Young Killer ajibu diss ya Young Lunya 'Country kakupika kabla haujaiva kakupakua'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 754

  • @mpendwalove4390
    @mpendwalove4390 Рік тому +158

    nimesikiliza zote, Young killer kaongea maneno machache ila ujumbe upo clear and ame address nicely. Young killer is a killer indeed.

  • @jumannemakogoto89
    @jumannemakogoto89 Рік тому +441

    Lunya bado xana kwa msodoki licha ya kufanyiwa promo nying ili wamshushe msodoki ila bado xn gonga like kwa MSODOKI

    • @ismaelmatano3571
      @ismaelmatano3571 Рік тому +12

      Kusema ukweli young killer ako juu Tena sna

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no Рік тому +5

      LUNYA habari nyingine kwa Sasa Bongo hakuna Zaidi ya LUNYA

    • @charlesolomi9514
      @charlesolomi9514 Рік тому +5

      Promo nyingi haifanyiki ili kumshusha mwingine..music ni business…business ni ushindani..mawazo ya kimasikini kabisa 💩

    • @ezraernsti1925
      @ezraernsti1925 Рік тому +6

      Kweli kabisa sodoki nibaba yao hawa niwatoto sana

    • @ezraernsti1925
      @ezraernsti1925 Рік тому +3

      Jamani ee naomba tuelewane hakuna anae muwezi msodoki yata wasikesha wana rap hawafiki levo zamsodoki

  • @victorburser1717
    @victorburser1717 Рік тому +56

    Mtu kafumliwa ndani ya dk 2 wakat yeye kajizungusha ndani ya dk 5
    Young killer kakalisha mtu and now tunampa nyota zake ni King Killer

  • @alfredyfredrick8955
    @alfredyfredrick8955 Рік тому +98

    Msodoki ni mmoja tu Lunya hamuwezi kabisa young killer ni Master

  • @shabanichaye8255
    @shabanichaye8255 Рік тому +106

    Msodoki he's the best ❤

  • @godfreyj.makundya3389
    @godfreyj.makundya3389 Рік тому +48

    KILLER YOUNG is anothet Level🔥🔥

  • @furahaenock9893
    @furahaenock9893 Рік тому +111

    Young killer he’s the best ❤🔥

  • @eishstoner6692
    @eishstoner6692 Рік тому +61

    Kendrick msodoki n genius wa rap

  • @elijahap7871
    @elijahap7871 Рік тому +108

    Young lunya kelele nyingi tunasikia beat tuh Gonga like hapa kama unamkubali msodoki🚀💯🙌

  • @Lolo-z6l8n
    @Lolo-z6l8n Рік тому +106

    Killer killed it😊

  • @hassanjuma01
    @hassanjuma01 Рік тому +87

    Young Lunya namkubali but ukweli ni kwamba beat zinambeba sana. Killer ni real rapper ana uwezo wa kuchana hata bila beat na aka-make sense.

  • @MariethaJohn-i7l
    @MariethaJohn-i7l Рік тому +21

    For real young Libya anaboaa style take kuimba, ninkweli ni kama generator, young killer yupo clear and anasikilizika vizuri

  • @ibrahimhassan2916
    @ibrahimhassan2916 Рік тому +68

    Gonga like kwa killer

  • @alleybanagi
    @alleybanagi Рік тому +58

    Killer killed it 🔥🔥🔥

  • @comics3437
    @comics3437 Рік тому +45

    Msodoki went Straight to the Point, he made it short and clear😂😂

  • @paschalgabrie1099
    @paschalgabrie1099 Рік тому +19

    Nilikua nasubili Uchambuzi wako, Young Killer ni next level.

