Jack nimeamini kweli una experience maana umeshazungumza na madem wengi Sana na unajuwa strength and weakness zao. Na ni kweli iko hivyo bro, me nimekuelewa Sana.
😂😂😂 dah mmenifurahisha sana sema nn Jack anaonekana Mzee wa pic sana yani mkal wamambo I appreciate you guys much love from our mother land they called Tanzania 🇹🇿 we call home
Jack bhana eti unaweza onewa huruma ila kusema ukweli uliposema kukutana ana Kwa ana hata mimi naona ninzuri zaidi unaanza kujuwa umeupiga mwingi au umechemsha hapo hapo
Jack njoo bongo huku upambane utapata madem wa Ethiopia, Uganda, Nigeria 😂😂. Wanakufaa brother. Achana na huko ulaya hamna dili ndo maana wazungu weusi wanaume wanakimbia uko wanakuja Africa na wanapendana na waghana na Ethiopia wanatengeneza maisha mpaka wanazeeka😂😂😂.
Jack nimeamini kweli una experience maana umeshazungumza na madem wengi Sana na unajuwa strength and weakness zao. Na ni kweli iko hivyo bro, me nimekuelewa Sana.
Vijana mnapiga kazi nzuri💪🏻🇹🇿✊🏼 🇺🇸
Shukrani. Tupo pamoja!
@@jackwausa😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Hapo kwenye kuonewa huruma na dame nimejikuta nacheka tu aisee
😂😂😂@@ramsonychile4990
Tupo tunacheki maujanja
Jackson kazi nzuri na huyu mwamba mmetulia mnaeleweka vizuri. From mwanza Tz
Nimechelewa sana kaka bles u , unatusanua ile mby
Duuu all brother's good conversations so nice you're thx so much.
Home boy kumbe🫡 songea 🔥🙌
Genius mind, nje kuna mvua lakini content imepatikana
Asante kwa kutuelimisha taratibu tutabadilika, nipo morogoro
Since nmeanza ku follow what's u doing my Broh Jack ,naenjoy sana then napenda sana this kitu ,just pull up.✊✊✊
Brow jack nakukubali sana from Mozambique 🇲🇿
Jack mambo vp unanikumbuka kazi nzuri kaka
😂😂😂 dah mmenifurahisha sana sema nn Jack anaonekana Mzee wa pic sana yani mkal wamambo I appreciate you guys much love from our mother land they called Tanzania 🇹🇿 we call home
From Spain i like you 👍but mie ni mtanzania og wa kwa mkwawa kabisa 😊😂🇹🇿🇹🇿kalenga Iringa Tz
Nimejifunza mno
aise jack bro unatema maneno mazuri balaa 🙂nakubali sana ..
exactly bro Jack unaongea kwa Confidence sana
Jack am from Kigoma Tanzania ,in short wewe una paswa kufuatiliwa na Kila mtu mwenye Akiri Timam ya Ujana. ❤❤
Samahani,,, Akiri ina maana gani?
Unaupiga mwingi sana kaka jack
Nimependa, hiyi idea keep it up
Nawacheki Nikiwa Bongo Kinondoni Wadau mi Nataka Connection in USA ..
Kino sehemu gani
you are going far my brother
Nakubali brother jack
I appreciate you jack
Peace tuko pamoja from dar kinondoni
Peace😊
marekan kuzur jack amechenj mpk sura
Unafanya vizuri Jack
Content Nzuri sana Kakas🙏
Wanawake dunia nzima wanapenda mshiko
Wajina wangu Jack
Bongo Rahisi sana Jamani huku kimbembe
huko si mitandaoni tu unyakua mzigo au?
@@nasibugunda7927sio Rahisi kama unavyowaza
Jack bhana eti unaweza onewa huruma ila kusema ukweli uliposema kukutana ana Kwa ana hata mimi naona ninzuri zaidi unaanza kujuwa umeupiga mwingi au umechemsha hapo hapo
Kweli kabisa hela ndiyo kila kitu
Jamani nawapenda sana
Goood
Mnaiwakilisha nchi yetu vzr
Nakubali Sna
Jack Mambo Vipi Rafiki Yangu ?"
