KIVUMBI! RAIS SAMIA AHAIDI KUMPA MAKONDA ULINZI AWATAJE MAWAZIRI WOTE WANAOKWAMISHA KAZI YAKE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • #makonda

КОМЕНТАРІ • 104

  • @paulsibu5770
    @paulsibu5770 5 місяців тому +6

    Makonda Kiongozi Bora Sana

  • @samsonwilson3762
    @samsonwilson3762 5 місяців тому +3

    Makonda Mungu AKUBARIKI SANA wengi ni WANAFKI wakati familia zao zinaishi coz teuzi ya raisi bora kuwa baridi au kuwa moto

  • @user-cc6dx4kn7w
    @user-cc6dx4kn7w 5 місяців тому +2

    Hongera mama yetu tunakupenda

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 5 місяців тому +6

    Makonda sema usiogope, chapa kaz mdogo wangu. mama yupo nyuma yako

  • @marcoboniphace9733
    @marcoboniphace9733 5 місяців тому +8

    Makonda noma anaweza tumpeni hongera zake tusiwe na wivu

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 4 місяці тому

    Makonda themost giant leader equivalent to thelateSokoine ofthat time.

  • @davidmalisa8043
    @davidmalisa8043 5 місяців тому +3

    Yuko sawa acheni uboya kwan kufa ndio nn achen uoga kwan ww utaishi milele achen aseme tena alichelewa sana

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 5 місяців тому +3

    Tujitahidi kuwaenzi kwa vitendo hawa waasisi wa taifa letu tusiishiè kuwaenzi kwa Hotuba bila Matendo mema wala Hakuña Uzalendo wa Kweli alafu Tunawaenzi kinafki, Tumuogope Mungu Tuwè Wakweli na Tutende Haki Hasa Watawala "

  • @georgemtewele7656
    @georgemtewele7656 5 місяців тому +1

    Very nice speach Mama,, Nadhani sasa wanaokuzibia usionekane kwetu wananchi , Dhamira yako nani anaipotosha mbona nzuri mnoo,,

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 5 місяців тому +1

    Makonda ubarikiwe🎉

  • @geofreymilinga2965
    @geofreymilinga2965 4 місяці тому

    Makonda ajiangalie sana

    • @nurumohammed1310
      @nurumohammed1310 4 місяці тому

      Mungu yupo nae wakimuuwa wao wataishi milele

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 5 місяців тому +7

    Mambo ya Makonda ni ya kitoto sana.Asipoangalia anamharibia rais.Atafanya kazi ngapi?

    • @user-ih1pk1vs4q
      @user-ih1pk1vs4q 5 місяців тому +1

      Utoto wake nn

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 5 місяців тому +1

      Nashangaaa utoto uko wapi hapo ,au anyamaze ili Rais aendelee kutukanwa haikubaliki

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 4 місяці тому

      Soma koment utakuta wengi wanampenda makónda,we nani?

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 4 місяці тому

      Makonda hoye

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 4 місяці тому

      Ukitaka kujua manda ni nani angalia hata huyu alieweka habari hii ameweka jina la makonda ili tununue lkn hakuna habari ya makonda,

  • @user-xn3gs9qc8u
    @user-xn3gs9qc8u 4 місяці тому

    Waongo wapi kasema anampa ulinzi makonda

  • @mtelewalindi374
    @mtelewalindi374 5 місяців тому +1

    🎉🎉 RESPECT HON DR SAMIA SULUHU HASSAN

  • @marcoboniphace9733
    @marcoboniphace9733 5 місяців тому +6

    Hongera Mh Rais Kwa hotuba

  • @scolasticahpeterh8649
    @scolasticahpeterh8649 5 місяців тому +1

    Kwann yy hacwateje au anataka kufanya mwenzie cjambo mana rais Huwa anajua Kila kitu

  • @tabiaramadhani2348
    @tabiaramadhani2348 5 місяців тому +4

    TUKIWA MAKAZINI TUACHE KUMSHAU MUNGU TUMKUMBUKE MUNGU SANA TUOGOPE MABAYA TUJUE !MUNGU ANAONA KILA HATUA YAKO TUSIJIONGOPEE HATUONWI HIYO SI KWELI

