GUANTANAMO BAY,gereza KATILI kuliko yote duniani,OBAMA alilichukia,TRUMP alipa baraka ||JUSTIN SHED

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 113

  • @saumuabdi1802
    @saumuabdi1802 4 роки тому +11

    😱😭😭😭😭🙆‍♀️nawaombea mungu wafungwa wote walioko huko mungu awafanyie wepesi Inshaallah

  • @masoudidadi7369
    @masoudidadi7369 4 роки тому +8

    Allah yupo yote anayaona
    Ipo siku kila mtu atavuna kwa
    Alichokipanda

  • @naomiswai7838
    @naomiswai7838 4 роки тому +4

    Naomba mtuleteee historia ya lile gereza lililopo katikati ya bahari ambalo ni gereza LA wafungwa wa maisha

  • @ekaiamoja3155
    @ekaiamoja3155 3 роки тому +2

    Asifiwe yesu, anae kudhulumu, IPO siku nae ata dhulumiwa, ane kucheka IPO siku nae atachekwa na anae kuliza nae atalia. Praise God 🙏🙏

  • @sudaissoud3670
    @sudaissoud3670 4 роки тому +5

    Marekani washenzi sana..

  • @jeremiahmsemwa8323
    @jeremiahmsemwa8323 4 роки тому +5

    Mungu aingilie huu ukatili..too much

  • @simbajuma9971
    @simbajuma9971 4 роки тому +14

    Ya Allah wape subra ndugu zangu waislamu waliofungua gwantanamo bay! Na ninakuomba uwalipe Hannah firdaous. Na hao wanaowatesa waitambue haki waufuate uislamu. Amiin

    • @edwardsamson7951
      @edwardsamson7951 4 роки тому +1

      Unajua unacho ongea lakini, na hapa hatuongei kuhusu dini .
      Gwantanamo bay hawaja fungwa waislamu wamefungwa magaidi. Usiusainishe Ugaidi na Uislamu

    • @alswahabein-99alkhazain91
      @alswahabein-99alkhazain91 4 роки тому +2

      Allahumah Ameen 🤲🤲🤲🤲 Allah awape subrah Maisha yakesho nimu kushinda hi

    • @masoudmasoud8138
      @masoudmasoud8138 4 роки тому +1

      @@edwardsamson7951 unafikiri humo ndani kuna watu wasiokuwa waislamu

    • @masoudmasoud8138
      @masoudmasoud8138 4 роки тому +1

      Amin

    • @simbajuma9971
      @simbajuma9971 4 роки тому +2

      @@masoudmasoud8138 hajielewi Huyo wala hjasikiliza kilicho zungumzwa hapo! Gwantanamo bay atakuwa amehifahamia hapa! Ukisikia gaidi ulimwenguni anafkiri ni mkristo? Kule wapo waislamu wenye kuishika dini yao kisawa sawa Ndio wakapewa Jina gaidi. Allah awape Subra na awatie katika jannat firdaus!

  • @mathewmuruyuki7258
    @mathewmuruyuki7258 4 роки тому +1

    Appreciate Mr Justin.
    Nakubali kutoka canada

  • @Trendtalks05
    @Trendtalks05 3 роки тому +1

    hawana mateso kama mungu atakayo watesa waooo pepo yenu zidisheni lman kwa mola wetu

  • @alswahabein-99alkhazain91
    @alswahabein-99alkhazain91 4 роки тому +3

    Kilamtu atakufa nakenye umemfanyia mwanzako mungu alali na atawalipa kilamtu atakaye mfanyia mwenzie dulmah yandie akimu kuliko chochote Allah awape subrah ndugu zetu waisilamu ambaye wako nashida ambaye wana dulimiwa

  • @juliejaphet2700
    @juliejaphet2700 4 роки тому +2

    Nimejpata picha halisiLeo kuhusu gereza la goantanam Bay 🤚🤚🤚

  • @luluabel6850
    @luluabel6850 4 роки тому +10

    I like how you narrate you story......it's fabulous 😊

  • @denisstameza-unitedstates3668
    @denisstameza-unitedstates3668 4 роки тому +2