Big up sana wazee , watching straight from buswelu @mwanza
Watoto wa kinondoni mnapenda sana kuja huku U. S. A huku mkija bila kufanya kazi mtakuja kuolewa😂
We appreciate your effort bro big up
Thanks!
Bro tumemisi kuona states tofaut tofaut tunaomba florida miami kule kuna vibe kama lote bro
Jack njoo bongo huku upambane utapata madem wa Ethiopia, Uganda, Nigeria 😂😂. Wanakufaa brother. Achana na huko ulaya hamna dili ndo maana wazungu weusi wanaume wanakimbia uko wanakuja Africa na wanapendana na waghana na Ethiopia wanatengeneza maisha mpaka wanazeeka😂😂😂.
Nakubali nakubali 🎉🎉
Brother, podcast ing'we ebi bole lushiku twenelagi banhu binge tuyombe, @jack wa USA
daaah nyanda ole shizaa sanaaa
Nje ngumu Sana kupata mahusiano ya maana
this niqqa jack is cooking 🔥🔥
Nimeipata point yako ya pesa ....wanaume tutafute pesa...
Nimependa hii
Jack chukua 🌹🌹💕
💥💥💥💯💯💯✔✔✔✔✔
podcast flani hivi kali
Wasukuma sisi Sio wachoyo bhana
Umepotea sana jaki
Brothers in the US 🇺🇲🇹🇿
🙏
Nice work
Marekani kama Bongo tukiwasikiliza hawa guys
sema jack unapitanao sana
💪💪🙏
👊✌👍.
Nice
Sema kaka mm mfuatiliaji mzuri sana ila na wewe ulivo aza kuongea ngeri sasa siwengine avipandi jack wa usa
Mwanalizombe 🎉
Jack please naomba no kakangu
Uko mnapikishwa na kuosha vyombo
Imekaa poa hiyo
😂😂
Marekani sio wote wzungu lkn bro
vipaji TV ni comedy san😂
Wasukuma gani anaowasemea junior,et wachoyo!!!!!!!??!!
Oya jack naomba connection ya kuja America
Twambieni basi watanzania wenzenu kwenye interview tunaweza kuomba kutumia kiswahili au pale embassy ni English tu
Homu boi kua makini na mademu wa USA wasije wakakufilisi u know what I mean
Nawapata kutoka Moshi Kilimanjaro
Sema Jack ana akili sana
Jack natokea mwanza nipe mchakato nafikaje U.S A, naulii ipo
Njaaa 😂😂😂😂😂 tengua kauli Yako tafadhali 😅😅😅😅
Kiukweli jack unafungua akili saaana za watu
Mdgo wangu fanyampango basi nije america
jack c umesema yule wa mapozi na mi, kiki ndo wife
Apo gud ila mrudi bongo mje kuendeleza nchi.
@laize3: kwa nini walio bongo wasiendeleze inchi? Kwani walio bongo wanasubiri nini kuendeleza
wabongo wamekutana sasa lazima kichafuke
pamoja broo from dar salala
Kaka uku mvua nishida , saivi nipo mwakitolwo
Poleni sana
Afu bro ukisema mzungu ni kama ubaguzi maana naye n binadamu ni mtu wa kawaida tu msidanganywe na ngozi
Interview nzuri sana
Jack huyo kaka nimempendA ana mwili wa sex. Yaan nimemtizama ad nimekojoa.. syo utan mwambie anijibu 😢😢😢
🥰🥰🥰🥰🇹🇿🇹🇿🇹🇿
❤❤
Uyo jamaa ni nani?
Kumbe wewe ni msukuma daaaa tafadhari natamanikuja daaa
Nawapata nikiwa sala sala maah men