SWAT_Special weapons and tactics,hawa wana deal na matukio ambayo ndani yake kuna matumizi ya siraha na mara nyingi panapokua na issue ya maswala ya kigaidi ndio utawaona haswa wakiwa na vifaa vitaa vimewavaa mwili mzima
Sio lazima tukio litokee ndio upelelezi ufanyike, FBI AND CIA wanapopata tu taarifa kuhusu jambo lolote basi huanza upelelezi ili kuzuia lisitokee na kuwabaini hao wenye nia ovu. FBI kuna baadhi ya operation huwa zinawashinda kuzifanya, hivyo mkurugenzi wa FBI hulipeleka jambo hilo kwa mkurugenzi wa CIA na kulifanyia uchunguzi. Mashirika yote haya ya Kijasusi hayaaminiani, CIA wamepandikiza mawakala wao ndani ya Mashirika yote ya kijasusi nchini Marekani, pia kwenye baadhi ya nchi ulimwenguni. Zingatia hili (upelelezi hufanyika ili kubashiri kitakachokuja kutokea ili kuweza kukizuia neutralize, na kuwajua wanaotaka kutekeleza tukio. Pia upelelezi hufanyika baada ya tukio kutokea ili kuwabaini waliotekeleza tukio hilo). Mambo ni mengi muda mchache.
@@kassimramadhani3321 kweli lakn mm niliandik kifupi tu sikutaka kuandika kireeeeefu ila hiyo brief nlokupa ndo ipo hvyo, CIA hufanya uchungz wa kitu kabla hakijtokea na FBI baada ya kutokea Yan kes za fbi lazim ziwe Kuna kitu tyr kimetokea na wao ndo hukichungza lakn cia kitu kabla hakijtokea wao wameshajua tayr nn kinataka kutokea
Uko sahihi sana kuna tofauti kati ya uchunguzi na upelelezi. Jambo lolote likiyokea ndani au nje ya USA FBI wanafanya investigation ili kujua tatizo chanzo na aliyetekeleza tukio hilo ndio maana wana uwezo wa kuarrest. CIA ina jukumu la kufanya uchunguzi na kukusanya taarifa ambazo zitasaidia kuzuia matukio ikiwa ni pamoja na kulinda viongozi kupitia kitengo cha secret service. Kwa uingeleza kuna M15 na M16 ni kama FBI na CIA
Kuna Counter terrorists Unit (CTU) chini ya DOD (Department of Defense) ambao wanafanya kazi moja kwa moja chini ya ofisi ya Raisi, nao pia wanaingiliana na CIA na FBI katika baadhi ya circumstances...
@@BONGOFASTA CIA wanakubali raia wa nchi yoyote ile duniani, lakini hadi awe amekidhi vigezo vyao wanavyovihitaji pia kutokana na jukumu ambalo watampa. Kwanza mtu huyo watamfanyia vetting kwa muda wa miaka mingi hadi waweze kumuamini na kumuajiri. Mtu huyo anaweza kuwa amewahi kuhudhuria mafunzo ya ujasusi nchini Marekani au kwenye nchi yoyote ile duniani. Pili wataangalia mahusiano yake na Mashirika mengine ya kijasusi pamoja na makundi ya kihalifu ili baadae asije akawa msaliti au mzigo ndani ya shirika. Wakati mwingine wanawapa kabisa na uraia wa kwao Marekani ili iwe rahisi kwao kukumiliki moja kwa moja. Kabla ya kumuajiri mtu wamtakaye kutoka katika nchi yoyote ile duniani, huangalia chimbuko lake, asili yake na mengine mengi ambayo wao watayaona ni muhimu kwao. Wapo baadhi ya watu kutoka kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama kwenye nchi tofauti tofauti wameajiriwa na CIA kwa siri. Wengine hawakuwahi hata kufanya mafunzo ya ujasusi nchini Marekani au hata kwenye nchi zao. Na endapo utaanza kuvujisha siri kuhusu wao basi watasitisha ajira na wewe na hata kukudhuru. Uvumilivu, usiri, kujituma, elimu ubunifu, unyumbulifu etc ni baadhi ya vigezo. Pia huandaa vijana wa kuwaajiri angali bado Wadogo, pia wahamiaji wanaajiriwa kwa kufuata vigezo na utaifa wake pia. Kwa hayo machache yanawatosha kwa leo