    Hongera sana marekani

  • @sniperboy7098
    @sniperboy7098 4 роки тому +4

    Bora ufe kuliko kuingiya Guantanamo

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 4 роки тому +2

    MuMungu ndie hakimu wa ytee hapa hapa duniani anakuazibu adui wa duniani Marecani mataifa mengi yaliopigana vita mpaka leo yeye sababu n ndio mana 2020 Allah amenipa ziki taifa iloo

  • @jaxontv7854
    @jaxontv7854 3 роки тому

    Aaaah ni hatari sana ..... Ni bora ukasimuliwa tu kuliko ikatokea ukaenda kwenye gereza hili

  • @calvinmchopa2222
    @calvinmchopa2222 4 роки тому +2

    Gaidi ni gaidi naipongeza G bay safi us

  • @sudaissoud3670
    @sudaissoud3670 4 роки тому +7

    Allah uwazidishie corona hawa wamarekani

    • @queenwinnie256
      @queenwinnie256 4 роки тому

      Hahaha nimecheka kama mazuri, wamejipikia wenywewe sembe lao wacha walimalize,

    • @moudboss846
      @moudboss846 2 роки тому

      Kabisa yani Mi Roho inaniuma

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 5 місяців тому

      Mhh alah gani huyo 😂

  • @abdumakaranga3690
    @abdumakaranga3690 2 роки тому

    Mfungwa Alie waikutoroka gereza la gwantanamo bay

  • @cleverboy3812
    @cleverboy3812 4 роки тому +5

    Mwisho wa america unakuja na utakuwa mbaya sana kwa sababu kila sehemu anatengeneza maadui.. Hili taifa sio la kukumbatia kabisa. Linapenda kuhalalisha mambo yote maovu na ndio waanzilishi wakubwa wa ugaidi dunia kwa sababu lengo lao kubwa ni kupora rasilimali haswa mafuta ivyo basi lazima watafute sababu..

  • @lilianmwafifi9063
    @lilianmwafifi9063 4 роки тому +4

    Duuh marekan🤐

  • @kambaletv8266
    @kambaletv8266 3 роки тому +1

    Fuata kurasi wangu upate update habar mbalimbali

  • @fredleonardo739
    @fredleonardo739 3 роки тому

    Mungu ni mwema Wakuu wa dunia watakipata cha moto

  • @josephinaalexnsungwe1325
    @josephinaalexnsungwe1325 4 роки тому +1

    Naatakuja mwanaume wawanaume yesu pekee

  • @saidswalehe2907
    @saidswalehe2907 3 роки тому

    Allah awalaani kabisa hao maofisa wote

  • @zaitunijuma7831
    @zaitunijuma7831 4 роки тому

    MH mtihan sn jaman hiv Hawa wt kwann wan roho mbay ivyo km so binadamu ila ipo siku mtajuwa kuw mungu yupo

  • @selemaningaipa6058
    @selemaningaipa6058 3 роки тому

    Nmekubari

  • @salimmohamedsalim4448
    @salimmohamedsalim4448 4 роки тому +8

    Magadi niwawo wamarekani pumbavuu kanya mdomo mtangazaji

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 4 роки тому

    Hongera

  • @simontweve3770
    @simontweve3770 4 роки тому +2

    Hard

  • @mikejuma3180
    @mikejuma3180 4 роки тому +1

    Hapo sawa kwa information hiyo

  • @AliyJumaIbrahim
    @AliyJumaIbrahim 6 місяців тому +1

    KUANGAMIA KWA MAREKANI AU ,U ,S, A KUMEKARIBIA KAMA ALIVYOANGAMIZWA FIRAUN NA HAAMANA KWA UWEZO WA MW/ MUNGU SI MUDA MREFU PAMOJA NA WASHIRIKA WAKE IN, SHA ALLAH 🇺🇲🇮🇱🇬🇧🏴‍☠️🔒🔒🔒❌❌❌