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 4 місяці тому

    Makonda usiwaogope wataje hao hawafai kwenye chama wafukuzwe mara moja 🎉

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 5 місяців тому

    Makonda huwa akosei. Mpaka kasema hivyo basi anao uhakika

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 5 місяців тому

    Wataje tu jamani kwa sababu kiongozi Lazima awe mzalendo, kama haupendi viongozi. Wewe haufai kuwa kiongozi na sio mzalendo hata kwa siri tumbua warudi kulima

    • @nurumohammed1310
      @nurumohammed1310 4 місяці тому

      Kabisa ni washenzi tuh hao ukute wao ndo wamejiunga na mange kimavi kumchafua mama yetu

  • @user-dd8ud2gk4l
    @user-dd8ud2gk4l 5 місяців тому

    Ila swali langu sokoine alifia madarakan kama waziri mkuu kumbukizi inafanywa kitaifa jeee?! VP kuhusu rais kipenz Dr John magufuli nae siamefia madarakan Kwann haifanyiki kumbukizi yakitaifaaa kunann hapa
    Ikiwezekana nijuzwe mjinga mm

  • @tabiaramadhani2348
    @tabiaramadhani2348 5 місяців тому +2

    SIO URIDHI TUU WA RAIS SAMIA NA MUNGU PIA ATAMRINDA KWA KIASI KIKUWA SANA ATAKAE MGUSA MAKONDA ATASHANGAA ATAPATA UGONJWA WA STOCK HAPO HAPO AJUE HIVYO

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 5 місяців тому +1

    Mama 🙏🙏👍Bado vita ya kiuchumi ,bado tunajengewa barabara na wakandalasi wa nje,viwanda tunategemea wawekezaji watujengee hatutafika, tulinde na kutumiafursa za kiuchumi kwa wtz kwani zinawindwa na wachache wenye mitaji toka nje, mapato ya nchi tuyatumie kwenye fursa za kiuchumi zimilikiwe na mitaji ya umma

  • @QasammaMachibya
    @QasammaMachibya 5 місяців тому +3

    kitabu maishA yasokoine chamwaka1985 hakionekani nibora kikahuishwA,serkaliiangalie hilo

  • @PatrickMahenge
    @PatrickMahenge 5 місяців тому

    Makonda ni chuma wapinzani wanatetemeka chapa Kazi hasa kwa wanyonge

  • @helladeogratias7630
    @helladeogratias7630 4 місяці тому

    Naanza kumkumbuka marehem Sokoine

  • @shabanjuma4253
    @shabanjuma4253 4 місяці тому

    Kaka makonda MUNGU atakulinda ww nimfano wa kuigwa ww nijembe kikawaida ss wasukuma hatuna makando kando wala hatutishwi makonda pambana kaka

  • @SimonMkindi-de3wx
    @SimonMkindi-de3wx 5 місяців тому +1

    Mimi naitwa Simon Mkindi From same Kilimanjaro
    Niliiona Ajali Ya ili mua SOKOINE

  • @user-xz5fl2tf6i
    @user-xz5fl2tf6i 5 місяців тому +5

    Nadhani licha ya kuwa mfanyakazi bora(?) , Makonda aache au achague au achunge ulimi wake. Sidhani ya "mtoto" wa mama, wanaotumwa kwake ili kumvuruga Rais ilikuwa forum proper. Kua kidogo Rc wangu

  • @ChristopherMasobeji
    @ChristopherMasobeji 5 місяців тому

    Mwachen makonda apge kz Kwan hakuna mwanadam asiyekuw n mapungufu

  • @jeremiahwarioba1970
    @jeremiahwarioba1970 5 місяців тому

    Mungu hakubari sana mama yetu

  • @user-tb2wg1me7c
    @user-tb2wg1me7c 5 місяців тому

    Daaa jmn km mawaziri wanamtukana rais na sisi wananchi inakuaje

  • @tabiaramadhani2348
    @tabiaramadhani2348 5 місяців тому

    LABDA WEWE HUNA MUNGU BALI MUNGU NI WEWE UNAJUA UTAISHI MILELE AMINA

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 5 місяців тому

    Raisi anataka kumpa ulinzi ili aendelee kuwa mpelelezi wa wanaomsema? Anampa ulinzi kwa lipi? Kwa kweli hatuna watawala hapa. Jamani hata maisha yetu huku mitaani tunajitambua kwa nini ninyi hamjitambui na kujiamini?

