Wamarekani Wanafikiria Nini Kuhusu Afrika? | What American Girls Think Of African Boys?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024
  • Nilitembelea mitaa ya Beverly Hills, California USA. Nikapata nafasi ya kuwauliza wamarekani wanafikiria nini kuhusu Afrika? Wanawake wa Marekani wanafikiria nini kuhusu Wanaume wa kiafrika? nk. Tembea na mimi ili ufahamu zaidi.
    Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana!
    My previous video;
    • Maandalizi Yanayofanyi...
    🔸FOLLOW ME ON;
    INSTAGRAM: / jacchalz
    TikTok: www.tiktok.com...
    My Other Channel: / @jackchalz
    #jackwausa #losangeles #mtaani

КОМЕНТАРІ • 584

  • @jackwausa
    @jackwausa  Рік тому +38

    Please Subscribe to the English Version of my channel ⬇️ ⬇️
    youtube.com/@Jackchalz

    • @bajosdamour2347
      @bajosdamour2347 Рік тому +2

      Good job bro👍

    • @nyembomajid1262
      @nyembomajid1262 Рік тому +1

      nataka niwakumbusheni hiyo lugha unaongea sio zetu wafrica ni lugha lao,unaolewana nao vizuri sasa mbona tukiwa Africa Bango ama Kenya uniazie lugha ambao sio letu huoni kama sisi wafrica nimataila haya ongea nao Swahili tuone kama utajibiwa

    • @mathiasbaraka1585
      @mathiasbaraka1585 Рік тому

      Nahitaj demu wahuko jack fanya mpango

    • @hamisramadhani1030
      @hamisramadhani1030 Рік тому

      Jack wa USA sifa nyingi wameshakupa wa Tanzania 🇹🇿 wenzako akiwemo brow Raymond, mm shida yngu jack ni contact zako za WhatsApp nizipate aseee, kuna vitu nahitaji tu share mawazo.

    • @esaukalanje5378
      @esaukalanje5378 Рік тому

      Hello

  • @upendolema3323
    @upendolema3323 Рік тому +41

    Jamani mama yetu SAMIA SULUHU huyu Jack ndo umpe ubalozi utamfaa sana,anajitoa sana sana kutoka moyoni kuitangaza Tanzania yetu 🇧🇼❤️

    • @dmack255
      @dmack255 Рік тому +3

      Mama Samia we wait for you

    • @CyimSky
      @CyimSky Рік тому

      ua-cam.com/video/_Je0D5HBUbM/v-deo.html

    • @jaymandy8136
      @jaymandy8136 Рік тому

      Are you normal mentally?

    • @danielfesto489
      @danielfesto489 Рік тому +3

      so unadhani ubalozi ni kufanya haya 😂😂😂

    • @georgemassebu2083
      @georgemassebu2083 Рік тому +1

      Siyo ubalozi Kwa maana ya Serikali, ila mtu huyu anaweza kutumika au yeye mwenyewe kuamua kuitumikia nchi yake kua mtangaza vivutio tulivyo navyo hapa nchini kwa nguvu zote

  • @timothyshammah1468
    @timothyshammah1468 Рік тому +12

    Im from kenya n my debut on this channel and this guy's fluency in both English and Swahili is top tier...

    • @jackwausa
      @jackwausa  Рік тому

      Thanks. And welcome to my channel!😊

  • @kasongosaid2577
    @kasongosaid2577 Рік тому +14

    Mwanangu jack, inatakiwa upewe ubalozi huko,unatuwakilisha ipasavyo imebidi Tu niwe nakufuatilia mno mtu wangu

  • @raymondvankingu911
    @raymondvankingu911 Рік тому +21

    Hallow Jack nikupongeze kwa ubunifu mkubwa unaoufanya wa kuwapeleka watu Marekani bila visa wala Passport binafsi nimeupenda saana huu ubunifu napenda kushauri ujaribu kutembelea pia maeneo yenye historia mfano mahali alipouawa Rais John Kenedy au 2Pac Aman Shakuru pengine kuwahoji watu muhimu wa USA kama Tyson na mwisho binafsi natamani kufanya tour huko hofu tuliyonayo wengi ni jinsi ya kuishi huko hasa ukiwaza ni Nchi kubwa Marekani wewe naona umekuwa mwenyeji huko nini msaada unaoweza kutoa kwa mtu anayetaka kuja huko ?