  • @maulidsaid9448
    @maulidsaid9448 4 роки тому

    Mmmh 🤔😭😭

  • @emmanuelluiso4872
    @emmanuelluiso4872 4 роки тому +2

    Haya twende Kazi

  • @Babaverah
    @Babaverah 4 роки тому +2

    Hii balaa

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 Рік тому

    Wabongo wanasema jela gotto la masela 😂 kumekucha bongo 😂🇹🇿🇬🇷

  • @amaryguedez3540
    @amaryguedez3540 3 роки тому

    Ni bala zaid 😢

  • @vandizzo4706
    @vandizzo4706 4 роки тому

    Brother Justine tunaomba story ya gereza la Alcatraz

  • @maliyawatubusiness
    @maliyawatubusiness 4 роки тому

    duuuuuu ni hatari sana

  • @mascheranozuberp503
    @mascheranozuberp503 4 роки тому

    Mwandishi unazinguka buyu, waislamu ndo wanafungwa humu

  • @mwajabukaseke8710
    @mwajabukaseke8710 3 роки тому

    Duuuuh

  • @jefenggg3442
    @jefenggg3442 4 роки тому

    Waca Ni coment Kabla sijamaliza kutizama video nikaja kusahau ku coment,🥰🥰😘 Asante Kaka Justin

  • @mussamati5216
    @mussamati5216 3 роки тому

    Nimakafiri wanao onea waislam ila allah hutuoni tunavyoteswa na hawa wanyama

  • @ramatansino8252
    @ramatansino8252 3 роки тому

    Nice

  • @robymoshi2350
    @robymoshi2350 4 роки тому +2

    Ndio tatizo la watanzania hata ukiweka stor ya yesu wataweka dislike

  • @queenwinnie256
    @queenwinnie256 4 роки тому

    Haya sasa wale wanaoshobokea marekali eti haki za binadamu ndio wajifunze sasa,

  • @charleszepherine6397
    @charleszepherine6397 3 роки тому

    Aisee mzumgu sio isipime

  • @zechyulewagreenapple5705
    @zechyulewagreenapple5705 4 роки тому

    Excellent

  • @ibrahimjames4243
    @ibrahimjames4243 3 роки тому

    Sio poa

  • @ElishaMawe
    @ElishaMawe 10 місяців тому

    Sipati shida kuusu marekani imetabiliwa ktk Biblia

  • @IsayaThomasTv
    @IsayaThomasTv 4 роки тому +2

    🔥❤

  • @kurwasamweli8688
    @kurwasamweli8688 4 роки тому

    Haaaa marekani hawana huruma hatakidogo napia niwapumbavu kwamateso wamekwisha laniwa

  • @herifridgmsigwa180
    @herifridgmsigwa180 4 роки тому +2

    ✊🏻

  • @jofreymwakalinga8950
    @jofreymwakalinga8950 4 роки тому +2

    Qali kinoma

  • @yasserhamad9113
    @yasserhamad9113 4 роки тому +17

    Next episode iwe kumhusu Osama bin Laden na chanzo cha ugomvi wake na marekani

  • @maliyawatubusiness
    @maliyawatubusiness 4 роки тому

    uwiiii geto la masela ha ha ha

  • @johanesjohn8471
    @johanesjohn8471 4 роки тому +3

    Obama mzushi tu, alikuwa na uwezo wa kulifunga

    • @edwardsamson7951
      @edwardsamson7951 4 роки тому +1

      Marekani sio Kama Tanzania kaka, kule Rais hajifanyi tu anachotaka

    • @queenwinnie256
      @queenwinnie256 4 роки тому

      @@edwardsamson7951 kabisa

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 3 роки тому

      Ila kamua gadafi mbwa mweusi wa wazungu yy ni mwafrica

  • @mgenirasimi7771
    @mgenirasimi7771 4 роки тому +20

    Sasa kitu kinacho fanya mtu atoe dislike ni nini...huo ni uchawi na roho mbaya sabab sioni ubaya wa hii stori....watu ni wa ajabu sana ☹☹