  • @ReginaldAplonary
    @ReginaldAplonary 5 місяців тому

    Makonda fanya kazi usije msikiliza mtu wengi wanafurahia ujio wako ila wasiopenda maendeleo niwachache na hawajitambui piga kazi

  • @AllyMwazoa
    @AllyMwazoa 5 місяців тому

    Makonda ni kiongozi mzuri lakini umri unamfanya awe na uwezekano wakutumika vibaya na pia awe na utoto mwingi.Mara aponde mahakama na mara aonyeshe intajelensia yetu ni dhaifu.kiasi yeye mkuu wa mkoa anajua mambo kumshinda yeye.Alimuharibia Mhe magufuli Mpaka akamvunja mbawa zakuweza kumlinda akalazimika amteme.Kajiingiza kwenye vita na ugomvi na watu wengi kama kina Ruge mhe Gwajima na wengi wengine.na sasa anaanza kutafuta makubwa zaidi.umbea utamponza hakupaswa kujasiri kuropoka maneno yale mbele ya Rais na viongozi wakubwa wa nchi

  • @abeliantony7085
    @abeliantony7085 5 місяців тому

    Makonda acha uchochezi kwa watumishi wenzako na Rais, kumbuka hata wewe unajiingiza kwenye hatia kubwa saana,

  • @georgemtewele7656
    @georgemtewele7656 5 місяців тому +1

    Sasa Raisi umeanza kuwa na mvuto wa speach zako,, ki ukweli mwanzoni nilikuwa sielewi Hotuba zako, ila hii na ile ya Baraza la Iddi kwa wanazuoni na masheikh,, Safi kuna kitu sasa unatuonesha.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 5 місяців тому

    Watawala wanahoyubia inje ya shughuli walizokuwa wanafanya. Kama hawajui si muwandikie ili waweze kuju walikuwa wanakumbukizi la Sokoine sasa hayo ya fitina kwa mawaziri yametoka wapi.
    Kwanza waziri nadhani kiprotoko ni boss wa Makonda sasa kwa nini anawadharau kiasi hicho?

  • @hassanmohdally5217
    @hassanmohdally5217 5 місяців тому

    Sasa wapi kasemaa wampe ulinzii mbonaa mnaandikaa habari sio

  • @jacksonsilaa415
    @jacksonsilaa415 5 місяців тому

    Pamoja na maneno mengi,je mna kumbukumbu? Alisema mwasisi wa Taifa hili kwamba mkishamalizana na mnaowaita wapinzani,ni wakati sasa CCM kwa CCM kupigana na kuuana wenyewe.

  • @user-uy7nn2bp6o
    @user-uy7nn2bp6o 5 місяців тому

    😭😭😭😭🙏wakowapi watanzania wazelendo, wakowapi wanasheriya wa serikeli, wakowapi wanasheriya wa chama, wakowapi takukuru, nimesimama kizimbani kwajili ya kesi ya mama yetu Rais wetu kesihiyo imehujumiwa kwanziya police hadi mahakamani 😭😭😭🙏🙏 mamayangu Rais wetu Mimi ni mwananchi TU nimtanzania pekeyangu tangiya tumepata uhuru hakuna mwananchi aliyesimama kizimbani kwajili ya kumteteya Rais wa nchi mwenyekiti wetu wa taifa nimimi ikome wanasheriya wa chama hawakunisaidiya wanasheriya wa serikeli hawakunisaidiya mama nawumiya sana nimepigwa vibayasana kwajili yako nawomba msahadawako mamayangu nanyanyasika sana kwenyetaifalangu nawumizwa sana kwajili ya taifalangu ndotozangu zilifeli baada ya mzewetu makufuli kufariki Dunia 😭😭🙏 nimepambana sana na Madawa ya kulevya nimepambana sana na Rushwa nimepambana sana nakuziteteya mali za uma, nimepigwa kipigo cha mwizi kwajili yako mama wataifa letu 😭😭😭

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 5 місяців тому

    Kwanini Samia anaingizwa mkenge na chawa na matapeli? Kama anaweza kuchezewa na kutumia na jinga na sakatonge kama Makonda basi uwezo wake wa kufikiri ni wa kutia shaka.