    • @Timothymchomi
      @Timothymchomi Рік тому

      yaan hilo la kufika huko ndo muhim sana kwanza bro

    • @elijahap7871
      @elijahap7871 Рік тому

      Hakika brother I real appreciate Please tujibu kuhusu hili

    • @gracenkembo8318
      @gracenkembo8318 Рік тому

      leo tangu asubuh niko marekan Asante jack

    • @TheJaph88
      @TheJaph88 Рік тому

      kiukweli unafanya utangazaji wa Utalii vizuri kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla

  • @FranklyFabby
    @FranklyFabby Рік тому +5

    WATCHING FROM JAMAICA ....hongera bro one love ..tia bidiii saaaana endelea kuwaonesha watu natamani siku moja uje hapa JAMAICA ,kingston.

  • @alexmwalingo5020
    @alexmwalingo5020 Рік тому +4

    Unafanya kitu kizuri sana nimependa, ila jitahidi kutafsiri kwa kiswahili vitu wanavyokujibu maana wengi wetu nikiwamo na mimi ung'eng'e ni changamoto madaftari yalikuwa mazito

  • @lexwida_motion
    @lexwida_motion Рік тому +4

    Rhodeo i heard it on all American series but now i see the real of it good work jack continue promoting our African culture proud of you

  • @amindavid9347
    @amindavid9347 Рік тому +4

    Nice work bro,watching from kenya, your content is 100% legit.

  • @abduladinane
    @abduladinane Рік тому +8

    From Mozambique 🇲🇿 nataka utuoneshe duka la balenciaga

  • @stanleychefstanleycef2438
    @stanleychefstanleycef2438 Рік тому +5

    nimependa uyo dada alie sema africa tuna tamaa tuna maisha ya shida ni kweri kabisa🤔🤔

  • @ezbonmworiathemaker4190
    @ezbonmworiathemaker4190 Рік тому +7

    Napenda unavyoongea kaka. Love from KENYA

  • @misheckmisheck6350
    @misheckmisheck6350 Рік тому +4

    Jack unakitu Cha kipekee,kwanza akili nyingi yaani you're so wise keep it up bro

  • @knightlundu
    @knightlundu Рік тому +5

    Jack your work is so appreciated man! Napenda sana video zako watching from Zambia

  • @wineljentrix9771
    @wineljentrix9771 Рік тому +6

    Ata Huku Kenya 🇰🇪 kumenyesha after 5 good months, we're grateful 😊🤝🏾

  • @gideongerald2846
    @gideongerald2846 Рік тому +2

    Jack nisipopata bundle la kucheki video zako nakuwa nazimiss unanionyesha US vizuri, sema kwa video hii umefanya ubunifu mkubwa sana hongera sana

  • @mauricemutua869
    @mauricemutua869 Рік тому +2

    Mmmmh, what an interview!, let's sum it up. Hope you heard about wildlife and that there is enough for everyone in the world according to the Ukranian girls, nice one.

  • @dcampafrica
    @dcampafrica Рік тому +7

    Jack fanya muendelezo wa mtoto ulomuomba namba wamoto sana 😂

  • @misheckmisheck6350
    @misheckmisheck6350 Рік тому +5

    Jack,marekani Kuna watu wanao ishi vijijini?kama wapo tembelea utuonyeshe siku moja

  • @Rodgers_01
    @Rodgers_01 Рік тому +2

    With such content ni swala la muda tu mpaka channel hii itakopokua kubwa na maarufu,,tupo hapa jmn,,all the best broh unatufikisha US kwa uraisi zaid,,we thank you

  • @AmaniPFungo
    @AmaniPFungo Рік тому +3

    asante wka kutupitisha mitaa ya LA tumeona pisi kali za LA.. Unyama mwingi sana mzee enedelea kutuma content

  • @abuuadil9215
    @abuuadil9215 Рік тому +2

    Video Safi Sana yaani Moyo unafurahia Sana, kuona huko USA. Heshima yako Brother pa1 sn, From Zanzibar Tz.

