#LiveNaGee

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 47

  • @madindangonde4044
    @madindangonde4044 22 дні тому

    SWALI GUMU
    kipi kitaanza na kufuatiwa na kipi kati ya hivi
    1.Dhiki kuu
    2.kujiinua kwa mpinga kristo
    3.ufufuo
    4.Unyakuo
    5.Utawala wa yesu
    Asante kwa elimu nzuri sana.
    Askofu atupe mtiririko mzuri

  • @OswardSanga-ep5js
    @OswardSanga-ep5js 17 днів тому

    Mtangazaji uko vizuri sana

  • @ShomaryGango
    @ShomaryGango 23 дні тому

    Binafsi nimeipenda sana hii session...G unajua sana kuhoji na mtu anakuelewa.

  • @godwinarnold5344
    @godwinarnold5344 22 дні тому +1

    Quality ya sauti si nzuri, ningekushauri upunguze reverb/echo (inategemea unatumia software gani) unapofanya editing

  • @paschalcharles3617
    @paschalcharles3617 23 дні тому

    Nakubali sana 🙌

  • @goodluckminja3798
    @goodluckminja3798 24 дні тому +1

    Hii kali🎉

  • @HeliudKasonso
    @HeliudKasonso 23 дні тому

    Bratha g upo smati sana sema huyu mchungaji hana upeo wake hayupo huru ni mfuasi garika haiku angamiza dunia nzima uongo

  • @sospetermatonya5133
    @sospetermatonya5133 23 дні тому +1

    Mambo hao ya kuponda kichwa yapo mwanzo 3:15 sio Yohana, mwambie huyo mzee aache uongo

  • @B23-i8p
    @B23-i8p 21 день тому

    Kwaiyo mchungaji anamjua Yesu kuliko ndugu zake

  • @jastinarts
    @jastinarts 22 дні тому

    Natamani sana kumjua huyu mtumishi

  • @JumaMchamala
    @JumaMchamala 23 дні тому

    Hyu anahojiwa Bado hayuko vzuri 😢

  • @thomaskapande8618
    @thomaskapande8618 23 дні тому

    Kujibu maswali ya kidini ni inshu sana

    • @HeliudKasonso
      @HeliudKasonso 23 дні тому

      Sio kazi kama umesoma na ukawa huru usiwe mtumwa wa dini yoyote unaweza ukaerewa ira ukiwa na upande unaishia kuwa muoga badara ya kuhoji

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 18 днів тому

      Huwezi pata majibu mpaka Yesu anarudi ishi ukifika mda uondoke kwenda ulimwengu mwingine huko kuishi ukauvae Mwili wa kutokufa

  • @HeliudKasonso
    @HeliudKasonso 23 дні тому

    Mimi binafsi si amini mwisho wa dunia huo maana haujawai tokea rabda urusi na marekani wapigane mabom ya nyukilia

  • @johnuwezo8311
    @johnuwezo8311 24 дні тому

    Uzao wa mwanamke huyo upo kwenye mwanzo 3:15

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 18 днів тому

    Muuliza maswali nimekukubali

  • @olduvaicamp1552
    @olduvaicamp1552 23 дні тому

    oya ma men gee. your podcast is great lakin jitaidi upate mc nzuri ambazo hazivuti mwangwi wa sauti . other way your doing great.

  • @petroludovick
    @petroludovick 22 дні тому

    Naomba namba ya huyu mchungaji Nina maswali binafsi naomba niulize

  • @NaimanErasto
    @NaimanErasto 21 день тому

    Ase kwann tuchukue dini zawazungu tusibakina dini zetu

  • @ChubaLisooh
    @ChubaLisooh 23 дні тому

    Sas mbon apo sielew uyo shetani.tunavyo ambiwa kuw alimuambia mwana w Mungu kuw ageuze mawe kuw mkate. n alikuw karib n yesu kam tulivy fundishw apo inakuwaj tena

  • @Kashushu_IT_Services
    @Kashushu_IT_Services 22 дні тому

    Karibu Kanisa la Wasabato - KANISA LINALOONGEA NA MUNGU MTAKATIFU, Lenye Mwonaji anayeongea na MUNGU Mtakatifu. Utapata Majibu Sahihi Na Mengi, Usiyoyajua. Kibaha Misugusugu (Miyomboni - Mtaa wa Vitendo).

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 8 днів тому

    Mimi ni Muislam lakini nina swali kwa mkuu hapo. Kwanini hakuna andiko lisemalo gospel according to Jesus yapo according to John, according to Paul, au Mathew?