  • @mustaphaelias5386
    @mustaphaelias5386 Рік тому +25

    Eejamaaaaa killer ni 🔥 mbuzi wewe ni mchumba tu njoo tukupakue watoto wa mwanza mwanza

  • @bujashidaniel5537
    @bujashidaniel5537 Рік тому +35

    Killer alishawah kumnyamazsha ney ,,,dis track moja hv ya kbabe sana ,,ney wa mitego shwaaaaaaaa akalala mbele

  • @mozdee7685
    @mozdee7685 Рік тому +95

    Diss aliopata toka kwa Rapcha Lunya angelikua rapa mkali angejibu Mapema Sana. Kama itakua muendelezo basi tutegemee Lunya kupata ziro. SNS Niko nanyinyi mtanitolea ushuhuda. Huez mdiss msodoki Akasubili miez 8 ndio akujibu kachelewa Sana siku3 🤣

    • @erickmillanei4346
      @erickmillanei4346 Рік тому +10

      Kabsa yaan broo Young killer Hawezi kukusubili

    • @samirnasr5571
      @samirnasr5571 Рік тому +6

      Nakubar killer ni 🔥🔥🔥🔥

    • @nelsongabriel6324
      @nelsongabriel6324 Рік тому +4

      Killer kasha mjibu wew killer nihatali sana yule jamaa lunya bado sana

    • @DavidMbwilo-qk1bz
      @DavidMbwilo-qk1bz Рік тому +5

      Gemu ichangamke sasa 😂😂😂japo lunya awez huu moto

    • @nelsongabriel6324
      @nelsongabriel6324 Рік тому +9

      @@DavidMbwilo-qk1bz killer Alisha mkalisha Ney mpaka kakimbia Sasa huyu lunya kayakanyaga 😂😂😂

  • @benjagaspar5304
    @benjagaspar5304 Рік тому +74

    Killer🔥🔥

  • @seifabdalla8865
    @seifabdalla8865 Рік тому +19

    Comment 💯% & Like 💯% kwa Yung killer Msodoki kiboko ya wote kwa freestyle

  • @nineplussports.-sy5mw
    @nineplussports.-sy5mw Рік тому +25

    Young Killer 🎉🎉 Huwezi kufananisha na Huo Uchafu Wenu

  • @Jakid1
    @Jakid1 Рік тому +51

    binafsi nipo upande wa killer 🔥

  • @jamesjameswisdomtz1577
    @jamesjameswisdomtz1577 Рік тому +50

    Yote Kwa yote namkubali young killer

  • @kestalusambo9361
    @kestalusambo9361 Рік тому +62

    Young killer ni hatari sana. Lunya apishe mbali Pumbavuuu 😄

    • @missphay
      @missphay Рік тому

      Killer ❤🔥🙌🥂

    • @sappyjr4543
      @sappyjr4543 Рік тому

      Puuuuumbavu....

    • @soundmale
      @soundmale Рік тому

      Yaani akalinde mtama shambani😂

  • @raymondalfred8540
    @raymondalfred8540 Рік тому +35

    Hey guys always I appreciate young killer ❤❤ hao wengine ni ma kelele ya genereter😂😂

  • @barakachidodo9092
    @barakachidodo9092 Рік тому +26

    Daah natamani sana killer asijiite young tena ajiite king killer

    • @delimachesa5007
      @delimachesa5007 Рік тому

      AU HATA KENDRICK MSODOKI AU KENDRICK KILLER SEMA NDO IVO ISHAKUWA BLAND

  • @Chrishenryson-beats
    @Chrishenryson-beats Рік тому +36

    Killer is always Killer.😅😅😅 Huyu jamaa hafanyi promo tu ila ni atari kabisa

  • @Paris_Dept.
    @Paris_Dept. Рік тому +17

    Young killer the GOAT of all time🔥🔥

  • @mohamedrandu7712
    @mohamedrandu7712 Рік тому +12

    Msodoki namkubali ..am a Kenyan working Qatar

  • @saidshaban8110
    @saidshaban8110 Рік тому +13

    Iv kweli ukamlinganishe lunya Kwa young killer achen zalau Kwa mtu anaeiju hip hop atakuwa kajua nn namaansha kiufupi young killer anatisha Sana na anajuwa hip hop

  • @edwap599
    @edwap599 Рік тому +39

    Lunya kwa killer bado sana aendelee kufuta jasho tu 😅

  • @abdallahmalouda50
    @abdallahmalouda50 Рік тому +38

    youngkiller mwamba sanaa lunya arudi akanyonye

  • @power_boy_official
    @power_boy_official Рік тому +17

    Sasa young lunya Kapata ukubwa lini hadi Ku linganishwa na young killer ? Ehhhh tuwe Na macho yakuona masikio Pia ya kusikiya . Sio kila young ni killer . YOUNG KILLER MASTER wa ma MASTER ❤

  • @doneliabu6488
    @doneliabu6488 Рік тому +39

    Juu ya yote young killer ni moto wa kuotea mbar Hawa madogo wa juzi wakasome.