  • @jomugya-oi5dj
    @jomugya-oi5dj Рік тому +2

    To be honest your so creativity man .....I like they way u doing ma men........So lt's go to the next revel worldwide

  • @saluyaadamz
    @saluyaadamz Рік тому +2

    Tunakupata live kutoka dar es Salaam mton kwa aziz... keep doing tupo pamoja sana

  • @emanuelmhagama8193
    @emanuelmhagama8193 Рік тому +1

    *naingia youtube muda wote kuona kama una video mpya nakukubali sana mwanang we ni mbunifu* yan daaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @BwenzaofficialMusic
    @BwenzaofficialMusic Рік тому +2

    Iyo pisi ulio chukua namba Kaka hata ningekuwa Mimi ningechukua kudadeki

  • @mbashaaston4278
    @mbashaaston4278 Рік тому +2

    Sema Jak Nini hiyo pisi yenye koti la pinki nimeielewa embu fanya ninipa account yake ya Instagram kataja lakini kavuta sana😁

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 Рік тому +4

    Jack muhuni wa bongo utakuw unakula watoto hatar😂😂😂

  • @josephsimba3007
    @josephsimba3007 Рік тому +2

    Jama wangu ivi wale watu sio washamba paka akukuwaki wakukata kupiga nae picha duh uko nipowa kweli 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥💪☝🏾

  • @carlmanisrael5807
    @carlmanisrael5807 Рік тому +2

    Swali yues umefanikiwa kuzunguka states ngapi.....? Au Los Angeles ndo zaidi I mean california

  • @Timothymchomi
    @Timothymchomi Рік тому +2

    jack kiukweli unafanya kazi nzuri sana yaani nimekuwa siku nyingi nataman kufika America 🇺🇸 ,mzee nipe mbinu nami niweze kufika kwenye hiyo nchi ya ahadi!!!

  • @YOHANABAHINI
    @YOHANABAHINI 9 місяців тому +1

    Nimependa unavyoitambulisha Africa hasa TANZANIA barikiwa sana Niko Mwanza

  • @kelvinmuia9014
    @kelvinmuia9014 Рік тому +3

    Much love from kenya. Share numbers of those single ladies.

  • @msomi24online61
    @msomi24online61 Рік тому +4

    Thanks Mr jack.yaani ni bonge la SHULE yaaani ni zaidi ya kusomea degree.uko vizuri hongera endelea kutufungua akili juu ya ughaibuni

  • @SamuelMuyaWachira
    @SamuelMuyaWachira Рік тому +1

    The lady in blue was honest and spoke openly about exploitation in Africa and how America determines how Africans are

  • @simpleritiuspius
    @simpleritiuspius Рік тому +1

    Tunaomba uwe utafasili kinachokuwa kimezungumza wengine washabiki wako hatujui kingereza rakin kazi nzuri kaka

  • @agreywilbert272
    @agreywilbert272 Рік тому +6

    The lady with blue coat, the way she define africa it’s means is so real,

  • @sagymajiga6866
    @sagymajiga6866 Рік тому +1

    Nmejifunza kitu kuhusu wadada wa uko wanavorespond maongezi hata Kama n sku ya kwanza kuonana, Sasa kutana na akina mwajuma wa bongo mama yanguuuuuuu weeee,, wanafanya Mambo kua magumu sana

  • @carlmanisrael5807
    @carlmanisrael5807 Рік тому +1

    Huko vizuri best unajitaidi sana kuelezea vizuri.....hopefully siku nitakuja kutembea huko

  • @thegoodboytv2729
    @thegoodboytv2729 Рік тому +1

    Unajituma sana brother j

  • @sadicksaid7676
    @sadicksaid7676 Рік тому +1

    Mama yetu Samia suluhu. Huyu Jack unamfilkiriaje..huyu umpe kazi ya ubalozi ana play part kubwa mno kuitangaza Tanzania huko marekani kuliko hao mabalozi wako..hembu mchunguze huyu kijana mtanzania utamuelewa tu

