Tunakufunika kwa damu ya Yesu jack ✓ kuzimu hawatakuweza ✓ wachawi hawatakuweza ✓ waganga hawatakuweza ✓ mapepo hayatakuweza ✓ waganga hawatakuweza 1.biblia inasema 1samuel 14_6d hakuna la kumzuia BWANA asiokoe kwamba ni kwa wengi au wachache 2.biblia Zaburi 103-13 kama baba awahurumiavyo wanawe ndivyo Mungu huwahurumia wamchao 3.2samuel 2-9 biblia inasema maana yeye atailinda miguu ya watakatifu wake bali waovu wataangamizwa gizani maana kwa nguvu hakuna atakaye shinda ✓ kitendo cha kuchukua hatua kutuonyesha masuala ya injili hakika wewe na uzao wako Mungu atawalinda
@@athumanfuko199 ndio pamoja na kuwa mashoga Malaya wasagaji walevi mateja wahuni lakini bado kuna wacha Mungu waislamu na wacha Mungu wakristo na huwa wanamlilia Mungu kila siku aponye nchi
😮oi jack. Ma nakubali sana yan na kuelewa kinyama mze wangu ila shafosi sana kuja uko but bado haijawa baat yangu. Nimecheza mpaka dv rotar but. Bado. Ok naomba jina ya ap dentngi zinaitwaje nitafute jimama inaweza kua liziki yangu ntakushukuru
Unafanya kazi Kubwa Saną ya kutupa picha ya maisha ya mbele. Naomba nishauri kama ungeweza pia kutengeneza link zitakazoweza kusaidia au kuunda connection na program za hapa Nyumbani Tanzania ingekua poa sana.
Mi mwenyewe kanishtua nikajua huyo mzungu amemuambia anataka kumuoa,maana huko ulaya si ndo zao!!😅😅😅nimeogopa hata kusikiliza nilianza na comments kwanza nishshe pumzi.we Jack wewe
Mtu kama wewe wala ushangazi kinacho toka kinywani mwako sio akili yako ni Majini ulobeba ya Kiislam ndo yanaongea, Mnakaa kumuabudu Muhammad alioa kitoto cha miaka sita huyo ndo Mtume gani kama sio Mtume wa wazinifufu.
YESU KRISTO aliteswa, Alisulubiwa, Alikufa, Alizikwa Na Siku ya TATU alifufuka, Akawatokea Wanafunzi Wake, Kisha akawapa Agizo kuu la Kuhubiri Injili Ulimwenguni Pote baada ya Kuvikwa UWEZO Utokao Juu ambaye ni ROHO MTAKATIFU. Kisha Akapaa Juu Mawinguni. Atarudi Tena Mara ya Pili Kulinyakua Kutuchua Sisi Tuliomwamini kuwa BWANA na Mwokozi Wetu katika Maisha ya Hapa Duniani ambao ni Kanisa Lake Takatifu. Wewe Umechagua Upande wa Ant- Christ ( Masihi Dajjali) unatembea na Hukumu ya Mungu ni Kama Nyumba Iliyokwisha pigwa Alama ya X na TANROAD Tayari kubomolewa. Ili Update Neema ya Wokovu nakushauru TUBU Dhambi zako Leo na YESU KRISTO atakusamehe. IMANI Dini yako kamwe haiwezi kukupeleka Paradiso. YESU KRISTO ndiye NJIA, KWELI na UZIMA Mtu Haji Kwa BABA isipokuwa Kwa Njia Ya Yesu Kristo. Njia Nyingine Yoyote ile ni Uongo. Mfuatilie Rev. Adam Hajji Yutube Msomali Aliyekuwa Shehe Na Kisha Akakutana Na Yesu Sasa ni Mchungaji.
Please SUPPORT me by joining here;
patreon.com/JackWaUSA
May the Mwenenyaga bless you in your endeavours brother Jack.
Best in world jack. God first love from Kenya!
Sema Amen kwa Imana utapona
When the guy was praying and mention racism it touched me so much...... he's a nice guy
Mungu wetu mwenye nguvu baba wa milele akulinde Na ubarikiwe jack 🙏🙏🙏
Ameeeni 🙏
Tunakufunika kwa damu ya Yesu jack
✓ kuzimu hawatakuweza
✓ wachawi hawatakuweza
✓ waganga hawatakuweza
✓ mapepo hayatakuweza
✓ waganga hawatakuweza
1.biblia inasema 1samuel 14_6d hakuna la kumzuia BWANA asiokoe kwamba ni kwa wengi au wachache
2.biblia Zaburi 103-13 kama baba awahurumiavyo wanawe ndivyo Mungu huwahurumia wamchao
3.2samuel 2-9 biblia inasema maana yeye atailinda miguu ya watakatifu wake bali waovu wataangamizwa gizani maana kwa nguvu hakuna atakaye shinda
✓ kitendo cha kuchukua hatua kutuonyesha masuala ya injili hakika wewe na uzao wako Mungu atawalinda
Amina na Asante. Ubarikiwe!