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 5 місяців тому

    Acheni uoga makonda ni mkweli halafu tusiogope kufa jamani ,kufa kupo tu ukishazaliwa lakini je,watakaobaki jina lako litatatajwa Kwa uzuri?

  • @davidmalisa8043
    @davidmalisa8043 5 місяців тому

    Nyie bado mko kwenye zile zama za kuambiwa unajua mm nani ndio maana mnaona makonda kakosea yuko sawa hakuna kuogopa mbwa yeyote hapa awataje hao mabwege wenye ngozi za kondoo

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc 5 місяців тому

    Hongera kwa hotuba mh. Rais, ila makonda kasema maneno ambayo hakupaswa kuyaongea hadharani,kweli makonda ni jini mrudishe kwenye chupa

    • @user-tb2wg1me7c
      @user-tb2wg1me7c 5 місяців тому +1

      Hayati Dkt John magufuli aliwahi kusema nanukuu" tumebembeleza mno ifike wakati tuache kubembelezana tuchape kazi..kubembelezana ndio kumetufikisha hapa..
      Makonda wewe ni jembe sana ni kiongozi ambae huogopi..hakika wewe ndo chaguo la watanzania ... tunaomba mungu siku moja tukuchague kuwa rais utututee si wahali ya chini..mungu akulinde akulinde sana mkuu wangu wa mkoa arusha

  • @stevensosipita
    @stevensosipita 5 місяців тому

    MAKONDA ANATAFUTA CHEO KWA MAMA SAMIA ITASAIDIA UMBEA KAMA HUO HAWO MAWAZIRI WANAMTUKANA MAMA SAMIA KWA CHANEL GANI?MAMA MWENYEWE AMESHINDWA KULIONGOZA TAIFA LETU LA TANZANIA WEZI WOTE ALIOTUMBUA MAGUFULI KARUDISHA ANATEGEMEA WANANCHI TUTAMKUBALI VIPI?

  • @ABDALLAHMWATANDA
    @ABDALLAHMWATANDA 5 місяців тому

    Headliners zinaandikwa ili uisome na kutumia mb ZAKO... kuwa MAKINI

  • @user-ih1pk1vs4q
    @user-ih1pk1vs4q 5 місяців тому

    Makonda sisi tunakuelewa koment za kukudharau achana nazo wengi wanaojb familia za hao unaotakakuwataja kumbuka nao wanavibaraka vyao ww wafagie mpk vitoto vyao tulishavichoka

    • @EmmaculateGembe
      @EmmaculateGembe 5 місяців тому

      Lana ya watz wanaolilia Bandari zao Ardhi naraslimal za chi hi zinatotapanywa kwa wageni haitawaacha salama na mtatukanana sana na bado

  • @tabiaramadhani2348
    @tabiaramadhani2348 5 місяців тому

    ALIE KUFA KAFA NI KUMKUMBUKA KWA KUMUOMBEA NA ALIE BAKI SIKU ZAKE ZA KWENDA PEPONI BADO BASI TUWE NAE KWA UPENDO MKUBWA TUMUOMBEA SANA! MUNGU ATULINDIE NA ATUONGOZE VYEMA AMINA

  • @alinasor8553
    @alinasor8553 5 місяців тому

    Shida nn kwani muacheni mama afanye kazi atutmikie watanzania

  • @JacobMsola-iz7pk
    @JacobMsola-iz7pk 5 місяців тому

    Huo ulinzi rais wapi mbona nimesikiliza mpk mwisho sijaskia?

  • @erickmsigala138
    @erickmsigala138 5 місяців тому +1

    Makonda anaaminiwa na watu wajinga wanao amini umasikini wao umesababishwa na walio fanikiwa, mtu anaamini makonda akimkemea kiongozi hadharani huo ndiyo utendaji mzuri huo ni upofu wa baadhi wanao mshangilia Makonda.

    • @user-jq7cf9qe8o
      @user-jq7cf9qe8o 5 місяців тому

      .😂😂😂weee vutu kweli kweli nenda huko mkimbizi mmoja wew😊

    • @zanzibamjimpya17
      @zanzibamjimpya17 5 місяців тому

      wewe uwelewa wako umefikia hapo pole sana

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc 5 місяців тому

    Makonda pevuka bwana sofa hawazitafuti kwa mtindo huounajiharibia. Unawatengenezea hatuna mzuri waheshimiwa tundu na lema. Lema endelea kuwapiga kupitia hotuba zao.

