HABIBU PENGO Ataja UMRI Wake, Ampa ONYO Kali RAMADHAN SHAURI - "NIMEROGWA SANA, Hawezi KUMALIZA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • HABIBU PENGO Ataja UMRI Wake, Ampa ONYO Kali RAMADHAN SHAURI - "NIMEROGWA SANA, Hawezi KUMALIZA"
    BONDIA Habibu Pengo amesema atahakikisha anamchapa mpinzani wake Ramadhan Shauri katika pambano lao la Eid Pili litakalochezwa katika ukumbi wa Tanzanite mkoani Morogoro.

КОМЕНТАРІ • 7

  • @allyjumanne5472
    @allyjumanne5472 4 місяці тому

    Mabondia wetu wanadanganya sana miaka mpaka kelo yan

  • @PaulCharles-ox9pg
    @PaulCharles-ox9pg 4 місяці тому

    Nakubali kanichapie mtu kaka tuko pamoja

  • @jumajumanne4997
    @jumajumanne4997 4 місяці тому

    Bangi haimwachagi mtu salama

  • @sidearsenal666
    @sidearsenal666 4 місяці тому

    Umeanza kucheza amacha 2002 mpaka sasa ni miaka 22 kwa hiyo ulianza amacha na miaka mi4

  • @hildamwanahawa3640
    @hildamwanahawa3640 4 місяці тому

    MUONGO KWELI WW BABU MIAKA 26 SIYO KWELI ATA KWA UCHAWI IYO SIYO MIAKA YAKO WW ZAIDI YA 40