Dada nakupenda kwaajili ya Allah ulinikoxha nilikuona kijichi kulikua na xhuli ya mama halima nilienda maneno yako na nimetoka na kitu naxhukuru Allah akuwezexhe tukutane teneixha allah
Unaposema wajibu maanayake ni Jambo la lazima. Nasi hatujalazimishwa kumfanyia mume hayo yakupika na kufua tukiwafanyia twapata thawabu na tusipofanya Wala hupati dhambi
Mashallah Allahhatupe maishamarefu
Mwenyezi mungu atakupa ujira wako in shaallah
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI UKHUT WETU UNATUSAIDIA SANA MUNGU ATUPE MUONGOZO INSHALLAH
Allah Akuzidishie mema Ameen thuma Ameen Yah Rahim
Mashallah uht mi naishi kenya ya msambwni. Naomba. Utufikie maana wengi ni vipwepwe
Hakika ni muhimu
Umesema kweli ukhty Fatma, ni kweli watu wengi leo wanaoana bila ya kuwa na elimu ya ndoa
Dada nakupenda kwaajili ya Allah ulinikoxha nilikuona kijichi kulikua na xhuli ya mama halima nilienda maneno yako na nimetoka na kitu naxhukuru Allah akuwezexhe tukutane teneixha allah
Mashallah mngu akupe urefu wa maisha ili tufaidike kwa ajili yake💗🏃
Mashaallah, Allah akujaze Afya uzidi kutuelimisha.
Maashaa Allah
Allah akuengezee elimu na akuwezeshe kuutumia
Mashaallah hongera sana ukhty
Mashaallah mashaallah
Shukran dada pia kuwazungumzia wanaume wenye kuwatesa wanawake na kwenda kumuolelea mke mwengine wakati mkewe yuwamtesa je ni haki hiyo
ukhuty nakuhiitaji kibugumo inshaallah
Mashaallah
Masha Allah
Mashallah
Jazakaa waa kheara
Jazakalahu kheri kwa darasa madam fatma mola akuzidishie heri madam
Masha ALLAH
La illa ila Allah Muhammad Rasurullah
Masha Allah mama alihandulillah ❤❤💞💞💞💞💞❤❤
Maneno yako sahihi kabisa dadate
Nice, Dada mkubwa allah akupe kher nying sanaaa
Tatizo haya malezi ya kiislam ni adimu sana ktk jamii zetu za sasa.ni mtihani kwakweli.
Jazakalahu kheri
Aslm alkm ukhuty fatma , naomba ufafanue jinsi mwanamke aliyeolewa atakiwa kuomba ruhusa ya kwenda mahali, maana wengi huaga tu ama kutaarifu!!
natamani mke wangu mtarajiwa nimfundishe awe kama uyu
Mashaallah ❤❤
Manshallah ukhty fatma mdidi allah akujaalie lakini usikomee mijin tu fika had vijijin . Tunakuomba mbogwe ufike
Allah akujazi khery zote
Dada nimependa sana mawaidha yako
Umeongea vizuri
Tuweke sawa hapo
Je kaka akaamua kumpa ruhusa baba au kaka wa kufikia itafaa kuozeshwa?
Wape shule ukht
Mawaidha mazuli lakini mwanamke haruusiwi kunena mbele ya wanaume
Kwa ushahidi upi?
Samahi ukhti fatma tunaambiwa kua sio kazi ya mke kumpikia mume Wala kumfulia sasa wewe watwambia ni wajibu wa mke kumfanyia hayo
Umetoa wapi hayo mawazo Aisha
Umetoa wapi hayo mawazo Aisha
Sio nimetoa wapi hayo mawazo tunaingia madarasani kujifunza sio mawazo yangu
Unaposema wajibu maanayake ni Jambo la lazima. Nasi hatujalazimishwa kumfanyia mume hayo yakupika na kufua tukiwafanyia twapata thawabu na tusipofanya Wala hupati dhambi
Kwa sababu ya mawadda na rehma kuhurumian kupendan ndioman viongoz wetu wameyawek hayo katika Mambo ya wajibu
Masha Allah
Mashallah
MASHA ALLAH