DR SULLE: DARSA YA NDOA | UKIFUMANIA, FANYA HIVI | WANAUME WOTE WAONGO MATAPELI WA MAPENZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 21

  • @Samsungjprime-ww9ve
    @Samsungjprime-ww9ve Рік тому

    Shukran shekhe Ahsante nimefaidika vzr na nimejifunza nimekuelewa vzr shekhe Allah akulipe mengi mazuri hapa duniani na kesho Akhera akulipe pepo ya fridaus kwa rehmma zake Allah

  • @martinmngeni2092
    @martinmngeni2092 3 роки тому +1

    Dr sulle kiukweli napenda sn kipindi chako kinanitoa utumwani kinanipekea nchi ya amani unayosema yote ni kwel mtupu asiyejivunza kitu hapo kwel hilo ni gumegume tu Asante nasubiria hilo somo la mwanamke kiwango na hiyo miaka inayo omba ufike mungu akusikie Dr asnt

  • @al-jamalahmad8139
    @al-jamalahmad8139 Рік тому

    Nakukubali sheikh wangu Allah akuzidishiye umri

  • @looqmanmw8190
    @looqmanmw8190 3 роки тому +3

    Masha Allah Sheikh uko vizury

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +2

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @aminahemed5417
    @aminahemed5417 2 роки тому

    Mashalah mawaidha mazuri

  • @ayshaalsahafi5714
    @ayshaalsahafi5714 3 роки тому

    Mashallah Allah akuzidishie Inshallah kakaangu

  • @albertdoherty9394
    @albertdoherty9394 3 роки тому

    Maa shaa Allah doctor nakuelewa

  • @radhiaoman9828
    @radhiaoman9828 3 роки тому

    Asante shekhe kwa kutuelimisha

  • @mwanakombaabbas93
    @mwanakombaabbas93 3 роки тому +2

    Wallahi dr sulle umesema kweli kabisa

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @hemediomari2187
    @hemediomari2187 2 роки тому

    Inishallah

  • @ishimwerahma9810
    @ishimwerahma9810 2 роки тому

    Cheikh tunakuomba hâta Burundi tupate iyo séminaire.

  • @ksaksaksa5545
    @ksaksaksa5545 3 роки тому +2

    Dr mbona kama waniongelea Mimi yalio nikuta

  • @sleymohamed3825
    @sleymohamed3825 3 роки тому +1

    naam shekh sule

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 роки тому +1

      Naam shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @martinmngeni2092
    @martinmngeni2092 3 роки тому

    Leo tr 15 / 08 / 2021 ni mda gani wa kuanza somo?

  • @rukiamusa9916
    @rukiamusa9916 3 роки тому

    😂😂😁😁mbavu zangu weeeh leo nime cheka yangu yote lakini mafunzo ni matamu nime kupata kwa ufasaha kabisaa

  • @faridaikussi
    @faridaikussi Рік тому

    Hahaha duuu

  • @mwanakombaabbas93
    @mwanakombaabbas93 3 роки тому +1

    Hahaha hahaha