Thanks Dr. Ellie. I never miss to watch and keenly listen to the lessons that you offer to us. You have been a blessing in my life. I admire and appreciate the way you analyze the word of God to a level that I can easily understand. May God continue to bless you. The world and its desires pass away, but whoever does the will of God lives forever.
swali for the next session kama Uncle Jimmy alvyoahidi: difference ya wokovu na kuzaliwa upya ni ipi kulingana na maelkzo ya wokovu ya session ilyopita? NB: Madarasa yanaanza lini Dr?
Utakuwa ulimwelewa vibaya!! Hiyo Neema anayoizungumzia, aliyeileta ni Mwana, yaani Yesu,! Hivyo tunamrudia Mungu kwa kumwamini Mwana aliyetumwa na Baba ulimwenguni. Dokta Elie anafundisha kwa viwango vya juu zaidi, hivyo ni vigumu kumwelewa. Torari ilikuja kwa mkono wa Musa, Neema na kweli, imekuja kwa mkono wa Kristo Yesu. Kwa hiyo hatuna budi kumpokea Yesu Kristo (Neema).
Neema ni kitu ambacho hukustahili,Imani ni ujuzi so Imani kwa neema inabidi ujue uwezo wa kristo,utendaji wake na hali zake ili usijitahidi bali uendeshe wewe usiendeshwe na imani utajaa uhakika kwamba msamaha upo na rehema ipo kwako na kwa wenzako pia.
Ameeen mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana mbarikiwe Wote pia
Jmñ ningetamani Siku moja kuonana na uyu doctor ,, Mwenyezi Mungu azidi kuwalinda kwa kutupaa mwangaaa
Thanks Dr. Ellie. I never miss to watch and keenly listen to the lessons that you offer to us. You have been a blessing in my life. I admire and appreciate the way you analyze the word of God to a level that I can easily understand. May God continue to bless you. The world and its desires pass away, but whoever does the will of God lives forever.
Mbarikiwe sana timu chomoza
Profound. Thank you Dr. Thank you hub of hope. Remain blessed.
Eliya alikuja 2003 na alitokea Tanzania na alishaondoka 2014 alikuja na Toba ,na alisimamisha msingi wa kanisa NENO,IMANI ,UTAKATIFU NA UTII..
Aaah docteur c'est profond ce message.Merci infinement.
Mungu awatunze kwa ajili yetu
Mie naomba mda uongezwe tumpe Dr 1hour please
mungu ni mwema ila mnachelewa sana kuweka sehemu ya 9 mungu awabaliki sana
Najifunza mambo mengi
Daah hiyo Sara nzurii...,,,
Tunawashukuru kwa majitoleo yenu kwetu
Nakukubari sn Dr Elie well done I am proud for you
We love you dearly team chomoza,Thank you
Asante Dr kwa somo zuri
Hakika nabarikiwa Sana Mungu Yu mwema Kila wakati
swali for the next session kama Uncle Jimmy alvyoahidi:
difference ya wokovu na kuzaliwa upya ni ipi kulingana na maelkzo ya wokovu ya session ilyopita?
NB: Madarasa yanaanza lini Dr?
Preach it Dr
HAKIKA ni aliyekuumba ndani yako, kumbe natakiwa kumludia mungu ambaye ni baba sio mwana maana mwana ni nabii.
Utakuwa ulimwelewa vibaya!! Hiyo Neema anayoizungumzia, aliyeileta ni Mwana, yaani Yesu,! Hivyo tunamrudia Mungu kwa kumwamini Mwana aliyetumwa na Baba ulimwenguni. Dokta Elie anafundisha kwa viwango vya juu zaidi, hivyo ni vigumu kumwelewa. Torari ilikuja kwa mkono wa Musa, Neema na kweli, imekuja kwa mkono wa Kristo Yesu. Kwa hiyo hatuna budi kumpokea Yesu Kristo (Neema).
Salvation!
Mbarkiwe sana
Imani na Neema; Je mtu huweza kuwa na Imani kwa jitihada zake?
Huyu jamaa ana roho wa mungu ndani yake, mafundisho haya ndo ukweli haswaaaa wa kuishi.
Hakika napata mwanga, Thanks Lord
Mungu ibariki sana chomozaa
Hivi kujisamehe haswa ni kufanya nini..?
Neema na Imani: Je Imani kwa Neema huweza kupatikana kwa juhudi/jitihada za mtu au ni Zawadi ya Mungu mwenyewe?
Neema ni kitu ambacho hukustahili,Imani ni ujuzi so Imani kwa neema inabidi ujue uwezo wa kristo,utendaji wake na hali zake ili usijitahidi bali uendeshe wewe usiendeshwe na imani utajaa uhakika kwamba msamaha upo na rehema ipo kwako na kwa wenzako pia.
LEO NIMEFURAHI. KUMBE TUKIFA TUNAKUWA TUNAJUA TUMELALA. NDOTO ZINAVYOKUWAGA TAMU, NAHISI NIKIFA NITAKUWA NAZIONA RAHA TU. MAANA PATA PICHA UKIPTA UMEOKOTA FULUSHI LA MAHELA KAUSINGIZI KANAVYOKUWA KATAM.
Mafundisho magumu kuelewa
Sala itakuwa hiyohiyo kila siku? SIMNGEACHA, KAMA ZAMANI, AMALIZE NAYO YOYOTE, ATAKAYOKUWA AMEFUNULIWA, KULINGANA NA SIKU? MIPAKA, DOCTA ALITUFUNZA SIYO MIZURI
Sasa awa manabii niwawapi?kama sio wapigaji,manaeke biasha hii ni nzuri mtaji mdomo