CIA wanakubali raia wa nchi yoyote ile duniani, lakini hadi awe amekidhi vigezo vyao ambavyo watakuwa wanavihitaji, pia kutokana na jukumu ambalo watampa. Kwanza mtu huyo watamfanyia vetting kwa muda wa miaka mingi hadi waweze kumuamini na kumuajiri. Mtu huyo anaweza kuwa amewahi kuhudhuria mafunzo ya ujasusi nchini Marekani au kwenye nchi yoyote ile duniani. Pili wataangalia mahusiano yake na mashirika mengine ya kijasusi pamoja na makundi ya kihalifu ili baadae asije akawa msaliti au mzigo ndani ya shirika. Wakati mwingine wanawapa kabisa na uraia wa kwao Marekani ili iwe rahisi kwao kukumiliki moja kwa moja. Kabla ya kumuajiri mtu wamtakaye kutoka katika nchi yoyote ile duniani, huangalia chimbuko lake,asili yake na mengine mengi ambayo wao watayaona ni muhimu kwao kwa wakati huo. Wapo baadhi ya watu kutoka kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama kwenye nchi tofauti tofauti wameajiriwa na CIA kwa siri. Wengine hawakuwahi hata kufanya mafunzo ya ujasusi nchini Marekani au hata kwenye nchi zao. Na endapo utaanza kuvujisha siri kuhusu wao, basi watasitisha ajira na wewe na hata kukudhuru. Uvumilivu,usiri,kujituma,elimu,ubunifu,unyumbulifu etc ni baadhi ya vigezo. Pia huandaa vijana wa kuwaajiri angali bado wadogo, pia wahamiaji kutoka nchi mbalimbali wanaajiriwa kwa kufuata vigezo vingi tu na utaifa wa muhusika wanaemtaka. Kwa hayo machache yanawatosha kwa leo.
dollars elfu 48 ni zaidi ya Tsh 111M na sio 11M. kuweni makini mnapotoa taarifa!
Makala zenu nzuri sana hongereni
Naomba utuletee gari la rahisi wa tanzania👏👏👏👏👍👍👍
😂😂😂😂
V8 tu haina kitu
Aibu izi sasa
Justin shedy. Tuambue kuhusu Tanzania. .kama south Kuna scorpion hawa waogope..
SWAT_Special weapons and tactics,hawa wana deal na matukio ambayo ndani yake kuna matumizi ya siraha na mara nyingi panapokua na issue ya maswala ya kigaidi ndio utawaona haswa wakiwa na vifaa vitaa vimewavaa mwili mzima
Ni Moja ya Vitengo vya POLICE, kama FFU hapa kwetu
Twende Kazi nakubal brother Justin Shed🔥🙌
Hahahah sasa twende kaziiì
Big appreciation 👊!!can you tell us about apple company privacy and security on they’re products? Hope you will!!
Thank you for commenting,we will definitely prepare the video for that.
BONGO FASTA can’t wait!
nice Bongo. F.
That is wonder. Izo ni teams kubwa duniani
Safi sana twende kaziiiii....
Yeees Twende kazi bwana Gwaje
Good Job brother can you tell us about MOSSAD ?
Hapo sawa mkuu
Thank you for the observations
Kazi nzuri
C.I.A nawakubali sana
Fbi n wapelelezi baada ya tukio, na CIA n wapelelezi kabla ya tukio
Asante sana umeniongezea kitu kichwani.