  • @francissaka9713
    @francissaka9713 Рік тому +3

    Africa is ma home ,nimeipenda iyo fact,idea,acceptance yake nimeappriciate

  • @drankskhally7019
    @drankskhally7019 Рік тому +1

    Upo vizuri Sana Kama na sisi watanzania tupo marekani maana tunakuelewa vizuri Sana Asante kwa ubunifu mkubwa

  • @giftbala4687
    @giftbala4687 Рік тому +1

    Beautiful Content Brother Jackson. Keep it up man.
    Next time tupeleke ufukweni tuone jinsi jamaa wanavyo~Surf hizo pande za Hollywood.

  • @KevinMmari-gx3nd
    @KevinMmari-gx3nd Рік тому +1

    You do well bro...
    You make us aware about USA .....
    Grateful

  • @Dar_tour
    @Dar_tour Рік тому +4

    🇹🇿Bro i love what you do but huku kwetu i have try to make a vlog about dar es salaam tour but its so difficult here. Nimekamatwa na polisi Eti unashuti watu bila ridhaa yao daaah

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla Рік тому +2

      tuko nyuma ya muda sana ndo mana hatusongi mbele ila angekua mzungu anafanya vlogging wasingemsumbua.

    • @jackwausa
      @jackwausa  Рік тому +1

      That's really sad. Pole sana kwa changamoto hizo. Hopefully one day hiyo system itakua rafiki kwa vloggers!

    • @festohaule1195
      @festohaule1195 Рік тому

      😂😂😂😂😂😂😂 kimeumana hii ndo bongo

  • @ChoroTesla
    @ChoroTesla Рік тому +2

    huo mtaaa sio poa kwa haraka kila ndinga inyopita no leds thana 50k $

  • @nizigabosco3359
    @nizigabosco3359 Рік тому +2

    Very well ndug yangu i'm with you,and good job i'm from burundi.

  • @deograsiamgeni5716
    @deograsiamgeni5716 Рік тому +5

    Nice to hear the opinions, especially that they look down upon us for no reasons.

    • @petergitau1805
      @petergitau1805 Рік тому

      Because we fake everything .like the UA-camrs kiswahili accent.Disgustingly fake.

  • @SafariBuddyTanzania
    @SafariBuddyTanzania Рік тому +1

    Samahani bro what camera do you use?

  • @mrnapoleon8007
    @mrnapoleon8007 Рік тому +1

    Hahahaha Jack, nimependa contents zako by fredy mtu mzima 😁😁

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 Рік тому +1

    Lkn jack uwe unatafsiri jinsi wanavyotoa maoni yao coz si wote afrika wanaojua kiingezera broo kwa namna hii ingebamba sana plz do that broo

  • @itsvipi
    @itsvipi Рік тому +1

    Love your content bro. Ardent follower from Nairobi Kenya. Keep up, Deuces

  • @michaelamani2494
    @michaelamani2494 Рік тому +1

    safi sana bro jack kazi nzuri.#Michael wa Mombasa

  • @Coleunlimited1
    @Coleunlimited1 Рік тому +4

    Nice content, Always Mr Jack 💪🏽
    I will try to shoot my shot😂😂😂

  • @ChaleCheda
    @ChaleCheda Рік тому +1

    Mitaa ya kishua hiyo RODEO

  • @prosperleslies8985
    @prosperleslies8985 Рік тому +1

    Nakubali sana safi safi

  • @TheChapakazi
    @TheChapakazi Рік тому +1

    Nimependa uyu dada anavyotembea mwenye blue ,wakwanza ku muinterview ,yani nimependa anavyodunda ni Arusha girl kabisa huyu wala asibishe.,😀😀😀😀

  • @bahatiserafini9790
    @bahatiserafini9790 Рік тому +2

    Mda wote natama kuona video mpya mpaka nimerudia zile niliziangalia kwa mara nyingine tena kama kesho nakusubir kwa ham kuusu tuzo za Oscar kaka