@@jackwausa ameen!! Jack kumbuka wewe unaona kama unafanya kidogo lakini kwa Mungu ni jambo kubwa sana .
Mapepo yapo kwenu tu africa
Was the best experience to see Micah says a word of prayer for you.. Glory to God
Amen. God is good, all the time! 🙏🏾
Mungu atubariki sisi wote, asante kwa hii video
Jack leo umekutana na mtumishi maombi sana eimeen
So good bro, am proud of u good job at all.
nimependa blo❤❤❤
Hongera sana
#God akuprotect
Amina!
Pokea ulinzi kwa damu ya Yesu.
Amina
May the lord God bless & your society, amen.🙏🙏🙏
Amin
Always God first, big up bro
Da!, ubarikiwe sana
God's first 🙏🙌
Kali sana
Yesu kristo akulinde
Amina!
Yesu akulinde
Amina!
Nipo zangu dariesalam magomen👍🙏🙏🥁
MWENYEZI MUNGU AKULINDE KWA KILA JAMBO 💒🙏
kumbe kuna watu bado wanamjua Mwenyezi Mungu ingawaje wala bata ni wengi na mageyi ni wengi ndio maana Mwenyezi Mungu hawezi kuiangamiza hii nchi
@@athumanfuko199 ndio pamoja na kuwa mashoga Malaya wasagaji walevi mateja wahuni lakini bado kuna wacha Mungu waislamu na wacha Mungu wakristo na huwa wanamlilia Mungu kila siku aponye nchi
Akika bwana yesu awe na wewe cocote uendako ata milele na milele amen
Amina!🙏🏾
Damu ya Yesu ikufunike na kukulinda na Imani yako iendelee kukua katika Mungu siku zote Amen
Amina!
Barikiwa my Bro
Nakubali💥
Amen ♥️
Pamoja sana brother 🙏
Nakuombea
Amen Jack Tanzania Dar
Umetisha bro
Safi sana bro 💥🔥🔥
Mungu azid kukuongoz katik alakat zako broh.
Amina!
God will be with you
Mwenyezi mungu akulinde usiku na mchana🙏
Hii imeenda ❤
Mob love from 254
Good job am proud for u jack God bless you
God love and did more for your Jack🙏
Ameen
Amen 🙏🏿
love from tanzania
AMENI.
Big content ❤
The guy prayers were sincere
Ameeeen
Kazi na dawa Kaka
Hio imeenda.
Quick recovery bro
😮oi jack. Ma nakubali sana yan na kuelewa kinyama mze wangu ila shafosi sana kuja uko but bado haijawa baat yangu. Nimecheza mpaka dv rotar but. Bado. Ok naomba jina ya ap dentngi zinaitwaje nitafute jimama inaweza kua liziki yangu ntakushukuru
Watanzania wote tunakupenda jack wa USA
Pongezi Jack❤❤🎉🎉🎉
Amen
God bless you broo , naomba namba yako please
that powerful
🎉
Neema ya MUNGU iwe pamoja nawe jack
Amina!
Mungu yupo pamoja na wwe kila ukipiga hatua
Asante!!
Amen🙏
❤️
😊amen
We mwamba upo poa sana ..napend sana kazi zako yn kupitia wewe nishaifahamu USA kwa kiasi furan
😅😅ushakuwa mwenyeji
Natamani sana kua huko ila daah
Tuko pamoja mkuu
Nipo apa
Yes @jaçk,god bless you❤🎉
🙏🏾
✌️🙏👍.
Unafanya kazi Kubwa Saną ya kutupa picha ya maisha ya mbele. Naomba nishauri kama ungeweza pia kutengeneza link zitakazoweza kusaidia au kuunda connection na program za hapa Nyumbani Tanzania ingekua poa sana.
Duuu saa moja kama saa kumi na mbili 😮😮😮😮
Nimeshangaa
💥💥
🙏
Mambo
Poa
Mwamba we ni mkali
Jack fanya mpango uonane na Manara yupo nae marekan kwa ajili na vipindi mbalimbali na tutafulahi sana kwa utajiongezee mashabiki wengi sana
Wa nini Sasa 😂😂👎
Jack ni Tsh ngapi kutoka Tz hadi Marekani??
May the spirit of Lord Jesus Christ be with you.... alafu ningetamani sana kuona satanic temple sababu nasikia siko huko yues mingi.
Ivi jack huwa unajihusisha na nini kuingiza kipato kama hutojali/kama ulishawahi kusema huko nyuma sijaona...
@failarmy2012 Yes but alikuwepo before hajaanza vlogging, pia channel yake sio kubwa kiasi cha yeye kufanya full-time UA-camr
Saa 1:19 jioni Pako hivyo aisee
Toka songea
ebu siku ingia mitaani tunataka tuone life kama ya temeke mbagala na manzese Magorofa tushaona sana tunataka tuone life la supu jelo
Maombi ya muamerika muyahudi ni maombi makali sana
Kwani ni myahudi huyo?