Sio lazima tukio litokee ndio upelelezi ufanyike, FBI AND CIA wanapopata tu taarifa kuhusu jambo lolote basi huanza upelelezi ili kuzuia lisitokee na kuwabaini hao wenye nia ovu. FBI kuna baadhi ya operation huwa zinawashinda kuzifanya, hivyo mkurugenzi wa FBI hulipeleka jambo hilo kwa mkurugenzi wa CIA na kulifanyia uchunguzi. Mashirika yote haya ya Kijasusi hayaaminiani, CIA wamepandikiza mawakala wao ndani ya Mashirika yote ya kijasusi nchini Marekani, pia kwenye baadhi ya nchi ulimwenguni. Zingatia hili (upelelezi hufanyika ili kubashiri kitakachokuja kutokea ili kuweza kukizuia neutralize, na kuwajua wanaotaka kutekeleza tukio. Pia upelelezi hufanyika baada ya tukio kutokea ili kuwabaini waliotekeleza tukio hilo). Mambo ni mengi muda mchache.
@@kassimramadhani3321 kweli lakn mm niliandik kifupi tu sikutaka kuandika kireeeeefu ila hiyo brief nlokupa ndo ipo hvyo, CIA hufanya uchungz wa kitu kabla hakijtokea na FBI baada ya kutokea Yan kes za fbi lazim ziwe Kuna kitu tyr kimetokea na wao ndo hukichungza lakn cia kitu kabla hakijtokea wao wameshajua tayr nn kinataka kutokea
Uko sahihi sana kuna tofauti kati ya uchunguzi na upelelezi. Jambo lolote likiyokea ndani au nje ya USA FBI wanafanya investigation ili kujua tatizo chanzo na aliyetekeleza tukio hilo ndio maana wana uwezo wa kuarrest. CIA ina jukumu la kufanya uchunguzi na kukusanya taarifa ambazo zitasaidia kuzuia matukio ikiwa ni pamoja na kulinda viongozi kupitia kitengo cha secret service. Kwa uingeleza kuna M15 na M16 ni kama FBI na CIA
Nisaidie historia ya tiss boss
Kuna Counter terrorists Unit (CTU) chini ya DOD (Department of Defense) ambao wanafanya kazi moja kwa moja chini ya ofisi ya Raisi, nao pia wanaingiliana na CIA na FBI katika baadhi ya circumstances...
Yaaaani wa Marekani kwa kuchunguza nchi za wenzao hawajambo.
Hahaha wameandaa na kitengo kabisa.
Ha! 😅
Safi Sana shedy, ulipotea kidogo
Hahaha nimerudi tena tegemea mengi zaidi.
Asante sana umeniongezea maarifa mana nilikuwa nayaskia tu
Asante kwa kutupa uelewa.
Fbi ni polisi na cia ni wanajeshi
Nice
Kuna filam ya 24 hours ya jack bauer,inaonesh maisha kabili ya wafanyakaz wa FBI na CIA.kitu cha kwanza ukiwa mfanyakaz wao lazma USIMUAMINI MTU
Kama huamini mtu huwezi kufanyakazi ya upelelezi.
Bro...Embu gusia kwenye S.W.A.T 🙏🙏🙏
Asante makala hii imeuliziwa na wengi,hakika nitaitengeneza.
Special wiporn atact
@@saidkaxximali7606 sio wiporn, ni weapon
Mambo vp Bro naomba ugusie tariifa ya msanii wa marekani cucci money kuhsu kubadiliswa na serekali baada ya kufugwa jela
Asante kwa kutoa maoni yako,tutafatilia na kutoa majibu.