  • @mosesdavid-vm5hk
    @mosesdavid-vm5hk Рік тому +1

    SAFI SANA BRO

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 Рік тому +1

    Oyooo Mwanangu Jacki pambana
    Kazi Nzuri

    • @mohamedafraha2929
      @mohamedafraha2929 Рік тому

      Oya uko marekani mbona majumba ya people warufu kama Kina lihana na wengine mbona hatuyaoni

  • @stevejeremiah4497
    @stevejeremiah4497 Рік тому +1

    Kuna mshikaj wangu mitaa Sacramento California,

  • @kavoifelix5173
    @kavoifelix5173 Рік тому

    Congratulations Jack...keep it up.
    An amazing ambassador.

  • @kamiluabdillah4533
    @kamiluabdillah4533 Рік тому +3

    Kaka nakubali kazi zako ongela mimi niko mozambique lakini kamanipo marecani❤🇲🇿

  • @ahamadarajabu4424
    @ahamadarajabu4424 Рік тому +1

    Jack naona unafanya yako nice job

  • @ayoubally-jb3ho
    @ayoubally-jb3ho Рік тому +1

    Naenjoy sana movie zako, Ila unapoahidi muendelezo wa video utekeleze bana,
    Kwa mfano ulituonesha yard ya magar ya Toyota then ukasema utatuonesha tena yard za magari mengine ford benzi na mengineyo

    • @jackwausa
      @jackwausa  Рік тому

      Nitafanya hivyo next time.

  • @ringolizm16
    @ringolizm16 Рік тому +1

    Hau kubelive kwamba intkuw contant but belive me street interview pia n bomba la conant

  • @nasrimbaraka341
    @nasrimbaraka341 Рік тому +1

    Nakushauri ungekuwa unawafundisha kiswahili japo kidogo ingekuwa poa sana

  • @PENTESTING122
    @PENTESTING122 Рік тому +1

    yan mzungu atabaki kuwa mzungu tu😘😘😘😂😂😂😂😂😂 angekuwa dem la bongo wanajishaua kishenzi ukimwambia mabo maringo kibao

  • @aidanpeter-oy7lc
    @aidanpeter-oy7lc Рік тому +1

    Jack Hongera saana, nakufuatilia sana mshikaji

  • @maselejonathan8452
    @maselejonathan8452 Рік тому +1

    haya sasa wale wakorinto tulioingia instagram kujaribu kuwatafta hao watoto tujuane maana wabongo😂😂😂

  • @khamisjuma7072
    @khamisjuma7072 Рік тому +1

    Mamb vp honger sna bro. Cku tunaomb uwatafute maecta maarufu. and tell them kaz zao zinakubalika sana asa kipnd iko

  • @mosesboy5576
    @mosesboy5576 Рік тому +1

    Brother Jack nmeonajinsi watu wanavyo zungumzia kuhusu maisha ya Afrika tunavyoishi

  • @matunzojr4862
    @matunzojr4862 Рік тому +3

    apo kwa huyo mrembo uliyefananisha jina naye nmeparudia mara kibao sana umeonesha real feeling safi sana😃

  • @mohamedjuma6946
    @mohamedjuma6946 Рік тому

    kazi nzuri bro .........unakitu bro utafika mbali na kikubwa endelea kuwa OG bro..huna shobo we appreciate ma bouy...from code +968

  • @adammartin4139
    @adammartin4139 Рік тому +2

    umetisha sana mzee baba,safi.

  • @zubeirmwaeshu6989
    @zubeirmwaeshu6989 Рік тому +1

    Kaka nakupata sana una aidia nzuri by the way wewe ni Balozi tosha great man I salute you from bongo

  • @mo_8712
    @mo_8712 Рік тому +1

    Mwamba hahoji masela...uko vizuri kuanzisha maongezi na ladies

  • @yusufmwangazi5286
    @yusufmwangazi5286 Рік тому +1

    Bro naona unyama sana umetupia pigo kali pamba size yake. much respect blood

  • @claudeniyondiko5460
    @claudeniyondiko5460 Рік тому +3

    Bro Eshima sana kwakua unajuza mengi nakufuata nika Burundi 🇧🇮

  • @charlzki
    @charlzki Рік тому +1

    Nmependa idea ya hii video..keep working brother.

