JEE HAYA PIA NI MAENDELEO AU NI MAHARIBIKO ENYI WAZAZI?? SISI NI WACHUNGA. SH.SAID BIN NYANGE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 7

  • @abuayoubsoud9196
    @abuayoubsoud9196 3 місяці тому

    Assalam alaykum w w
    Kwanza kabisa nashkuru kua ni miongoni mwa watu ambao wanafuatilia hii channel tangu uhai wa mwalim said
    Ushauri wangu tuendelee kuweka maudhui nzuri (darasa) alizokua akizitoa

  • @SwabihaAhmed
    @SwabihaAhmed 9 місяців тому

    Allah akuzidishie kila lakheri shekh langu,kukataza maobu na kuamrisha mema niwaajibu haijalishi anaekatazwa kakubali au kakataa,huu ni uhuni mkubwa sana wanaoufanya niuchafu mkubwa wanaufanya ktk jamii wanachochea maasi kisingizio uislamu

  • @IssaKhamis-o2y
    @IssaKhamis-o2y 9 місяців тому

    Mim nashauri ipo njia moja tu ya kuwafaitilia hao vijana ili waweze kuacha na njia hiyo siwez kuibainisha katika mtandao

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 9 місяців тому

    666

  • @Filamumaridhawa
    @Filamumaridhawa 9 місяців тому

    Shehe wachie hao huwaweziii

    • @kazungukakiyo
      @kazungukakiyo 9 місяців тому

      Sheikh aongee miongoni mwao wamo wataacha au nusurika kwaajili ya Allah.