Ni kweli kabisa Dr Ellie tunacho kivumilia( tolerance)kinakuwa nakumbuka mm nilivyokuwa mdogo nilikuwa na tabia ya kuiba hela kwenye nyumba ya jirani yetu ambaye tulikuwa tunaishi pamoja kwenye nyumba moja ya kupanga na walikuwa wanajua kabisa ila walikuwa kimya nashukuru Mungu nilikuja kuacha hiyo tabia
"Chimbuko la mwili wa binadamu li ndani ya chakula, chimbuko la chakula li ndani ya udongo. Ni hakika asili ya mwili wa binadamu Ni Udongo na udongoni utarudi, naungana na maandko. Kumbe wazo ndiyo mtu mwenywe. Kwa mfano Baba wa Taifa mwl Nyerere; mwil wke haupo lakn Yeye yupo kwa mfmo wa wazo. Pongezi kwenu kw mwendelezo wa somo hili,tuko pamoja majaliwa hayana mwsho.
Team Chomoza Mungu awabariki sana yani maisha yangu yamebadilika kupitia nyie Haswaaaa Dr Elie Mungu azidi kumtunza nampenda sana
Ahsante sana kipind bora kabisa nawapend wote
Merci beaucoup pour votre temp et sacrifice cher docteur we love you
Team chomoza MUNGU awabariki Sana tunajifunza vyema,yaani siku 7 huwa tunaona zinachelewa kufika!!!
mpokeye salamu zetu team chomoza kuna ma swali ambazo tunge penda majibu toka kwa Dr Ellie tuna patikana Muji wa Goma DRC
Respect, Mungu awape maish marefu
Much appreciated. I will forever be grateful for the life changing lessons that you have continued to offer.
Urakoze Cyane Dr Elle hamwe team Chomoza. I love you 🙏
Good suzanne
Divine teaching ! Thank you
Dr ubalikiwe sana
SOMO TAMU SANA, ASANTE, TUNAJIFUNZA.
Thanks doct
Holy Spirit Forever 🙏🏼 ❤
Ni kweli kabisa Dr Ellie tunacho kivumilia( tolerance)kinakuwa nakumbuka mm nilivyokuwa mdogo nilikuwa na tabia ya kuiba hela kwenye nyumba ya jirani yetu ambaye tulikuwa tunaishi pamoja kwenye nyumba moja ya kupanga na walikuwa wanajua kabisa ila walikuwa kimya nashukuru Mungu nilikuja kuacha hiyo tabia
Asante sana kwakwelii Bado tunaneemeka
Naam, ndugu ni mzaliwa nawe. Watoto wetu si ndugu zetu, bali wao kwa wao ni ndugu.
"Chimbuko la mwili wa binadamu li ndani ya chakula, chimbuko la chakula li ndani ya udongo. Ni hakika asili ya mwili wa binadamu Ni Udongo na udongoni utarudi, naungana na maandko. Kumbe wazo ndiyo mtu mwenywe. Kwa mfano Baba wa Taifa mwl Nyerere; mwil wke haupo lakn Yeye yupo kwa mfmo wa wazo. Pongezi kwenu kw mwendelezo wa somo hili,tuko pamoja majaliwa hayana mwsho.
Asante sana
Nice
Maoni yangu kipindi hiki kiwe kinarudiwa ata jioni mara nyingi huu mda tunakua kanisani
Naona Dr Ellie anafunga kifungo cha shati hadi juu bila tai
Doctor aongelee Rainbow na namna inavotumika na wahamasishaji wa jinsia moja
ASANTENI
Shukrani kwa mafungisho
Je, wanandoa kuishi kama marafiki,inadumisha uhusiano?
me naomba doctor atoe elimu ya nyota tujue maana anagusaga gusaga tu. tafadhari
🤚🖐️🥰