  • @MOHAMEDIMKALI-rz7ez
    @MOHAMEDIMKALI-rz7ez 19 днів тому

    Ninachojivunia kwamba waafrika sasa wanaanza kujitambua haswa wabngo naamibi 2035 kunakizazi chawatanzanua watatenda mambo kwavitendo nakwahakika huu ujinga tulomezeshwa nawarabu na warumi nahakika utapotea nautabakizalili kua niupuuzi tulioliswa kwakipindi kilfu kwamaslai yao binafsi

  • @MoiWakitaa
    @MoiWakitaa 17 днів тому

    Mkuu mbona kma inanifikilisha kidogo hapo anaposema MUNGU alimwambia shetan kwamba wewe na uzao WA huyu mwanamke mtakuwa maadui watakuponda kichwa na wewe utawagonga kisigino! Shida hii sasa hayo maneno ameambiwa shetan au nyoka kwamaana tunaemponda kichwa ni nyoka na sio shetan hii imekaaje hapo

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 18 днів тому

    Huyu anajikanyaga haelewi

  • @dunstunnchimbi7994
    @dunstunnchimbi7994 24 дні тому +3

    Kuna swali natamani kumuuliza. Kwenye biblia naonaga wameandika Mungu aliumba mbingu na nchi (dunia) Swali ni je. Muda wanaandika hicho kitabu hawakujua kama kuna sayari zingine? Au muda huo alikuwa hajaziumba hizo sayari zingine? Kama tatizo lilikuwa ni uelewa basi inawezekana gharika ya nuhu ilikuwa tu ya mikoa michache wakati huo. Ila kwasababu ya kuamini wanapoishi ndo dunia. Wakaandika dunia nzima iliangamizwa kwa maji. Wataalamu wa biblia mnisaidie.

    • @tp-kh8hl
      @tp-kh8hl 23 дні тому

      Ukisoma mwanzo kuna sehem imeandikwa mungu aliumba nyota ssa ilo neno nyota lilitafsiriwa kutoka kwenye kiebrania ambapo neno nyota kwao linajumuisha nyota, sayari vimondo n.k!..na kulingana na bibilia ni dunia yote iliangamizwa

    • @JustinKochecha
      @JustinKochecha 23 дні тому

      Usiamin hizo stori mkaliii hizo n stori tyu...imagination just illusion

    • @cosmasmwaitete5004
      @cosmasmwaitete5004 22 дні тому

      Watu bana mnajifanya wajuaaaaaji nendeni nyie mkahojiwe

    • @dunstunnchimbi7994
      @dunstunnchimbi7994 22 дні тому

      @cosmasmwaitete5004 Sio kwa maana hiyo. Ni maswali tu ambayo yananichanganya. Kama unaweza kujibu unasaidia tu. Ndo maana ya kuliweka swali hadharani. Huoni wengine wamejibu? Hata sio kwa maana mbaya. Kuuliza swali sio ujuaji

    • @EagerSky-lc7jj
      @EagerSky-lc7jj 17 днів тому

      Kwa mujibu wa baadhi ya watafiti(wakujitegemea) wanasema Dunia sio sphere kama tulivyoaminishwa shuleni bali ni flat kwa points hizo mm nakubaliana nao na Ina make sense so naww fuatilia makala mbalimbali itakusaidia kujua baadhi ya maswali yako.

  • @Drepsama
    @Drepsama 24 дні тому

    Muite sindano show, au mzee prince katega2

    • @eliassabbath2480
      @eliassabbath2480 23 дні тому

      Bro sindano yupo kimy sana sjui nn kmemkuta

    • @Drepsama
      @Drepsama 23 дні тому

      Hata Mimi simuoni siku hizi jamaa anajua sana ​@@eliassabbath2480

    • @LeonFlorian-nt9js
      @LeonFlorian-nt9js 23 дні тому

      Kuna mzee anaitwa clemency mwandambo uwiii huyo ni atari

    • @josephatmkomi6573
      @josephatmkomi6573 19 днів тому

      Any way,we mtangazaji,leta watu wenye fikra,sio waliokariri vitabu na kuvaa suti,uyo anahubiri,aseme vitu vipya ,anavokaza sura kama vile Kuna jipya anasema,leta vichwa apo,porojo

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 24 дні тому +1

    Mlete mchokonozi umuhoji

    • @jordannuruell9018
      @jordannuruell9018 24 дні тому +1

      Hapo umenena, afanye hivyo!

    • @darasibrown6084
      @darasibrown6084 23 дні тому

      We wachokonozi wale habali nyingne mm nataman mchokonozi apewe debate na hawa mitume ya sasa😀😀😀

    • @ninjaisma7983
      @ninjaisma7983 23 дні тому

      @darasibrown6084 asee kweli kabisa..waje kina Joe devi wapige debate na mchokonoz