  • @kaisamjunior3692
    @kaisamjunior3692 Рік тому +33

    Gonga like kwa MWANZA 🦅

  • @isacknguvumali3445
    @isacknguvumali3445 Рік тому +27

    Ukweli Young Lunya ana zingua anatumika kwa kila kitu kumshusha Young Killer.Young killer ndiyo alianza na ile Sinaga swaga Section jamaa kaja kaiga na anapita mule mule.

  • @rushanikaaime6560
    @rushanikaaime6560 Рік тому +19

    Young Killer all the way

  • @blackrapper4285
    @blackrapper4285 Рік тому +18

    Kendrick msodoki mmoja ni sawa na lunya 1000
    Msodoki Ni hatari

  • @CowWiz
    @CowWiz Рік тому +7

    Msodoki the best rapper fullstop every guyz wanajua iyo iko wazi

  • @digonzakeimbe8435
    @digonzakeimbe8435 Рік тому +19

    Sina wa Kumchagua Wote Madogo zangu..Cha Msing ss Mashabiki Tunaenjoi..🔥🔥🔥

  • @luckyboy_ke
    @luckyboy_ke Рік тому +56

    Young killer mmoja ni kama Lunya 100😅😅😅.Motherfanta

  • @SamwelKharid-vo4ft
    @SamwelKharid-vo4ft Рік тому +7

    Killer on💥💥💥 ache kimfananisha n vitu vya ajabu

  • @THEWORLDEYE3263
    @THEWORLDEYE3263 Рік тому +31

    To be honest nyimbo za lunya ni nzur tu kwenye beat ila kwa upande wa lyrics amna chochote hvyo uzur wa nyimbo za lunya hua znafanywa na producers wala siyo yeye lakn killer hua achagui beat cha mcng nikuweka lyrics kali kwa hyo tulio wengi hua tunapenda nyimbo za lunya kwa beat zake wala so lyrics na hua tunapenda nyimbo za killer kwa lyric zake all in all mkali ni killer ambae so beat chooser

  • @chrisantusmtanga6709
    @chrisantusmtanga6709 Рік тому +52

    Young killer ni hatari sana lunya ajui kuimba zaidi ya kupiga kelele

  • @McDlucky-62
    @McDlucky-62 Рік тому +19

    Diss kawaida inatakiwa kujibiwa ndani ya masaa 48 sasa huyu anajibu baada ya miezi 6 ??

  • @Greenboe
    @Greenboe Рік тому +14

    Naomba izingatiwe jaman no body like killer to all youngs in this world kama ww una kubali hip hop sio kelele za trap za lunyaa piga like

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 Рік тому +8

    Lunya kakojoe unako kojoaga tuachie Msodoki wetu hatunaga swaga kabisaaaaaa🙏🏼💪🏽

  • @dorcaskaba7774
    @dorcaskaba7774 Рік тому +17

    Young killer mnoma sana mze~~ mbuzi bado sana

  • @kraangstar4696
    @kraangstar4696 Рік тому +22

    Killer did it again 🔥

  • @nelsongabriel6324
    @nelsongabriel6324 Рік тому +24

    Killer Ni hatali sana yule jamaa lunya bado sana kwa killer

  • @tozzymusic254
    @tozzymusic254 Рік тому +4

    Lunya kapugwa kO killer for life , mwanza stand up much love from kenya brother ❤️

  • @Immamk__44
    @Immamk__44 Рік тому +9

    Kumringanisha Killer na Lunya ni kutonielewa Lunya bado sana ingawa anafanya vizuri kwa sasa ila Killer apewe heshima yake🙌🙌💥💥