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 5 місяців тому

    Ni nape n makamba

  • @user-ud8pm1ks2b
    @user-ud8pm1ks2b 5 місяців тому

    Ulinz wa nn fisad mkubwa

  • @alphoncekagezi4950
    @alphoncekagezi4950 5 місяців тому

    Hayupo lakini ana kumbukwa kwa mema mengi aliyotenda wakati wa uhai wake.

  • @shanelmbunga1301
    @shanelmbunga1301 5 місяців тому

    Wa Tanzania tuache unafiki

  • @tabiaramadhani2348
    @tabiaramadhani2348 5 місяців тому

    SISI WOTE NI WATU AU BINADAMU SASA BINADAMU TUNATAKIWA TUMUABUDU MUNGU ALIE TUUMBA ALITUWEKA TUMBONI NA KUTUTOA TUISHI DUNIANI SASA HAPA DUNIANI TUFANYE YA UTU TUWEKE MSINGI IMARA WA MAISHA NA MAISHA NI PAMOJA NA HAYA UNAPOSOMEA KITU FURANI JUWA HIYO NI KWA AJIRI YA UGALI WAKO TUMBO YANI

  • @ankoanko-zz7it
    @ankoanko-zz7it 5 місяців тому

    Makonda huna baya.

  • @user-bf9xj3nf1o
    @user-bf9xj3nf1o 5 місяців тому

    Ulinzi wanini sumisheni uchumi

  • @tumainmkonyi8459
    @tumainmkonyi8459 5 місяців тому

    Mama mitano tena

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 5 місяців тому

    Hizi ni siku za mwisho mta kulana ninyi kwa ninyi.

  • @safielkabonda295
    @safielkabonda295 5 місяців тому

    John Nhollo unafaa kushitakiwa kwa kudanganya umma

    • @jacobmakono4399
      @jacobmakono4399 5 місяців тому

      .. mpuuzi Sana!wapi Samia kasema ulinzi

  • @user-ic7oo1vt4v
    @user-ic7oo1vt4v 5 місяців тому +1

    Mikoa ni mingapi mbona huyu mhe anajjtangaza sana tusubiri tuone matokeo ya kazi

    • @user-ih1pk1vs4q
      @user-ih1pk1vs4q 5 місяців тому

      Yeyote anaemchukia makonda analake jambo huenda ndg zake walilambwa kwa kutowajibika

    • @user-ih1pk1vs4q
      @user-ih1pk1vs4q 5 місяців тому

      Makonda anadili na wabambikiza kesi rusha dhuruma hamuone wananchi wanavyolia mmempata mtetezi mnamwandama tena kweli mabwege wengi nchi hii

  • @gwakisaphilipo2445
    @gwakisaphilipo2445 5 місяців тому

    Wa kwanza January

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 5 місяців тому

    Ila makonda mdomo uliponza mwili

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 5 місяців тому +2

    Makanda.makonda.Makonda marabyabnne makoda. Jebu acha mambo ya kitoto. Ulimi uliponza.mfupa . Amaninya moyo na.mwili ni zaidi ya ulinzi wa.motutu

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 5 місяців тому +3

    Uyu jamaa ni changamoto yani yeye kila kukicha kuwavuluga watu ili aonekane yeye ni mwema tunaomba majibu haya braza makonda tundu lissu kasema waz kwenye vyombo vya abali kuwa wewe ndo ulikuwa kwenye misheni ya kushambuliwa kwake vip weka sawa hii changamoto

    • @SimonMkindi-de3wx
      @SimonMkindi-de3wx 5 місяців тому

      Vipi Kuhusu Kuchukua Nyumba Ya GSM, Hili nalo makonda alielezee Mbona yupo kimya.

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi 5 місяців тому

      @@SimonMkindi-de3wx 👍👍👍

  • @mbwanahasan2971
    @mbwanahasan2971 5 місяців тому +5

    Makonda makonda makonda domo liliponza kichwa mbona unapenda mabifu na wenzako wewe dogo?