@@josephstephen1079 zunguukaga mtu nguyas, huu jamaa ni muamerika mwenye asili yaki yahuudi
Pastor kashusha upako dk 45😂😂😂
Honda mta
Jack hao wanaoabudu huko je? Wanapingana na mapenzi ya jinsia moja au lah! Mana marekani hiyo kitu ndio imetawala
Yes. Wanapingana nayo!
We fala umenishitua sana nikajua unaumwa mybe 😂😂😂
Mi mwenyewe kanishtua nikajua huyo mzungu amemuambia anataka kumuoa,maana huko ulaya si ndo zao!!😅😅😅nimeogopa hata kusikiliza nilianza na comments kwanza nishshe pumzi.we Jack wewe
😅😅😅
yuko wapi demuuu wako yuleee ulimpata
🤣🤣🤣🤣yule demu wa Jack alikuwa na mtindi jmn,ila Jack hakuwa amempenda mi nilivoona
@@rosemarysulle9288 hatakiii chuma kisafiii cha marekanii...anataka wabongoo...anapenda taste ya bongooo sawaaaah hatuna lakusema ila tuuuh munguu awe nae😂🤣😅😅😅😅🤣
Sasa unatuoneshaga ma video tu basi tupage na njia yakufika huko nasisi
Hata akuombeye usiku ma mchana hufikia popote juu wenye ni mshiriki na unaabudu binadamu mwenzako yesu ni mtu na ni mtume sio Mungu
Mtu kama wewe wala ushangazi kinacho toka kinywani mwako sio akili yako ni Majini ulobeba ya Kiislam ndo yanaongea, Mnakaa kumuabudu Muhammad alioa kitoto cha miaka sita huyo ndo Mtume gani kama sio Mtume wa wazinifufu.
Kila mtu aamini kwa Imani yake; usiukumu usije na wewe ukahukumiwa;
@@charlesmapunda5905 bro uliaminishwa au kusikia wapi kwamba mtume Muhammed alioa mtoto wa miaka 6 au ndo mnavyokalilishwa kuficha ukweli sahihi
YESU KRISTO aliteswa, Alisulubiwa, Alikufa, Alizikwa Na Siku ya TATU alifufuka,
Akawatokea Wanafunzi Wake, Kisha akawapa Agizo kuu la Kuhubiri Injili Ulimwenguni Pote baada ya Kuvikwa UWEZO Utokao Juu ambaye ni ROHO MTAKATIFU.
Kisha Akapaa Juu Mawinguni.
Atarudi Tena Mara ya Pili Kulinyakua Kutuchua Sisi Tuliomwamini kuwa BWANA na Mwokozi Wetu katika Maisha ya Hapa Duniani ambao ni Kanisa Lake Takatifu.
Wewe Umechagua Upande wa Ant- Christ ( Masihi Dajjali) unatembea na Hukumu ya Mungu ni Kama Nyumba Iliyokwisha pigwa Alama ya X na TANROAD Tayari kubomolewa.
Ili Update Neema ya Wokovu nakushauru TUBU Dhambi zako Leo na YESU KRISTO atakusamehe. IMANI
Dini yako kamwe haiwezi kukupeleka Paradiso.
YESU KRISTO ndiye NJIA, KWELI na UZIMA Mtu Haji Kwa BABA isipokuwa Kwa Njia Ya Yesu Kristo.
Njia Nyingine Yoyote ile ni Uongo.
Mfuatilie Rev. Adam Hajji Yutube
Msomali Aliyekuwa Shehe Na Kisha Akakutana Na Yesu Sasa ni Mchungaji.
Mtu mwenye akiri inayo fanya kazi huwezi kuandika vitu vya namnahii!!!
ila kwakuwa ndiyo mtazamo wako nasisi tunasema AMEN
😂😂😂
Wacheka nni
Channel inasomga
amesahau mwamba alishatoka kwenye event flani ya vibinti na bikini!😂 upako umemrehemisha
😂😂😂
kiuhalisia sisi ni vijana kuna vitu hatuwezi acha mfano kupenda warembo lakini lazima tumkumbuke Mungu
@@rich.kizza10 alokudanganya amefariki, kwa hiyo wale vijana wanaokataa nakushinda tamaa ya mwili ujanani ni wazee!?
Anayekuombea kafanana mtume Paulo
😂🙌🏾
Uokoke na ww
Amina!
Nimeshtuka nikajua nn sjui 🤣
Tunaomba mtufollow na musupport kazi tunazo fanya kusaidia wasichana wanaotoka kwenye mazingira magumu ili waendeleze ujuzi
Siku moja tupitishe mitaa ya wale maniga wazee wakuongea be English 😂😂😂😂wazee wa f***