  • @ericfelician7996
    @ericfelician7996 3 місяці тому

    Ni kweli Africa ni shida ,she is right we need to change and help each other

  • @John-kt3cw
    @John-kt3cw Рік тому +1

    Ndugu tatzo la tz kujuwana Sana huyu jamaaa kama angekuwa na ndugu bungeni bas akipewa lkn tungoje maaana mungu ndy mpangaji

  • @mamaliamtz
    @mamaliamtz Рік тому +2

    Hivyo visu ni balaa aiseee..
    Content 🔥🔥🔥🔥

  • @emanuelmhagama8193
    @emanuelmhagama8193 Рік тому +1

    *jack jack we ni mshkaji wangu sana mwanangu nakukubali adi kufa*

  • @emmamga5495
    @emmamga5495 Рік тому +1

    Bro waonyeshe madhar mazur ya huku nadhani huwa hawaonyeshwi nitapenda kama utafanya hivo

  • @fegow-farmland8399
    @fegow-farmland8399 Рік тому

    My blue lady there is Oozing awesomeness.. she is very smart

  • @evaristomtafya1005
    @evaristomtafya1005 Рік тому +1

    Nakubali sana kujitoa kwako brother jack

  • @DanielKullwa
    @DanielKullwa Рік тому +1

    Good job bro...very impressing

  • @wheezkhartellohkhartelloh851
    @wheezkhartellohkhartelloh851 Рік тому +2

    Its so strange like I expected even one person to acknowledge the fact that the first Black American President came from Afrika Kenya to be precised his excelency Hussein Barrack Obama damn .....so sad

  • @innocentmtui5227
    @innocentmtui5227 Рік тому

    Watching from Tanzania I real like your job

  • @emmanuelnnko-dv1th
    @emmanuelnnko-dv1th Рік тому +1

    Ulizia pia kusiana na vip vijana uko kuhusu kumjua Mungu

  • @issakitundu617
    @issakitundu617 Рік тому +4

    sio kama tulivoskia bro.. uwe unasherehesha kwa kiswahili baada ya kuwahoji coz sio wote tunaelewa american english 😄

  • @elymollel
    @elymollel Рік тому +1

    Appreciate man doing a splendid one! All the way from Dom🇹🇿 hope one day will touch the land on my foot.

  • @kiavyakapera2352
    @kiavyakapera2352 11 місяців тому +1

    Jack una pumzi ya kutosha yakumuingia mtu kimaongeze.raha sn.ila kua na UA-cam channel card .ya Kama kipeperush ukisha mhoji mtu ukimaliza unampatia na yeye baadae aingie UA-cam channel yako aenjoi ukweli

  • @alfrdmahiya1467
    @alfrdmahiya1467 Рік тому +1

    Good job jack nafuatilia sana hii maana ninajambo langu huko ningependa ushauri wako.
    Nipo Dar Tanzania.

  • @bragajohn8944
    @bragajohn8944 11 місяців тому +1

    You have to improve sound Kaka..kuna sehem hamsikiki vzr na wakat Una content nzur...

  • @AbdiazizAli-us9cd
    @AbdiazizAli-us9cd Рік тому +1

    Jack.. u have good CV bro.. ❤❤❤

  • @joenayz2545
    @joenayz2545 Рік тому +5

    Weeh 😄 I didn't get those Instagram names lol that ascent is too deep for me to understand 😅 I only got " pradl" and my UA-cam is interpreting that as Prado 😂

  • @adamkinyaga4042
    @adamkinyaga4042 Рік тому +5

    You take us to know america,sasa Sina Tena Mpango wakuja mpaka huko Kwa ajili ya kupaona America.Umesave nauli zangu mzee thanks very much,,keep going on👍