Muwe mnaweka lipa namba tutoe sadaka aisee... sipendi kupata value kubwa namna hii burebure... Dr na organiser wote mbarikiwe saaaaaana Nimefaidika mno
Naitwa Paschal Eliterius kutoka Babati Manyara . Ninashukuru kwa mafundisho mazuri ya dr ellie kwani yamenijenga sana kitabia. Naomba namba ya tuweze kuchangia kipindi hiki ili aongezewe muda kwani muda anaopata ni mdogo ikiwezekana awe na kipindi chake ambacho sisi wadau wake tukichangie .
Yani sam sasali ukiwa na Doctor Elli na enjoy sana kumsikiliza dr manake wewe haumwintavin doctor wakati anaongea. Embu mpe ushauri mwenzio Jimmy, manake yeye mara atazame saa basi tabu tupu.
Atukuzwe MUNGU kwa Jina la YESU kwaajili ya Dr Elie, Sam na Team nzima ya chomoza tv🙏🏾🙏🏾♥️
Mungu awabariki sana kwa mafunzo, Nawapenda team Chomoza
You're the blessing Dr Elie, I thank God for making you being
Tuko pamoja wanachomoza
Kipindi kiwe 1hr jamani. One love ,great job
Asante Dr Elly ume kua msaada kwangu maana kutoka kwa mafunzo yako nime badilika saana
Asantee doctor
Asante bwana Mungu kwa ajili ya team chomoza,see you next Sunday God willing.
Muwe mnaweka lipa namba tutoe sadaka aisee... sipendi kupata value kubwa namna hii burebure... Dr na organiser wote mbarikiwe saaaaaana
Nimefaidika mno
Naitwa Paschal Eliterius kutoka Babati Manyara . Ninashukuru kwa mafundisho mazuri ya dr ellie kwani yamenijenga sana kitabia. Naomba namba ya tuweze kuchangia kipindi hiki ili aongezewe muda kwani muda anaopata ni mdogo ikiwezekana awe na kipindi chake ambacho sisi wadau wake tukichangie .
Napenda kipindi hiki✨✨✨👌👌👌
🙏🙏🙏🙏
Good job Dr.Ellie💐💐
🙏❤️🇬🇧
Controlling your emotions and how you feel(hisia)💯💯💯
Amen.
Mafundisho ni mazuri lakini but Kuna alot of adds
Mmh Dr, mbona kama naelewa afu sielewi 😄
Sioni part 7 someone should tag me please
Somo zuri mubarikiwe ktk kipindi hiki,naomba ushauri ninahofu inasababishwa na nini?
Hakika nafurahi masomo ni nadra kweli kuyapata
self evaluation📌
Yani sam sasali ukiwa na Doctor Elli na enjoy sana kumsikiliza dr manake wewe haumwintavin doctor wakati anaongea. Embu mpe ushauri mwenzio Jimmy, manake yeye mara atazame saa basi tabu tupu.
Kumuelewa lvd inataka akili kubwa
Nazidi kufurahia kukufahamu doctr. ASANTE KWA UWEPO WAKO.
Vipi kama mtu anaenda na anatenda dhambi ile ile aliyosamehewa tena?
ongezeni muda muda ni mchache mno
I hope wote tunajifunza utulivu wa Sam ... Natamani Jimmy ashushe Ego yake ajifunze kwa Sam! Sijui nimeona kwa macho au kwa nafsi