    • @Mrdcobraa11
      @Mrdcobraa11 4 роки тому +3

      Sio. Wote Wata kupenda kaka

    • @princegerard4704
      @princegerard4704 4 роки тому +2

      @@Mrdcobraa11 Hivi ni kitu gani binadamu wanapenda na hawataweka dislike?? Maana mpaka gospel kuna dislike, Bible study kuna dislike sasa binadam sjui tunataka nni

    • @hijaniacharamadee4721
      @hijaniacharamadee4721 4 роки тому +2

      Wivu zingine bhana usiombe

    • @hijaniacharamadee4721
      @hijaniacharamadee4721 4 роки тому +1

      Wivu zingine bhana usiombe

    • @mgenirasimi7771
      @mgenirasimi7771 4 роки тому +1

      @@princegerard4704 sisi binadamu ni watu wa ajabu sana...hatuna zuri wala baya..cha muhimu usimamie unachokiamini hata ukiwa tofauti na ulimwengu mzima

  • @prince70863
    @prince70863 4 роки тому +1

    😎

  • @alexnkuwa9338
    @alexnkuwa9338 3 роки тому

    Duh

  • @mussammanga7791
    @mussammanga7791 3 роки тому

    Ni maana ya ugaidii?

  • @salminmchimi7743
    @salminmchimi7743 4 роки тому

    Vipi kuhusiana na SIATo Israel ,syria

  • @mkarawizemtasher4897
    @mkarawizemtasher4897 4 роки тому

    Justin shed, naomba utuandalie nakala inayohusu pompeii

  • @kevinfredy9080
    @kevinfredy9080 3 роки тому

    Hili gereza ni nguli ila bro story hii bhana upo fasta kweli kuelezea nenda slow kidogo kama zingine

  • @theruntv6402
    @theruntv6402 Рік тому

    michael schumacher ni nani historia yake

  • @danhoboi1113
    @danhoboi1113 3 роки тому

    Justin twend kaz

  • @sarahmlaki135
    @sarahmlaki135 3 роки тому

    Inahuzunisha mnoo

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍

  • @dasilvajunior3016
    @dasilvajunior3016 4 роки тому +3

    Mbona CORONA hawajaipeleka huko !?😠

  • @yussufmohamed7427
    @yussufmohamed7427 4 роки тому +3

    Tunaelimika tuna burudika

  • @blevicnjorz2093
    @blevicnjorz2093 4 роки тому

    Too many ads

  • @mikejuma3180
    @mikejuma3180 4 роки тому +5

    Watu wa dislike !!!!?? Kama hamtaki hii story muache kuwatch

  • @hashimnamanolo4018
    @hashimnamanolo4018 4 роки тому

    America ndio.gaid Sawa.kwasababu mporaji.ramda.wewe aunamacho.rakini.machounayo.basi unaupendereo

  • @labankiprono1900
    @labankiprono1900 4 роки тому

    U need story of Arion Greek poet and musician

  • @HurumaNgulo-hq5os
    @HurumaNgulo-hq5os Рік тому

    P

  • @michaelcharles8942
    @michaelcharles8942 4 роки тому +1

    H

  • @enockchaula6292
    @enockchaula6292 4 роки тому +1

    Safi amerca komwsha miarabu hiyo uwa kabsa

    • @abuumtoa5222
      @abuumtoa5222 4 роки тому

      Hata nawe utakufa

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 3 роки тому

      Pumbavu kwani hakuna wafrica huko bwege mbona wanawaua huko njiani na kuwabagua mwafrica

  • @rayyannaceeb9991
    @rayyannaceeb9991 4 роки тому +1

    Pumbavu mmarekan

  • @hashimnamanolo4018
    @hashimnamanolo4018 4 роки тому +1

    Kibaraka wa wazungu wewe.badounaitaji.erimu siokweri ahujuwi.chochote Yemeni saud iraki.siria.dio.magaid

    • @wakudunda3145
      @wakudunda3145 3 роки тому

      mungu atawalipia kwa mabaya walio tendewa

  • @theruntv6402
    @theruntv6402 Рік тому

    michael schumacher ni nani historia yake