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 Рік тому +9

    Msodokiiii❤noma we lunya tulia kwanza heb tuache

  • @Jukwaa-7
    @Jukwaa-7 Рік тому +14

    Young killer nomaa kavamia Hadi freestyle session za lunya,kaamua amuchanie session namba 6

  • @onesmosuccess8434
    @onesmosuccess8434 Рік тому +9

    Killer ni the best raper tz nzima, Gonga like kama una mkubali killer mwanza mwanza

  • @kibwamoko8767
    @kibwamoko8767 Рік тому +9

    Muuaji Mdogo 💯✅✅✅

  • @MiraBel-x4m
    @MiraBel-x4m Рік тому +9

    Haya,mambo nayapenda

  • @annethsongwe6063
    @annethsongwe6063 Рік тому +9

    Sisi wapenzi wa mziki tusiochagua hip-hop wala bongo fleva ndo tunaojua mziki mzuri, Young killer anajua saaaana na anaeleweka mi sijamsikia kwa mda Sasa lakin nyimbo zake zote za zamani zinaishi akilini kwangu,Bora katoa hii kanifurahisha saaana 🙏👏👏

  • @Denic935
    @Denic935 Рік тому +16

    NARUDIA MIMI SIO KILA YOUNG NI KILLER✊

  • @repsphrs5051
    @repsphrs5051 Рік тому +16

    Msodokiii Always kills maneno machache yenye facts 🔥

  • @khalidibero
    @khalidibero Рік тому +2

    Wanaomkubali Msodoki bonyeza like au kama huko upande wa Lunya bonyeza dislike tujue nani ni nani.

  • @AlfredLeGrand-uv1in
    @AlfredLeGrand-uv1in Рік тому +6

    Younger killer ni sayari nyingin🔥

  • @manuecleverlye1984
    @manuecleverlye1984 Рік тому +6

    Ukizingua tena nakutoa utumbo…….killer the star

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 Рік тому +4

    You killer ❤❤❤❤namuerewa sanaaa anajua sanaa

  • @TommyTonga
    @TommyTonga Рік тому +6

    Naomb nikurekebishe kidogo apo bro yong lunya sawa kaimba kwa mafumbo kuficha ila kwasababu ni dis hii imemuhusu young killer ndomana young killer kaamua hujibu yeye tu na asingeweza kuficha sababu inamuusu mbuzi aisee mbuzi kazikwa young killer hafai

  • @Kakaboss-p7n
    @Kakaboss-p7n Рік тому +7

    So killer young ni killer uwezo utajieleza

  • @saiko_solus_deus
    @saiko_solus_deus Рік тому +2

    Kuna watu ukiwadiss bongo bas jua umeyakanyaga
    1. Chidi Benz
    2. Young Killer
    3. Unju

  • @jumaradhm3926
    @jumaradhm3926 Рік тому +2

    Napendaga sana vitu kama hivi.
    Plus uchambuzi.
    I like it.

  • @ndayishimiejohn1370
    @ndayishimiejohn1370 Рік тому +14

    Killer has the best rap

  • @jafetzmwacha1503
    @jafetzmwacha1503 Рік тому +2

    Msodoki the kings of Hip hop Bongo Gonga Like kwake msodokiiii❤❤❤

  • @TommyTonga
    @TommyTonga Рік тому +11

    Yong lunya alishindwa ata kumuuliza ney wa mitego kilicho mkuta😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @boscothobias8766
      @boscothobias8766 Рік тому +3

      Shida nikwamba wanajisahaulisha😂😂😂😂😂

  • @missphay
    @missphay Рік тому +5

    Killer Killer Killer 🔥🥂

  • @kherymsofe3358
    @kherymsofe3358 Рік тому +8

    msodoki ni mtu hatari

  • @hermanjoseph5294
    @hermanjoseph5294 Рік тому +7

    Nilikua naisubiri sana hii big up sns

  • @victorjonathan832
    @victorjonathan832 Рік тому +2

    Sisi tunaskiliza high pitch sio makelele. Young killer Big up saan nimekuelewa sema hawapaswi kukuchokoza majibu wanayapata💯💯🔥🔥🔥