We jamaa acha uongo bhana
Kazi nzuri broo justin
Asante John endelea kufuatilia Bongo Fasta
Pamoja broo
Naomba historia ya New york statue of liberty na marilyn monroe
Broo nitafutie story ya vandizo na Jackson stasta
$48 =110m of tz not 11m
asante kwa marekebisho.
huyu msee ako sawa bt shida ni venye anaeka story fupi
CIA wakiingilia jambo kulifanyia uchunguzi inabidi FBI wakae pembeni, kwahiyo CIA Central Intelligence Agency ndo wana finalise jambo,
Kaka vi kuhus muendelezo wa stor ya fider casto yaan part 2 itakukuwepo au ndio bas?
Bro ni milion 111 sio 11 umeshanganya hapo ila ahsante kwa makala hii
Umejitahd ila jitahd kufanya uchunguzi wa maneno kabla ya kuyatoa, 48,000 USD ni sawa na zaidi ya million 90
Kgb ya urusi ni zaidi ya fbi na cia
Ujui kuitangaza hata kidogo ananias edga umuwezi
Sawa kabsa
Uko vizuri mzee
Pamoja sanaaa
Mpira
Sasa twende kazi
Nakubal sana hizi story
Zinakuja nyingi sana,endelea kutuafatilia.
yes yesss shediiii
Ndio ndio,umefurahia video hii?
Acha uongo! Dollar elf 40 ni zaidi ya milioni 80 za kibongo na si 17 kama ulivyosema labda kama unaongelea rate ya miaka ya 90 huko.
pia kuna home land security DHS
Mimi naitwa Justin sheddy
Sasa twende kazi
makala nzur sana
Asante sana kwa kutazama.
Hapo umechemka, yani atengeneze dollar 💵 elfu 43 halafu awe na milion 11 tu au karibia milion 111
Asante
Axante sana kwa kujibu ombi la washabiki wako
Marekani wanaidara nyingi za uchunguz kuna na NSA na ile idara ya kuchunguza biashara ya dawa za kulevya.
Ngoja nifanye utaratibu wa kujiunga na CIA au FBI
Hi
Ote Awa Kazi zao Nomaaaa
huwa napenda kufatilia bongo fasta fanya kuleta historia mosad majasusi wa Israel
Wale watu ni zaidi ya hatari
Nitawafatilia hawa jamaa kisha nitaleta hapa
Sawa
48000$ sio milioni 11 ya tz
ni sawa na milioni mia na kumi. sifuri ztakua zmemzuzua akaona apunzguze🤣
Kaingiza watu chaka
Na DDA wanakazi gani ndani ya USA
48Usd ni Milioni 111
Viziw wawili
Nimependa ulivo fafanuwa FBI na CIA
Umesema elfu 48 usd ni sawa na milion 11 duuuh bro hiyo ni sawa na milion mia moja ya kitanzania
Dola elfu 48,$48000 sawa na mili 11 za kitanzania??
Kaka umetumia rate gani ya Wizara ya fedha au BoT ..
We utafilisi bank kwa izo rate zako.
Wajina..
S.W.A.T tupe maelezo yake next
hivyo ndio vitu vya maana broo usiwe kama midle Simba
Hahaahaha
Middle ni mke wa diamond
Acheni ujinga middle simba ni moto mwingine ule
Kila mtu na uwezo wake but middle simba ni atariii
Umbea ndo anauabudu
nilifikiri umetuacha mwambaa kuna asiku tulipewa story na mtu mwingine tukamind "sasa twende kaziii"
Hahaha hapana nimerudi mwenyewe.
Bro dollar 48'000 sawa na milion 11 za kitanzania???? Duh!
Na kile kukos kuitwacho Swate
Hiii video inakuja hivi karibuni.
CIA wanakubali raia wa Nchi yoyote?
