UKRISTO NA UISLAMU: WALIMU NA NGUVU ZA HOJA - Mwl. Eliya na Mwl. Shaaban.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 34

  • @yoramabubakar8012
    @yoramabubakar8012 6 місяців тому

    Mashaallah . Mwalimu Shaabani Allah akuhifathi unamengi ya kunufaisha uma

  • @hdmafunzo
    @hdmafunzo Місяць тому

    Nimependa hii mada maana hambishani mnaeleweshana vizuri Sana bila matusi Wala kejer. Allah awalipe yalio MEMA

  • @johnwoshi3459
    @johnwoshi3459 5 місяців тому

    Hata Mungu ni mchristo

  • @suleim505
    @suleim505 Рік тому

    Asante sana mwalimu

  • @ustawiwetu
    @ustawiwetu 18 днів тому

    Muhammad alikuwa muabudu sanamu, aliweka sanamu ndani ya nyumba yake
    Allah alimkataza Muhammad asiweke sanamu ndani ya nyumba yake
    Q74:5 - allah anamwambia muhammad aache kuabudu sanamu. Koran ya Kiswahili imeficha ukweli inasema, na yaliyo machafu yahame. Someni korani ya kiingereza au kiarabu.
    HII SURA MUDATHIR INAMHUSU MUHAMMAD. MUHAMMAD ALIENDELEA KUWA MUSHRIK HATA BAADA YA KUWA MTUME. Allah alimonya Muhammad kuhusu kuabudu masanamu hata Jibril alimuonya Muhammad akamwambia vikate vinyago kichwa

  • @paschalcharles3617
    @paschalcharles3617 Місяць тому

    Huyu benson huwa anaongea kwa more sana mpaka anapoteza uhalali wa HOJA

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 Місяць тому

    Hayo maelezo ya Benson ni ya Kibinafsi. Hakuna ushahidi.

  • @MahadSatar
    @MahadSatar 8 місяців тому +1

    Mwalim ww ni kichwa cha elimu

  • @getrudeegervas6694
    @getrudeegervas6694 Місяць тому

    Wafuasi wa Kristo wote wanaitwa wakristo... Ukrsto ni ufuasi wa Kristo.... Sasa nyie endeeni kujifanya hamuelw

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 6 місяців тому

    Elya unakataa ukirsto

  • @OmariShuli
    @OmariShuli 6 місяців тому

    لتكن مشييتك كما في السماء كذلك على الارض. Do! hiio bibilia ya kiarabu ilishushiwa kina Daniel, Chaka na mwenzao Ismaail nini? mh. maana igeshushiwa waarabu ingesomeka hivi:لتكن مشييتك في الارض كما في السماء.

  • @fabimbilinyi2529
    @fabimbilinyi2529 4 місяці тому

    Sh👏

  • @MaryamIssa-y7v
    @MaryamIssa-y7v 7 місяців тому

    Eeeh kumbe dini ya ufalme nasio tunavyoambiwa

  • @mumewakigogo7788
    @mumewakigogo7788 Рік тому

    Uislamu ni ukengeufu dhidi ya Mungu,

  • @biblianijibu
    @biblianijibu 9 місяців тому

    Chukua jibu hili ua-cam.com/video/iLbxr2d2ZLg/v-deo.html

    • @HamisAbdallah-cj2sc
      @HamisAbdallah-cj2sc 9 місяців тому

      Mwalimu isaya APA kajichanganya.mwanzo alisema ukiristoulianza na IBRAHIMU Leo unasema uloanzia atiokia

  • @ustawiwetu
    @ustawiwetu 10 місяців тому

    UISLAMU NI UONGO, USIMSHAURI MTU AINGIE UISLAMU. ANGALIA VIDEO HII HALAFU UTOE MAJIBU. USIJIFANYE UNAUJUA UKRISTO. ua-cam.com/video/wwRJsuRHeXE/v-deo.htmlsi=JiIWTBIzi85KCJ77

    • @CAPTAIN_ABDULLATIF22
      @CAPTAIN_ABDULLATIF22 8 місяців тому

      😅😅😅 ndugu soma utoke ujinga

    • @ustawiwetu
      @ustawiwetu 8 місяців тому

      @@CAPTAIN_ABDULLATIF22 kama unajua Kiingereza anglia video ktk link upate elim

    • @CAPTAIN_ABDULLATIF22
      @CAPTAIN_ABDULLATIF22 8 місяців тому +1

      mm siwezi kuangalia video za upotoshaji mm naisoma bible naisoma Quran kwaio hapo ndio napata ukweli sasa na ww soma hivo vitabu ujue ukweli usisikilize nani kasema

    • @ustawiwetu
      @ustawiwetu 8 місяців тому

      @@CAPTAIN_ABDULLATIF22 hujui lugha

    • @ustawiwetu
      @ustawiwetu 8 місяців тому

      Kwahiyo unasoma Biblia kwasababu haina upotoshaji, si ndio

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 8 місяців тому

    Hawa watu wa roho mtakatifu huwa hawajielewi kabisa

  • @mumewakigogo7788
    @mumewakigogo7788 Рік тому

    Bwana Yesu yupo katika Biblia ya Kiarabu, lakini hayupo katika Quran yenu. Issa siyo Bwana Yesu Acha kupotosha watu.

    • @adamkulwa7194
      @adamkulwa7194 28 днів тому

      😂Biblia ni Biblia. Utofauti ni Lugha kutokana na utofauti wa mataifa.
      Ko unashangaa Biblia kuandikwa kwa lugha ya Kiarabu!!!!😅😅😅
      Ata ikiandikwa kwa Lugha ya kiarabu,bado Kitabu sahihi kitabaki niki 1 tu. Quran. Ambacho ndio Muongozo. Waislamu woote Dunian wanamuamini Yesu lkn sio kama Mungu wala mtoto wa Mungu lkn kama messenger wa Mungu.

  • @KhalfanAbdallah-n1f
    @KhalfanAbdallah-n1f 9 місяців тому

    Bwana beisoni mwakilembe chawa mwenzangu kwa vladmir putin kaka umepatikana hujui mambo ya dini baki kwa matangazo ya vita ya urusi na ukrein