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 Рік тому +10

    Nawakubal Sana 💪 wote wanajuwa syo mbaya acha wachangamshe game now it going good

  • @peterhenry710
    @peterhenry710 Рік тому +3

    Young mwenye killer zake 🔥🔥🙌

  • @jamesmwanisawa4784
    @jamesmwanisawa4784 Рік тому +9

    Young Killer 🔥🔥☄️

  • @barakadaprince3742
    @barakadaprince3742 Рік тому +4

    Lunya ni msanii mzuri sana ila kwa Young killer bado sana

  • @aimableaimalove1490
    @aimableaimalove1490 Рік тому +4

    Msodoki 💪 Big

  • @tucheke548
    @tucheke548 Рік тому +1

    Acha uongo broh iyo barua aliituma y.killer kwenye sinaga swaga ep 6

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 Рік тому +2

    Team msodoki mikono apa 🙌

  • @nicolauswandao8988
    @nicolauswandao8988 Рік тому +1

    Katika ma-young wote waache kutapatapa KILLER IS THE BEST in all ways

  • @ibraheemSaeed-wi8px
    @ibraheemSaeed-wi8px Рік тому +5

    Bado lunya hajafikia Rapcha ssa young ata weza kwel

  • @abdallahkassim318
    @abdallahkassim318 Рік тому +5

    Killer kill it🙌🙌🙌🙌💥

  • @magezahassan1224
    @magezahassan1224 Рік тому +5

    Young kllr 😎

  • @SamsonNgowa
    @SamsonNgowa Рік тому +1

    Young killer is the best between him and young lunya infact lunya is still a kid in this game

  • @sirizawa3360
    @sirizawa3360 Рік тому +1

    Young killer is one simuoni lunya akibado na killer wamesha kimbia wengi zaidi kachokoza ugomvi ambao hauwezi

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 Рік тому +1

    Young killer ni babu wa mchano tz mdogo kiumri tu lunya ww mtoto bado level zake hujafika%

  • @StevenMagema-ik2yt
    @StevenMagema-ik2yt Рік тому +7

    Msodoki nishidaaa wewe uyo dongo anabwabwaja tu🔥🔥🔥🔥

  • @editz5430
    @editz5430 Рік тому +3

    LUNYA still the GOAT 🐐,,, hkna new generation rapper kma yeye

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Рік тому +2

    Ukisoma comments kwa umakin kbs utagundua kuwa comments nying ziko upande wa youngkiller kwahiyo killer ni....🔥🔥🔥

  • @StevenMagema-ik2yt
    @StevenMagema-ik2yt Рік тому +3

    Mkali ni yong killer🔥🔥🔥

  • @mnyamwezijuma1140
    @mnyamwezijuma1140 Рік тому +4

    Killer mwanza mwanza 🔥🔥🔥

  • @zombiesande4300
    @zombiesande4300 Рік тому +1

    Ukiulizia kendrick lamar wa bongo unamkuta young killer

  • @SwaabirMuhammad12
    @SwaabirMuhammad12 Рік тому +1

    Lunya Mtoto SN Kw huyu mwamba ...mistari imenyooka sn hyo

  • @jimyjastini9995
    @jimyjastini9995 Рік тому +1

    irajaman tusemeukweri runya hawafikii haojamaa hatakidogo

  • @emanuellawrence7462
    @emanuellawrence7462 Рік тому +1

    Asa apo ukiangalia killer sindo muuaji uyo mbuzi agome kwenda bhana

  • @officialmassawe7700
    @officialmassawe7700 Рік тому +1

    Indeed young killer ni best rapper na yupo generation na level nyingine kabisa hawezi kulinganishwa na lunya na rapper wadogo kama lunya ila Kwa walichokifanya Young lunya kaua Kwasababu kachana kihip-hop wakati Killer kapaniki na ametema mapovu sana

    • @drinozzsamson8676
      @drinozzsamson8676 Рік тому

      Sasa young killer katoa povu gani angalia dakika zao na kapayuka na nani kaua zaidi yang killer hajataja yeye kachanatu yani kama rostam