ameen
Assalam alaikum mashallah Allah akujalie
MASHA ALLAH
Masha ALLAH Tabarakallah shukran ukhty kwa darsa zuri lenye mafunzo mema..Nakpenda kwa ajili ya ALLAH ♥ ❤
Masha Allah ukty fatm mdidi nime jifudha mengi Allah akulipe amari njema
@@jumaakiuta Allah akuhifazi Dada ukoviurii manshaallah
Mashaallah darsa nzur
Mungu,akulinde inshalla
Allah atupe wepesi❤❤❤❤❤
Hongera kwa kutoa elimu. Kumbe ulikuwa na kipaji, sikujua hilo tulipokuwa tunasoma wote Tambaza High School mwaka 1997-1999
Maa shaa Allah wana tambaza tupo pmj
Wallahi mtihani mzito huu.
Mashallah Allah tuongezee ktk kulea watt wet pia Allah akulpe kwa ukumbusho wako dada yetu Allah akudumshe ktk alakat za dn na uwe mwsho mwema
MashaAllah mawaidha mazuri
Daada... Shukran
Mashallah ♡♡♡♡♡
Mungu akujalie amin mungu pepo
Ni kweli mms nimuhimu
Masha Allah sahihi kabisa nahii yote imetokana na kutaka haki sawa baba anatafuta pesa mama anatafuta pesa mtu wakutizama watoto hakuna mtoto anajitizama mwenyewe natv
Yote yapooo mia fil mia ..jazzakah Allahu Kheir.
Inshallah Allah atuafikishe sote had siku ya malipoo😢😂❤😊
ALLAH akupeongoze utuelimishe Kwa ajili yake
Mashaallah❤❤
Swadaqtum💯💯💯
Very true, well said👍👍👍
Wallah ukht umesema kweli
❤❤❤
Kabisa ukhty allh atuongozeee
@Al Ush usikate jina na la ALLAH unapo andika na pia nivizuri ukiliandia in capital letters..
Mungu akuhifadhi mamy naomba namba yako ya whatsap
Nampa kongole huyu mama. Ana busara nyingi kichwani.namba yake tafadhali
😅swadakta ukhty
Ningetamani angetoa na way forward,nini kifanyike kukabiliana na hizo chanagamoto
Nikwelii❤❤❤❤
Asalam alykum warahmatulahi wabarakatuh.Ukt umesema kweli kwa familia nyingi zimefeli kwa kweli. Nakuomba tafadhali ukt tafuta nafsi kuwaeleza Hao ndugu zetu waarabu.Ati mtoto afanye atakalo na hii inaleta shida kwa jamii. Nishawai ambiwa mtoto wakike alo balehe aafanye atakalo hdi kupelekea kukaa ,wakati wake free mbele ya mzazi wa kiume bila kujihifadhi na mzee asiseme kituu.Tafadhali sana ukt fanya tiktok uwaelkmishe.Huku wafanyakazi wanapata shida juu watoto na mtoto Ana uwezo kumwita afanyakazi mbwa hili ni Sawax2?.
Mimi ninamiaka35 ila mpaka leo nachungwa nababayangu nikienda kwetu nikuchungwa
Weww nuru unachungwa mpaka leo mtoto bado hujaolewa hata uchukungwe hivyo mm siulizwi kitu ni mtu mwenywe tu atakavyojiweka 😮 kaka mm hanipii kitu chao nangaika mwenywe kujitafutiya😮
Mashaallah❤❤