Hapana nadhani hata wahamiaji hawatakiwi
@@BONGOFASTA CIA wanakubali raia wa nchi yoyote ile duniani, lakini hadi awe amekidhi vigezo vyao wanavyovihitaji pia kutokana na jukumu ambalo watampa. Kwanza mtu huyo watamfanyia vetting kwa muda wa miaka mingi hadi waweze kumuamini na kumuajiri. Mtu huyo anaweza kuwa amewahi kuhudhuria mafunzo ya ujasusi nchini Marekani au kwenye nchi yoyote ile duniani. Pili wataangalia mahusiano yake na Mashirika mengine ya kijasusi pamoja na makundi ya kihalifu ili baadae asije akawa msaliti au mzigo ndani ya shirika. Wakati mwingine wanawapa kabisa na uraia wa kwao Marekani ili iwe rahisi kwao kukumiliki moja kwa moja. Kabla ya kumuajiri mtu wamtakaye kutoka katika nchi yoyote ile duniani, huangalia chimbuko lake, asili yake na mengine mengi ambayo wao watayaona ni muhimu kwao. Wapo baadhi ya watu kutoka kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama kwenye nchi tofauti tofauti wameajiriwa na CIA kwa siri. Wengine hawakuwahi hata kufanya mafunzo ya ujasusi nchini Marekani au hata kwenye nchi zao. Na endapo utaanza kuvujisha siri kuhusu wao basi watasitisha ajira na wewe na hata kukudhuru. Uvumilivu, usiri, kujituma, elimu ubunifu, unyumbulifu etc ni baadhi ya vigezo. Pia huandaa vijana wa kuwaajiri angali bado Wadogo, pia wahamiaji wanaajiriwa kwa kufuata vigezo na utaifa wake pia. Kwa hayo machache yanawatosha kwa leo
CIA wanakubali raia wa nchi yoyote ile duniani, lakini hadi awe amekidhi vigezo vyao ambavyo watakuwa wanavihitaji, pia kutokana na jukumu ambalo watampa. Kwanza mtu huyo watamfanyia vetting kwa muda wa miaka mingi hadi waweze kumuamini na kumuajiri. Mtu huyo anaweza kuwa amewahi kuhudhuria mafunzo ya ujasusi nchini Marekani au kwenye nchi yoyote ile duniani. Pili wataangalia mahusiano yake na mashirika mengine ya kijasusi pamoja na makundi ya kihalifu ili baadae asije akawa msaliti au mzigo ndani ya shirika. Wakati mwingine wanawapa kabisa na uraia wa kwao Marekani ili iwe rahisi kwao kukumiliki moja kwa moja. Kabla ya kumuajiri mtu wamtakaye kutoka katika nchi yoyote ile duniani, huangalia chimbuko lake,asili yake na mengine mengi ambayo wao watayaona ni muhimu kwao kwa wakati huo. Wapo baadhi ya watu kutoka kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama kwenye nchi tofauti tofauti wameajiriwa na CIA kwa siri. Wengine hawakuwahi hata kufanya mafunzo ya ujasusi nchini Marekani au hata kwenye nchi zao. Na endapo utaanza kuvujisha siri kuhusu wao, basi watasitisha ajira na wewe na hata kukudhuru. Uvumilivu,usiri,kujituma,elimu,ubunifu,unyumbulifu etc ni baadhi ya vigezo. Pia huandaa vijana wa kuwaajiri angali bado wadogo, pia wahamiaji kutoka nchi mbalimbali wanaajiriwa kwa kufuata vigezo vingi tu na utaifa wa muhusika wanaemtaka. Kwa hayo machache yanawatosha kwa leo.
Ayatuhusu.
Asante kwa maoni yako,je ungependa tuweke video kuhusu nini?
@@BONGOFASTA Mambo yetu Kama Tz uzalendo kwanza.
BONGO FASTA Busara yako itakufikisha mbali sana bro,utavishinda vikwazo na wapuuzi kama hawa.
@@shabanijuma2085 kama haikuhusu wewe si upite tu... Maana wengine kama sisi inatuhusu... Unataka kumkatisha Bongo Fasta tamaa lakini uko chini sana
@@shabanijuma2085 we ni msenge mmoja tu