WAZIRI SILAA AELEZA SABABU ZA KUBOMOA GHOROFA MBEZI BEACH

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025
  • WAZIRI SILAA AELEZA SABABU ZA KUBOMOA GHOROFA MBEZI BEACH

КОМЕНТАРІ • 12

  • @andreap.assenga8480
    @andreap.assenga8480 10 місяців тому +1

    Mh, waziri hongera sana maana wabongo walio wengi hawataki sheria ni mabavu na ushirikina tu.
    Bora sheria itumike Ili kuondoa usumbufu wanaoupata watu wengi wa hali za chini maana yao kwanza yanauzwa na matapeli na kujengwa kimabavu katika hii nchi ngumu sana
    Bora na sheria ya kunyongwa kwa wahalifu wa ardhi iwepo ili kuondoa hilo tatizo.

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 10 місяців тому +1

    Well said mheshimiwa 😊

  • @sabinuskomba2535
    @sabinuskomba2535 10 місяців тому +1

    Safi kabisa

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 9 місяців тому

    Lakini kwa Nini Kama umejemga kwa mtu na ukagundua kuwa Kuna shida hiyo si huyo wa mwenye gorofa na huyo Naomi wangemalizana tu kwani wangempa huyo Naomi milioni hata 5 Naomi angekosa Nini au Naomi nae ndio anataka mabilioni 50 hivi vitu vinaita nasi tunapita tu jmn Sasa kweli ghorofa lidondoshwe pwaaa Kisha uje ukae au ujue cjui mhhh hawajakaa wenyewe

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 10 місяців тому

    Hiyo nyumba ingekabidhiwa kwa naomi kama fidia

  • @geraldgogadi7054
    @geraldgogadi7054 10 місяців тому

    This man must be given security

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 10 місяців тому +1

    Jerry you are shap

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 10 місяців тому

    Uhatarisha usalama.wako. Achaa.na kazi.za rafiki.au ndg km.Ridhiwani. alinaza.mambo.km.haya

    • @adiaygo8546
      @adiaygo8546 10 місяців тому +1

      Mungu atamlinda ,,🙏💯

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 10 місяців тому

    Kwa nini msizuie ujenzi na sasa mmeingiza hasara kuvunja ghorofa kama ninyi serikali mpo?

    • @adiaygo8546
      @adiaygo8546 10 місяців тому +1

      Tumia akili😮

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 10 місяців тому

      @@adiaygo8546 Wewe ongezea na mama yako