    • @user-gv8yn9lg1i
      @user-gv8yn9lg1i 5 місяців тому

      Tatizo mji wa Arusha una mambo ya ajabu, ni watu hawataki maendeleo,ndo maana viongozi wengi wanaletwa Arusha wanakwama, inawezekana Makonda kagundua hilo, sasa wana Arusha ni bora mmoe support kwa maendeleo ya mkoa wenu.

  • @kbupdates5967
    @kbupdates5967 5 місяців тому +2

    Makonda anakitu jamani asikilizwe

  • @tabiaramadhani2348
    @tabiaramadhani2348 5 місяців тому

    MUNGU ANAONA KILA KITU SASA UKIIMBA HATA MIA MOJA UKISEMA UNAMKOMOA SAMIA UNAJIONGOPEA SANA NA PIA UNAPO IBA JUWA NAWE MWIZI KAMA JAMBAZI AU PANYA ROOD AU WEZI WA MTANDAONI VILE VILE HAMJA ACHANA KWA WIZI BALI PANYA ROOD WANAKUNYWA MIGONGO NA KIVUTA MIBANGI KIHARIBU HAKIRI YAO KUIBA KINYAMA KUUWA KUJERUHI KUIBA KITEMI KINYAMA KAMA MAJAMBAZI VILE KWA SILAHA SASA WAIBAO SERIKALI WANAFANANA NA WA MITANDAONI UNATOA PESA BILA KUUWAWA KWA PANGA WALA BASTORA WANTUMIAMWIZI WA KISOMI LAKINI WOTE MAJAMBAZI PANYA ROOD PIA

  • @anuciathangonyani8588
    @anuciathangonyani8588 5 місяців тому

    Kijana wangu Paul Makonda. Nina penda sana utendaji kazi wako.
    Fanya kazi kwa wekedi. Usiweke kila kitu banana.
    Ongea na viongozi wa juu yako kwa usiri mkubwa.
    Watu siyo wema kabisa, take care, kijana wangu. Unapendwa na wengi mno 🙏

  • @user-xz5fl2tf6i
    @user-xz5fl2tf6i 5 місяців тому +2

    Hayo ya juu ni speculative. Lakini headline ya hii habari hii ni uongo. Hakuna mahali Rais ameahidi ulinzi kwa Makonda. Sote tumesikiliza hotuba ya Rais.

  • @athanaskipeto572
    @athanaskipeto572 5 місяців тому

    Mama ameongea kwa hisia kama mama Hongera sana mama mungu akutuze azidi kukupa afya na hekimu iliyo tukuka

  • @masalumaduhu4029
    @masalumaduhu4029 5 місяців тому

    Awamu ya GIZA na ubinafsi, tunashuhudia vyama vingi vikiporomoka kwenye chaguzi duniani zamu ya chukua chako mapema ni mwakani tumechoka na utawala huu wa hovyo kila kukicha warabu wameingia hapa na pale warabu watakuwa kila kona nchi hii Tanganyika hatuna asili ya uarabuni hatukupendi huku .

  • @mugishagerard8241
    @mugishagerard8241 5 місяців тому

    We makonda mbona unatabia ya kisenzi kama wanawake?funga midomo we makonda ukiendelea utakufa bibaya tena haraka, usijipendekez eti utapandiswa cheo😂 fanya kazi yako achana nawatu, mbona unamupihania ni mama ako? Nyote mbona munanjaa ndoo maana munatak kila mtu aonrkane mwema

    • @vashtyburge3998
      @vashtyburge3998 5 місяців тому

      Usitukane wanawake. Kama una bifu na makonda, mtukane yeye mwenyewe. Hata raisi ni mwanamke. Hata msma yako ni mwanamke

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior 5 місяців тому

    HAKUNA ANACHOFANYA MAKONDA MAMA HAKIJUI.
    HUYO NI SPEAKER TU.
    HATA HAYATI MAGUFULI ALIKUWA AKIMTUMIA KUWEKA BAADHI YA MAMBO HADHARANI.NI MBINU TU YA KUMSTUA ADUI ILI AJUE ANAJULIKANA.INAWEZEKANAJE MAKONDA AWAJUE HAO MAWAZIRI MAMA HASIWAJUE?????????